MAMISS WA NGURUMO YA UPAKO HAWA HAPA/Tuma sadaka yako kwa mamiss @Mashindano ya umiss yanaendelea f

  Рет қаралды 15,726

UNYAKUO TV.

UNYAKUO TV.

Күн бұрын

MLIOSEMA HUYU NI NABII WA MUNGU. NJOENI MTUPE MAELEZO.. HAYA MADHINDANO NI YESU ALIWAAGIZA,AU shetan
MATHAYO- 24:24-25
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule
25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.

Пікірлер: 170
@marypetro7586
@marypetro7586 21 күн бұрын
Mwenyezi Mungu tusamehe tumekosa juu ya mbingu na nchi
@user-rj3fj8uh7x
@user-rj3fj8uh7x 9 ай бұрын
Mungu tusameh sisi wanadamu
@annanaiman9321
@annanaiman9321 Жыл бұрын
Hata sadaka situmi,kwa hali Kama hii,hata sumuni situmi,huwezi muabisha yesu hivi,umezidisha
@ELLYJ24
@ELLYJ24 Жыл бұрын
Usitume coz ukituma tu umejiunganisha na madhabahu hiyo ya shetani
@RebekaShumbi
@RebekaShumbi Жыл бұрын
Yesu anarudi muda ni mfupi ni siku zilizonenwa tubuni tubu
@MeryPapi
@MeryPapi 5 ай бұрын
Salami ziwafikie waimbaji nyimbo za injiliwachungaji mitume na manabii wore walikaribishwa kanisani happy na kumwaga misifa kedekede kuwa huyu no mtumishi was mungu
@frankvianey2438
@frankvianey2438 Жыл бұрын
Sijawahi kuona upuuzi kama huu kwenye maisha yangu yote ukifanyika kanisan,na hao waumin wake itakuwa ameshawapa madawa wasijielewe
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 8 ай бұрын
MATHAYO- 24:5 5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
@NicholausJulius-km9yh
@NicholausJulius-km9yh Жыл бұрын
Akafundisha, akasema je, haikuandikwa nyumba yangu itakua nyumba ya sala kwa mataifa yote bali ninyi mmeifanya pango la wanyang'anyi. Pango hilo na hizo ndizo sala zao,yezeber ndani yao. Moto wa BWANA na uzichome hizo roho za giza mahali hapo katika jina la Yesu Kristo.
@user-gv3si2mv3l
@user-gv3si2mv3l Жыл бұрын
Kanisa hilo hatawali yesu mwangalie alivyokaa nabii tafsiri yake nguvu tofauti NA ya Mungu ndio inayotumika hapo
@dodotsere8795
@dodotsere8795 Жыл бұрын
Hakuna nyumba ya Mungu hapo
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 8 ай бұрын
MATHAYO- 24:5 5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
@mbembetyson05
@mbembetyson05 7 ай бұрын
Choma kabisaa ameen maana wanaleta mizaha mahala paibada
@Keyjop
@Keyjop 3 ай бұрын
Heeeee 👀 😅😅😅😅 nacheka lakini naogopa ko mzee baba kakaapale anaenjoy watt wakionesha izo miondoko zako mwee jmn. ! Kweli kanisa ni jengo ...wameamua kuchukua ya kaisali wayalete wapi ...😭
@user-ks8lv9hs5u
@user-ks8lv9hs5u 8 ай бұрын
Safiiii kabisasa endelea kupigs kaziiiiii baba Mang ombe niwengi hapa mjuni
@alvinbuchumi8689
@alvinbuchumi8689 Жыл бұрын
Ok Mungu aingiliebkati huko mbele tuendako tutakiona Cha Moto,Mungu atusaidi
@martinehussein7261
@martinehussein7261 8 ай бұрын
Siku za mwisho tutaona mengi sana Eee mungu tusaidie
@upendomtui6544
@upendomtui6544 4 ай бұрын
Wakujitakasa wajitakase sana, Na wa kiasi wazidi kiasi Mwenye kanisa lake anarudi muda mfupi
@NeemaKayinga
@NeemaKayinga 8 ай бұрын
Mungu alishasema muonapo mambo kama haya changamkeni.TUCHANGAMKE WAKRISTO KUMTAFUTA MUNGU MAANA NJIA NI NYEMBAMBA SANA.
@dickson1820
@dickson1820 9 ай бұрын
Wana tangaza mali za jezebeli, fasion kutoka kuzimuni na viwanda vya baharini.
@user-yx2go6tn5u
@user-yx2go6tn5u 8 ай бұрын
Diya haki mbele ya Mwenyez mungu ni muslim pekee wakrisho amkeni ibilishi amewafunga muslim huwezi kuta mambo haya daima
@Jehovarohiband
@Jehovarohiband 8 ай бұрын
Jicho lituona wa nabii wa uongo wametokea makanisani
@joelking3692
@joelking3692 10 ай бұрын
Ushetani sana, lakini siku inakuja haya yote yatawekwa wazi, Hayupo na hatokuwepo Mungu wa hivi, huu ni ushetani
@sweetberthawilliam6587
@sweetberthawilliam6587 7 ай бұрын
Mungu tunajua unaweza tamka kitu watu wako wanaangamia kwa kukosa maarifa
@JumaFupi-lh6cr
@JumaFupi-lh6cr 4 ай бұрын
Huyo ndo arionana na yesu duu tumeisha mungu tuhurumie
@nanceaidan6622
@nanceaidan6622 Жыл бұрын
MUNGU tusamehe sisi wakosefu🙇🏼‍♀️😭
@noelmtumishi7895
@noelmtumishi7895 Жыл бұрын
Yesu ebhu ona ichi kitu..mmh. rudi Tuuh tuwe nawewe kuliko na dunia
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 Жыл бұрын
Hili kanisa la mchongo aisee hapa ndio kwao na shetan kbsa
@OprahUrassa-ps3tb
@OprahUrassa-ps3tb 8 ай бұрын
Mhhhhj a hilo ndilo neno la leo tukutane jumapili ijayo
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Hiyo ni madhabao ya kuzimu
@dodotsere8795
@dodotsere8795 Жыл бұрын
Eeh mwenye macho haambiwi tazama! Live kuzimu!!!
@user-qx4dz5kx3g
@user-qx4dz5kx3g Жыл бұрын
Mungu atusaidie kwakeli.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Dah! Hatari sana,,,,na yeye amekunja nne anaangalia na kufurahia! Dah, iko shida Kwa kanisa la mtu huyu
@Jehovarohiband
@Jehovarohiband 8 ай бұрын
Watu waMungu Tu Endelea kujitakasa Yesu anakuja hivi punde na kila
@lovegodwine7868
@lovegodwine7868 7 ай бұрын
Haaaaaa hivi ni kwamba waumini wote wamefungwa fahamu zao masikiiini 😢
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 4 ай бұрын
Wakiristo kila mtu ako mungu wake na kanisa lake na imani soko mjinga kila kitu iko wendawazi wp hii ni atari kua mwangalifu sana km ww ni mkiristo usiamini hii makanisa mengine niaya shetani
@MeryPapi
@MeryPapi 5 ай бұрын
Habali ziwafikie wachungaji walimu mitume na manabii waliofike kanisani happy na kumwaga sofa kede kede kuwa huyu no mtumishi wa mungu
@user-pu3dc8ez7p
@user-pu3dc8ez7p 8 ай бұрын
Mungu tuhurumie ss wana wako hii ni hatari tena kanisan
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 8 ай бұрын
💔💔💔💔💔BWANA YESU NIOKOE NA WATOTO WANGU,kama kanisa limegeuka hivi nitajificha wapi sasa...nirehemu mimi bwana🙏🤲
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 8 ай бұрын
MATHAYO- 24:5 5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
@user-bd3yv2ge6j
@user-bd3yv2ge6j 5 ай бұрын
Siyo madhabahu hiyo ni ushetani Mungu saidia
@Jacksonswai685
@Jacksonswai685 3 ай бұрын
Mungu akukeme
@neemaabraham2632
@neemaabraham2632 Жыл бұрын
Sii kila mtu anaweza kuelewa haua mafunuo ila mm ninaoona alipenda kuwainua mabinti wathaminike
@ELLYJ24
@ELLYJ24 Жыл бұрын
Hakuna ushirika kati ya nuru na giza haya ni mambo ya giza kama kutaka wanawake wathaminiwe siyo kwa njia hiyo ya kuchekelea ushetani
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 6 ай бұрын
Ndo kwauchi mapaja yote inje kutu aibisha tu
@renathailomo1343
@renathailomo1343 8 ай бұрын
Mungu baba Muumba mbingu na nchi turehemu.
@majutojackson5718
@majutojackson5718 8 ай бұрын
duh! nabii mkuu?au shetani mkuu?! kanisani mapaja nje nje na migongo! Papa nae kabariki ushoga!! samahani kanisani hamtoniona
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 7 ай бұрын
Wana kata naviuno kwery d
@hassanyohna6121
@hassanyohna6121 8 ай бұрын
Wewe Mzee nenda kuzimu Kachomwe moto Unautukana Ukristo na Unaaibisha kanisa lililo kombolewa Kwa Nguvu ya Msalaba ............Acha Mara Moja tabia za kipepo church.
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 6 ай бұрын
E
@user-mg7bh8yx2y
@user-mg7bh8yx2y Жыл бұрын
njia iendayo upotevuni ni Pana na wengi ndo waionayo,,,njia iendayo uzimani ni nyembamba sana nao waionayo ni wachache sana
@margaridaagostinhoacaciona3656
@margaridaagostinhoacaciona3656 Жыл бұрын
Bismilahi Rahman raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi yake alhaamdulilaah uislam ni dini iliyoo nyookaa alhaamdulilaah uislam ni dini iliyoo nyookaa alhaamdulilaah wakristo ni msibaa mkubwa inaa lilaahi wainaaa ilaaaahi raaajuuuhn poleni wakristo
@Excel-Elevation-School
@Excel-Elevation-School 8 ай бұрын
😅😅 maisha ni Furaha
@daudiwonte7906
@daudiwonte7906 8 ай бұрын
Hii ni kanisa kweli?God have mercy.
@rosehusein
@rosehusein 8 ай бұрын
Huyuu sio nabii shetani
@scimarctv10
@scimarctv10 Жыл бұрын
Majini Yanasambazwa mapepo duuu
@asmahankh8538
@asmahankh8538 Жыл бұрын
Iyo imekua nyumba ya ibada au ya starehe,apo hapana tofauti na bar au sehemu yoyote ya starehe Tena zile mbaya
@user-oq7rl5ne3l
@user-oq7rl5ne3l 8 ай бұрын
Kweli maandiko yameenza kutimia alie na macho haone alio na maskio asikie yesu yukalibu kuludi
@user-do2wb3rb7h
@user-do2wb3rb7h 8 ай бұрын
Eeh Mungu wangu
@J4UPro
@J4UPro 8 ай бұрын
Huu ujinga huwezi kuuona kwa Waislamu hata siku moja.
@kelvinchadulaga310
@kelvinchadulaga310 Жыл бұрын
Da Mungu wangu
@user-hv6ui1ef9t
@user-hv6ui1ef9t 7 ай бұрын
😢
@user-bx6rp9ok2l
@user-bx6rp9ok2l 8 ай бұрын
Hiii ni kanisa ?
@user-hu3sc4kg1f
@user-hu3sc4kg1f 8 ай бұрын
Alhadulillah Mimi ni mwisilam wallah hii ni kanisa ama ni vituko Wacha ni cheke 😅😅😅
@user-ee3sl8lt7k
@user-ee3sl8lt7k 8 ай бұрын
Kanisa la madimoni😂😂
@VerahOnkeope2cg
@VerahOnkeope2cg 9 ай бұрын
Umalaya ya hali ya JUU. JESUS IS COMING WITHOUT DELAY UJINGA HIII
@beatricekerubo2963
@beatricekerubo2963 8 ай бұрын
Hii n kanisa ama n bar mbona mnamchezea mungu hivi😢😢😢😢
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 8 ай бұрын
😢😢hapa sasa ndio kifo cha nisher kilipotoka mungu hapendi kuthihakiwa wala kumtharau ,sasa ndio maana ya pigo la kifo cha mwanae, nyumba yangu itaitwa ni nyumba ya sala ,hii hapa utaitsje?
@hellen9467
@hellen9467 Жыл бұрын
Huyu ndo lucifer mwenyewe mungu atusaidie saana
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 6 ай бұрын
Alafu utamkuta Benson Isaya anahamasisha watu kwenda eti huyu ni mtumishi wa Mungu, ukweli uko dhahili wala mtu hasubiri kuonyeshwa.
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 6 ай бұрын
Si kile unaemsikiliza mtandaoni ametumwa na Mungu kuhubili au anaagizwa na Mungu, wengine wanafanya,wanaongea misandaoni kwa wayaonayo kwa macho yao. Kuwa ni mazuri
@Nchiyangu23
@Nchiyangu23 Жыл бұрын
Manyumbu ni wengi. Ukiitwa nyumbu pigana maana nyumbu haonagi mbali anaona mita 5. Ndio maana hata mwenzie akiliwa na simba yeye anaendelea kula nyasi pembeni. Haoni manyumbu ni wengi
@scimarctv10
@scimarctv10 Жыл бұрын
😂😂😂
@user-me8dj3xd9i
@user-me8dj3xd9i 4 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ghotmedia
@ghotmedia 8 ай бұрын
Mademu wa mtu hao ,,ila ushetani mtupu
@fridaminja7191
@fridaminja7191 8 ай бұрын
Yan mzee kakunja 4 kabisa jaman
@olivernyange2349
@olivernyange2349 Жыл бұрын
Eeh kazi,ipo,jmn wakristo mwenye akili na afahamu nyakati za mwisho.hiyo ni madhabahu ya kuzimu
@user-ue1vy6fe3d
@user-ue1vy6fe3d 8 ай бұрын
Yani jamani watazaniya tunaelekeya wapi hii kanisa ni lakishetani kabisa uyu nabii Joo Devi nishetani kabisa
@resianemaculate.
@resianemaculate. 9 ай бұрын
No fear of GOD in this church,How dare you Bring udunia Katina madhabahu ya Bwana?????????
@EnickoAlfredy-di7oe
@EnickoAlfredy-di7oe Жыл бұрын
Apoteae na azidi kupotea
@GMD820
@GMD820 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@josephsokhia
@josephsokhia Жыл бұрын
Mmmmh hapa hakuna kitu ibirisi ameyaficha machoni kwenu msiweze kuona ingawa mna macho na wala msisikie ingawa mna masikio
@GMD820
@GMD820 Жыл бұрын
Kweli j jmn
@Neymishytz2020
@Neymishytz2020 8 ай бұрын
Wako wap wale ambao walikua hawataki kuona akikosolewa na kusema watu wanamuonea wivu njooni mtuambie hili andiko lipo kitabu gani?????
@terryjohnartist7555
@terryjohnartist7555 8 ай бұрын
Heshimu madhabahu
@douglasochieno3358
@douglasochieno3358 8 ай бұрын
Huu ndio wakati wa mwisho MAKANISA ya mashetani ndio haya Sasa amepoteza watoto wa mungu wengi sana bila kuchoka hukumu ya mungu pia haitachoka nae
@matanobaya619
@matanobaya619 8 ай бұрын
😅 Nimeamini WATU wa kuzimu hawalali. Ukiwa na akili timamu utawajua tu!
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 8 ай бұрын
Hongera kwa kuwa na akili ya kuwajua. Maana utaona nae anawafuasi ndio utaelewa watu hawajui biblia
@wirangamochemba7063
@wirangamochemba7063 8 ай бұрын
Ni mbinu ya kutafuta dem akapige miti
@aftabpits
@aftabpits 9 ай бұрын
Mwanae ndio huyo Kamtoa sadaka,alafu mtasema huyu mzee hayupo fremason, Wacheni banah! Eh Mungu tulinde,
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 8 ай бұрын
Jameni ii imenifumbua macho ,sijawai ona haya tangu nizaliwe,nyumba ya Baba yangu sio ya walevi wala wanyanganyi,sasa haya NI yapi?
@riyadmanfuha9229
@riyadmanfuha9229 11 ай бұрын
Hati hallelujah?
@elizabethjeremiah8323
@elizabethjeremiah8323 Жыл бұрын
Nyie jaman Siamin macho yangu
@juliusgitonga363
@juliusgitonga363 Жыл бұрын
Pia hili ni kanisa?
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 8 ай бұрын
MATHAYO- 24:5 5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Haya mambo tunayapenda Sana
@enockniko9270
@enockniko9270 8 ай бұрын
Hawa manabii ukifatilia Huwa Wana Roho ya uzinzi
@PaulKashindye
@PaulKashindye 7 ай бұрын
Na huyo yaweza kuwa ni mfuasi tu wa shetan na ana wafuas wengi hivyo je shetan mwenyewe
@josphinenduta2011
@josphinenduta2011 8 ай бұрын
Lord!!
@annanaiman9321
@annanaiman9321 Жыл бұрын
Baba Nabii sikutegemea kitu Kama hichi kanisani,unamuabisha yes hadharani
@hanamakamba373
@hanamakamba373 7 ай бұрын
kiboko kuna mamiss kanisani
@user-oq6sh8qh5g
@user-oq6sh8qh5g Жыл бұрын
🎉kwa hapa nabii amejiongezea hekima kupita tumeitwa kuwa huru lakin Uhuru una mipaka yake
@edithmalima9153
@edithmalima9153 Жыл бұрын
yesu yupo mrandoni jaman tuanze kutubu
@eliayohana4798
@eliayohana4798 Жыл бұрын
Mmmmh hii ni mbaya tume pigwa hilo kanisa
@happinesskitali164
@happinesskitali164 Жыл бұрын
Hiyo mipasuo sasa eeeenh Mungu tusamehe watu wako
@erasmobenardsangu-1854
@erasmobenardsangu-1854 8 ай бұрын
sipisiti mkowepi mbonaamse miwaa chieni wainjiriti wafany. kaziyao msaidieni m,barikiwa s
@geraldjames8752
@geraldjames8752 8 ай бұрын
Mmh dunia ina mambo kweli
@LawiKalinga-n4e
@LawiKalinga-n4e 8 ай бұрын
Hapo ni disco na sio kanisa
@rosepallangyo1352
@rosepallangyo1352 8 ай бұрын
Ata wewe una tofauti Sasa na uyu wa ngurumi?
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 7 ай бұрын
Iri nikanisa ama Nini jamn
@edwinedward6404
@edwinedward6404 Жыл бұрын
Apa mmepigwa za uso
@user-do2wb3rb7h
@user-do2wb3rb7h 8 ай бұрын
Hahaha wacha wee nabii mkuu huyo
@user-ul8kt1cq9y
@user-ul8kt1cq9y 8 ай бұрын
Huu niushenzi😢😢😢😢😢 mtupu
@espoirmlondani-ue2fm
@espoirmlondani-ue2fm Жыл бұрын
Huyu muhuni mkuu motoooooo unakusubiri maana rehema kwako azipo kweli
@ELLYJ24
@ELLYJ24 Жыл бұрын
Hapo hakuna nabii mkuu hapo kuna najisi mkuu
@kilongozitv5343
@kilongozitv5343 8 ай бұрын
Bora mfalme zumaridi kuliko huyu nabii
@agreykacho1458
@agreykacho1458 Жыл бұрын
Huyu mtu kiburi ya pesa imemfikisha kule alikofika mfalme Manase aseeee dah ila haupo mbali na adhabu ya Mungu wacha kikombe ifurike tu tupo hapa
@rosehusein
@rosehusein 8 ай бұрын
Tena hafaii ht kusalisha watu kanisa gani ikahusiana na miss
@beatricekerubo2963
@beatricekerubo2963 8 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢Mungu analia
@BlandinaMassawe
@BlandinaMassawe 9 ай бұрын
Ni kanisa au kamuni jamani hatari
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 48 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 159 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
Ngurumo Ya Upako is live
3:40
Richard Iyanga
Рет қаралды 134