Mungu anisaidie kuzidi kuwa mnyenyekevu kwa mwenzi wangu. Asante Mungu kunipa mume mzuri
@TeloAwor7 ай бұрын
Thus my brother in law who raised me up. My God bless him
@AsteriaMontgomery5 ай бұрын
Kweli sungura nimekubali
@ClaudiaFares-z4n8 ай бұрын
Nashukuru Mungu , mume wangu ni mwanaume halisi. Naomba Mungu anisaidie hekima ya kiungu.
@salma_7410 ай бұрын
Mashaallah you are 100% nailed it
@happmushi-so7qz11 ай бұрын
Daaaaaaahhhh pastor Deo ahsante sana nimepata kubwa hapa
@PascalinaBayo10 ай бұрын
Kipindi chako ni kizuri sana pastor mungu akubariki.
@BahatiNathan11 ай бұрын
Nashukuru Mwalimu ... Nimepata Ufunuo mzuri Sana
@NgarukoNoëlla11 ай бұрын
Mwenyezi Mungu atusaidie Aki
@anitamwamini2646 Жыл бұрын
Mungu akujalie baraka
@SubiraSanga10 ай бұрын
Ahsante
@RizikiKarata Жыл бұрын
Ahsante kwa somo hiyo namba 1, 2 huyo wngu
@PaschalinaCasmiry-zs6ow10 ай бұрын
Asante kwa Mafundisho mazuri
@PitapitaMacha Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@agneskilasi9772 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@jaquelineligundaklay881710 ай бұрын
Wangu ni mwanaune halisi wallh mungu atulinde
@scorasticamaziku112710 ай бұрын
Daaah kaka deo hiiii aina ya tano nilishakutana nayo mpk sasa hawaniamni kbs ndugu zangu
@fatumaabdallah-ui7pj Жыл бұрын
😂😂😂😂ati we haumo somo zuri sana nimelipenda. Naomba kujifunza zaidi nahitaji kitabu. Barikiwa sana
@Priscajacob-tw4er10 ай бұрын
amina mtumish wa mung
@EditaTairo-sv1ls4 ай бұрын
Yaani Mr. Deo huyo Namba 3 na 5 ni kama pande mbili za shilingi....ingekuwa ni mpira ningesema wanashirikiana kama kipa na beki
@rehemaedward9494 Жыл бұрын
mtumishi ,nkufuatilia sana masomo yako ,pia nkushrikishe kwa maombi ,nkumbuke leo nmeenda hospital nmepiga u sound nmekutwa na uvimbe ktk mfuko wa uzaz,naamin Mungu atatenda, jina langu Blandina Edward
@DeoSukambi Жыл бұрын
Mungu ni mkuu na mponyaji..nakuombea katika jina la Yesu ukapokee uponyaji..mwamini Mungu
@SmilingGeyser-yo8wz11 ай бұрын
Thanks broo
@barakandabunganie6585 Жыл бұрын
Barikiwa sanaaa
@AnnaMollel-n3j Жыл бұрын
Kweli kabisa mtumishii .mungu azid kukubariki
@fadhilalukindo1659 Жыл бұрын
Asante mtumishi kwa somo zuri mume wangu ni no2 ila mm nina mdomo jamani😢 hakika nitajirekebisha kabla cjampoteza
@carolynendossi159411 ай бұрын
😅
@FelisterRenatus-ib4gb7 ай бұрын
Hii kari no 2
@kwkw1446 Жыл бұрын
Niko Kuwait nakuskiya vizuri baba so mimi nimtu from Burundi asante❤❤❤
@DeoSukambi Жыл бұрын
Asante sana
@lauraanathe3828 Жыл бұрын
Barikiwa sana, Laura from Morogoro
@DeoSukambi Жыл бұрын
Amen amen
@MamaNabii Жыл бұрын
Asante kwa Somo zuru Sana pastor
@angeldeusdedith29189 ай бұрын
Wangu sijui nimtaje
@bibishejuma2272 Жыл бұрын
Nikoburundi mungu atusaidiye
@DeoSukambi Жыл бұрын
Amen amen
@AgnethaMapunda-y4r11 ай бұрын
Nipo namume wangu tumeflai sana ushauli wako
@DeoSukambi11 ай бұрын
Asante sana..salamu zangu kwa mumeo
@stellatemu245810 ай бұрын
😂😂😂 wangu yuko kote kote
@levinaernest43649 ай бұрын
😀😀😀😀
@SubiraSanga10 ай бұрын
hatar kwer kwer iyo ya mwsho uh!
@barakandabunganie6585 Жыл бұрын
Sauti iko poa kabisa from shinyanga
@DeoSukambi Жыл бұрын
Asante sana
@modesterjoseph9504 Жыл бұрын
Daaaah!!!
@HadijaMvungi8 ай бұрын
Wakwa ngu anahasra sana
@iloveoman267711 ай бұрын
Salima Salim froom Oman
@DeoSukambi11 ай бұрын
Asante sana Salima..
@AminaMdashy Жыл бұрын
Jamani kuna moja staff mwenzagu yupo namba nne tumsadiaje
@DeoSukambi Жыл бұрын
Huyo inatakiwa apate msaada wa kisaikolojia kabisa
@danamickle9739 Жыл бұрын
Mie langu n sungura kabsa
@scorasticamaziku112710 ай бұрын
Haachiki kbs mimi nilihama mkoa
@NdayikengurukiyeJonas7 ай бұрын
MIMI NA ITWA IVONE KWELI BALIKIWA MTU WA MUGU
@revinakataraiya Жыл бұрын
Huyo mwanaume namba tano ni alikuwa mume wangu amenitesa mno na tabia za wanaume wabaya zote anazo yye yaan pastor u speak my situation yaan drama eeh
@fatumaninga55229 ай бұрын
Jamani mbona izo daririr za 5 zinamuangukia mume wangu😢😢😢
@NdayikengurukiyeJonas7 ай бұрын
MAFUNDISHO YAKO MAZULI YANATUFUNZA BALIKIWA
@zenasmjema4050 Жыл бұрын
Umeongea kweli kabisa.
@nadystyle3397 ай бұрын
Huyu myanyasaji ndo mune wangu sasa
@queenmilan2024 Жыл бұрын
Sauti
@zawadipeter715210 ай бұрын
MUNGU wangu huyu watatu wangu mm MUNGU nisaidie
@DeoSukambi10 ай бұрын
Pole sana
@lindamwamnyanyi55628 ай бұрын
Mwanaume namba 3 ni shida.huyu ndo wangu.sasa sjui nafanyaje abadiike.
@joshuayohana78808 ай бұрын
❤
@annanyandigira7857 Жыл бұрын
Rudia namba ya simu.
@DeoSukambi Жыл бұрын
0746104034
@FardooFamosha5 ай бұрын
Hivi hawa wanaume wanazaliwa malaika ila wanaharibiwa na wanawake?kwa hio wanawake ndo mashetani😢
@jenipherkavusha1661 Жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu
@angelinamsemwa5592 Жыл бұрын
Ok kumbe 😢
@barakadeusdedit8273 Жыл бұрын
hii type ya 5 ni wale wako na NPD (Narcissistic Personality Diosorder)
@norahmajaliwa384110 ай бұрын
No 5
@HadijaMvungi8 ай бұрын
Wakwngu Yuko hivyo
@nyiranzimami72810 ай бұрын
Wakwangu ni Uyo watatu😁😁😁
@zawadipeter715210 ай бұрын
😂😂yan ndomm daa nacheka kama mazuri
@SleepyBocce-lf4vr10 ай бұрын
Me THERESIA NANGI KUTOKA OMANI mana bado sijaolewa naitaji kfahu naitaji kpata mwanaume sahihi
@anitamwamini2646 Жыл бұрын
Huyo mwanaume number three ni mume wangu
@DeoSukambi Жыл бұрын
Aiseee..pole sana
@AminaMdashy Жыл бұрын
😅😅
@AminaMdashy Жыл бұрын
Pole ni wengi ndio wapo kwenye hiyo tabia
@BizimunguAdolphe-vp7xp Жыл бұрын
🇷🇼✌️
@evasilaa9064 Жыл бұрын
Why kila tabia ya mwanaume mbaya Mwanamke ndo wanasabisha?😮
@DeoSukambi Жыл бұрын
Umesikiliza mpaka mwisho? Nilisema aina ya kwanza ndio inachochewa na wanawake..rudia kusikiliza vizuri bila muhemuko
@evasilaa9064 Жыл бұрын
🤣 sina makasiriko Pastor Nimesikiliza hadi mwisho
@DeoSukambi Жыл бұрын
Aaaah🤣🤣..sasa hii ya kila tabia mbaya za wanaume wanawake husababisha umeitoa wapi Eva🤣🤣🤣
@beatricemuniko-lt3xi5 ай бұрын
@@DeoSukambi hapo bwana umeshambulia Sana wanawake sisi ni washauri kwa waume zetu sasa kwann useme akileta wazo hata kama baya nisimshauri hapobado cjaelewa
@karenmacha2462 Жыл бұрын
maneno mazuri ila nimechelewa ameshajitengenezea ulimwengu wake basi haina shida mungu atatenda tuuu na ndoa yangu inamiaka mingi sasa ndani ya ndioa ok thanks
@DeoSukambi Жыл бұрын
Kama ni mwanaume Sungura bado unaweza kumrejesha..usikate tamaa ikiwa unatamani arudi