Chadema tunamtaka lissu lissu lissu awe mwenyekiti wa chama .
@YohanaSanga-t8d3 күн бұрын
Upumzike sasa
@paulinebogohe-pi8gn2 күн бұрын
Kweli wana Chadema wengi tunataka tuone democrasia inayo ishi pia ndani ya chama, hatuwez imba democrasia miaka nenda ludi halafu sisi tunakaa madarakani miska 20
@DaimaNyakunga-jb6do2 күн бұрын
Unataka ukae kwenye kiti Hadi lini
@songamberetv22193 күн бұрын
Chama kimesha pasuka vipande 1000 imekwisha hiyo 😂😂😂
@user-xk3xg8yr7c3 күн бұрын
UKIGOMBEA TENA CHADEMA INAENDA KUFA KAMA NNCCR MAGEUZI, CUF, TLP NA UNABII WA NYERERE KUTIMIA KUWA UPINZANI WA KWELI UTATOKA CCM
@michaelpetershoo18859 сағат бұрын
Wachukue fomu kura zitaamua.
@wemapaschal23253 күн бұрын
Mbowe usitukane watu eti ni ushamba mwenyekiti miaka 20 muda unatosha wape nafasi watu wengine hiyo ndio demokrasia na kukua kwa chama chenu
@crecknerz56612 күн бұрын
TUNAMTAKA LISSU
@SuleimanHamisi-rp4nh3 күн бұрын
We jichanganye ugombee tena alafu upite haki ya Mungu nakuapia uchazi mwaka 2025 chadema hamtopata kura hata 100 hazifiki. Ww umeshamaliza muda wako wape wengine usinganganie madalak ww changamoto nyingine inahitajika na huu ndio muda muhafaka.
@bahatielias64433 күн бұрын
Kabisa Yaani,
@bensonmramba69602 күн бұрын
Hadhira haimuungi mkono
@rebekakulwa6159Күн бұрын
Chiz. Mama yako lisu siyo chizi
@BarakaOchuu3 күн бұрын
Pumzika mzee ,unajidhalilisha tu hauna jipya Tena tamaa ya madaraka itakusaidia Nini,umeshachoka na inatosha
@songamberetv22193 күн бұрын
Eti chama cha maendeleo na democratia? Harafu mwenye kiti anaka mwaka 20 na 😂😂😂 hatari sana
@tibbsminja25753 күн бұрын
Kukijenga chama anaweza Sasa kupumzika
@MathewNathan-yb2bz2 күн бұрын
Ww mjinga kweli kwani Nyerere alikaa miaka mingapi?kwani lipumba amekaa miaka mingapi?vyama vyote barani Afrika na duniani kote wenyeviti wake hukaa muda mrefu.
@songamberetv22192 күн бұрын
@MathewNathan-yb2bz sasa unataka kifananisha hili takataka na nyerere
@MathewNathan-yb2bz2 күн бұрын
@@songamberetv2219 ww kweli mjinga kwa kuamini kuwa Nyerere ni mungu mtu.Huyu Tundunlissu amini usiamini anaweza kuwa bora kushinda Nyerere.
@NgendandumweAlouise3 күн бұрын
Usigombee tena wewe nani bro
@MohdSalum-y5i3 күн бұрын
Mkimpa lisu mmeumia chiziyule
@MathewNathan-yb2bz2 күн бұрын
Sio chizi nae ana haki ya kugombea na yuko vizuri sana.
@AgustaZaile2 күн бұрын
Pumzika tapeli wewe
@tibbsminja25753 күн бұрын
Mwenyekiti Mbowe muda wa kuiweka kweli na heshima ndani ya CDM ndio hii ya kubadilishana uongozi. Hao wako nyuma yako ukiitisha maandamanonwqo hawatokei matokeo yake umekuwa wa kuumizwa kila kukicha. Pumzika mkabidhi Lissu kijiti achangamshe zaidi. Njoo ugombee Nafasi ya juu ya nchi hii tutakupatia chapuo..