ALIVYOVAA TU SIWEZI KUWA NAE, ANAONEKANA MUONGO, HANIFIKII KWA PESA - HELLO MR. RIGHT

  Рет қаралды 139,405

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 303
@justertilusubya9595
@justertilusubya9595 6 ай бұрын
Nampenda sana luludiva anajielewa sana huyu dada❤❤❤❤❤
@lucylesso7920
@lucylesso7920 9 ай бұрын
Acheni utoto jamani, you can make him what you like, change him as you wish, mwamume wako unamtengeneza wewe vile unataka awe, , wewe mwenyewe hujui hata kuvaa, na your motions is like umeambiwa mguu tembea...gwaride, kuvaa hakuhusu kabisa ukimpenda utambadilisha. Ninyi ndio mnaotaka vinavyong'aa , waume za watu ambao wametengenezwa na wake zao mkiwaona mnafikiri hao wake zao waliwakuta hivyo? Noo ..unaanza kitengeneza mwenyewe, na mwingine si kama hana hela, anazo ila ndio hivyo wengine walivyoumbwa, km ambavyo pia kuna mabinti wasiojua kuvaa wanasaidiwa na wapenzi wao wakiume..kwa kutumia hela zake hizo hizo unamfanyia shopping ya nguo unazotaka wewe sasa avae, acheni ujinga, nikija hapo nitawapa fimbo
@evarlynekarisa2659
@evarlynekarisa2659 9 ай бұрын
Yani nimecheka utawachapa🤣🤣🤣🤣🤣
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
😂😂😂mbona fimboo😂😂😂
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 9 ай бұрын
true
@therealbrightonlyimo
@therealbrightonlyimo 9 ай бұрын
Point, wadada wengi apo ni watoto hawana future walanini wanatafuta mtu wa kumuumiza tuu kwa kutumia kipato chake. Upendo wa kweli haujali muonekano wala kazi
@hawababy120
@hawababy120 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Un_dollar
@Un_dollar 9 ай бұрын
Napenda sana hiki kipindi yani vle ambavyo mnafanya kazi yenu miye yanifurahisha tu.... Nina matamanio ya kukutana na huyo Mc ili nami awe mentor wangu... Napenda vle anavyoendesha kipindi hicho mpaka tamati yake... Ila miye Mkenya lakini ckipendi hicho cha Kenya kwa vile wanavyoendesha Mr Right yao.... Yote tisa kumi ni kwamba muendelee vivo hivo... Salamu zangu zifikie Mc tafadali... Shukran
@lucylesso7920
@lucylesso7920 9 ай бұрын
Zarish, pata mume upate heshima, wacha ujinga, angalia siku hazigandi your not growing younger but older...be carefully
@hawababy120
@hawababy120 9 ай бұрын
Hio mnashushia na soda nimeipenda❤🇧🇮
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 9 ай бұрын
Nakipenda sana hichii kipindiiiii mubarikiwe sana🙏🤲❤❤❤❤
@mussacharlesSongo-or4wn
@mussacharlesSongo-or4wn 9 ай бұрын
Maswali yenu yanawafanya mr light kukataliwa mnachokonoa sana punguzeni kuchokonoa mtakosa watu wa kuja
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 9 ай бұрын
Tuwekeeni na Sisi mr right hapa online utafute wenzaaaa❤😊
@ozuabrahamu8079
@ozuabrahamu8079 9 ай бұрын
Niko hp Mr right wako
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 9 ай бұрын
@@ozuabrahamu8079 😊😊😊
@user-qh2ij3kj8s
@user-qh2ij3kj8s 9 ай бұрын
Kwl watuekee n ss tupate
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 9 ай бұрын
@@user-qh2ij3kj8s kumbe mlioko single niweng😂😂😂🙌
@user-yp9vo4js9f
@user-yp9vo4js9f 9 ай бұрын
Dorcas wataka mwenzaa yupo kaka yangu njoo akuoee😂😂
@raajabchaka8682
@raajabchaka8682 8 ай бұрын
Ani huyo jamaa Pimbi Kichizi Ase hana Msimamo hamna Kitu kizur km upatr mwanamke anaekupendaa Anamuachaje dayana Kitu dabo difu Ikoo..😂😂😂😂😂
@godfreyzenda9027
@godfreyzenda9027 5 ай бұрын
Yaani jamaa kazingua sana kamdharilisha sana Dayana.. Nimefurahi kakosa
@salomevenance9555
@salomevenance9555 26 күн бұрын
Alafu Dayana mzuri mno ❤❤❤❤
@salumuhafidhimtabe420
@salumuhafidhimtabe420 9 ай бұрын
Dada kajikanyaga mpaka aibu naona mimi 😂😂😂😂 maskini Ngwee
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 9 ай бұрын
Uyu Jamaa Amejawa Tamaa Asitaili Kabisa Kuoa Kwasababu Gani Alipoona Uyo Demu Kitako Kinene Kidogo Akili Zake Zote Zimeamia Kule Kwenye Makalio Hana Msimamo Uyo Malaya Wa Kiume Afai
@lucylesso7920
@lucylesso7920 9 ай бұрын
Big up Gwe uko mkweli kuhusu kipato chako
@atomphoton5000
@atomphoton5000 9 ай бұрын
Gara B hadi huu msimu uishe asipoangalia atavunja nda yake, Aaliyah ni kazuri na ana kapersonality moja amazing sana
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 9 ай бұрын
😂😂 Ni mzuri Sana Aliyah, Lakini amfikii mke wa GARA ni mzuriiiiiiiii ntakuambia ni mzuriiii ukimuona live lazima useme....
@sarazacharia
@sarazacharia 8 ай бұрын
@@faithfaith-zr6gz 😂😂😂
@user-gq1mp9nu5q
@user-gq1mp9nu5q 7 ай бұрын
Hahahaaa nimecheka sana Huyu mr right kajichanganya pakubwa et mlete golden girl mara abaki dayana.. so nice
@themanofgod7562
@themanofgod7562 9 ай бұрын
Season hii mna wasichana wa HOVYO ambao hawawezi kujenga Hoja.
@estermshana8081
@estermshana8081 9 ай бұрын
Kipindi kizuri lakini kwan huku nje hakuna wachumba😂😂
@malichanda3146
@malichanda3146 9 ай бұрын
Et hahahaha
@marydavinembeki9482
@marydavinembeki9482 9 ай бұрын
😂😂😂😂hawachawaona eti ikabidi wajilete huku mbele
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 7 ай бұрын
Waongo huko mitaani 😂😂😂
@emmyomary9640
@emmyomary9640 9 ай бұрын
Hawa wasichana akili hawana haki tena
@malichanda3146
@malichanda3146 9 ай бұрын
Huyu dada muongo et kwa siku anaingiza raki tatu jamani acha ujinga kuwa na heshina dada
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 9 ай бұрын
Anaona laki tatu rahisi kuziingiza??
@ZuhuraallyMbawe-zi8hk
@ZuhuraallyMbawe-zi8hk 9 ай бұрын
Ni ajabu sana
@lucylesso7920
@lucylesso7920 7 ай бұрын
Anaweza akawa ni kweli anaingiza hiyo laki 3 sijakataa, wapo wanaoingiza hata million kwa ukweli inategemea mitego au biashara zako unazofanya inawezekana kabisa hilo, ila sasa Mr right anakosekana! Ndio mana wako hapo ili life ikamilike siku ya kumpata huyo Mr right. Pesa iko but lonely no Hubby no Bf and no life Patner, can you turn your 3 laki to be Mr right? The answer is a big no! So play your card very well, happy life it's not about a Man with lots of money definitely no!!!
@user-eu5xt1vb6f
@user-eu5xt1vb6f 9 ай бұрын
Amina na Mr right mmeendana ni mwendo wa kushushiaa tu
@user-tp5vr3vv6v
@user-tp5vr3vv6v 8 ай бұрын
❤🎉the beat for hello Mr Right is so amazing fr❤❤💖
@ashuramahali3410
@ashuramahali3410 9 ай бұрын
Zaylish unatuchukuliaje mawakala😄😄😄 kwendraaaaaaa
@MwanaidiSalehe
@MwanaidiSalehe 9 ай бұрын
Hello my
@mchellenmbunge55
@mchellenmbunge55 9 ай бұрын
Diana nimempenda sana. Mwanaume haeleweki.
@ellymwampashe8927
@ellymwampashe8927 9 ай бұрын
Hata ningekuwa dayana ningemuacha. Msimamo hamna🙌
@carolinepokela5076
@carolinepokela5076 9 ай бұрын
uyu kaka bado ana maumivu. lkn nilichokipenda zaidi kwake ni muwazi mnooo.hana uwongo kabsa
@sauka9622
@sauka9622 9 ай бұрын
Inapendezaa sanaa❤ mr right
@roseafrael75
@roseafrael75 9 ай бұрын
Huyo zarish mwenyewe wigi la elfu 5 chaaa akwendreeeee,ajui anachokiongea
@mubaraqotyeno9061
@mubaraqotyeno9061 9 ай бұрын
Wanawake wanaa OVYOOO Kunavitu vinTaka moyo sana
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 8 ай бұрын
Muongo huyo binti anachanganya mauzo na kipato..... 😊
@slyla2565
@slyla2565 9 ай бұрын
Shoga kaumbuka anatangaza anabiashara kibao lakini hatamaesabu hayapandi kiufupi hanahata biashara uyo
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 9 ай бұрын
Kafeli😂
@suzanassenga2068
@suzanassenga2068 13 күн бұрын
Sharish ni mpumbavu tyu ana lolote amna cha million wala laki tatu maisha yake ya kuunga unga tyuuu amna lolote 😂😂😂😂😂😂
@isunga1964
@isunga1964 7 ай бұрын
Safi sana Diana kwa kumkataa huyu jamaa mwanamke akikupenda shukuru sana mtaka mawili moja humponyoka kuna mkaka aliulizwa aletwe Golden gir alisema kama hajanichugua achana nae safi sana Diyana
@dobidotz3696
@dobidotz3696 9 ай бұрын
Mc kuna namna una disappoint yaanunazingua unashindwa kuficha emotion zako juu ya mr.right unamachaguo yako na unataka hao wadada waendane na mtazamo wako, waahe wachague don't interfere, don't show your emotion, fanya kaz ako
@nanaritho6850
@nanaritho6850 9 ай бұрын
Ni kweli na anaumiza kisaikologia siyo poa Kikweli!!
@marydavinembeki9482
@marydavinembeki9482 9 ай бұрын
Nahisi kuwa ni space ilikuishia ungeendelea kuachapa qwa Maneno😂😂😂
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 9 ай бұрын
Nahisi umechelewa kujua
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 9 ай бұрын
No anatakiwa kuwashawishi maana lasivyo wataganda hapo kama visiki
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 9 ай бұрын
​@@marydavinembeki9482🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bahatielias6443
@bahatielias6443 9 ай бұрын
Huyo demu mjinga sana, hajielewi hata kidogo
@bwetungegodfrey4131
@bwetungegodfrey4131 9 ай бұрын
Naona Mnyasa kajikanyaga
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 9 ай бұрын
sema mwanamke muyeyusho sana mmbea sana
@GiftAbduly
@GiftAbduly 9 ай бұрын
Kwan mahusiano n biashara et kipato chake hakinikiz hiki kidada kinanyodo kwa staili hio utadoda😅 mwanaume akikupa hata kidg unatakiwa kulidhika bna
@neemamkuchu
@neemamkuchu 8 ай бұрын
Mzaramo wangu ad analia jomon mapenz yanauma 😂😂
@mutundaaugustinaugustinmut8914
@mutundaaugustinaugustinmut8914 9 ай бұрын
Nakubali 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@HalfanKimbay-re7zt
@HalfanKimbay-re7zt 9 ай бұрын
Nice bive 🔥🔥🔥
@dominicksarikiaely8712
@dominicksarikiaely8712 Ай бұрын
Naomba kuuliza hichi kipindi ni kwel au comedy
@user-vj9nf4zs5l
@user-vj9nf4zs5l 8 ай бұрын
Napenda sanaaa iki kipindi
@IddaJovent
@IddaJovent 28 күн бұрын
Zarish na hyo sur mbov unaon uwez kuhudumiw na huyo mkaka ungekuw mremb duh!! Dunian kusingekalik jaman
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 9 ай бұрын
Na mademu wanashida ila mr. Right mshenzi sana ety😢😢😢sasa unatafuta mtu na diana mzuri na kakupenda unaanza ushenzi wa golden girl koma mfyuu😏😏😏
@bestmilltz7071
@bestmilltz7071 9 ай бұрын
Unapendwaje siku moja bhana, hii n business kama business zingine😁😁
@angelawillium
@angelawillium 9 ай бұрын
Msenge uyu nae
@salummakenzi4846
@salummakenzi4846 9 ай бұрын
Mr Right Ajielewi
@alecheconradninje6183
@alecheconradninje6183 9 ай бұрын
Uyo Zaylish stupid muongo atuache😂😂😂
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 9 ай бұрын
Uyu dem mshamba sana aisee wala hana patoilo
@user-ts8gp4nk4x
@user-ts8gp4nk4x 4 ай бұрын
Aki lulu diva nakupenda tu sana mamam
@BucensengeAlima-gr6ch
@BucensengeAlima-gr6ch 8 ай бұрын
Galab leo umependeza sana❤
@NASMEDIATV
@NASMEDIATV 9 ай бұрын
😂😂😂😂weee zombi{Aaliya na Diamond❤} Mc Gara noma sana
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 9 ай бұрын
Amevaa vizuli ❤ Mashalah
@alecheconradninje6183
@alecheconradninje6183 9 ай бұрын
Nyie hao wanawake amuwapi elim atutokuja hapo Mr light…..wapo kwa ajir ya pesa na sio mwanaume bora wa maisha…..wamejawa ujinga kichwani
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 9 ай бұрын
😊😊 njoo mr right wang kippato tutatumia changu kkuendeleza zaid
@alecheconradninje6183
@alecheconradninje6183 9 ай бұрын
@@dorcaskidoti249 i have cash my dear….kitu pekee nisichokipenda kuegamia kwa ela za mwanamke uwaga kuna kamda heshim inapotea trust me or not cjuagi vijana wenzangu wanamudu vipi kwa mwanamke mwenye ela…..🤔 na wala sitaki kujua!! Nikikuchukua first trip Paris🤣🤣
@ananiamwatebela3159
@ananiamwatebela3159 9 ай бұрын
Kwanza hajitambui
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 9 ай бұрын
True 🎉🎉🎉❤❤
@suzanassenga2068
@suzanassenga2068 13 күн бұрын
Huyu kaka pimbii ajielewi angemchukua dayana tumempendaaa sanaaa jinga hilo
@al-amoodysaid2859
@al-amoodysaid2859 7 ай бұрын
Sauti iko juu sana haipendezi
@Samuellukumy
@Samuellukumy 3 ай бұрын
Huyo ndio mwanamke
@user-id4it1wz8m
@user-id4it1wz8m 9 ай бұрын
Demu anasura mbaya kama uji ulio lala
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂wanajiona humu afu wa hovyo tu
@neemamuhoja2128
@neemamuhoja2128 9 ай бұрын
Hawajielewi kabisaa
@niyonkuruconsolee7820
@niyonkuruconsolee7820 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@neemaberny3598
@neemaberny3598 9 ай бұрын
Hawa mabinti nilichogundua ni kwamba wanatafuta ma bank teller😂😂 yani mtu anaechomokea anaingia ofisini na kutoka hata kama anapokea laki tatu na nusu...😂😂 Yani jinsi walivyo wakawaida nikajua basi vitakuwa na akili..😂😂..hivi hawamuoni Aliyah alivyo mzuri,with a career n still yupo humble
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
Wachambe asa haoo😂😂😂
@neemaberny3598
@neemaberny3598 9 ай бұрын
@@nahlahassan-fd6le Yani wanachekesha kweli mtu hata ajui anataka Nini eti nataka awe anafanya kazi analipwa laki sita Kwa mwezi🤣🤣 Sasa mtu anafanya biashara anaingiza 50k kwa siku anaona haitoshi🤣..yeye anakuambia anaingiza laki 3 kwa siku ...kaja Mr right kutafuta wa laki 6 Kwa mwezi...Huku muonekano wake wa aftatu🤣Yani anaingiza millioni 9 Kwa mwezi kaja kusaka bwana kwenye runinga🤣
@VoiceofVoctorytzVOV
@VoiceofVoctorytzVOV 8 ай бұрын
Mh huyu muongo kwl😮😮😮 mbn anaongea kwa kujitetea san....na anaongea kam anataka kuonewa huruma, alf han msimamo ana tamaaa.......duh❤❤❤❤
@jacklinekavishe4995
@jacklinekavishe4995 9 ай бұрын
Hao warembo bado hwajajua Chenye wamefata Hey nawaliocha vitumbo njee 😅😅😅😅
@yassingawaza5097
@yassingawaza5097 4 ай бұрын
😂😂😂awa wanawak wengin mashetan daaaa ila gwee tafuta Ela 😢
@user-vi3ck1cw3h
@user-vi3ck1cw3h 4 ай бұрын
Madada yanazingua majinga hayo . Fukuza hapo wakatengeneze wanaume wao
@alecheconradninje6183
@alecheconradninje6183 9 ай бұрын
Ngwee kaferi kukubwa😂😂😂
@Fabianomichael-f7i
@Fabianomichael-f7i 7 ай бұрын
Mr Right amezingua ,, nimelia sana 😂😂😂
@ZuhuraallyMbawe-zi8hk
@ZuhuraallyMbawe-zi8hk 9 ай бұрын
Eeeh uyu mr light pimbi eeh😂
@elnecemily1306
@elnecemily1306 9 ай бұрын
kaka nimempenda huyu because anaongea ukweli
@rehemageofrey1246
@rehemageofrey1246 9 ай бұрын
Zarishi punguza mashauzi , sura mbovu ka bakuli la bati lililopondwapondwa
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 9 ай бұрын
😂😂kabisaaa😅
@dorcasmfaume4796
@dorcasmfaume4796 3 ай бұрын
Huyo dada hata hesabu hajui anajishaua mpaka anaharibu
@leemakonnengava9866
@leemakonnengava9866 6 ай бұрын
Zarish mpenda pesa ...Si mapenzi anataka
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 9 ай бұрын
Zarish😂😂😂😂milion 9 kwa mwez dada umevaa wigi halieleweki wigi la elf 80 hata lace frontal huna umevaa nguo ya elf 28000 kariakoo hebu tuache bwana🤣
@godfreyzenda9027
@godfreyzenda9027 5 ай бұрын
😂😂
@fredrickkaweu
@fredrickkaweu 4 ай бұрын
Deana umeanza uzuri mwisho unaharibu dah!mr right usiharibu na ww cheza ww kama ww
@RoseNyasa-zi3fr
@RoseNyasa-zi3fr 2 ай бұрын
Hahahaha zarishi hamnazo
@miriamchirwa7659
@miriamchirwa7659 3 ай бұрын
Mmmh huyu wajina kazingua
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 9 ай бұрын
Masha allaah mnajishushia na masoda❤❤😅
@AminaAminaa-ox7ft
@AminaAminaa-ox7ft Ай бұрын
Chimama chibaba 😂😂
@angabilekatepa601
@angabilekatepa601 6 ай бұрын
Wananichekesha Hawa balaa....ngoja wafikishe 30 waone....watazoa hata wazee yani
@ammydaniel8947
@ammydaniel8947 9 ай бұрын
Mr ukiulizwa tena kihusu mtoto we sema sina! Haina haja ya kujieleza san
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 8 ай бұрын
Ķabisa
@YFM-rq9td
@YFM-rq9td 7 ай бұрын
Jamaa ana changamoto kisaikolojia ,,si wote wanaojua kuchanganua yapi ya kusema na yapi ya kumeza,,,,
@emanuelpetermachite
@emanuelpetermachite 7 ай бұрын
Mr..lulu diva vipi ana mtu daaaa namuelewa sana.vipi nafasi naweza kupata hata nikazungumza nae
@modricnoma3686
@modricnoma3686 9 ай бұрын
Duh! Huyo dada wa kwanza kweli ni chizi yani hajui hata nini anazungumza 😂😂😂
@IddaJovent
@IddaJovent 28 күн бұрын
Afu ngweee unaonekan umri unazd 23 bhan ach uong
@kennedjohn5785
@kennedjohn5785 9 ай бұрын
Hizo soda mngeweka take away ingependeza zaidi na kuleta comfortability katikka kuishika/kuibeba na kuepuka kuvunjikabkwa hao walioweka kwenye podium
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 9 ай бұрын
Kabisa yaani ikiteleza hapo😂
@andrewmmbaga1665
@andrewmmbaga1665 8 ай бұрын
Ili mtu akikataliwa asijekurusha chup😂
@wariamborambise651
@wariamborambise651 7 ай бұрын
Hahaaa uyu kaka tulmaza chuo wote 2022 sijatarajia kumuona uku , na sijui kama alkosa wachumba wote wale jamani😀
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@ashufaaali2731
@ashufaaali2731 9 ай бұрын
Hana lolote huyo dada 😂😂😂
@YFM-rq9td
@YFM-rq9td 7 ай бұрын
Kunywa Soda yoyote et kwasababu ni Ofa ,,hii ni moja ya dalili za Umasikini😂😂😂
@andrewpeter4321
@andrewpeter4321 6 ай бұрын
Huyu demu Haji elew kwanza at mahesabu hajui 😂😂😂
@BrenderMartin-eb2on
@BrenderMartin-eb2on 9 ай бұрын
Huyu zai muongo sanaaaa
@user-uz4ex5bs2v
@user-uz4ex5bs2v 9 ай бұрын
Mbona ngwee anatuchanganya
@alfredrweyemamu7807
@alfredrweyemamu7807 9 ай бұрын
Zalish simuamin hata kidogo yaani ni 300k kwa siku 😮 ila mchizi pambana mkali wanawake waliowengi ndio walivo so Mungu yupo asee pull up MINGWE
@fredrickkaweu
@fredrickkaweu 4 ай бұрын
Mtakayote mkosa yote mr✅ Kuwa makini uloyataka umeyapata
@AbdulAdam-mh8km
@AbdulAdam-mh8km 9 ай бұрын
Mmmmh Diana ni buitifuli daah
@preceenosent6324
@preceenosent6324 9 ай бұрын
Zarishi Hana kipato hicho muongo kbs
@BarakaLekasy
@BarakaLekasy 4 ай бұрын
Hamna mke hapo sanuka mr ngwee
@EmJesho
@EmJesho 9 ай бұрын
Daah wambea nyie😅😅😅😅😅😅
@user-fy3cf1ri8m
@user-fy3cf1ri8m 9 ай бұрын
Jamaa mbwa kweli unamuacha dayana unang'ang'ania neli atakupeleka wap uenda hata dayana hana biashara zake angekusevu kidog kwenye maisha yako 😮
@MtegekiKaijage
@MtegekiKaijage 9 ай бұрын
Mr Ngwe kazingua mimi ningesepa na dayana no matter chaguo la kwanza limeshafeli. Dayana popote ulipo ukuje kwangu tupambane maisha yasonge
@nancyg8664
@nancyg8664 9 ай бұрын
Huyu kaka kanichekesha spo kwenye chimama
@bonfacewitaba_official
@bonfacewitaba_official 9 ай бұрын
Nelly ❤. Natazama kutoka 🇰🇪
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 9 ай бұрын
⭐️⭐️⭐️⭐️❤️❤️❤️❤️
@lesilale
@lesilale 7 ай бұрын
kilaza hesabu hawezi. cjaona mtu anaingiza lak 3 kwa siku
@fistonnibigira167
@fistonnibigira167 6 ай бұрын
Big mistake my brother love the one you love you🇧🇮🇿🇦
@tabithakitundu8736
@tabithakitundu8736 9 ай бұрын
Mr. right kazingua sanaaaaaa
@jacobshauri4799
@jacobshauri4799 8 ай бұрын
The boy is still very young. Ndio maana hiki kipindi kimeenda hovyo... 23yrs ww n mtoto bro. Na wadada wenye wako hapo nao vitoto vya kipuzi. Wamekifanya kipindi kisivutie
@MwanangeniAyubu-nn1hw
@MwanangeniAyubu-nn1hw 7 ай бұрын
Huna baya hujarogwa wanawake ukimpenda mtu usijaj kipato chake maelewani kwanza rizki mungu anatoa usimdharau usiemjua
@catherinecharlz2814
@catherinecharlz2814 8 ай бұрын
Mc gara b umenichekesha vile umeitaa jina lake et ngwee😂😂😂
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 52 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 14 МЛН
HUYU JAMAA MBONA MTATA SANA AISE!!
9:54
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 630 М.
PENZI JIPYA | NAMPENDA KWASABABU MWALIMU | ANAONEKANA MTUMISHI
7:14