Aina 9 Za Wanawake Watata

  Рет қаралды 105,968

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 397
@omarjuma1794
@omarjuma1794 2 жыл бұрын
Joel Nanauka you are Geniuses 💪🏼
@nuruyohana1676
@nuruyohana1676 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂duuuh leo kaka Joel umeanza tu kunichekesha kwa Title hiyo lkn zaidi no 9 najiona kabisa
@boniphacempogolo2223
@boniphacempogolo2223 3 жыл бұрын
Namba tisa ninae, pia yupo kidogo kwenye boxing. Nitafurahi ukituandalia video namna ya kuishi nao ili kupunguza migogoro ya kila siku. Asante sana Sir, JOEL
@isikesamike
@isikesamike 3 жыл бұрын
Nimecheka sana yaani hasa namba 8 na 9. Namba 9 nafanya naye kazi, ni ngumu mnoo kuishi naye kwa kweli. Asante kwa darasa @joel_nanauka. Sijawahi kujuta kukufuatilia ktk mitandao ya kijamii. Hakika makala zako zinaelimisha sana.
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Kwel kabisa 🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@ellybrown5989
@ellybrown5989 3 жыл бұрын
uwiiii... kaka Joel mbavu zangu,jamani!nimecheka hadi nimelia,aaah!nimejigundua nipo kundi gani (siri yangu)lkn bila sisi wanawake kaka Joel mambo hayaendi,ukweli ndo huo.
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 жыл бұрын
Taja buana tujue
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Mie hata nikiondoka hom wiki 1 mume wangu hata kazini anashindwaga kwenda..niko no 2
@adammsuka214
@adammsuka214 3 жыл бұрын
Kaka nakufatilia Sana. Tunaishi nao ao watu Mungu aendee kukutumia
@mariammaligwa8887
@mariammaligwa8887 3 жыл бұрын
Nilipata boss yaan yeye alikuwa akisema yeye hakn wa kupnga anaweza akakudhalilisha mbele ya wateja yule mama Leo nimepata jibu Asante Kaka,
@clarencewilbat8598
@clarencewilbat8598 3 жыл бұрын
Nipo na uyo wakupayuka kama.konda
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Hatari hawa😂
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Hatari, angali video za namna ya kuboresha mahusiano nimezungumza namna ya kudeal naye
@lovenessdiva3370
@lovenessdiva3370 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Ooooh my God
@tuliafugutilo3539
@tuliafugutilo3539 3 жыл бұрын
Hahahaaaa
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂heeee
@everose276
@everose276 6 ай бұрын
Mimi nina element kiasi fulani za namba 9, ila kwenye suala la sheria sipo sana.Kujipambania na kupambania wengine hiyo ni changamoto kwani inanipa stress sana hii ya kutaka kusolve kila kesi inayokuja mbele yangu.
@fatumaabdallah-ui7pj
@fatumaabdallah-ui7pj 11 ай бұрын
😂😂😂 nimefurahi karibi sifa zote ulizo taja nishakutana nazo mwingine anasifa karibu 4 hapo basi ni shida ila ninefurahi kwa upande wangu sina sifa hata moja hapo😊 asante somo zuri sana
@zuwenayusuph3813
@zuwenayusuph3813 9 ай бұрын
Duuuh nimefikiwa sasa
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 3 жыл бұрын
Haha naona hapo mm niko kwa dictionary woman heee recoding lazima ikue 🤞 sitaki kudhulumiwa akili mm 😂😂😂
@nicelyrutakyamilwa4388
@nicelyrutakyamilwa4388 3 жыл бұрын
Duh nmechelewa kukujua Ila big up xna bro....from kigali Rwanda 🇷🇼🇷🇼
@msellah1717
@msellah1717 3 жыл бұрын
Mbona kila namba Nina sifa yangu moja moja 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@rebeccaungwa1787
@rebeccaungwa1787 3 жыл бұрын
Me too 😂😂😂😂
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 11 ай бұрын
Hata mm Namba 5 na 9 inanigusa😅
@saraf6794
@saraf6794 3 жыл бұрын
Nasoma coment mie😂😂😂😂
@isikesamike
@isikesamike 3 жыл бұрын
"...wanawake watata." Your introduction @joel_nanauka made me laugh 😂😂😂
@salmamohe135
@salmamohe135 3 жыл бұрын
Hiyo ya3 inanihusu
@tunkuh661
@tunkuh661 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Ni kweli kabisaaa 😂😂😂😂 but ashukuriwe Mungu tunaweza kubadilika au kupunguza makali ya tabia hz endapo tukijitambua na kuwa tayari kubadilika.... experience imenihakikishia hilo... 🤝 JN
@nurdinchilambo1486
@nurdinchilambo1486 3 жыл бұрын
Brother pia kuna mwanamke mwengine anabeba had aina 2 au 3 za utata peke yake
@saraf6794
@saraf6794 3 жыл бұрын
Ushasema😂😂😂😂
@matrugnawangaeli4815
@matrugnawangaeli4815 3 жыл бұрын
Ninafikiri sio rahisi kutoka katika uhusiano wa naman hii. Lakini naamini pia inawezekana. Lakini swali langu ni hili je kama mtu huyu hataki kusaidiwa inafanzaje.
@sherin3171
@sherin3171 3 жыл бұрын
Apo no. 8 nidadangu kabisa 🤣🤣🤣yani anajua kila kitu
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 3 жыл бұрын
Hahaha hiyo namba nane ingekuwa upande wa wanaume ningekuwa mim kabisa yaan yaani kila jambo nataka liende vilevile lisipungue hata kidogo
@jacobcyprianc607
@jacobcyprianc607 3 жыл бұрын
Dictionary 🤐 huyu naishi nae aseeee Ni shidaaaaaaa
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 3 жыл бұрын
Joel naweza sema nabadilika kila cku kupitia ww😘👌
@husnasaeed6353
@husnasaeed6353 3 жыл бұрын
Mbona kama nimesemwa sehemu nyingi ndomaana hata sidumu kwa mahusiano
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂tupo weng
@jayzeem14
@jayzeem14 3 жыл бұрын
Ni vizuri kujitambua though!! Na kujua kuchukuliana! Ila usisahau kuwa Tuna uwezo mkubwa kiakili Basi tuelewane!
@praysonmmbaga8301
@praysonmmbaga8301 3 жыл бұрын
Dictionary, nipo naye kwenye huduma fulani ya Mungu...Changamoto
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Umejua itakusaidia kudeal naye
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 жыл бұрын
#Mtaalam naomba utoe mada inayohusu KWANINI WANAWAKE SIKU HZI WANAWATAFUUTA WANAUME WA KUWAOA MPKA KWA WATAALAM WA JADI kuliko zamani WANAUME NDIO WANAWATAFUUTA WANAWAKE WA KUWAOA?
@bonifacemollel5448
@bonifacemollel5448 3 жыл бұрын
I like the way your mind works stay blessed brother...
@mapenzitz
@mapenzitz 3 жыл бұрын
Simpendi mwanamke aina ya 6, kuna wengine wanaenda mbali hata usafi wa mwili shida ukimwambia hakuelew, staki ata kuwaona
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@birih8801
@birih8801 2 жыл бұрын
😂😂😂 ndio utamuoa huo
@stiveerasto1683
@stiveerasto1683 3 жыл бұрын
Nimecheka sana na kwasababu hao watu nimeisha wajua saizi hawaji kunisumbua.
@MgayaMasato
@MgayaMasato Жыл бұрын
My friend Niko kwa boxing woman and still a partner mtu kama huyu unaweza ishi nae vipi ila nakoswa Uhuru nimemtoa kwenye marriage plan vipi nimekosea?
@nanotosimon7921
@nanotosimon7921 3 жыл бұрын
hongeraa bro joel huduma yako ni mahimu kwa jamii Mungu akutunze
@mjuba
@mjuba 3 жыл бұрын
Hao wa 8 hao ni atar 😂😂😂😂😂
@veronicasamwel1676
@veronicasamwel1676 3 жыл бұрын
Hahahahahaa mimi patient woman nikihisi tu nipo lonely nitaumwa mpaka aje aniletee dawaaaa
@nsubilimwaipopo8218
@nsubilimwaipopo8218 3 жыл бұрын
Hahahaaaa!
@safiaabubakar1120
@safiaabubakar1120 3 жыл бұрын
Dictionary woman 😅😅😅😅kama nimejiona
@habibismael4937
@habibismael4937 3 жыл бұрын
Hallo kwangu ni Patient woman yey sasa ni mto wa kootea mbali so more love from Burundi kaka Nanauka
@NadraBeyout
@NadraBeyout 9 күн бұрын
Kaka joeli Hao wenye tabia hizo zote ni watu wa nyota ya punda.
@benadomgaya8769
@benadomgaya8769 Жыл бұрын
💪💪💪💪
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
No 8 wanasubua sana aiseee 🤣🤣🤣🤣
@wilberforcemagero5121
@wilberforcemagero5121 3 жыл бұрын
napendezwa na jinsi unavyofunza
@salaita2829
@salaita2829 3 жыл бұрын
Mimi nilishakutana na huyo mwanamke yaani yeyekukudharirisha au kukujazia watu kwake ndio furaha
@HappynessGeorge-co3jr
@HappynessGeorge-co3jr 3 ай бұрын
Thanks so much kaka Joel,,,be blessed more and more 🙏🙏🙏
@zablondeo551
@zablondeo551 3 жыл бұрын
Namshukuru mungu sipo ktk namba yoyote
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 3 жыл бұрын
Unajuaje
@Haleem_07
@Haleem_07 3 жыл бұрын
NGULIIIIIIIIIIIIIIIIIIII... Mr.Nanauka NAKUKUBALI sana ABDULHALĘÉM FROM ZANZIBAR... 🤝🏻 🤝🏻
@ragebcashtown3822
@ragebcashtown3822 3 жыл бұрын
Namba 6 hapo mi ndo nimekutana nae, na ninae walah
@swaumdeusihealthfirst8076
@swaumdeusihealthfirst8076 3 жыл бұрын
Duuuh yaan nimecheka sana watu waina zote nimewai ishi nao mm pia npo kwenye makund meng
@betsheba9875
@betsheba9875 3 жыл бұрын
No 5 nimimi Napenda kusingiziwa naumwa imlad tu niangaliwe 😃😃😃😃
@Rosemary_Obadiah
@Rosemary_Obadiah 3 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅akiiihhhhhh malast born sie😅😅😅
@husseinremmyjohn2350
@husseinremmyjohn2350 3 жыл бұрын
🤔🤔
@husseinremmyjohn2350
@husseinremmyjohn2350 3 жыл бұрын
@@Rosemary_Obadiah 🤔
@isaackbuudi5417
@isaackbuudi5417 3 жыл бұрын
Asate Joel kwa hayo mafudisho single mothers ni wengi hiyo Dio sababu.
@hatibumaulidi8608
@hatibumaulidi8608 2 жыл бұрын
Wanawake wanaopenda kujilemba sana kupitiliza wanaingia wapi
@aminaally2029
@aminaally2029 3 жыл бұрын
Alooo nimewahi fanya kazi na boss mwenye sifa namba 8 as’salalaaa nilipata shida
@givenjackson5449
@givenjackson5449 2 жыл бұрын
Nmejijua I'm serious woman ad mahusiano yananiumiza hahaha
@gullamgullam7646
@gullamgullam7646 Жыл бұрын
Ogopa kukutana na mwenye combination zote
@wilsonlameck4046
@wilsonlameck4046 3 жыл бұрын
Umewapa sifa ya kuwa wanawake watata , je, yapo makundi mengine ya wanawake wasio watata?
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Wapo,ila haikuwa maada ya leo.
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
@@joelnanauka naomba uelezeee
@timamahendo4172
@timamahendo4172 2 жыл бұрын
Hshahahahahaha nacheka kama mazuri vile ila nimejifunza mengi
@williamwilly8989
@williamwilly8989 2 жыл бұрын
MTAJI WATU ni kitu gani ? @JOEL NANAUKA
@mapuasaidi8076
@mapuasaidi8076 3 жыл бұрын
Namba 4 inamhusu girlfriend wang
@johnmagubo4269
@johnmagubo4269 2 жыл бұрын
Ninekutana na no 2 anaongea Kwa nguvu San yan awez kutulia anaenda inje anarud ndan yan ananikela San sometimes
@neemarajabu9432
@neemarajabu9432 2 жыл бұрын
Yani namba 3 na 5 nimimi jamani mm mpaka najiona mwenyewe ninavokela,natamani kutoka hapa mimi mwenyewe inanikela hii tabia nitafanyaje nitoke
@aishamohammad8102
@aishamohammad8102 3 жыл бұрын
😂😂😂😂hapo kwenye boxing
@estermwakipesile6736
@estermwakipesile6736 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Kaka nmejijua Niko kund gan
@winequeen8017
@winequeen8017 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 I have seriously learned about us 😂 in a funny way cause am linking that through my girls 😂😂😂😂
@safarimginya2270
@safarimginya2270 3 жыл бұрын
Group no 8 hao tuwape jina la Google woman's kaka maana wanajua kila kitu
@fortunemasawa3281
@fortunemasawa3281 3 жыл бұрын
Me niko na headmistress apa pasua kichwa kwel yan
@francis-chukwuchiduo8337
@francis-chukwuchiduo8337 Жыл бұрын
Kaka Joe umemaliza. Kitu kizito. Ha ha ha ha.
@dabasocreek3631
@dabasocreek3631 3 жыл бұрын
huwa ni mchanganyika wa uliyoyagusia...
@asmaalshukairi6619
@asmaalshukairi6619 3 жыл бұрын
Love you
@anitamwehonge8287
@anitamwehonge8287 3 жыл бұрын
Hahahhaha Mr.Joel Leo umenivunja mbavu maana kila kipengele Kuna watu nawaona😂😂😂😂
@mossianahassan9883
@mossianahassan9883 3 жыл бұрын
Mbn kama kila sifa nipo bro😂
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mm nishawahi kutana na mwaname watata wapo wasumbufu
@bakarikissiga6288
@bakarikissiga6288 3 жыл бұрын
Hii ni kama comedy fulan hiv,😁😁😁 lakin ndo uhalisia
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 жыл бұрын
Mmh... Jamaa anatuumbua hapa😂😂Sasa unawafundisha wanaume tulivyo mm hapo kwa security na dictionary woman nipo sanaaaaa.... maisha ndio yanatupelekea kua ivyo hasa sisi wanawake jasiri amali ni hatari tunarecord na tuko rada mbaya sana😂😂
@nsubilimwaipopo8218
@nsubilimwaipopo8218 3 жыл бұрын
😀😀😀
@laurentmsoka2188
@laurentmsoka2188 Жыл бұрын
Mimi ni mke ana tabia za wanawake wote hao watata huyu ataiteaje
@eshaleemar5555
@eshaleemar5555 3 жыл бұрын
mm nko na zte except dustin woman😅😅
@josephinemichael1514
@josephinemichael1514 3 жыл бұрын
Namba 9 najiona kabisa mimi walai🤣🤣🤣🤣🤣
@happylarry5520
@happylarry5520 3 жыл бұрын
Kama ni hivyo basi wanawake woote ni watata 😀😀
@princessleonard6415
@princessleonard6415 3 жыл бұрын
Uuuuuuwi asante Mungu mie siko popote katika aina yoyote.
@janethjoseph8725
@janethjoseph8725 3 жыл бұрын
00p
@magrethmushi6990
@magrethmushi6990 2 жыл бұрын
Kila. Mtu amejijuwa yuko kwenyekundi gani mungu akutunze mwali u wetu asante
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 5 ай бұрын
Mimi ni uyo wa8 na no2😂😂😂😂😂🙌
@aba-makaly5016
@aba-makaly5016 3 жыл бұрын
joel kweli nimeshawahi kukutana na awa wanawake matata shule
@festofeisag392
@festofeisag392 3 жыл бұрын
Hahahah wapo m1 naish nae
@eliaskainkwa7791
@eliaskainkwa7791 3 жыл бұрын
headmistress woman.....hahahahahaaaaaaa.
@neemarenaida6667
@neemarenaida6667 3 жыл бұрын
Tabia zote hizi zina uzuri na ubaya wake kila MTU akiilewa vema Tabia yake bila kujihurumia ,ndo inapatikana kukamilishana wala magonvi hayawez kuwepo kwani kila MTU anamwelewa mwenzake.Tabia hiz hazipaswi kututenga Bali kutuunganisha zaidi kwani hata wanaume zote hizi wanazo
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Kabla hujataja wanaume sema wewe upo kundi Gani?
@shantalsungura9361
@shantalsungura9361 3 жыл бұрын
Kweli kaka
@marcelinaghuliku6408
@marcelinaghuliku6408 3 жыл бұрын
Nilivosikia tu aina 9 za wanawake watata nimecheka 🤣🤣 🤝 Mi namba 8
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 5 ай бұрын
Me ni uyo wapil😂😂😂😂😂
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 3 жыл бұрын
Hizi tabia zipo kwa wanaume pia
@jayzeem14
@jayzeem14 3 жыл бұрын
Namba tano wanaitwa hypochondriacs!
@keshenimassawe7345
@keshenimassawe7345 4 ай бұрын
Kaka Umegusa palepale
@mariamsaid5655
@mariamsaid5655 3 жыл бұрын
Kama najiona kwenye namba 8
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 3 жыл бұрын
Over protecting is me jmn mpk nnachoka sipendi but it's just happening, yn mpk watu huniita detective but I wanted to be detective but I didn't get that chance baba alikataa kunipeleka chuo cha police but m trying atlist niwe private directive my man he hated my behavior, huwa a nashangaa navyo m surprise n mambo anayo fanya, then again I am dictionary woman jmn napanga mm alafu nikute vtu havipo nilivyoweka we eeeh then ya mwisho n mamangu mdogo lol musculine woman anapigana huyo anapenda kesi yn kununua ugomvi yy n kitu cha kawaida mpk mmewe anachanganyikiwa🙄😁😁😁😁
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 2 жыл бұрын
Wa 9 mie kabisaa 🤣 Ila ni mtu mzuri Sanaa ktk mahusiano
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 11 ай бұрын
Tupo Wengi lkn ni wanawake tunaoleta Mafanikio ndani ya mahusiano kujua kila kitu kinakuwaje kimetumikaje
@jayzeem14
@jayzeem14 3 жыл бұрын
Natumaini utatuletea aina za waume pia
@paulkuyonga6926
@paulkuyonga6926 3 жыл бұрын
Mbona mm napenda nipate mwanamke mtata yaan wakufoka napenda mno
@MariaMshana-ww2po
@MariaMshana-ww2po Жыл бұрын
Ninawatu ambao hawaelewi kiswahili ningetamani wasikilize wentewe, badala ya Mimi kuwatafsiria, lngeleta ladha zaudi kwako.
@GraceMichael-ze2oc
@GraceMichael-ze2oc Жыл бұрын
No 5 ni yangu jamani
@sikitumwamwenda9535
@sikitumwamwenda9535 2 жыл бұрын
NDIO NIMEKUTANA NAO.
@neemamandara9629
@neemamandara9629 3 жыл бұрын
Ama umenichekesha number 2, hahahaaa
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
😂😂 umejiona lakini?
@chingamjanja7100
@chingamjanja7100 3 жыл бұрын
Kila unaemtaja Kuna watu nawaona 😅😅😅
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 Жыл бұрын
😁😁😁😁 ww jamaa ni noma
@hawamanyanya1385
@hawamanyanya1385 3 жыл бұрын
Apo kwenye viugonjwa ugonjwa vya uwongo da🤣🤣🤣
@tteantoinette5379
@tteantoinette5379 3 жыл бұрын
Ningependa uongeleye wanaume pia!? Asante
@ashuramustafa7459
@ashuramustafa7459 3 жыл бұрын
Eti wanawake watata kama najiona 😂😂😂nimecheka Leo
@janethmunisi7199
@janethmunisi7199 2 жыл бұрын
I am a boxing woman
@YunusBinde-iu5bw
@YunusBinde-iu5bw Жыл бұрын
Nimekutana na mmoja amapenda kudekezwa kupita hata navoweza mim kufanya wakati mwingine
Wanaume Wanaokimbiwa na Wanawake - Joel Nanauka
10:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 71 М.
SAIKOLOJIA YA WIVU KWA WANAWAKE -  JOEL NANAUKA
18:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 59 М.
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,8 МЛН
ОТОМСТИЛ МАМЕ ЗА ЧИПСЫ🤯#shorts
00:44
INNA SERG
Рет қаралды 4,7 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 24 МЛН
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
LIFE WISDOM: MAHUSIANO YANAYOPOTEZA MUDA WAKO - JOEL NANAUKA
13:40
Mifumo ya mazingira inavyo athiri maisha
4:52
Elias Mwinuka
Рет қаралды 124
Maamuzi manne (4) muhimu sana kwenye maisha yako.
7:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 109 М.
JAMBO MUHIMU UNAPOELEKEA MAFANIKIO - JOEL NANAUKA.
10:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
SIFA 10 ZA WATU WANAOFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
17:59
Victor Mwambene
Рет қаралды 12 М.
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki
Рет қаралды 130 М.
LIFE WISDOM : VITA YA MAPENZI  - JOEL NANAUKA
14:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
LIFE WISDOM : MATUMAINI KATIKA KIPINDI CHA KUSUBIRI - JOEL NANAUKA
16:49
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,8 МЛН