Uwezo mdogo was kuhoji Yan we hujauliza ukoo umeng'ang'ania uwezo miujiza hvyoo kbaà
@musakatwale19593 ай бұрын
UTAMADUNI WETU ASILI NA SIYO VYA WAZUNGU 🙏🙏🙏💯✔️✔️
@francisraphael38163 ай бұрын
daaah hapo nimefika sana kabra halijajengewa hilo kaburi hicho kinyumba na baada ya kujengea tumekula sana nyama pia hapo za matambiko kwa mwamba huyo
@wilisonmikate16524 ай бұрын
Asante Yesu kwa kukujua nasikia raha sana kuwa ndani ya Yesu ona haya mateso yanayo mkabili.
@FrankCharles-t9d3 ай бұрын
yesu yupi au yule kenya
@LenadJohnКүн бұрын
Mabovip laafiki yang
@ElizabethMuia-ro9yh26 күн бұрын
JAMANI KATEGELA SI UMKUJIE HUYU MAMA, AOJE WOKOVU
@emanuelkidali97334 ай бұрын
Huyo bibi hajui vzr historia ya mwanamarudi vzr aliemuua ni mke wake ni kweli alimsaliti akachukua kinyesi chake ila kuna story ameanzia katikati
@Mpakauseme Жыл бұрын
Uwezo wavipi jombi au uwezo wamazingaombwe
@elishashijashija84726 ай бұрын
Siyo mazingaombwe ni Asili ya msukuma
@MaduhuNdulu2 ай бұрын
We jamaaa ni mushamba kwanini huoneshi hata kaburi lake unamulika tu sehem moja tu
@dikakimishawasumbwahalisit75963 ай бұрын
Ng'wanamalunde mwingine hatotokea mtu huzaliwa na baraka zake kuzaliwa kwenye ukoo wa yesu haimanishi utakua na miujiza jidanganye utembee juu ya bahari tukulie matanga😅
@dikakimishawasumbwahalisit75963 ай бұрын
Uooongo 😅
@elishashijashija84726 ай бұрын
Asili ya msukuma ni ugangà ukisomà historia ya Mwanàmarundi wàle tulio okoka tumshike sana Yesu bila hivyo hatuwezi
@leonardchoma37654 ай бұрын
Unamanisha nini?
@emanuelkidali97334 ай бұрын
Acha kuzarau mizimu Yako yesu unamjua Yuko wapi?unaabudu wazungu
@donaldfrancissassa83606 ай бұрын
Kaburi lipo wapi ? Mbona hutuoneshi ?
@LenadJohnКүн бұрын
Nasikiliza habari za Limbu kuchafuka anapiga nihatali
@rebeccamoses68694 ай бұрын
Kweli kuokoka raha sana hii ni mizigo aliyobeba
@mabalalungwecha53403 ай бұрын
Wewe unaye muuliza ni kweli sote hatujui labda jiulize mwenyewe
@donaldfrancissassa83606 ай бұрын
Camera mani haoneshi environment
@mabalalungwecha53403 ай бұрын
Huyo itakuwa1961
@MwanduMachiya4 ай бұрын
Onyesha mazingila usilete uongo
@GraceMarine-vo9hu4 ай бұрын
😅😅😅😂😂😂😂😂
@rasgwandumikaisi7489 Жыл бұрын
Ahsante
@LushugembeMboje4 ай бұрын
Hiyo ni kweli
@BenjaminNgalulaMakeja4 ай бұрын
Onyesha kaburi cameraman mbona unatuzingua
@AshrafAbdul-g4v2 ай бұрын
Bathroom sana
@LenadJohnКүн бұрын
❤😊galipo😊
@mpwamtaa5 ай бұрын
Camera Raman mzinguaji
@Mohamedmustafa-z9t4 ай бұрын
Huyo kasema hajasoma, anaposema kazaliwa mwaka 91, yaani 1991, hapana. Bilashaka kajichanganya tu. Kwa makamo aliyonayo na muonekano wake, atakuwa wa mwaka 1961 !.
@DeogratiusAndrew-zi7zv4 ай бұрын
1961 ni sawa
@PhilipoMichael-s5f4 ай бұрын
Ivi nikweli?
@Mohamedmustafa-z9t4 ай бұрын
Kama hayajakutokea huwezi amini anayosimulia, ogopa sana mambo ya matambiko, hivi vitu vipo kweli.