Aina Tano (5) Za Hofu Unazotakiwa Kuzishinda - Joel Nanauka

  Рет қаралды 98,324

Joel Nanauka

Joel Nanauka

5 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 402
@tinafrenk5540
@tinafrenk5540 5 жыл бұрын
Kama unanuelewa huyu bro Kama mm gonga like apa twend sambamba
@jacksonntandu4771
@jacksonntandu4771 4 жыл бұрын
Pongezi kwa mwalimu kwanzaaa
@stevenkamala8099
@stevenkamala8099 3 жыл бұрын
Nashukulu xana mr.j umefumbua fumbo wangu
@jonaskitiga100
@jonaskitiga100 5 жыл бұрын
Nimefarijika sana, hofu ya kukataliwa ni kikwazo kikubwa sana. Kuna kipindi nilianza kuandika kitabu juu ya mapito yangu nikaogopa kuendelea kwa visababu vingivingiiiiiii vyakijinga 😁😁😁., Had I had this lesson before, I swear my brother Nanauka I would have reached to the top!!!! Thank you so much brother!!! Uve inspired me
@samymdundu
@samymdundu 5 жыл бұрын
Shukran kwa somo kaka me binafsi izo zote zilikuwa zinanisumbua sana. Ila nikazigundua . ila kwa sasa nazidi kupambana nazo na naendelea vyema (fear of rejection daaah ni shida sana bt napambana ,) #see you at the top
@asumtamapunda
@asumtamapunda 9 күн бұрын
Nashkuru sana unanipa nguvu sana ya kuendelea kupambn mungu akuweke
@winniemassawe5372
@winniemassawe5372 2 жыл бұрын
Asante San mwalimu kwa SoMo la hofu Mimi hofu zote ninazo naomba unisaidie niweze kujiamini na kuanza upya
@mwanaidisaidi9433
@mwanaidisaidi9433 Жыл бұрын
Huwa nakuckza sana Mungu akubariki kaka mm niko hofu so siri Dah
@sorophiasixbert6620
@sorophiasixbert6620 5 жыл бұрын
Daah somo kmenigusa sanaa. Karbia hofu zote znanhusu.
@rollahngimbwa6978
@rollahngimbwa6978 3 ай бұрын
Shukrani Sasa mwalimu🙏🏽 hakik somo nimelielewa vzr. Balikiwa Sana🙏🏽
@christinarafael3261
@christinarafael3261 2 жыл бұрын
Nakuku barisana mkuu kupitia mafundisho yako naanza upya tena
@adsonfungo8186
@adsonfungo8186 5 жыл бұрын
Fear of uncertainity imekuwa ikinitesa kwa muda mrefu sana, lakini kupitia hili somo Nimepata nguvu zaidi. Nimejifunza kwamba Faith is an answer of this problem. Asante Joel, see you at the top.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Adson Fungo kabisaaa Adson
@RamadhanMtaki-sw1gx
@RamadhanMtaki-sw1gx 5 ай бұрын
Bro kuhanzia Leo hii nitahanza kuzungatia na bahada ya miaka mitatu nitakuja kukuona Kwa macho na nitazidi kujifunza mungu hakupe umri mrefu uzidi kufungua vichwa VA watu nakukubali Sana bro
@user-zc6ct6gj1c
@user-zc6ct6gj1c 3 ай бұрын
Ninamaneno mengi sana ya kusema,itoshe tu kusema ubarikiwe bro
@LimbuMabula1
@LimbuMabula1 4 жыл бұрын
nimekuelewa kaka Nanauka baut mm kinachonisumbua ni hofu ya kuanza upya vip nifanyaje!!!!!!
@happinessgodfrey2087
@happinessgodfrey2087 5 жыл бұрын
Asante sana Kaka Joel Nanauka. Mimi nina hofu ya yajayo paoja na hofu ya kutoeleweka. Hii imetokana na kuanguka mara kadhaa, nimekosa uaminifu na watu wa karibu, nashindwa kujiamini
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Happiness Godfrey pole sana,uaminifu unachukua Muda kurejeshwa,usikate tamaa anza kufanya vitu kila siku ambavyo vitaanza kurudisha uaminifu wako
@abudofaquefaque6665
@abudofaquefaque6665 Жыл бұрын
Asa te sana nilikuwa na ofu ya Kuanza upia!
@mwanaharusialifakifaki8716
@mwanaharusialifakifaki8716 4 жыл бұрын
Naomba na njia za kuondosha hofu docta joel
@ambrosemwarabu348
@ambrosemwarabu348 3 жыл бұрын
Asante sana kwa somo yaani wewe ni zaidi ya maisha nilikuwa na hofu ya kuanza upya sasa umenipa mwongozo Asante sana nakukubali naomba nikupe jina uitwe MWONGOZO MKUU WA MAISHA
@janekasson3976
@janekasson3976 5 жыл бұрын
Ahsante sana kaka Nanauka...kwani hofu ya kuanza upya ni hofu iliyonisesa sana lkn sasa naamini nitaishida.
@msengisimoni2087
@msengisimoni2087 5 жыл бұрын
ahsante kwa kurudi,kinachotutesa wengi hofu mambo yajayo.Ukiona hatari mbele uko tayari kuacha tayari hofu imetawala
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Msengi Simoni nashukuru kwa kuendelea kufuatilia.Ishinde leo hiyo hofu
@zawadimollel5273
@zawadimollel5273 2 жыл бұрын
Hiyo inanisumbua sana kias hata sijui jinsi ya kujitoa kwenye hofu kabisa
@joramuzacharia4641
@joramuzacharia4641 3 жыл бұрын
Napenda kukataliwa Kwa kuwa napenda kuanza upya maana kuna fursa nyingi kuanza upya
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 3 жыл бұрын
Nmeelewa. Sasa imebaki kufanyia kazi. Aksante
@janethzefa2808
@janethzefa2808 5 жыл бұрын
asante sana hofu zote hizo ni changamoto kwangu but thank nimejifunza kuishinda hofu
@salimukimweri7845
@salimukimweri7845 5 жыл бұрын
kaka unatupa faith ya moyo kuyashinda maisha haya mungu akutie nguvu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Salimu Kimweri Ameen Salimu nashukuru snaaa
@salimukimweri7845
@salimukimweri7845 5 жыл бұрын
kaka ofisi zako ziko wapi kutafuta ushauri zaidi
@lightnovel.06
@lightnovel.06 4 жыл бұрын
Asante rafiki kila nikikusikiliza najiona mshindi na hatua zang naziona
@rehemamwasomola4362
@rehemamwasomola4362 5 жыл бұрын
LESSON LEARNED AND UNDERSTOOD
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Rehema Mwasomola Thanks Much
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Welcome back brother. We really missed you up here. Good content!
@bonifacebeatrice8077
@bonifacebeatrice8077 5 жыл бұрын
Success Path Mungu akubariki kwa darasa zuri,linanipa nguvu na ushuja mno
@Danileor
@Danileor 11 ай бұрын
Ooh, I real appreciate you bro
@joramuzacharia4641
@joramuzacharia4641 3 жыл бұрын
Nahitaji kubadilisha mahusiano nianze upya
@cresensiandimbo4195
@cresensiandimbo4195 5 жыл бұрын
Nimependa sana somo la leo,na umenizindua sana nashukuru nitajitaidi kukabiliana na hizo hofu.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Cresensia Ndimbo Karibu sana naamini utashinda
@priscillahlemma7760
@priscillahlemma7760 5 жыл бұрын
Asanteh nitajitaid kushinda hizo hofu maana zote zinanipa changamato kweny maisha yangu
@mariamabdallah806
@mariamabdallah806 5 жыл бұрын
Duuh kwangu naona sauti imegoma kutoka😁😁 nasoma tu comments.
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 15 күн бұрын
Barikiwa sana coach and 🙏🙏🙏
@mericktamba7981
@mericktamba7981 2 жыл бұрын
Niceeeeee...brzaaaaaa.....🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💫💫💫💫💫💥💥💥💥💯💯
@issahamadi4734
@issahamadi4734 3 жыл бұрын
Nimejifunza vingi bro. Sema Leo naanza upya .
@MwaduduFatma
@MwaduduFatma 8 ай бұрын
Thanks so much bro nmekupata loud and clear na ntalifanyia kazi manaake m n victim iz vitu
@hamisilaini9688
@hamisilaini9688 3 жыл бұрын
Asante sana Joel Nannauka kwa masomo mazuri shida yangu ni kupata vitabu vyako mbalimbali niko mtwara.kuhusu somo lako hoph ya kufanya maamuzi ya kubadilika na kuishi kwa mazoeamazoea
@kimwanakitaka3607
@kimwanakitaka3607 Жыл бұрын
Hofu yakukataliwa imekuwa ikinitesa sana
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 2 жыл бұрын
Nina hofuu ya kukataliwaa nimekataa tamaa kabisa
@stephensanga8886
@stephensanga8886 2 жыл бұрын
Mi hofu ya kutokueleweka inanisumbua saana kak yanguuu
@mwanaharusialifakifaki8716
@mwanaharusialifakifaki8716 4 жыл бұрын
Ahsante docta nlikua nadhani nna stress tu kumbe nna na hofu pia
@ningaothman3177
@ningaothman3177 3 жыл бұрын
Thank you so much umenipa nguvu. Nilikua na hofu ya kuanza biashara ila kuanzia sasa naanza moja kwa moja my dear 😊
@adow9musictz931
@adow9musictz931 2 жыл бұрын
Kaka Hapa Nimekuelewa sana
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 5 жыл бұрын
Kuto kujua yajao mpaka leo, mm nimachinga nazunguka mitani ila ukweli nikwamba kama kunaswali lazima ni jiulize asubuhi, ni Je Leo nitapata pesa. Au Je Leo Hali haitakuwa ngumu sana. Hivyo hunipelekea wakati mwingine kuogopa na kusema ngoja niende kesho, Lakin ukweli nilio gundua nikwamba ninapo shinda hofu hiyo na kuamua kwenda %99 sijawai kujuta kwa nn niliamua kwenda ninge penda kuwambia vijana wenzangu tunaweza tujalibu. Tujifunze hata tukishidwa tu jihoji kwa nn tumefeli na tujalibu Tena bila hofu hatuta juta
@salomekombo6166
@salomekombo6166 5 жыл бұрын
Tnx bro umenipa nguvu ya kuishinda off ya kukataliwa ktk changamoto mbli mbali tangu sasa nmeishinda iyo off big up sanaa broo barikiwa
@machanohaji9841
@machanohaji9841 Ай бұрын
Allah akubariki kakaangu
@brunophilbert1034
@brunophilbert1034 2 жыл бұрын
Asante sana kaka, sitaogopa kamwe kuanza upya. Merci beaucop.
@muhsinsalum2305
@muhsinsalum2305 5 жыл бұрын
Shukran kaka nahisi umenigusa moyoni kabisaa
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Muhsin Salum nashukuru sana tuko pamoja
@israelndaki3435
@israelndaki3435 3 жыл бұрын
Nakuelewaga sana bro, umenitoa mbali sana kifikra.Hakika wewe ni moja ya watu ambao najifunza mengi toka kwao
@nandafaraja706
@nandafaraja706 5 жыл бұрын
you're best speaker in the world
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
NANDA TAIWAP thanks so much for your positivity,I will keep on improving 🙏🏼🙏🏼
@kanisalapentecostmtiwauzim5724
@kanisalapentecostmtiwauzim5724 3 жыл бұрын
Mimi hofu zangu ni mbili....hofu ya kukataliwa na hofu ya kuanza upya.Mungu anasahidia kuzishinda.ahsante pia kwa ufahamu huu.
@auleambena3182
@auleambena3182 Жыл бұрын
Mm hofuyangu ni juu ya yajayo
@qurankareem582
@qurankareem582 5 жыл бұрын
yani kaka wewe ni msaada sana kwa watanzania tunakuombea tu kwa mungu akubakishe na ufanikiwe sana endelea kutufunza wadogo zako bwana tunakuelewa sana
@mohamedmonster6740
@mohamedmonster6740 5 жыл бұрын
Thank u brother u have brightenes my day
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 3 жыл бұрын
katika kitu ambacho mungu ameninyima hofu na ndio maana huwa siku zote mungu ananiwezesha kushinda....wakati nataka kuanzisha biashara kufungua duka wazazi waliniambia hii sehemu utamuulizia nani...??!!...nikawambia wacha nifanye mpaka sasa ivi ninalo takriban mwaka wa tatu na mipango yangu kufika mbali na kufungua ata maduka mia mungu akinibariki na jitihada yangu na nimekuwa chachu ya maendeleo mana vijana nawapa ajira.
@samwelnaal7952
@samwelnaal7952 4 жыл бұрын
Nahitaji kubadilisha tabia zangu fulani ambazo zinanikera mm mwnyewe
@michaelkwandu2578
@michaelkwandu2578 5 жыл бұрын
Thanks my brother your very blessed
@nicholasaudrey3282
@nicholasaudrey3282 8 ай бұрын
Hofu ya kutokueleweka pamoja na hofu ya kukataliwa
@ckosmah21
@ckosmah21 5 жыл бұрын
Asante sana alafu tunatatizo kubwa sana la negative mentality especially we tanzanian so kama kuna uwezekano tunaomba somo la how to change perception pls
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Ckos mah Sawa nashukuru nitashughulikia hili
@ckosmah21
@ckosmah21 5 жыл бұрын
@@joelnanauka asante
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Ahsante sana my brother hiyo hofu nishida
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Apo kuna hofu moja napiga nayo kuiepuka
@lilianbenson5774
@lilianbenson5774 4 жыл бұрын
Thanks very much Mr .Joel Nanauka for an inspiring lessons . It's a month now since I started following you on you- tube . Your lessons really encourage and inspired me and others. And for this scenario I learn a lot ... point taken " FEAR OF CHANGE. " I'll work on it change to progress. Thanks and Big up!
@mathiasernest3855
@mathiasernest3855 5 жыл бұрын
somo limenigusa moja kwa moja.... kuna maamuzi mefanya ndani ya muda huu kwa hofu kubwa ila ss naanza kujiona jasiri na niko sahihi
@jacksonntandu4771
@jacksonntandu4771 4 жыл бұрын
Bro we ni mwalimu wakuigwa asee Asante kwa somo zuri
@FredrickClaudInsurer
@FredrickClaudInsurer 5 жыл бұрын
Let's meet at the top,,,,,apo kwenye Rejection ndo janga kubwa sanaa lkn tutalishinda,, whatever it takes
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Fredrick Claud kabisa lazima tulishinde
@vicentpeter9264
@vicentpeter9264 2 жыл бұрын
Nakukubali sana unanifunza mengi kaka
@giftibrahimuamulike5963
@giftibrahimuamulike5963 5 жыл бұрын
Asante sana hofu ya mabadiliko ni changamoto kwangu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Gift Ibrahim hongera kwa kuigundua anza kuishughulikia sasa
@giftibrahimuamulike5963
@giftibrahimuamulike5963 5 жыл бұрын
Nifanyaje sasa bro
@vitalramadhani8577
@vitalramadhani8577 5 жыл бұрын
Hio ni bora reo kuliko jana , nimekubali
@fatmamwiru7574
@fatmamwiru7574 3 жыл бұрын
Hofu yakuanza upya inanisumbua sanaa 😪😪😪😪
@sabatomjungu9727
@sabatomjungu9727 5 жыл бұрын
Ahsante kwa urejeo wako barikiwa bro
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Sabato Mjungu Ameen Sabato nashukuru sanaa
@muragaraphilippe9087
@muragaraphilippe9087 5 жыл бұрын
Safi saana unavyoelezea,kuhofia maishani ni adui wa maendeleo.
@allynaitikasimbaushindidal1546
@allynaitikasimbaushindidal1546 4 жыл бұрын
Daah Nakuelewa Sana Braza Umenifunza Kitu
@projestusbenezeth2347
@projestusbenezeth2347 4 жыл бұрын
Kiukweli nimekuelewa sana, Asante sana, ubarikiwe sana!
@ellicefferabsalom3068
@ellicefferabsalom3068 5 жыл бұрын
Glory be to the Lord because of you my brother, fear of uncertainty, and fear of to be misunderstood is the problem to my side
@daniellepari4525
@daniellepari4525 4 жыл бұрын
Ahsante sana brother kwa elimu yako mungu akupe maisha marefu enye uzima ndaniake ubarikiwe sana 🤞
@lovekapinga6072
@lovekapinga6072 Жыл бұрын
Iliyo changamoto kwangu Sana ni hofu ya kukataliwa kaka
@rehemamwasomola4362
@rehemamwasomola4362 4 жыл бұрын
THANKS SO MUCH SIR JOEL NANAUKA.NAJIFUNZA MENGI SANA KUTOKANA NA MAFUNZO YAKO FOR SURE I THANK GOD.BE BLESSED AND STAY ANNOINTED
@amazonsecurity5359
@amazonsecurity5359 2 жыл бұрын
ASANTE KWA SOMO LAKO ZURI, MUNGU AZID KUKUINUA ZAIDI
@abdulkadirmwalim24
@abdulkadirmwalim24 4 жыл бұрын
Thanx bro joel kwa kweli sehem hio ya mwisho imenigusa sana na sio mm tu ila wengi sana hua wanaogopa kuanza upya. Bg up brother
@alfredsebastian9131
@alfredsebastian9131 5 жыл бұрын
Hey brodah Joel ..yaan kila unapotoa hizi video clip .....unatoa muda mwafaka kabsaa ....uncertainty factor ....much respect
@kitegwelucas1562
@kitegwelucas1562 5 жыл бұрын
Ahsante sana kiongozi nakuelewa sana #God bless you!👏👏👏
@makairokuyatei3364
@makairokuyatei3364 3 жыл бұрын
Hofu yangu kubwa ninapotaka kazi naamini Kama sitopata pia ninapotaka kuanzisha biashara naamini kuwa nitaferi kwa mda mfupi.
@kwamamasami1357
@kwamamasami1357 5 жыл бұрын
Unazidi kunipa ujasiri kabisa ,mungu azidi kuku bariki na azidi kuku weka
@cymone6159
@cymone6159 5 жыл бұрын
Hofu zote karibu zinasumbua watu wengi ila chamsingi umetuelewesha kumbe kuna hofu kwa maeneo kadha shukran kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Simon Kidamui Ahsante Simon tuendlee kujifunza pamoja
@user-df1hi5kt1f
@user-df1hi5kt1f 8 ай бұрын
Hofu ya kuanza ninacho waza kuanza
@athomaschalz8749
@athomaschalz8749 5 жыл бұрын
Hofo ya kukataliwa nimeielewa iyo bro thanks
@issamohdfaki6465
@issamohdfaki6465 4 жыл бұрын
Asante kaka tupe ujuzi zaid
@sheillachisika2600
@sheillachisika2600 5 жыл бұрын
Barikiwa sana bro nimekumiss Sana Sana kaka karibu Sana some nzuri nashukuru.
@eunace3019
@eunace3019 2 жыл бұрын
Hofu ya kuanza upya hapooo daaaa
@enockisraelnashon5382
@enockisraelnashon5382 5 жыл бұрын
Thanks..mentor
@estergregorylugalama5731
@estergregorylugalama5731 5 жыл бұрын
ofu ya kuanza upya ndio imegsa sana maisha yangu na ya kuogopa kukataliwa iyo pia barikiwa sana naanza kua jasili
@nassorsaidi1291
@nassorsaidi1291 Жыл бұрын
Asante Sana broo naelimika sasa
@mosessarafina5759
@mosessarafina5759 3 жыл бұрын
Hofu ya kukataliwa ndo ilikuwa inanisumbiwa lakini nimefurahi sana kwasomo zuri limenijenga
@beatricemapembe8941
@beatricemapembe8941 5 жыл бұрын
Aha aha ahaaaa! Nina zaidi ya miaka kumi kanisani nakaa sehemu ile ile. Nikibadilisha naona kama sioni na kusikia vizuri madhebahuni.
@hadijaathumani6318
@hadijaathumani6318 3 жыл бұрын
Mr nanauka Leo umesema na mimi fear to start ever again. Ndio tatizo langu
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 5 жыл бұрын
Tulikumiss sana
@ongeshabani8324
@ongeshabani8324 5 жыл бұрын
Asante sana kaka
@mwanaidabdu6839
@mwanaidabdu6839 4 жыл бұрын
Mimi kaka Joeli uwa nahofu ya kukataliwa
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 жыл бұрын
Asante Sana bro Joel
@denisstarimo3616
@denisstarimo3616 4 жыл бұрын
Hofu yangu me nikuanzisha mahusiano mapy
@hemedisalimu6434
@hemedisalimu6434 2 жыл бұрын
Broo nashukuru sana umeifungua akili yangu upe wa hofu nimejifunza Leo
Maeneo Sita (6) Ya Kuzingatia Katika Kujenga Nidhamu - Joel Nanauka
12:01
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 12 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
Njia Tano (5) Za Kurudisha Thamani - Joel Nanauka
10:21
Joel Nanauka
Рет қаралды 101 М.
Nini Ufanye Unapokosa Support? - Joel Nanauka
9:42
Joel Nanauka
Рет қаралды 120 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya Kukusaidia Kuishinda Hofu
12:14
Chris Mauki
Рет қаралды 30 М.
Mafanikio Yako Yanatokana Na Ujasiri Wako  - Joel  Arthur Nanauka
7:19
TABIA 11 ZINAZOZUIA MAFANIKIO   - SEHEMU YA  KWNZA (1)
12:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 81 М.
Vitu Vinavyopoteza Focus Yako Kwenye Maisha - Joel Nanauka
14:16
Hamasika Tv
Рет қаралды 47 М.
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН