Watuhumiwa wa Uchawi waibua Kasheshe kwenye Mkutano

  Рет қаралды 116,438

Edwin Moshi

Edwin Moshi

Күн бұрын

Ni taarifa kutoka Kijiji cha Ihela wilayani Makete mkoani Njombe ambapo wananchi wamewaweka "mtu kati" watuhumiwa wawili kuhusu kujihusisha na vitendo vya ushirikina.

Пікірлер: 192
@RehemaKasanga-vu5nj
@RehemaKasanga-vu5nj 3 ай бұрын
Mganga na mchawi lao mmoja MUNGU pekeyeke Ndo Anaweza kutamka Kwa unabii
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Ай бұрын
Huo ni uwongo uwongo huoooooooo
@berthabarozi
@berthabarozi Ай бұрын
Huyo mchawi.sura inaonyesha
@geitandelwa299
@geitandelwa299 3 ай бұрын
Tubuni dhambi zote na kumufuata YESU TU. BILA HIVYO NI SHIDA
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Ай бұрын
Yesu yupi huyo daadeki zake
@GreetyWillysiame
@GreetyWillysiame 12 күн бұрын
Happy Hanna mungu wala yesu washirikina woooote hapo aiiibu
@klaudymbilinyi
@klaudymbilinyi 3 ай бұрын
😂😂hawoo ni panga tyu mchawi analudisha mambo nyum
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 3 ай бұрын
Ukibisha uchawi haupo ujazulika na Hao bado usibishe,
@yohanacharzmsela9921
@yohanacharzmsela9921 3 ай бұрын
Siyo kukosa elimu watu wamechoka ndugu zao kufa ,,,kama mbaya naiwe mbaya ,,wanyongweeee..
@barakamanga5502
@barakamanga5502 3 ай бұрын
Sasa wamejuaje kuwa mchawi, presha mnapima? Maana wengi wanakufa kisa plesha, ila uchawi upo pia
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 2 ай бұрын
Nashangaa presha unalogwa????
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
WANAWAKE WA KITANZANIA NI WACHAWI SANAA.
@RamlaKimaro-f2y
@RamlaKimaro-f2y 2 ай бұрын
😂😂😂
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Ай бұрын
Namama yako??
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 3 ай бұрын
Acha imendikwa wap atubu kwa wanadamu wambie watoe, ushahidi nahakuna mganga watakuja wezi wachonganishi mwenyekiti acha acha ujinga usimtwishe mama wawatu mzigo wakijinga utawala sio wawenye akili ndogo kama ww
@noahchepe8036
@noahchepe8036 3 ай бұрын
Uchawi upo mazee... Hao watu sio kua wamekurupuka tu
@nicebatare2737
@nicebatare2737 2 ай бұрын
Yani ulifanywa bubu uache kuongea na Leo umeongea mtakutana jioni 🤣🤣🤣
@johnsimba
@johnsimba Ай бұрын
Mch. Nae ovyo badala ya kuomba Mungu anaita Mtu heri mwenye kiti anaongea vizuri alafu peleka watu hosp.
@LeeySeedorf
@LeeySeedorf 3 ай бұрын
Apo wanatafutwa watu wenye umri mkubwa wauwawe bila hatia.
@pastadandan3569
@pastadandan3569 3 ай бұрын
Mtendaji nae ameingia kwenye mtego wa kuamini huyo mama ni mchawi
@YustaMfugale
@YustaMfugale 2 ай бұрын
Hvi unapajua vizuri njombe iringa au unaskia,,,tena hizo tabia za kujigeuza Simba ndo michezo yao
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 ай бұрын
Wagonjwa wote wapone warudi kwenye hali yao ya kawaida tunaomba na kuamini wote tuseme Amina 🙏🙏
@JustineCostantine
@JustineCostantine 3 ай бұрын
Miteni mtumishi jembe kutoka iringa kiboko ya wachawi aje awasaidie
@HadiaAme-x5f
@HadiaAme-x5f 2 ай бұрын
Walimuonaje kmna wao hawakukutana huko ucgawini
@dizelakituleKitule-qx6ss
@dizelakituleKitule-qx6ss 3 ай бұрын
Mungu yupo atafanya
@morjanoman5181
@morjanoman5181 4 күн бұрын
Mchawi ata akiamishwa bado atakujatu fanyenimaombi mtafanikiwa
@EstherJulius-cv9tk
@EstherJulius-cv9tk 3 ай бұрын
Acheni ujinga niwapi ukuu c muombee mungu awabadilishe dawa ni ndogo tuu yesu atosha kubalisha anga ilo
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 2 ай бұрын
Ndio upate mchungaji alie na nguvu ya mungu kuja kuishi kijijini .wachungaji wote wanakimbilia mjini wamesahau vijijini kama kuna watu😂😂😂😂
@JumaaSaid-hn6yh
@JumaaSaid-hn6yh 3 ай бұрын
Utamjuaje mchawi wew kama sio mchawi aceni ujinga 10:31
@ElizabethNdalahwa
@ElizabethNdalahwa 3 ай бұрын
Wewe nimchawi
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 3 ай бұрын
Mambo yote haya yanasababushwa na serikali kutwastarabisha watu.kwa shule.na kuleta maendeleo ndipo hizo tabia zinapotea
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 3 ай бұрын
Mmmmmh kumbe bado kunashida wakemia wapo
@MarthaLwinga-w9m
@MarthaLwinga-w9m 25 күн бұрын
Usiombe ya kukuta kusingiziwa hivyo
@ManceJ-yc4dd
@ManceJ-yc4dd 3 ай бұрын
Mmmh hatar sana
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 3 ай бұрын
Uchawi ni sehemu ya ushirikina
@EmmanuelNdahya-ud5nj
@EmmanuelNdahya-ud5nj 3 ай бұрын
Mliosali iombeeni hii jamiiib😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 naombeni like
@speciozakaloli
@speciozakaloli 25 күн бұрын
Siku ukisingiziwa uchawi ndipo utajua nasema nini
@MaishaBabu-m2g
@MaishaBabu-m2g 3 ай бұрын
Hawa wamama waliovaa kilemba cheusi anaonekana mchanga
@severamunishi1253
@severamunishi1253 3 ай бұрын
Jamani njombe kuna uchawi niliteswa balaaa unaletewa usingizi mkali balaa wafanye kazi yao
@barakamanga5502
@barakamanga5502 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@Rumbakweka
@Rumbakweka Ай бұрын
Awezi kubali kamwe adi umkute na kisibiti labda labd
@RamlaKimaro-f2y
@RamlaKimaro-f2y 2 ай бұрын
Icho kijiji mbona km wote wachawi
@DaluChiwinga
@DaluChiwinga 25 күн бұрын
uwaga awakubali ila kusema sijijui ndio zao
@FredrickChristonsia
@FredrickChristonsia 3 ай бұрын
Duh vyuma vime umana !! Iyela""
@speciozakaloli
@speciozakaloli 25 күн бұрын
Siku mkiitwa wachawi ndipo mtajua
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 3 ай бұрын
Tafute pesa hapo wote niwachawi unajuaje wote niwachawi
@ReginaShilla
@ReginaShilla 3 ай бұрын
Okokeni mwaminini Yesu
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 Ай бұрын
Mtambuzi wa mchawi naye ni mchawi
@joshuanyaulingo4109
@joshuanyaulingo4109 3 ай бұрын
mchungaji yoooooo 😂😂😂
@FestoMunishi
@FestoMunishi 15 күн бұрын
Anaebadlika kuwa simba c wewe mamaaaaaa
@aronmtui597
@aronmtui597 Ай бұрын
Pelekeni watu hosptali
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 2 ай бұрын
Wangehama wote wamwache pekee yake.
@Baraka-n1f
@Baraka-n1f Ай бұрын
wachawi na waganga ni kitu kimoja
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 2 ай бұрын
Mwee vakinga mtengue ndeti uvuhavi? Binafsi nashauri waliomtuhumu huyo mama kuwa mchawi na wao ni wachawi kama sio wachawi wamemjuaje mchawi huku wao sio wachawi? Haiwezekani ulipo gizani kuona aliyepo gizani bila Nyale tochi
@GetrudaBushiri
@GetrudaBushiri 2 ай бұрын
Mkinga huyooooo mapembelo
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 3 ай бұрын
Mchawi lazima amfahamu mchawi mwenzake
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 2 ай бұрын
Ok kwshyo ukimjua mwiz na wewe ni mwiz
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 3 ай бұрын
Okokeni Yesu nikiboko ya wachawi je niwapi huko tuje tumlete Yesu hao wachawi wasipookoka kufa na wanakufa wapi huko
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 3 ай бұрын
Ataua mmoja mmoja hapo
@othumanomari1589
@othumanomari1589 3 ай бұрын
🤔🤔Nahoyo mzee pia nmchawi
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 2 ай бұрын
WAKINGA WENZANGU ACHENI UCHAWI UCHAWI NI MZIGO YESU KRISTO NI JIBU TOSHA YESU KRISTO ANAWAPENDA ALIKUFA KWA AJILI YETU WOTE
@speciozakaloli
@speciozakaloli 25 күн бұрын
Wote wako gizani
@mohamedmarijani
@mohamedmarijani 3 ай бұрын
Ni tz au?
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 3 ай бұрын
Duuh Hawa wananchi wote akili zao mbovu imagen wote wanaamini wanarogwa
@MwamvitaKassim-x8b
@MwamvitaKassim-x8b 3 ай бұрын
Hayaja wahi kukukuta ndugu yangu
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 3 ай бұрын
@@MwamvitaKassim-x8b Nipe experience ya kurogwa uliyokutana nayo wewe.
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 2 ай бұрын
Ndugu zangu wakinga mvoleke uvohavi YESU KIRISTI avaganile mwokoke
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Ай бұрын
Watu wakichoka huondoa hofu huamua kupambana bila kujali lolote; serikali inapinga eti hakuna uchawi ujue Viongozi kama hao huenda nao wanatoka katika familia za uchawi
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
HUYU BIBI SULA YAKE NI MCHAWI WA KULUKA USIKU MCHUKULIENI SHELIA MKONONI MPIGENI MOTO HUYO BIBI 😂😂😂
@dizelakituleKitule-qx6ss
@dizelakituleKitule-qx6ss 3 ай бұрын
Uchawi upo wapingwe hao
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 2 ай бұрын
Wakinga hoye
@emanuelkidali9733
@emanuelkidali9733 Ай бұрын
Huyo mamaa si mlete huku bariadi mbona ataacha tu mapema jmn? Huku ndiko Kuna tiba ya kukomesha wachawi kama hao
@geofreysimon1
@geofreysimon1 3 ай бұрын
Jamanii watumishi pelekeni mikutano ya injili huko 🙏🙏🙏
@barakamanga5502
@barakamanga5502 2 ай бұрын
@@geofreysimon1 Wana Loga spika
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 ай бұрын
😂😂
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 2 ай бұрын
Good solution
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 2 ай бұрын
anafanya uchawi na Bado uko maskini wakutupa nchini kama alivo sema marehemu magufuli
@FrankolaisLukumay-tx8vr
@FrankolaisLukumay-tx8vr Ай бұрын
Mkoa Gani?
@tanzaniaburundian582
@tanzaniaburundian582 2 ай бұрын
Uchawi nikelo watafute wakuwatowa uchawi msihukumu nyinyi nibinaadam
@AmaniHeriHalisi
@AmaniHeriHalisi 3 ай бұрын
Toeni Namba Za Simu Tuwaombee
@MasaiNyorosha
@MasaiNyorosha 2 ай бұрын
Kama wewe sio mchawi unajuaje huyo mama nim chawi hapo hakuna mchawi hapo nichukitu
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 3 ай бұрын
Mtendaji kijiji nae kwa akili zake finyu eti anaamrisha wagonjwa wapone 😂😂😂😂pumbavu
@brownmtofole
@brownmtofole 3 ай бұрын
Mweee...Ndikhubadova sid'zo..Msiende kwa waganga wa kienyeji,Nendeni kwa nabii Dominic pale Buza Kwa Lulenge,wapelekeni na hao wagonjwa wote wakapate maombi maalumu na huko mtapata suluhisho la matatizo yenu...kule nawaambia kuwa mbivu na mbichi zitajulikana.Biblia inasema "usimwache mchawi aishi"
@MaishaBabu-m2g
@MaishaBabu-m2g 3 ай бұрын
Dominic mwenyewe mchawi
@JamilaDaudi-p7n
@JamilaDaudi-p7n 24 күн бұрын
Wachawi wote mungu anawaona wanatumia sura za watu kwaajir yamambo yao wafe tyu
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 2 ай бұрын
Acheni mambo yenu pressure mtu unalogwa kwendeni sana
@sanulaRichard-gm8gc
@sanulaRichard-gm8gc Ай бұрын
K
@brunomtweve8073
@brunomtweve8073 2 ай бұрын
Nilifikiri mtendaji atasema wagonjwa waende hospitl
@HimidiniPesambili-r1u
@HimidiniPesambili-r1u Ай бұрын
10:20 10:23
@PeterShigela-c7w
@PeterShigela-c7w 16 күн бұрын
😂
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 2 ай бұрын
Xamzmtxxm 9kd
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Bibi.kamajweri jilekebishe Acha watakuchoma moto hapokijijini
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 2 ай бұрын
Bibi alikuwa ananena kwa lugha😂😂 jmn naomba Mungu anipe uzee mwema
@marygregory7566
@marygregory7566 3 ай бұрын
Wote wachawi hapo mnashindana tu kijiji kizima hawezi kuwa mchawi mmoja tu
@ngejejemashubi4213
@ngejejemashubi4213 3 ай бұрын
Hizo ni Chukitu
@happynkya9770
@happynkya9770 2 ай бұрын
Yaan kama mm nikimjua mchawi wangu bahat hana yaan kimya kimya tuu na kwenye mazishi naenda
@angulileelectrical6368
@angulileelectrical6368 3 ай бұрын
Wamemuonaje? .watanzania kueni na akili,watanzania wengi fyatu kweli kweli ,walitakiwa kujita wao kwanza , kumbuka wamemuonaje , wabaya muda mwingine huungana kupambana na mwema,kumkufulisha Kama alivyokufulu huyo mama kwa kumhitaji mganga ya yani mchawi ili amnasue kwenye shida yake,wachungaji lindeni waumini wenu
@JaphetKilimba-zo2iz
@JaphetKilimba-zo2iz 2 ай бұрын
Waende kawe kwamwamposa wa kachukuwe mafutayaupako
@nestasanga8433
@nestasanga8433 2 ай бұрын
Mnatuaibisha waache uchawi wamrudie Mungu
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 3 ай бұрын
Mungu awasaidie saana jamanj wachawi wapo jamani msikatae nyie watu wanauwliwa na wachawi wanugua magojwa yasiyoonekana hospitali usiombe yakukute uchawi upo
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 Ай бұрын
Elimu + umaskini Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@fatumamohamed9614
@fatumamohamed9614 3 ай бұрын
Huyu mama huenda siyo ila Hawa wenye kujua vifungo ndie wachawi
@rasnchimbi
@rasnchimbi 3 ай бұрын
Elimu elimu elimu #katibampyanisasa!😂😂
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 3 ай бұрын
Umenikumbusha , Edward Lowasa.
@RamlaKimaro-f2y
@RamlaKimaro-f2y 2 ай бұрын
Mbona mwenye kilemba cheusi nae kama au basi tuuu
@MaishaBabu-m2g
@MaishaBabu-m2g 3 ай бұрын
Huyu Asha sio mchawi amevikwa kivuli tu na wachawi
@geitandelwa299
@geitandelwa299 3 ай бұрын
Mmmmh pope ASHA SANGA AAA TUBU DHAMBI XAKO ZOTE UOMBE SANA
@audaxbuchira8586
@audaxbuchira8586 Ай бұрын
Waache ujinga ! We are living science and lawa
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
ATAWEZA KUACHA HUYO, MPAKA ATOLEWE HUO UCHAWI. LAKINI ETI AACHE TUU HAWEZI. ETI ANANE KWA NENO.
@LeeySeedorf
@LeeySeedorf 3 ай бұрын
Apo wanatafutwa watu wenye umri mkubwa wauwawe bila hatia.
@FloraMarinyo
@FloraMarinyo 2 ай бұрын
Muokoke jmn uchawi sio wakuuogopa kbs ukiwa na Yesu
@sangastuiper2972
@sangastuiper2972 Ай бұрын
Daaaah kina sanga ni ndugu zangu ujue😂😂😂😂
@barakakings
@barakakings 3 ай бұрын
Mapembelo ndugu zangu. Mbona hii ni aibu?
@williamnyankongo9655
@williamnyankongo9655 2 ай бұрын
Huko wapi kwakisengee@sanga Kinga tribal
@worldherotv
@worldherotv 2 ай бұрын
Wapelekeni hospital hao wagonjwa
@mathewm7115
@mathewm7115 3 ай бұрын
Hakuna cha kusaini dawa yake inajulikana ipo wazi wanapoteza mda
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 2 ай бұрын
Biblia inasema usiache mchawi aashi
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 3 ай бұрын
Huyu mama so mchawi ila wale wawili walio anza kuongeya hao ndo wachawi
@vickytango5591
@vickytango5591 2 ай бұрын
😂😂😂
@vickytango5591
@vickytango5591 2 ай бұрын
😂😂
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 38 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
URITHI WABIBI FULL MOVIE
1:17:38
Steve Mweusi
Рет қаралды 763 М.
MCHAWI WA KIJIJ CHA LUAGALA
36:38
HEBUGWA SERIES
Рет қаралды 306 М.
UTASHANGAA MISUKULE 100 YAFUNGULIWA NA MGANGA INATISHA
11:49
SUNSET TZ
Рет қаралды 219 М.
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
32:24
LUSEKELO MWALYAJE
Рет қаралды 39 М.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12