Aliyefungwa miaka 30 jela kwa kuponda nyeti za mtoto, afungwa tena miaka 30

  Рет қаралды 2,485

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

16 күн бұрын

Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Morogoro imemhukumu Mohamed Salange (38) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la kumbaka mtoto wake wa kike wa kufikia wa miaka 12.
Mei 3, mwaka huu, Salange alihukumiwa kifungo kingine cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na kosa la ukatili dhidi ya mtoto wake wa kufikia mwenye miaka tisa.
Katika kesi hiyo alidaiwa kwa nyakati tofauti, alimfanyia ukatili mtoto huyo kwa kumng'oa meno, kumchoma moto sehemu ya juu ya mdomo na kwenye makalio, kumpiga na kumvunjavunja mkono na kuvunja korodani kisha kumtoboa sehemu ya ngozi ya uume wake.
Leo katika kesi yake ya pili ya ukatili, Salange akisomewa hukumu hiyo na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Renatus Barabara amesema Mahakama hiyo imejiridhisha pasipo na shaka kwamba baada ya kupitia ushahidi uliotolewa na upande wa mlalamikaji, mshtakiwa anayo kesi ya kujibu.
“Kwa mujibu wa sheria ya 130 (1) kifungu cha 2 (e) na sheria ya 131, kwa kuzingatia uzito wa kosa, umri wa mwathirika, ni dhahiri yako madhara ya kiakili, kifikra ameyapata, hivyo Mahakama inatoa adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela ili iwe fundisho kwake na kwa wengine wenye tabia kama hizo,” amesema Hakimu huyo.

Пікірлер: 15
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 15 күн бұрын
Jamani ukatili mkubwa huyu anyongwe kabisa mshenzi mnyama haswa 😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k 15 күн бұрын
Anyongwe au akaolewe jela
@muzneali4747
@muzneali4747 15 күн бұрын
Hili linyongwe tu
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 14 күн бұрын
Hivi selikali kwann msiwanyonge majangili ya Aina hii Haya matukio yamezidi mkiwanyonga hata wengine wataogopa mbwa hawa
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 15 күн бұрын
Sula lake tuu linaonekana jangili 😡😡😡
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 15 күн бұрын
Mtu mwenyewe anyone kana mvuta bangi
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 15 күн бұрын
Watu makatili jamani dah
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 14 күн бұрын
Lichomwe moto moto,huo ni uuwaji.
@isacklaurent8948
@isacklaurent8948 14 күн бұрын
acheni usenge uyu nowakunyongwa kesi zte hzoooo
@muzneali4747
@muzneali4747 15 күн бұрын
Jitu zima shenzi kabisa na yeye huko JELA azoeshwe mpaka azoee
@swaumimmam4228
@swaumimmam4228 14 күн бұрын
Yaani kweli huyu ni wakuendelea wakusikilizwa kesi jamani siwamnyonge tu mbakaji muuaji hee huyu ni zaidi ya katili
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 14 күн бұрын
Hili nalo si kuchoma tu sindano ya maji😏😏
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 14 күн бұрын
Mh
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 14 күн бұрын
Mimacho ti inatiisha
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 14 күн бұрын
Mbwa wewe
Historia ya Ephagro Msele anayedaiwa kuawa na mkewe
6:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,6 М.
Miracle Doctor Saves Blind Girl ❤️
00:59
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 42 МЛН
Когда на улице Маябрь 😈 #марьяна #шортс
00:17
| HAITI DEPLOYMENT | What is Kenya Walking into?
24:13
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 2,2 М.
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 158 М.
Family of victims react to Chad Daybell death sentence
19:33
Mama wa 'mchepuko' anayedaiwa kufanya mauaji ya Msele afunguka
2:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 6 М.
Waombolezaji watoa ya moyoni kwenye mazishi ya anayedaiwa kuuawa na Mkewe
4:14
President William Ruto arrives for Madaraka celebrations
7:01
KTN News Kenya
Рет қаралды 88 М.
Miracle Doctor Saves Blind Girl ❤️
00:59
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 42 МЛН