Darsa zuri hakika lina mazingatio...Jazakhallahu khairan(ummu Ahmad kutoka Northampton)
@khadijak30655 жыл бұрын
Jazaakaallah shekhe maada umeichambua vizuri nimeilewaa asantee shekhe Mimi niliiomba mume wangu alikuwa anatoka na mtu mwengine nikamshauri muowe basi nijuwe akanitukana mbele ya mama yangu mzazi ndio nikaiyomba taraka nikiwa na mimba ya miezi tiza amekataa akajibu najuwa kuowa hajui kuacha nikaondoka na mimba ya miezi Tisa shekhe nikarudi nyumbani nikajifunguwa mtoto mama akamwambia mkeo kajifunguwa akaja hakusema chochote baada ya kuosha arobaini kesho yake akaja kudai mke nikawa na msimamo nipe taraka amekataa nayo na Mimi nipo nyumbani kwetu basi Mimi nimilea mtoto mpaka kafikisha miaka mitatu nikampingia tena jibu lake ndio hilo hilo nikampandia gari nimemuacha mwanagu nyumbani nikamwambia Leo kitajulikana unipe taraka yangu basi akanipa siku akafikiria siku ya ahadi. Amenicha taraka mbili mpaka sasa mtoto hajui ndio maana napenda kufuatilia mawaidha yako yanafundisha nimeelewaa asantee shekhe
@maruthi81725 жыл бұрын
Khadija K unaombaje talaka unadhan mattz hutayakuta sehem nyngn
@ngwelesalu83484 жыл бұрын
Duh!
@iddykivu0509 ай бұрын
Sheikh Vipi kuhusu Umempa Talaka Mkeo Kwa Mara 3 Ila Sio kwa Pamoja Megombana Mara ya kwanza mkarudiana Mala ya pili Mkarudiana na Mara ya tatu hiii Mmegona na kwa kigombanishwa na Mtu ambae kakusudia Mgombane Ili yeye HawevHappy Vipi Hapo Ina dwihi Kimrejea Mkeo
@iddydaruwesh86505 жыл бұрын
Masha Allah kheir sheikh wangu Allah akupe badala. Nakutakia afya njema na umri mrefu na upate mwisho mwema
@kassimmanaramalika85925 жыл бұрын
Allahumma amiin
@khadijamuhammad66773 жыл бұрын
Assalam aleikum je mfano mume na mke wamekosana alafu mume aseme ukienda kupika nitajua nimke wangu usipoenda nitajua simke wangu jee talaka imepita mke hakwenda kupika kwa ajili mume amemchapa
@abullahkabaka87745 жыл бұрын
MASHALLAH ALEIK
@mahmuodmusa58836 жыл бұрын
Jazakallahu kheir Ustadh
@sauhatmoses54143 жыл бұрын
Sikuelewa kabsa sheee
@mohammedsalum90793 жыл бұрын
Shahe mm naishi
@AshuraRamadhani-t7f Жыл бұрын
Je akiacha taraka moja yafaa kumrudia kwa wakat gani
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
kabla hajamaliza Edah
@rahmahassan83415 жыл бұрын
Ma shaa Allah shekh...may Allah guide ad protect you shekh....today i rily need to ask you question can you get marrd without you mum ad dad permission if you are marrd ad gotten talaka....i have found someone i love we undstnd each other so much....i know when we remain single bcox of my dad ad mum then we will commit alot of sin....my mum say he belong to another culture which is not pure in islm ad i know its bcoz the boy is not rich
@mbayaolekimojinomaulid20103 жыл бұрын
Assalam Aleiqum na ikiwa mke wangu tuna zaidi ya mwaka sijalala nae kwasababu ya kukosana. Kisha nimpe twalaka, hesabu yake vipi na sijui hesabu ya hedhi yake
@IzudinAlwyDin3 жыл бұрын
Kama anapata hedhi atakaa twahara tatu kama hapati tena damu atakaa miezi mitatu
@تيتيتؤزؤزين4 жыл бұрын
Assalamu Allaikum,je kama pengn mulikosana na mumeo halafu kazaa na mke mwengn na mm niko mbali wakati hatuna mausiano naweza hachika bila talaka?
@dailylaughingworld00798 жыл бұрын
vizuri sheikh
@khadijaahmed76004 жыл бұрын
Jee akikuandikia nimekupa talaka hua ningapi na hujui kosa?
Sheikh na je hawa watu ambao hawapati damu kwa sababu ya ugonjwa au family planning eda yao itakua vipi
@mishisaidi86966 жыл бұрын
sheikh lakini kunawanawake wengine hupata heidh mwezi adi mwezi
@sayyidathmanabdulrahmanhh14674 жыл бұрын
A a vp kuhusu wasopata kabsa hedhi kwa ajili ya maumbile ya الله
@adamnguvu10206 жыл бұрын
NAPENDA sana kufuatilia darsa zko Ila kwa taraka umechemka
@zainabuhmbabazi49286 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
@alihussein51595 жыл бұрын
Ni binadam pia ako na upungufu wake
@mohammedrashid77355 жыл бұрын
Ww ulitaka aelezee vp?
@jahifamau68737 жыл бұрын
Wallahi darsa zuri na pia lafurahisha.
@seifkhatib2276 жыл бұрын
Muhammed idimaisha ya ndoa
@msafiridadisalim73416 жыл бұрын
Kwa mtu asie jua na haja kusudia alikua na hasira na katoa bila kukusudia inakuaje
@zenastadi27722 жыл бұрын
Mume akimwambia nimeamua tuachane je talaka hapo imepita
@IzudinAlwyDin2 жыл бұрын
mpaka akuwache
@mamlatmudrik54696 жыл бұрын
Asalam alaykum shekh jetalaka inaulazima wa shahidi
@saidhassan77792 жыл бұрын
🙆🙆🙆🙆
@nabiltwahir91096 жыл бұрын
Asalam alekum shekh . jee kuna talaka bila mashahidi .
@nasirnassourmasoud53374 жыл бұрын
Talaka haihitaji shahid
@lindaanyango34185 жыл бұрын
Sheikh,je mwanamke akipewa talaka kwa ajili yakutokwenda kwa Kina mume,Ni hatia?
@aishaibrahim51384 жыл бұрын
Talaka ni talaka haina mjadala.
@khatibshkh55304 жыл бұрын
Je km mke umepewa talaka ya 2 mkitaka kurudiana ni vipi
@shamomar6293 жыл бұрын
Kama haijafika miezi mitatu na siku kumi tangu kukuacha basi aweza kukurudia, kama kipindi hicho kimepita anaweza kukuoa upya
@jumamwacharodzikowa5236 жыл бұрын
Sheikh,heidh ya mwanamke ni kila mwezi au kila wiki mbili,mana umenichanganya kusikia heidh ya mwezi mara tatu
@againstallodds85486 жыл бұрын
juma mwacharo dzikowa inategemea na vile mwanamke anapata heidh zake kuna wengine after 1month wengine after 2wks na wengine baada ya masiku kadhaa ndio ivyo sasa ule mda atakua ashajitwahirisha ni twahara ya kwanza sasa ivyo zikifika twahara tatu ndio khalas ashamaliza Eda
@arafatmwamtind34107 жыл бұрын
assalam alykm nina swali sheikh je kama mtu ameandika talaka kwenye kila karatasi ameandika nimekuatha talaka tatu imepita vp
@mrsmisifa79085 жыл бұрын
hata ukamuandikia kumi yahisabika ni moja tu
@nasirnassourmasoud53374 жыл бұрын
Talaka 3 zitahisabika na ameachika
@nasirnassourmasoud53374 жыл бұрын
@@mrsmisifa7908 sio kweli itahisabika ni 3
@jahifamau68737 жыл бұрын
Je kumueka.mke eda ni lazima.na kama ni lazima je mwanamume asomueka mwanamke eda hukmu yake ni nini?
@halimaabdullahi12017 жыл бұрын
nini maana ya eda? kiswahili is so hard
@sarahbadawi79083 жыл бұрын
Talaka ikiandikwa kwa karatasi ina vunjika kama mwanaume ame kupa karatasi
@innocentjay58445 жыл бұрын
Waislamu wamefeli upande wa ndoa.kitu kidogo NIPE TALAKA YANGU
@fatmasaid91152 жыл бұрын
A.alaykum Swali langu ni hili nimeachwa talaka 2 mpaka eda imemaliza hakunirejea.baada y muda kupita akanioa tena. Je akiniacha tena hio talaka inahisabika y kwanza ama y 3?
@kautharramadhan-ej2iy Жыл бұрын
@@fatmasaid9115 ya tatu shoga angu
@zenastadi27722 жыл бұрын
A.a mume akisema umeamua tuachane je talaka imepita hapo, lkn hakutamka nmekuacha.akasema lkn hakua na Nia kuniacha
@glorsglors21976 жыл бұрын
Me nilipewa talaka 2 na mume wangu kaoa so.... na fanyeje....
@againstallodds85486 жыл бұрын
Glors Glors minaona mda ulioachwa mpaka sasa zimepita twahara tatu coz hapa nimeelewa twahara tatu basi ushamaliza Eda
@aishaibrahim51384 жыл бұрын
Kama ushamaliza eda na hajakurudia basi sio mke wake tena.
@adamnguvu10206 жыл бұрын
Nausifananishe M pesa Na mambo ya dini
@zulekhahassan10256 жыл бұрын
ADAM NGUVU hio mpesa it’s just an example elewa bro
@aminaabdallah31367 жыл бұрын
Gghh
@adamnguvu10206 жыл бұрын
Sheikh kwa upande wa taraka tatu umechemka taraka tatu hata iweje ni taraka ambazo hutolewa kwa twahara tatu sio ukisema tu mara tatu eti taraka tatu hpo umechemka
@alihussein51595 жыл бұрын
Fungua channel yako na ww kisha toa elimu ya dini acha kuongea upumba
@thumaamsupa6955 жыл бұрын
Babu we ulikuwa wapi kwani c utoe ww hyo mawaidha ya talaka basi
@taqiyyuddincadis62814 жыл бұрын
Ewe Adam replay the video. Fungua akili na masikio yako vizuri. Una ilimu ipi katika dini ili na sisi tusome kwako