ALIYEFANYA MAUAJI AACHIWA, WANANCHI WAANDAMANA, DC ATOA TAMKO

  Рет қаралды 141,417

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 286
@bern1229
@bern1229 2 жыл бұрын
Ayo TV nawakubali Sana kwa taarifa za uhakika na za ukweli, mana mnafika hata vijijini ambako wengine hawafiki.
@marthahozza2964
@marthahozza2964 2 жыл бұрын
🥺🥺 nafikiri mungu alituletea late Magufuli ili tujue aina za viongozi tuliowah kua nao na alipomchukua mungu alitaka tuone utofaut pia Tuna viongoz wa ajabu sana 😓😓 mungu atusimamie
@nicolausside6783
@nicolausside6783 2 жыл бұрын
Misifie ww magufuli kwa kuwa wewe nibumbubu na hakupiga lisasi mtoto wako
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 жыл бұрын
@@nicolausside6783 risasi sio lisasi. MAGUFULI hakuna kama yeye. Ni mara 100 kuliko hiz mburura zilizobaki
@kingmtetezi6670
@kingmtetezi6670 2 жыл бұрын
@@nicolausside6783 acha usenge wewe chuki zako zipeleke kwenu Mugufuli alikupiga risasi wewe
@Tee-King
@Tee-King 2 жыл бұрын
@@nicolausside6783 naisi una miaka 7 😎.
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 2 жыл бұрын
RIP JPM
@godfreysamson3069
@godfreysamson3069 2 жыл бұрын
Hili jamaa kuu la wilaya liko vzur sema ndohvyo Tena angali watu wasije wakala kichwaa maana sirikali hata ikikoseaga Huwa hawatak kukosolewa Tena na mtu w a sirkali mwenzao kama wew ulivyokuwaa upande wa wananchi wako 👏 good job tunataka viongoz kama Hawa wasiobabaika Wala kupepesa👀.
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 2 жыл бұрын
Wanachi mliojitokeza kupinga dhuluma tunawapongeza sana endeleeni na moyo huo huo!
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 2 жыл бұрын
Gonga like Kama umeisikia rais wenu
@penuelybrayson4190
@penuelybrayson4190 2 жыл бұрын
😂
@kenosman4780
@kenosman4780 2 жыл бұрын
Toka Mzee wetu atwaliwe na mwnyezi Nchi hii usenge umekua mwing
@sazanahussen6715
@sazanahussen6715 2 жыл бұрын
Huyo nimboga ya wananchi aendelee kukaa uraiani ole wake💔🤮
@floraashery224
@floraashery224 2 жыл бұрын
Sema viongozi wa aina hii ya mkuu wa wilaya hawadumu nchi hiii iliyojaa uonezi na wizii
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Mungu ampigania mkuu wa wilaya🙏🙏
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 жыл бұрын
Sana uyu kwa maongezi haya tunaweza sikia mengine ndani ya wiki ijayo
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Hii serikali jamn kweli muuji simple tuu yupo nje kwa zaman inauma sana jamn has kwa Familia wanapomuon
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Kwa sasa Tanzania ina sheria mbili. Moja ya watu kama Sabaya. Na sheria nyingine ni ya watu kama Mbowe. Tanzania Kwa sasa wa lala hoi, hawana chawo. Wenye haki ni wenye fedha na wawekezaji.
@mamboleotv255
@mamboleotv255 2 жыл бұрын
NDOA YA YA MASANTURA {FULL MOVIE} /masantura /teddy /mima /rayana /mgoma kufa.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
Tanzania ya samia hiyo , ya wenye fedha tuu
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
Ndiomana watu wanajichukuria sheria mkononi wanauwa kabsaaa...serekari yetu ya hovyo sana rushwa zimetawala mbaka mahakaman mtu kauwa hanachiwaje aje hauwe tena wananchi fanyeni mamuzi yenu?
@mamboleotv255
@mamboleotv255 2 жыл бұрын
NDOA YA YA MASANTURA {FULL MOVIE} /masantura /teddy /mima /rayana /mgoma kufa.
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Hakika maumivu.
@happynelson1180
@happynelson1180 2 жыл бұрын
Hata hivyo huyo muuaji aliyeachiwa hatoishi kwa amani wananchi wenye hasira kali watamuinda usiku na mchana labda ahame nchi
@lawabidingcitizen3427
@lawabidingcitizen3427 2 жыл бұрын
Hao wanasheria wamejaa ofisi za umma. Sisi tumechezewa faulo na majaji Majaji watatu, rushwa ipo sana siku hizi!
@mamboleotv255
@mamboleotv255 2 жыл бұрын
NDOA YA YA MASANTURA {FULL MOVIE} /masantura /teddy /mima /rayana /mgoma kufa.
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Ndio maana raia hua tunajichukulia hatua mikononi dawa yake Kama wamemuachia mkimkamata mmalizenu tu ndivo wanavyotaka
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 жыл бұрын
Kabisa
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 2 жыл бұрын
Huyu mkuu wa wilaya anastahili kupandishwa cheo na kupewa mkoa kabisa, yaani tungekuwa na wakuu wa Wilaya wote ka hawa, tungefuta mikoa maana hakuna haja. Baba Mungu atakusimamia na kukulipa chapa kazi!!
@godfreysamson3069
@godfreysamson3069 2 жыл бұрын
👏🤝
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 2 жыл бұрын
Daa point kweli
@mamboleotv255
@mamboleotv255 2 жыл бұрын
NDOA YA YA MASANTURA {FULL MOVIE} /masantura /teddy /mima /rayana /mgoma kufa.
@danielkamendu2153
@danielkamendu2153 2 жыл бұрын
Mkuu wa wilaya Kama huyu mwingine yupo wilaya ya Ilala Dar es salaam
@abdonmwombeki2383
@abdonmwombeki2383 2 жыл бұрын
DC ana hekima...isipokuwa ana uchawa uchawa mwingi
@mzeeomary5780
@mzeeomary5780 2 жыл бұрын
Kipivi kaka mbona yuko poa tu
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 жыл бұрын
Wa kuwataka wananchi wampigie makofi samia😂😂
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 2 жыл бұрын
JPM WILL LIVE FOREVER. THE MAN WOULD HAVE MADE A TOUGH DECISION HIMSELF...KUANZA NA POLISI, WATUMISHI, NA MAHAKAMANI. LAKINI ANGALIA LEO WALIOKO CHINI HAWAWEZI NA WALIOKO JUU WAKO BUSY KWENDA UARABUNI. MSEMAJI AMESEMA "....NA WENGINE WANGEKUA WAMESHABWAGWA...."** KAMA HUJUI HUYU BADO ANA ITIKADI YA JPM SIO YA AWAMU HII YA UCHUNGUZI. NA HUYO DC MZUSHI...KAZI YA SERIKALI SIO USALAMA WA RAISA NI KUBWA ZAIDI YAANI KWA UWEZO HUO NDIO MAANA MAMBO MADOGO YANAWASHINDA...USALAMA WA RAIA NI KAZI YA JESHI TENA JESHI LA POLISI.
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 2 жыл бұрын
Umeongea vizuri DC yani siku hizi upelelezi umekuwa ndio Chakula
@mamboleotv255
@mamboleotv255 2 жыл бұрын
NDOA YA YA MASANTURA {FULL MOVIE} /masantura /teddy /mima /rayana /mgoma kufa.
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 жыл бұрын
Serikali yetu jamani' haki wanyonge hatuna haki
@dionisiabaynit2916
@dionisiabaynit2916 2 жыл бұрын
Ombay unabusara Sana babaangu Mwenyezi Mungu akutunze
@jennytugara9470
@jennytugara9470 2 жыл бұрын
Dhamana Mtu aliefanya mauaji hapana Wananchi lazima sasa waamke usingizini wananchi sio maboya tena hakuna masihara na upuuzi umefika mwisho!!!!
@kiddmagrking1647
@kiddmagrking1647 2 жыл бұрын
Watanzania muache kujifanya mnajua sana sheria ....unajuaje km ameachiwa baada ya kuonekana hana hatia
@jennytugara9470
@jennytugara9470 2 жыл бұрын
@@kiddmagrking1647 kwa hiyo Maiti aliyochoma kisu ilifufuka au? Sawa wewe unajua sheria lkn hii ni universal kesi ya mauaji hainaga dhamana.
@kiddmagrking1647
@kiddmagrking1647 2 жыл бұрын
@@jennytugara9470 hio ni kazi ya polisi na mahakama sio kazi yako wewe ...yaani hujui hta sababu iliyofanya wamuachie unapayuka tu kupitia vidole vyako
@jennytugara9470
@jennytugara9470 2 жыл бұрын
@@kiddmagrking1647 unafikiri huo umati wote hawakwenda shule ndio maana wanapayuka acha madharau hivi ndivyo rushwa ilivyoota mizizi Mr get it. Sasa mwizi wa ngombe siku 52 Muuaji wiki mbili hata mwendawazimu haitaji majibu hapa!!!!!
@kiddmagrking1647
@kiddmagrking1647 2 жыл бұрын
@@jennytugara9470 huna mamlaka ya kumuita mtu muuaji halafu ushahidi huna kipi kinakuaminusha kwa 100% kwamba huyo mtuhumiwa ndio muuaji?
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 жыл бұрын
Safiii Sana baba umeongeaaaaa ukwel kbsaaa hii rushwaaaa kbsaaaaaa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@idinado4524
@idinado4524 2 жыл бұрын
Ila kusema ukweli police ndio wanoongoza tanzania kwa lusho niwatu wabaya sana viongizi watuone tunanyasika
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
wamefahamu nzuri ya kuwa , kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake "
@chinamichael3340
@chinamichael3340 2 жыл бұрын
Wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji na wapo gerezani wapewe dhamana kupunguza msongamano Sasa.
@yusramadodo8269
@yusramadodo8269 2 жыл бұрын
Serekali ya mama samiya haifai wamedharau serekali ya mama samiya mauwaji yamekuwa mengi sana Tanzania
@leinaamos
@leinaamos 2 жыл бұрын
Kunawakati nikifikiria sana nakosaga neno LA kusema zaidi ya machozi kunitoka E Mwenyezi Mungu tusaidie
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 жыл бұрын
Wakiliona waliue. Sheria mkononi bora
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 2 жыл бұрын
angekua magufuli hai wasingejaribu kufanya ushenzi hii yote ni madharau Kwa mama s jamani Tanzania imekua Kongo Kwa mauaji poleni Sana ndugu zangu haya ni majaribu yatapita tu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
Tanzania kwa mauwaji chini samia "gunia tupu ' imekiwa kuliko congo kwa mauwaji
@hindisaid2413
@hindisaid2413 2 жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 we Una chuji binafsi na raisi Kule nyuma kulikua kunaokotwa maiti pwani na wasiojulikana ndio wauwaji Samia alikua makamo wa raisi
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
@@hindisaid2413 maiti hizo aliziona tundu lisu tuu na wewe ? pwani ya wapi ziliokotwa hizo maiti , kama unangeleo kibiti wauwaji wanajulikama , walikuwa ni magaidi wa kiislamu , pia ongele maiti 36 za wamasai wa ngorongoro walio uliwa na utawala za samia , samia kalishwa rushwa na waarabu akawauwa wamasai kwenye ardhi yao . vipi wamachnga wanawindwa kwa tochi kama paa na samia ,. hao askari wa samia wakikukamata wanakukwapua kila ulicho nacho .. na wanauwa kila siku .
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 2 жыл бұрын
Kitabu cha "KUSADIKIKA", mwandishi Shaban Robert, Majivuno waziri mkuu wa nchi ya Kusadika anampinga Karama kwa kitendo chake cha kuanzisha elimu ya sheria katika nchi ya Kusadikika. Waziri mkuu Majivuno anasema " elimu ya sheria ni elimu ya kupingana na sheria". Kuwa askari na kuwa mwanasheria ni kazi zinazohitaji sana hofu ya Mungu na uadilufu wa hali ya juu.
@toniychambo8624
@toniychambo8624 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 2 жыл бұрын
Mkuu hoyeee wapi vibe la mkuu wa wilaya
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Daaaaaah m2 anaua thn anapata dhamana😭😭😭😭
@ibrahimusen8713
@ibrahimusen8713 2 жыл бұрын
Ndio nchi yetu ya sasa
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 2 жыл бұрын
Rais wetu Mpendwa J.P Magufuli umelala Mapema sana baba yëtu sisi wanao twauwawa kama Kuku
@ezekielsimon1193
@ezekielsimon1193 2 жыл бұрын
Nani ambaye hatakufa? Achane izo ata enzi zake watu walikuwa wanakufa
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 2 жыл бұрын
Wamempa matango tango
@olenyghosho7008
@olenyghosho7008 2 жыл бұрын
RIP jpm, kweli tutakukumbuka,hii serekali hiyo ni ya ajabu
@malakigerald8586
@malakigerald8586 2 жыл бұрын
Watu wanaojielewa wanajisimamia safi sana.
@sabatoelia312
@sabatoelia312 2 жыл бұрын
Mkimaliza mkaangalie mahubiri Jion azam 466 chanel. Karatu net event kila jion
@mussaathumanimshema7725
@mussaathumanimshema7725 2 жыл бұрын
Watanzania tuliletewa JPM na akaishi kwamudamfupi ili tujifunze natujue aina ya viongozi na uborawao,,hakika JPM atakumbukwasana
@ezeedi871
@ezeedi871 2 жыл бұрын
Hakika yaan
@lindaadolph4600
@lindaadolph4600 2 жыл бұрын
Iludiweeee...🙋🙋🙋
@leahsamson9354
@leahsamson9354 2 жыл бұрын
TUMERUDI KULEE ALIKOTUTOA MAGUFULI
@kenosman4780
@kenosman4780 2 жыл бұрын
Siasa inaingilia vtu vya msing, mkuu WA wilaya maneno mengi sn
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Sanaaaa.wamekula rushwaa. MAGUFULI AMEONDOKA SASA WANAFANYA UNYAMA BILA WOGA.
@ejulaizerjulaizer128
@ejulaizerjulaizer128 2 жыл бұрын
Mkuu wa wilaya umeupiga mwingi sana tunapenda viongozi kama hawa wanaopaza sauti kwaajili ya wananchi
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 жыл бұрын
Magufuli lala salama baba
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 жыл бұрын
Ifike mahali tufanya kama wachina wao wanalipa damu Kwa damu aiwezekani mtuhumiwa anaachiwa wakati msiba bado ikibidi ndugu WA marehe walipe kisasi wenyewe
@michaelkwatlema2124
@michaelkwatlema2124 2 жыл бұрын
Tatizo ndugu ndio hao hao muuaji ana alieuawa wote familia moja
@abdallahsuleimani7416
@abdallahsuleimani7416 2 жыл бұрын
Sio wachina tu hata waarabu damu Kwa damu
@rehematanzania7196
@rehematanzania7196 2 жыл бұрын
Hahaa kweli warusha wakinunuliwa wanafuta kez weka ndani hao wenyekit badala ya huyo muwaji
@uviko8848
@uviko8848 2 жыл бұрын
Kashatolewa nje tayari, kwani visu vinauzwa shilingi ngapi.
@husseinmaula4217
@husseinmaula4217 2 жыл бұрын
Huyo mpelelezi anakukebehi mkuu cheki anavyokutaza ungeanza na yeye hapo tuone kama anaweza kujipeleleza.
@bestkaunda7708
@bestkaunda7708 2 жыл бұрын
Kwa hilo mtanishauli 👍👍👍
@annastaziamwita6937
@annastaziamwita6937 2 жыл бұрын
Dc ur intelligent
@grandpa7720
@grandpa7720 2 жыл бұрын
Very smart & fresh man.. ila ilo backvocal la wananchi sasa😂😂
@fakiikibakola1300
@fakiikibakola1300 2 жыл бұрын
RIP magu
@abednego3876
@abednego3876 2 жыл бұрын
🤣😂 uandamaji wa bongo bn. 😂
@josephatanazi2190
@josephatanazi2190 2 жыл бұрын
Osidii mwenyewe kavaaa miwani mweusi ili asionekane macho happy akuna kazi
@aishakimaro9758
@aishakimaro9758 2 жыл бұрын
Mmh mwendo wa kucheza rede ngoja name nikakojoe nikalale maana niule mchezo wa tangulia kaniwekee nafasi mm bado nakula maisha kitaa mmh ila Mungu yupo
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Kwani kesi ya mauaji ina dhamana Tanzania nchi ya mavi kunuka
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 жыл бұрын
😂😂😂Sorry!Nimejikuta nacheka,lkn umeongea kweli
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 2 жыл бұрын
Mtu anaua anaachiwaje?ehh
@halpajordan2841
@halpajordan2841 2 жыл бұрын
Apo Kuna vitu viwil, rushwa iliotukuka na ushilikina
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu tuteteeeee yarabi rushwa imezidi lakini r. Sikuhizii hatuna pakwenda kulalamika tukasikilizwa
@jehidahamisi2404
@jehidahamisi2404 2 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa wilaya.
@franciscakija1702
@franciscakija1702 2 жыл бұрын
Kilichokabi alipo achomewe Hadi nyumban na yeye afia mbele
@godlivasanyawitimu9048
@godlivasanyawitimu9048 2 жыл бұрын
Yan huy wamemtowa ili wanaichi wamuuwe wao wameshindwa
@mosesmosesmuhia6869
@mosesmosesmuhia6869 2 жыл бұрын
Anyongwee
@msuyatztv5201
@msuyatztv5201 2 жыл бұрын
Dc ana akili nyingi sana
@zeddybass6672
@zeddybass6672 2 жыл бұрын
Hivi Hawa wanaoandamana wanajua uchungu wa mapenzi au wanashabikia tu
@francisedson904
@francisedson904 2 жыл бұрын
Tanzani hakunaga serikali bali kuna ujinga wakutosha ktk kukandamizaji wa haki na sheria
@albatrose9865
@albatrose9865 2 жыл бұрын
Hawa ni watu wenye kujielewa,siyo kama waarusha wakinunuliwa piwa wanafuta kesi..
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@zainabhatib4411
@zainabhatib4411 2 жыл бұрын
Umenikumbisha piwa 🤣🤣🤣🤣
@mkalywagoka9913
@mkalywagoka9913 2 жыл бұрын
Hukumu ya muuwaji ni kuuwawaaaa
@frankandrew3202
@frankandrew3202 2 жыл бұрын
Sheria ifate mkondo Wake
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 2 жыл бұрын
Mpigieni makofi Raisi wenu mama samia
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 2 жыл бұрын
Hivi muuaji anapataje dhamana????? Hiii nchi Sheria wanaijua kweli??? Hapana,hapana.hakimu nawote waliohusiku futilia mbali hao.fyuuuuuuuu.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 жыл бұрын
Hata mtoto wa cku moja haiingii akilini,Mungu atawauwa hadharani.
@neykessy8998
@neykessy8998 2 жыл бұрын
😭😭😭
@efraimobadia4944
@efraimobadia4944 2 жыл бұрын
Tupate WAPI viongoz wenye akili km HUYu Dc
@nmconsultinggrouplimitedpr245
@nmconsultinggrouplimitedpr245 2 жыл бұрын
Ukiona hivyo jua serikali inadharauliwa, huwez muua mtu aliyeiba kuku, halafu aliyemuua mwenzake aachiwe anapeta, jamani mi naona hawa watu tuwe tunamalizana nao humo humo tu, police mahakama tena wanaangalia pesa tu
@SamsungGalaxy-kx2zj
@SamsungGalaxy-kx2zj 2 жыл бұрын
Ndugu unamtetea mpelelezi mwana sheria hamuhusu mwana sheria
@matwigabakari8482
@matwigabakari8482 2 жыл бұрын
sasa mkuu wa wilaya wakati unatoa hayo maelekezo ilitakiwa askari tayari wawepo eneo la tukio kwenda kuwakamata hao wahusika....otherwise watakimbia wote hao
@monicahovda5890
@monicahovda5890 2 жыл бұрын
Hivi hawa, Wabaofanya hizo kazi za ujaji mahakamanu wanafikiri ni wako katika kucheza Makida, Makida, tena hakuna kazi ngumu kama hizo, Maanake unaweza Ivuruga Jamii, na ukalibeba wewe Zigo lote. Hajaona huyo hakimu Tena week hii Miland Ayo Imelipot toka Njombe waliofanya kesi ya Mauaji huko Njimbe wamehukumiwa kunyongwa. Alafu yeye huyo Hakimu anacheza Makida Makida
@namelockmaasailady8002
@namelockmaasailady8002 2 жыл бұрын
Ww mpelelezi huoni aibu???🙆🏻🙆🏻🙆🏻
@mpjackson9543
@mpjackson9543 2 жыл бұрын
Mwandishi kuwa na weledi wa kuwasilisha ujumbe ,wewe unasema polisi wamemuachia mara mahakama imemuachia lipi tulielewe hapo
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 2 жыл бұрын
OCD yupo vizuri ila hasahau kumfagilia aliyemteua.
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 2 жыл бұрын
Museme musiteswe mungu
@salmanmagwe222
@salmanmagwe222 2 жыл бұрын
Ila wa TZ tunapenda kuilaumu serikali kwa kila kitu,huku tunaiacha MAHAKAMA ikidunda tu kwa madudu mengi na huku wanasema hawataki iingiliwe, Ni vizuri sheria zirekebishwe ili tuweze kuilaumu Mahakama waziwazi kama tufanyavyo kwa SERIKALI, badala ya kujificha kwenye RUFAA.
@biggievandar254
@biggievandar254 2 жыл бұрын
Serekali hyo haya langu jicho rest in peace jpm
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
DC mbona unazunguuuka toa kauli moja iishe bc mtu kafa unamlembea lembea tu
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Mtihani
@gabrielymatembo8770
@gabrielymatembo8770 2 жыл бұрын
Mh....hapo siyo bure kuna kitu
@SamsungGalaxy-kx2zj
@SamsungGalaxy-kx2zj 2 жыл бұрын
Unaonyeshe ww mwenyewe wa kwanza kula hongo kwa sbb huja towa ukweli wa kauli yako pia kikubwa zaidi hujatowa amri ya kukamatwa muhusika tatu unamlalamikia mwana sheria kuliko kulalamikia police
@maulidmwamba6645
@maulidmwamba6645 2 жыл бұрын
Huyu Mzee wa kwanza amejua kumzungumza kiundani zaidi
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Ata ukukwetu bukoba kijiji busingo uku kamachumu kijana wa miaka 20 alimuua ndogo wake wa miaka5 ndogo wake wa kambo akukaa magereza ata miezi3
@Elizabeth-777-r3p
@Elizabeth-777-r3p 2 жыл бұрын
Poleni sana kweli
@mussaharun7257
@mussaharun7257 2 жыл бұрын
Wananchi wa Mbulu, Karatu, Singida, wamekuwa na uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.
@ibraheemiddy8612
@ibraheemiddy8612 2 жыл бұрын
Watu wamechoka bhana
@amolonyogea8686
@amolonyogea8686 2 жыл бұрын
Yaani dogo tumemzika ijumaa ya tarehe 1 alafu muuaji anaachiwa huru tarehe 5 daaaa 😭 kweli pumzika MWAMBA JPM
@rehemajuma9733
@rehemajuma9733 2 жыл бұрын
Huyu atakua mboga ya wananchi kma sheria haitachukua mkondo wake...moyo wenye maumivu ni moyo mgumu mnooo kuondokewa na ndugu au mtoto sio kwa mapenz ya mungu inauma sana
@zikenims6167
@zikenims6167 2 жыл бұрын
Mtafuteni mmalizen wenyewe police mahaka Na hao vilanza wengine Lao Rushwa tu
@nottyally9187
@nottyally9187 2 жыл бұрын
Sasa aende ndani wa nn kama katoka nayeye auawee
@nottyally9187
@nottyally9187 2 жыл бұрын
Nyie wana kijiji mnamatatizo,...mletea mbuzi mchinje amnaleta kelele kimyakimya
@jenjoseph7270
@jenjoseph7270 2 жыл бұрын
😱😱😱
@richardburengengwa6998
@richardburengengwa6998 2 жыл бұрын
Magufuli yupo waze
@imeldasamwel539
@imeldasamwel539 2 жыл бұрын
Pgen mpelelez huyo wamezid 🤣🤣🤣🤣
@emanuelandedela2771
@emanuelandedela2771 2 жыл бұрын
changa LA macho poleni
@danielrwegasha5063
@danielrwegasha5063 2 жыл бұрын
Mkuu unapenda ushauri ..halafu unasema wakamatwe s watatoroka?
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
SMALL FISH NDIO DAGAA AU ? 😂😂🤣
1:01
Millard Ayo
Рет қаралды 1 М.
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН