ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA MANGE KIMAMBI APP ACHAFUA HALI YA HEWA/ SIRI ZOTE HADHARANI.....

  Рет қаралды 11,326

BinaTv

BinaTv

Ай бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

Пікірлер: 15
@songamberetv2219
@songamberetv2219 Ай бұрын
Ivi media zingin hazinakazi zakufanya ona iyo rundo ya micro wakisikiya mavi tu musaliti kashachafuwa watu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Pumbaaavu umechafua watu weeeeengiiii kisa pea saa hii unajishaua kwendraaaaaa
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Ай бұрын
Hii ni mange kimambi wamekuja na jina lingine😢😢
@FatmaChezo
@FatmaChezo Ай бұрын
Yaninyinyi, mmechafua watusana , nakama wengine, wangejitoa uhai, sijui leopia mngejieelezea hivyopia,
@ashaali7154
@ashaali7154 Ай бұрын
Familia yako ikiwa ya wakubwa ndio tukuogope? Wewe ni msaliti tu unajikosha sasa wakati umeshaharibu maisha ya watu wengi. Peleka biashara yako huko kwa Mange acha kudanganya watu hapa.
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 Ай бұрын
Kwahiyo ukiwa una watu wazito serikalini ndio uogpewe ? Maana kama unajisifu una wqtu wakuvwq so kila mtu Tanzania ana haki sawa na hao wakubwa unaotamba hapo mbele ya waandishi wa habari, nenda huko huna haya eti Familia yako ya watu wakuvwa SO WHAT?
@annamussa185
@annamussa185 Ай бұрын
Huyu Dada ananuka mdomo braaaaa
@brendajulius2995
@brendajulius2995 Ай бұрын
Hamna lolote mnatembelea nyota nyau weusi nyie yani wameona anafaidi sanaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Ай бұрын
Ujinga tu Kwan mange alikuwa anatangaza nn zaid ya kudhalilisha watu kwaiyo unakaa kabisa mbele ya kioo unasema ulikuwa mfanyakaz wa mange😮, na hizo MC mmejaza mezan za MIDIA gani au mmetoa dukan na kuweka mezan
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 Ай бұрын
Hamna kitu hapo
@annamussa185
@annamussa185 Ай бұрын
Pumbavu uzito wa nyoko
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 Ай бұрын
Eti wakubwa😅
@ashaali7154
@ashaali7154 Ай бұрын
Huna lolote unataka kutangaza biashara yako kwa kutumia mgongo wa Mange wewe mbona ni msaliti tu? Hakuna wa kukuunga mkono wewe ni sawa na huyo Mange wote wamoja wanafiki tu.
@listoncharles4612
@listoncharles4612 Ай бұрын
Upuuuzi mtupu
@salama1113
@salama1113 Ай бұрын
Subiri tutakavyo fungwa minyololo ndomtajuwa haujui😂😂😂
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 36 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 19 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Chapitosiki
Рет қаралды 3,3 МЛН
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 4
36:03
ZamaradiTV
Рет қаралды 27 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 1
26:44
ZamaradiTV
Рет қаралды 21 М.
Workshop | AI: A Serious Look at Big Questions (Standard Format)
2:34:24
Harvard Data Science Initiative
Рет қаралды 32 М.
Фильм про побег от родителей
0:59
Holy Baam
Рет қаралды 3,7 МЛН
Фильм про побег от родителей
0:59
Holy Baam
Рет қаралды 3,7 МЛН
Аниматоры в форме СПЕЦНАЗА: Именинника разыграли
0:21
Собиратель новостей
Рет қаралды 12 МЛН