PUTIN akutana na Rais wa IRAN, PEZESHKIAN, wazilaani Israel na US kwa mashambulio ya Lebanon

  Рет қаралды 16,830

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 178
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Күн бұрын
Huwa siachi kuwa wakwanza kwenye comment kwa ajili ya kusimama kwa upande wa wana brics niachie sign yako mwana brics maendeleo tunayaona siyo kinyonge ✊✊
@saidyabdalla7410
@saidyabdalla7410 Күн бұрын
Safi San Masha Allah ❤❤❤
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 Күн бұрын
Masha-allah ❤ IRAN 🇮🇷
@fathers19991
@fathers19991 Күн бұрын
Subiri kifo chake
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 Күн бұрын
@@fathers19991 wewe mwenyewe ipo siku utakufa hakuna kinachodumu hapa duniani na nyumba ni mbili tu motoni milele ama peponi milele
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm Күн бұрын
Wewe hujui kifo ni Cha Kila chenye uhai ktk dunia hii?Tena huyo manyahu wenu aweza kuishi muda mrefu lakini akafa kifo kibaya sana,Tena kifo Cha fedheha.
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Күн бұрын
Babu kubwa sana we love them
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Күн бұрын
Safi sana wanaume
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Күн бұрын
Putin baba lao ❤❤❤🔥 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@cdeegwau551
@cdeegwau551 Күн бұрын
BRICs 🤝
@bindatalent6972
@bindatalent6972 Күн бұрын
Maana yake nini kaka
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 Күн бұрын
​@@bindatalent6972brazil,, Rassia,,, Iran,,, China,, South Africa
@cdeegwau551
@cdeegwau551 Күн бұрын
@@bindatalent6972 BRICS ni muunganiko wa hizi Nchi, Brazil, Russia, India, China, South Africa, (Iran, Egypt, Ethiopia, and the United Arab Emirates hizi wameomba ku-join) lengo la Muungano huu ni kupambana na Nchi za Magharibi, Kijeshi, kiuchumi, n.k hii nimekupa kwa ufupi..!
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Күн бұрын
BRICS
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Күн бұрын
Brasil Russia India China na South Africa ​@@bindatalent6972
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Күн бұрын
Safi. Sana.
@AfuaHussein
@AfuaHussein Күн бұрын
Ma Sha Allah... Takbeer... Allahu Akbaar
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Күн бұрын
Safi sana 🦸🦸
@talibali-t5t
@talibali-t5t Күн бұрын
Amazing 😅
@hanifa9153
@hanifa9153 Күн бұрын
Hawa ndo maraisi wenye Utu my swt reward them love you ❤❤❤🇷🇺 🇮🇷
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 14 сағат бұрын
Muungane ht mataifa mia , u won't defeat Israel, unless Yesu kasharudi
@emmanuelminja3128
@emmanuelminja3128 12 сағат бұрын
Wamekutana nchi gan
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 Күн бұрын
Mashoga na mashetani wanaichukia Iran na Urusi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 14 сағат бұрын
Mashoga walianzia Irani Kwa wavaa hijabu na kanzu Btw Kuna nchi Haina mashoga? Ht nchi yako tu balaa tena Zanzibar hiko ndo wamejaa Kwahiyo acha kuongea ujinga
@Barakaclassic
@Barakaclassic 4 сағат бұрын
Huyo jamaa mtoa comment mwenyewe ni shoga na uko Zanzibar ndio makao Yao makuu😂😂😂​@@christinewomanoffaith5479
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 Күн бұрын
God bless russia 🇷🇺, live long putin ❤
@AlexGwiha
@AlexGwiha 22 сағат бұрын
Urus anahis islael ni kama ukren. Naona kimbele mbele cha putin kitamugalim maisha yake huyu ni islael niko palee siku moja mutanikumbuka hiki nilicho kisema.
@ericdiseteh8111
@ericdiseteh8111 17 сағат бұрын
Israel c anaringia ndege kupiga mwnzie kaingia kwny anga za wny nazo pia hapo ni piga nikupigie
@Naharmusicrecords
@Naharmusicrecords 3 сағат бұрын
Kaka muache huu muungano ulishatabiriwa kwenye Ezekiel 38, anyway Putin hana muda mrefu madarakan
@odenmasebo9777
@odenmasebo9777 Күн бұрын
Hapo Amekosekana KIDUKU na china
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 23 сағат бұрын
Hahahaha eti kiduku
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 Күн бұрын
Breaking news ni IDF imewauwa makamanda wote wa Hezbollah acheni kelele 😂
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Күн бұрын
😂😂😂😂 Manyani Meusi yanayoishi Tanzania hayooooo yamefurahiiiii😂😂😂😂
@HeboniBabu
@HeboniBabu Күн бұрын
Mnajipendekeza Kwa mashoga wenzenu wa israer Sasa Makati unasukwa
@ahmadmahmoud6139
@ahmadmahmoud6139 12 сағат бұрын
❤💪👏👏👏👏
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Күн бұрын
Nifutieni hako ka israel haraka sana
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 Күн бұрын
Ni kadogo ila kana watu wenye akili kweli kweli
@emmadora7848
@emmadora7848 Күн бұрын
😂😂 utasubiri sana ,we kama unaweza kafuta nenda ukakafute
@kilelechaimani.8956
@kilelechaimani.8956 Күн бұрын
Nenda we kakafute
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Күн бұрын
​@@kilelechaimani.8956Nenda na wewe ukafirwe vizuri na Israel
@HemediKassimu-o3h
@HemediKassimu-o3h Күн бұрын
@@dorcaskarago2876hakuna watu wenye akili yoyote huko, hizo zilikua ni media propaganda.
@ahmadateguro4886
@ahmadateguro4886 Күн бұрын
Ohooo babu kubwa Putin na pezeshkian
@HaruniMrema
@HaruniMrema Күн бұрын
Hata hii channel Mrengo wake ni waki putin! Wanaletaga au kujadili mambo kwa mrengo wao hawana taarifa za kina juu Ya mashariki Ya kati wamejaza ushabiki tu.
@El-son-w9d
@El-son-w9d Күн бұрын
Wakristo amkeni maana muungano huwa uko dhahiri kuwa marekani atashikamana na israeli hadharani ,finally vita ya tatu ya dunia hivyo basi muda wa kutengeneza ni sasa pia hata kwa ambao si wakristu
@AlexGwiha
@AlexGwiha 22 сағат бұрын
Nikwl tutaiunga mkon islael na americ mpaka mwisho. Mungu anatuona
@OmarHamza-j5v
@OmarHamza-j5v Күн бұрын
Wache awauwe mashoga WOTE. Wasije kutuharibia kizazi chetu,
@AlexGwiha
@AlexGwiha 22 сағат бұрын
Jidanganyeni tu marekani amumuwezi kwa Hari zote mtajalibu tu mbwa nyie. America kawatangulia kila kitu kuanzia uchumi ,technology na kijeshi. Mtateseka Sana .mm nimekaa pale nawatazama tuu.
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 16 сағат бұрын
Akili zako zimeungana na mishipa ya mavi. Unashabikia wakoloni mabeberu waliotesa babu zetu na kupora rasilimali Zetu na kutufanya watumwa. Urusi hakuna hata nchi moja aloitawala. na alisaidia afrika kupata uhuru kama Afrika kusini alisaidia wakatoka katika minyororo ya utumwa wa wazungu enzi za Mandela
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 14 сағат бұрын
Wajinga kweli wanajifariji
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 13 сағат бұрын
Wew ndio unajidanganya kwani tecnology walio nao warusi ama wachina poa inawatisha ndio maana marecan anatoka jasho maana warussi na wachina kila siku wanalzidi kuketa maajabu zaidi
@HaruniMrema
@HaruniMrema Күн бұрын
Putin na Washirika wake wanachokitafuta kwa Israel Muda sio mrefu Watakipata
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Күн бұрын
Israel mashoga ww shoga choko ww
@JumaYusuph-i1p
@JumaYusuph-i1p Күн бұрын
Kwa akir yako unajua Israel n nchi wakat n ka mkoa flan hiv tyu nchi n Palestina kenge wew shoga
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km Күн бұрын
Hivi ni kwann hawa wairani hawavai tai 😊
@emanueltobias3420
@emanueltobias3420 Күн бұрын
Tai nana si nzur kwa watu weye
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Күн бұрын
Sababu wao wanava kutokana na utamaduni wao hawapendi kuiga kwa kuvaa kama nchi zingine zinawaiga Wazungu chukua mfano Tanzania mpaka wanaiga kuchora Miili yao yaani Tatuu kuiga Wazungu tu
@justinelukumay5308
@justinelukumay5308 Күн бұрын
Hawajiamini kama ni KIONGOZI
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Күн бұрын
Kwani kuna lzm? Respect kila mtu ana maamuzi yake.
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 Күн бұрын
TAI NI MSARABA....CHINI KABISA SO! YANN UVAE USHUBWDD
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Күн бұрын
Huyo rais wa iran sina imani nae mimi ,,juzi tu alikuwa america
@MikelSitoe
@MikelSitoe Күн бұрын
Acha tu huyo ni nnafk
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Күн бұрын
Ziara imefatia baada ya s-400 missile system(air diffence) mbili kuelekea Tehran kutokea Kremlin za bei ghari sana duniani
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Күн бұрын
Kuba ya chuma ya israel imefeli na fataha kutoka taheran.
@l.marley_2542
@l.marley_2542 Күн бұрын
@AFRICA_D669 Ati irone dome kutoka kremlim?? Ww unajua unachokiongea kweli? Iron dome ni mfumo wa kulinda anga ni ya mu Israel inatokaje Kremlin ?
@raymrash
@raymrash Күн бұрын
​@@l.marley_2542 hata hajui Iron Dome ni nn!😂😂😂
@omondiowino7875
@omondiowino7875 Күн бұрын
Wakati mwengine Fanya utafiti badala ya kuropokwa afu unaonyesha ujinga wako hadharani...sasa iron dome gani imetoka Kremlin 😂😂😂
@piryjacob314
@piryjacob314 Күн бұрын
Ametumia lugha hiyo kumaanisha mfumo hatari wa urusu wa anga,hamjaelewa apo(iron Dom ya Kremlin ya bei ghali zaidi duniani)...
@papamukulu1045
@papamukulu1045 Күн бұрын
Hakuna kitu hapo
@BreezyMnyama
@BreezyMnyama 23 сағат бұрын
Hao wanazofisha amani ya Dunia kwaiyo inapaswa wachukuliwe hatuwa
@ericdiseteh8111
@ericdiseteh8111 17 сағат бұрын
Israel je
@allyjuma9260
@allyjuma9260 6 сағат бұрын
Na safaru hii mashoga mtakunya mnashindwa kuliombea taifa lenu mnaombea mataifa ya watu ambao hata hawafahamu kweli mtu mweusi akili zenu zipo nyuma
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Күн бұрын
Putin ni mwamba imara hatikiswi na nyumbu wanaopiga kelele ukisema asiende sehemu fulani anacheka tu then kesho unamuona akiwa kwenye eneo ulilomtishia kwamba akienda utamshambulia mara sijui atakamatwa yeye ni pyeeee! Viva Putin viva Russia 🪆💪👍👏
@AhamedyKibarati
@AhamedyKibarati Күн бұрын
🎉
@Joneslaizer100
@Joneslaizer100 Күн бұрын
Israel tutashinda tu
@salumNamgo1994
@salumNamgo1994 Күн бұрын
Shoga hatoboi mbela ya wanaume
@Joneslaizer100
@Joneslaizer100 Күн бұрын
@@salumNamgo1994 hahahaaa makasiriko bana dahh
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 23 сағат бұрын
Sawa muisrael wa Buza
@Naharmusicrecords
@Naharmusicrecords 3 сағат бұрын
Israel sio shoga😂😂 nenda kawe shoga Israel uone
@Joneslaizer100
@Joneslaizer100 2 сағат бұрын
@@Naharmusicrecords usibishane nao wamefundishwa na dj sma wa sns. Mpe MUNGU mda aseme nao
@RobertBitambaOfficial
@RobertBitambaOfficial Күн бұрын
Putin bring peace in this world
@omondiowino7875
@omondiowino7875 Күн бұрын
Kwa wale ambao huwa wanadhani kuwa Iran huwa amesimama peke yake nadhani mnaelewa sasa ....
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 Күн бұрын
Ongelea Israel kila siku analilia msaada kutoka France, England na Marekani 😂😂😂😂
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 Күн бұрын
Ongelea Israel kila siku analilia msaada kutoka France England na Marekani 😢😢😢😢
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 Күн бұрын
Hakuna taifa linaingia vitani bila waahirika urus yenyewe ilisaidiwa na marekan dhidi ya adolf hetler
@omondiowino7875
@omondiowino7875 Күн бұрын
@@saleemsuleiman2220 Fanya uchunguzi ujue ni wayahudi wangapi wako France, England na Marekani na wanamchango gani Kwa hayo mataifa ndo utajuwa ni kwanini hizo nchi huwa zinapeleka silaha Israel...au unadhani mzungu anaweza kukupa msaada hivihivi Tu...we vipi..? Ile siku utajuwa Kuwa wayahudi ndo wanaoitawala hii dunia ndo utaelewa...
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Күн бұрын
Hata mungu ana wasaidizi malaika
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 14 сағат бұрын
Wazilaani Israel, kwani wao mi kina nani yaani kwamba wakiilani Israel ndo itashituka? 😂😂neno liko wazi,atakaeilaani atalaaniwa atakaeibariki atabarikiwa
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 13 сағат бұрын
Mambo ndo haya sasa
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga Күн бұрын
Kwani waliouliwa October 7 ni nani na wanaouliwa leo ni nani
@MikelSitoe
@MikelSitoe Күн бұрын
Tule tee taarifa kuhusu Ismael Khan, nsaliti wa iran
@Niika870
@Niika870 Күн бұрын
Ngoja urus awaingize mkenge kama sadamu
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 Күн бұрын
Wewe bado upo anology
@jumakhamis226
@jumakhamis226 Күн бұрын
Hao ndio videmuuuuu kudadakiiiii
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Күн бұрын
Tangazo limeishatolewa raia wa urusi waondoke israel.
@yassinphonyogo2347
@yassinphonyogo2347 Күн бұрын
Skuhizi GPS haitok juma pili
@yvonnelusimbi3010
@yvonnelusimbi3010 Күн бұрын
Aje Putin aje batan wote kissgo kipo hapo hapo Israel ndo kidume tuacheni ubishi juzi kashambilia kikosi Cha kulinda amani Lebanon na warus wakiweno haogopi Wala hashituliwi na mbeha kubweka
@ericdiseteh8111
@ericdiseteh8111 17 сағат бұрын
C ndio uongo huo 😂😂😂
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v Күн бұрын
Putin utakipata unachokitafut
@allyjuma9260
@allyjuma9260 5 сағат бұрын
Mashoga tangu lini wakaweza shughuli za wanaume putin wanyoshe taifa gani la mungu linaloruhusu ushoga na ndoa za jinsia moja kama ziara ya putin inawatia hofu nendeni mkawasaidie mashoga wenzenu
@raydanfrenk
@raydanfrenk Күн бұрын
😂😂😂😂😂 mna kitu wanatapatapa 😅
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 Күн бұрын
Mtu na babaake wanamlaani mtu na mwanae mwingine😂😂😂
@redydasca8846
@redydasca8846 Күн бұрын
Si dhani kama hawa wanauwezo wa kuzuia israeli Iran itapigwa tu mpaka maandiko ya timie
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Күн бұрын
Safari hii watapigwa mchana kweupe jua linawaka. Si wamepewa go Ahead. Wajaribu waone!
@allyjuma9260
@allyjuma9260 5 сағат бұрын
Mashoga tangu lini wakaweza shughuli za wanaume putin wanyoshe taifa gani la mungu linaloruhusu ushoga na ndoa za jinsia moja kama ziara ya putin inawatia hofu nendeni mkawasaidie mashoga wenzenu
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 Күн бұрын
Huu muungano wa kibabe
@raymrash
@raymrash Күн бұрын
Russia anashutumu nn wakati yeye mwenyewe anafanya hayo hayo
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Күн бұрын
Na wewe Je🦍🦍🦍🐄🐄🐄💯🤣🤣🤣
@DjMswati
@DjMswati Күн бұрын
me naona putin ni mjinga mmoja
@abdimakame7929
@abdimakame7929 Күн бұрын
Nikweli kabisa%
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Күн бұрын
Mwerevu ni Wewe unaependa kufirwa kanisani kila jumapili
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd Күн бұрын
Mda utaongea 2 utamuelewa Putin
@DjMswati
@DjMswati Күн бұрын
@@nasseralhatmi1762 waislam achen chuk
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 Күн бұрын
isiji kua kama Syria
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 Күн бұрын
Iran kama mpenda haki angeacha kusambaza silaha kwa makundi ya kigaidi ya kuishambulia israel pia angeacha kuipa silaha urusi inaoua waukraine wasio na hatia
@omondiowino7875
@omondiowino7875 Күн бұрын
Silaha zilizopo Iran mwenyewe ni Rassia
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 Күн бұрын
​​@@omondiowino7875 ona na huyu mjinga Iran anatengeneza Silaha mwenyewe tena kama hizo Drone hadi Russia alinunua na kwenda kuzitumia Ukraine sio kama Israel anategemea silaha kutoka Marekani 😢😢😢😢
@omondiowino7875
@omondiowino7875 Күн бұрын
@@saleemsuleiman2220 bro kama hujui kitu Acha kujiabisha hapa....Fanya uchunguzi wako mwenyewe ujue ni Nani anayewasaidia Marekani kwenye technology ya silaha..we vipi...? afu sasa tuje Kwa Iran..wale watu ambao wanampa Iran usaidizi kwenye utengenezaji WA silaha ni Rassia in exchange of Uranium bro maana Iran ina Uranium Kwa wingi...ukitaka nikufunze nitakufunza Kwa lazima 😂😂😂
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Күн бұрын
@@saleemsuleiman2220Sasa Israel ametoka wapi,yaani mtu ukimchukia ni shida
@iddyothman163
@iddyothman163 Күн бұрын
Hao wote hawataki vita ila mataifa ya ulaya wanalazimisha vita.hizo nchi zilitaka majadiliano kabla vita kuanza na kutaka kusimamisha vita lakini mashoga walikataa hadi sasa ndio manaa jamaa wameona na wao washikane mikono.lazima wajihami,walifikiri hizo nchi nyepesi watazifanya kama Libya kwa sababu Libya ilitaka kuiunga iwe Africa Moja
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 82 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 120 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 3,9 МЛН
MZEE AMWAMBIA RAIS MWINYI UOVU WA ZANZIBAR BILA KUOGOPA.
6:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
Jua Kali Leo Jumapili Usiku 13-10-2024
19:36
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 9 М.
BRICS KUANZISHA BENKI YA ULIMWENGU ZAIDI YA IMF
6:32
THE WORLD NEWS
Рет қаралды 8 М.
How the Gaza genocide will lead to Israel's collapse, with Shir Hever
1:09:02
The Electronic Intifada
Рет қаралды 557 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 82 МЛН