JAMAA AIBUA MAPYA MBELE YA WAZIRI MKUU " NAOMBA ULINZI NATISHIWA KUUAWA , NALALA CHOONI NIMEJIFICHA"

  Рет қаралды 272,038

Millard Ayo

Millard Ayo

10 ай бұрын

Пікірлер: 232
@rahellubandila1928
@rahellubandila1928 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mhe Majaliwa kumsikiliza huyo mwananchi umenikumbusha enzi ya baba yetu mpendwa wetu Magufuli barikiwa kiongozi wetu
@Combinemedia7569
@Combinemedia7569 9 ай бұрын
Am a kenyan but i congratulate the tz prime minister ,,,,,he has revive the magufuli era kudos PM am proud as an efrican thumb up majaliwa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 10 ай бұрын
Daah hii nchi aisee😢😢😢 wananchi tuna fanywa kuwa kama wanyama tuna onewa mno😢
@josephlorri431
@josephlorri431 10 ай бұрын
Utapewa kesi ya uchochezi, hata uhaini watakupa..
@ednaJF1028
@ednaJF1028 10 ай бұрын
Yani ndo mana huwa naona nivigumu kweli kuishi huko kama hujazoea mana huwa kama hakuna sheria hata ukiwa na haki hakuna mtu anayekusikiliza kabisa mana kila kona rushwa imejaa so disappointed about our country 6:50 6:50
@maswamills3161
@maswamills3161 10 ай бұрын
Sana😭😭
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 10 ай бұрын
Huyu ndio kiongozi wa kweli shujaa Wanguuuu Wengine Siwatambui
@barakaabel482
@barakaabel482 10 ай бұрын
Ni busara kusikiliza shida ya mtu!!!! Gud
@maswamills3161
@maswamills3161 10 ай бұрын
Baba kweli.🎉
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 8 күн бұрын
Kweli waziri mkuu unayo hekima kubwa sana na ni msikilizaji mzuri
@cleymmasi-ke5ly
@cleymmasi-ke5ly 10 ай бұрын
R i p John pombe magufuli😭😭😭😭😭😭😭😭 jamani watanzania tunakukumbuka sana raisi wetu huyu ulie muacha nisije nikaongea sana nikajikuta sentro
@diyembarak5506
@diyembarak5506 7 ай бұрын
Ndio ushaongea hivyo 😂😂😂
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 10 ай бұрын
Mheshimiwa waziri mkuu msaidie huyo mtu kunawatumishi wenu wananyanyasa sana wananchi
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 10 ай бұрын
Mimi nina kwambia hivi ,kuna watu wanajifanya Miungu watu, R.I.P Magufuli
@emmanuelndotela9412
@emmanuelndotela9412 10 ай бұрын
Kuna watumishi hawapo kwaajili ya kuwasaidia watu
@Ak-yaska
@Ak-yaska 10 ай бұрын
You see my friend it's you've presidential ambitions but never outshine your master ❤
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 10 ай бұрын
Alhamdulillah mollah akupe afya njema Baba majaliwa uzidi kusikiliza wanyonge 🇹🇿🇦🇪❤️
@maswamills3161
@maswamills3161 10 ай бұрын
AMEN.Anafaa kuwa Rais kabisa.
@amanisaid9863
@amanisaid9863 10 ай бұрын
Waziri wangu wa nchi yangu nakukubari sana kwa kazi zako Mungu akusimamie sana
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 9 ай бұрын
Hapo hakuna utekelezaji ndgu, huyo ndio kishaachwa, na atakachokutana nacho hukoo atajutia maamuzi yake, hiyo ndio serkali ya ccm
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 10 ай бұрын
Ks mmeangalia vizuri kuna mpuuzi aliyeokota zile nyaraka zake na kuanzia kuzichana . Tazameni tena vizuri. Hii ilikuwa kukicha au kuharibu ushahidi wake. Angalia pale alipotoka risiti akazitupa chini aliyeokota akaanza kuzichana . Ilibidi wazuri apewe clip aitazame ataona watu wake anaozungula nao
@upendosanga9205
@upendosanga9205 10 ай бұрын
Kweli anazichana jaman
@willegamba1479
@willegamba1479 10 ай бұрын
Duh ni kweli
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 10 ай бұрын
Kweli hata mimi nimeona 😮😮😮
@gracemwakibolwa7910
@gracemwakibolwa7910 10 ай бұрын
Namimi nimeona nimeahangaa sana anazichqna jamani roho mbaya sana sana.hongera sana waziri mkuu kwa kumsikiliza huyo baba.
@alexvenas2699
@alexvenas2699 10 ай бұрын
Hapana jamani alikuwa anaziweka kwenye bahasha then zikawa zinafondoka,ukiangalia mkono wake wa kushoto ameshika bahasha ndogo anaziweka
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 10 ай бұрын
Mi kizazi utawala wa Nyerere jinsi navyona Tanzania inazidi kwenda chini ktk mandereo ktk sectors zote nchi aina heshima rushwa kila sehemu that is sucks system need to be fix. RIP magu.
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 10 ай бұрын
Da Mungu atusaidie sana Waziri mkuu nakumba umsaidie uyu bwana anawatoto wanamtegemea
@EliasSimkonda
@EliasSimkonda 10 ай бұрын
Kweli kuna jamaa abeokuta hizo risit na kuanaza kuzichana ,tafadhalini vyombo husika vimchukulie hatua za kisheria.
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 10 ай бұрын
Nchi ngumu sana yani mtu analia mwingine anafuta ushaidi
@jurakijuraki8870
@jurakijuraki8870 10 ай бұрын
Asante sana Mh Rais ajaye Mungu akutangulie nakukubali sana nakuheshimu sana pia nakuombea sana kiongozi wetu msikivu mwenye busara na hekima Mwenyezi Mungu akulinde PM
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 10 ай бұрын
Apambane kwanza na uyo alichana nyaraka hapo
@maswamills3161
@maswamills3161 10 ай бұрын
Anaifanania Ikulu Majaliwa
@BGHaule
@BGHaule 9 ай бұрын
Huyu jamaa HAYUPO vizuri kiakili
@servantofalmightygoddranth2511
@servantofalmightygoddranth2511 10 ай бұрын
Ili chizi apo pembeni na mkitambi wake linachana risiti, hii nchi John pombe Magufuli peke yake ndio aliiweza
@zainabwage4658
@zainabwage4658 10 ай бұрын
Wanakataa kufanya kaz walizotumwa wamekuwa wala dhuruma za watu kesho kwa mungu sjui mutasema nn 😢
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 10 ай бұрын
Tenda baba, Mungu akuwekee wepesi
@KhalidKhan-ud9cz
@KhalidKhan-ud9cz 10 ай бұрын
Tanzania Dar Esalam mzuri Sana kweli nakupenda sana kweli 💖💕💖💕
@user-sb2he7yi5v
@user-sb2he7yi5v 10 ай бұрын
Etty unaomba ulinzi😅😅😅😅😅😅
@denisrwegasila2688
@denisrwegasila2688 10 ай бұрын
Huyo jamaa mwenye kitenge alikua anachana baadhi ya riziti wote mmemwona
@fahamumbava3702
@fahamumbava3702 10 ай бұрын
5:20 anachana risiti kupoteza ushahidi
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 күн бұрын
Allah akulinde na akuhidadhi
@eliadaniel216
@eliadaniel216 10 ай бұрын
Mwenyezi Mungu amsaidie huyu bro kiukweli ukitizama na kusikiliza kwa pupa hutomuelewa ila ukweli wafanya biashara bahazi wanapata shida sana na kupolea hela kinguvu aisee inaumiza sana hii
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 күн бұрын
Oooh allah jaalia amani dunia nzima❤❤❤
@johnmahu5060
@johnmahu5060 10 ай бұрын
Jmn wafanyabiashara wanateseka e Mungu utuokoe na mfumo hu mbovu wa ccm Mungu aturehem
@juliusisack4090
@juliusisack4090 10 ай бұрын
Ilaa apo angakuepo magufuli 😂 kuna watu wangekosa vibarua apo apo
@Nedjadist
@Nedjadist 10 ай бұрын
Yaani Waziri Mkuu ana moyo wa kucheka ju ya hili?!
@dostovan5142
@dostovan5142 10 ай бұрын
Wanafanya show off ty
@juliusisack4090
@juliusisack4090 10 ай бұрын
Waziri mkuu kasimu majaliw atakuja kua raisi wa inchi anafaa sana ❤
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 10 ай бұрын
Hakuna kitu hapo niwalewale chuma ni Magu tu rest in peace
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 10 ай бұрын
​@@johnsonsabanya5860haswaa😢umeona mwanzoni alivokua anataka atulie
@silverman6930
@silverman6930 10 ай бұрын
Always maskini wote wanapata shida sana ni shida 😢
@mikidadymohammedy7603
@mikidadymohammedy7603 10 ай бұрын
Ni kwel ndugu shida tupu
@agriculturalmechanisation4128
@agriculturalmechanisation4128 10 ай бұрын
This is the new Magufuri 🎉👏👏👏👏
@Gracemima
@Gracemima 10 ай бұрын
No not yet. Magufuli was exceptional. The vice president. He praises the president for doing nothing. Corruptions has become the way of life.
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 9 ай бұрын
Ndio unavyojidanganya?
@judicalosika7642
@judicalosika7642 7 ай бұрын
Hakuna Magufuli hakuwa m-Tanzania wa kawaida
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 10 ай бұрын
Mmmmmmh nini kumnyanyua kama mwizi kihivyo!!
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 9 ай бұрын
Hii ndo faida ya kusikiliza unaowaongoza,Mungu akubariki majaliwa
@godfreymwendawila
@godfreymwendawila 10 ай бұрын
Imeisha hio unafalijiwa tu ili siku ipite wote hao ndo wale wale hakuna msaada hapo
@nyandajr
@nyandajr 10 ай бұрын
Natamani angekuwepo magu wangemalizana pale pale
@cosein
@cosein 10 ай бұрын
Magufuri masikin angekuwepo duj
@ednaJF1028
@ednaJF1028 10 ай бұрын
Hiyo ujinga isingekuwepo wangepewa msisitizo hapo hapo kupata jibu. But since he's not anymore we are finished ooh!!
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 10 ай бұрын
Kweli hata mimi nimerudi a tena baada ya kusoma comment alievaa shati ya rangi ya pink amezichana risiti
@robertphilip385
@robertphilip385 10 ай бұрын
Hi nchi kilakitu nikushangilia kilakitu jamani niwaambietu ccm ishafeli katiba mpya ndo dawa pekeyake
@innocentyusuph7762
@innocentyusuph7762 9 ай бұрын
Ungelikuwa Ris ungepezea sana
@karimkassam571
@karimkassam571 10 ай бұрын
Naahangaa huyo anayechana hizo risiti sijui anamaana gani
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 күн бұрын
Oyeeeee❤❤❤❤
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 10 ай бұрын
Atupe namba za simu ili tuwe tunampa data
@japhetlaizer3919
@japhetlaizer3919 10 ай бұрын
Da! Mheshmiwa wazir mkuu msaidie huyo mungu awalinde
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 10 ай бұрын
Wewe waziri mkuu tia neno kwa mtoto warda Usijitoe fahamu Umetoka nao njia moja fanya kitu kwa Aliyo potea warda waziri 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 10 ай бұрын
Mh yani kunamambo yana shangaza sana duniani
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 10 ай бұрын
Ccm, Mi nafikiri mpumzike tu, Sio mbaya kupumzika kupisha wengine, 😂😂😂😂
@ednaJF1028
@ednaJF1028 10 ай бұрын
Your very correct
@pyquedams1617
@pyquedams1617 10 ай бұрын
Majaliwa ndio angeshika nchi sasa
@maswamills3161
@maswamills3161 10 ай бұрын
Iku tukimpata ataleta nafuu❤
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 10 ай бұрын
This is the highest level of psycophancy like the type we had in Kenya during Moi"s one party KANU ERA.This man called Majaliwa is indeed a perfect examble.
@kazikazini1042
@kazikazini1042 10 ай бұрын
Ya kwenu mmeyamudu?
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 10 ай бұрын
Kibaya zaidi hata wananchi wanaoangalia hawawezi kusema kuwa huyo mhuni anachana risiti zake.
@jonaskabonda741
@jonaskabonda741 10 ай бұрын
😢😢😢😢
@ednaJF1028
@ednaJF1028 10 ай бұрын
Yani Nashanga kweli hii wanajua human rights? Haki wanaonea sana sana
@Hasnspop
@Hasnspop 10 ай бұрын
Alafu na usalama wa taifa kabisa ameingilia kuchana risit shida kweli kweli
@ednaJF1028
@ednaJF1028 10 ай бұрын
@russiababawakutokomezaushoga ooh kumbe? so 😔 to see that. Hivyo na viongozi wengine wakamuacha tu achane? Hii ni unyanyasaji kabisa haki Hivi huwa wanasahau kazi yao ni kulinda raia na kuwasikiliza? Kila mtu yupo kwenye kiti kwa kujijari wao tu, sio kufanya kazi vizuri is very serious issue need to be changed and take care of their residents
@user-vh3yh2ec8r
@user-vh3yh2ec8r 10 ай бұрын
Safi sana muheshimiwa ulinzi tu maana wt wamevurugwa wanaweza kumuua
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 10 ай бұрын
Alafu Askari kaona jamaa anachana Receipts za jamaa
@maswamills3161
@maswamills3161 10 ай бұрын
Umeonae Mmmh hatariiii
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 10 ай бұрын
Huyu ndio Raisi wangu. Samia suluhu Hassan simjui Wala simtambui Ni MALAYA TU
@catherinenestory9514
@catherinenestory9514 10 ай бұрын
Kwa nini Majariwa asiwe Rais jaman ni kama Hayati magufuli kabisa
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 10 ай бұрын
Milard ayo hujachukua chukua tukio vizuri camera zimemficha uyo alie kua anachana lisit
@user-jn3dl5kf2r
@user-jn3dl5kf2r 10 ай бұрын
We ndo raisi wetu
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 14 күн бұрын
Rush’s imekithiri kila ofisi. Maafisa wengi hata ikili pia leseni, bado wanakudai rushwa za mamillioni wagawane.
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 10 күн бұрын
Watu Wana pata sana shida africa
@dostovan5142
@dostovan5142 10 ай бұрын
Solution ni katiba mpya
@Gracemima
@Gracemima 10 ай бұрын
Wazir mkuu, mbona unamuuliza maswali huku ukicheka Kama mzaa? Mtu ameoitia shida nyingi hivi? Tangu Samia kukataza mabango watanzania wasiokuwa na sauti wanatishwa na kudhulumiwa sana. Sio watanzania WOTE wana nguvu za huyu mtanzania kupigana mpaka akakufikia. Serikali iweke mpango wa wananchi kusikilizwa shida zawo. Wengine shida zawo zainaweza kutatuliwa kwa maagizo tu, lakini Rais kawaziba midomo kwa mabango. Nchi nyingine zinafuata haki, matatizo yawo hutatuliwa na Mbunge wawo, lakini wabunge wa Tanzania ni kupigania matumbo yawo tu. shida za wananchi hawashugulikii. Tanzania ilikuwa ya watanzania wakati wa Hayati Magufuli. Ni Rais ambaye watanzania hawatamusahau.
@ruthsebastian4633
@ruthsebastian4633 9 ай бұрын
Magufuli pumzika kwa amani😢
@judicalosika7642
@judicalosika7642 7 ай бұрын
Waziri mkuu amekisea sana kucheka Kwa kweli
@AbduraufuIbrahim-vm3ee
@AbduraufuIbrahim-vm3ee 10 ай бұрын
Mbn anatishiwa sasa 😢😢
@kdpretoria780
@kdpretoria780 9 ай бұрын
my future president ❤
@user-wu2yn1lb2e
@user-wu2yn1lb2e 9 ай бұрын
Itakuwa jambo la maana sana kama mtarenda haki waziri Mkuu kasmu majaliwa mwananchi wako atendewe haki kwani nchi hii imekuwa ya matajiri hakuna anaye muogopa mungu
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 10 ай бұрын
Inaumiza sana
@anethjoseph4542
@anethjoseph4542 9 ай бұрын
Wengine huku tumelipa Tufungiwe mita tanesco ni mwezi sasa hali mbaya
@user-wb9gy2xx3p
@user-wb9gy2xx3p 6 ай бұрын
Dakika 4:42 huyo afisa wa serikali anachana risiti za mlalamikaji alizotoa kama ushahidi wake mbele ya waziri mkui
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 8 ай бұрын
Aiseee
@davidmisiwa4622
@davidmisiwa4622 10 ай бұрын
Waziri mkuu una sifa ya kuwa rais
@youthmediatv1
@youthmediatv1 9 ай бұрын
Duh,kumbe kote shida
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 10 ай бұрын
Mtu Anasema Analala chooni yeye mavi mfatilizie warda waziri ulivyofatilizia mlala chooni 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-rj5xi1ui5w
@user-rj5xi1ui5w 10 ай бұрын
Ama kwa hakika ngoma mbichi kabisa
@johnshauri3130
@johnshauri3130 10 ай бұрын
Huyo mwenye shati nyekundu aliyeokota risiti za Mwananchi amemgeuzia Mhe.Waziri Mkuu mgongo huku akichana risiti za Mwananchi mlalamikaji naomba achukuliwe hatua ameshusha hadhi ya utumishi wa umma
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 10 ай бұрын
Hawezi chana haki ya mtu
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 9 ай бұрын
Kuna risiti huyo ndugu alizidondosha lakini kuna ofisa ameziokota anazichanachana.
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 10 ай бұрын
Ali macho yako hayaoni au ndio umefika mwisho wa kuona ?
@RamadhaniShembillu
@RamadhaniShembillu 9 ай бұрын
JAMANI HUYU WAZIR ANATUFAA KUONGOZA NCHA WADAU SEMENI WENYEWE ANAFAA AU HAFAIIII?????
@DaudiLeonidas
@DaudiLeonidas 8 ай бұрын
Safi sana kabisa
@ommy4k
@ommy4k 10 ай бұрын
Hadi Mlinzi kacheka huyo alishika mic ya muongeaji sijui anajiona nani muache mtu aongeee yaisheeeeee Khaaaaa
@JoniEdu-nk7gr
@JoniEdu-nk7gr 9 ай бұрын
Unyanyasaji huo wasaidie baba
@fatmaalhabs6939
@fatmaalhabs6939 10 ай бұрын
Na hao wanao kamba na kutuka sababu ya bandar pia kazi yao kuchukua rushwa
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 10 күн бұрын
Sasa uyo jamaa anachana lisiti daa izo lisiti jamaa amechana zoote mbele za watu
@kingfuture7147
@kingfuture7147 9 ай бұрын
Kwanini waziri mkuu hajamaliza jambo Hilo hapo hapo hapa Kuna upigaji pembeni
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 10 ай бұрын
Kuna jamaa kavaa shati la rangi nyekindu anachana Receipt za jamaa hapo😢😢😢daaah!!!
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 10 ай бұрын
Nime muona
@karimkassam571
@karimkassam571 10 ай бұрын
Kweli jamaa hafai
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 9 ай бұрын
Hakuna kitu hapo, hii aliifanya jpm tu,
@barakamusa8988
@barakamusa8988 10 ай бұрын
Bahati mwenye nchi hayupo hapo ingejulika leo
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 10 ай бұрын
Wazir. Msaidie warda apatikane
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 10 ай бұрын
JALALU SULAIMAN SWALEHE
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 10 ай бұрын
Kuna jamaa kavaa shati jekundu anachana risiti
@FahmiAbdalla-oi8ed
@FahmiAbdalla-oi8ed 10 ай бұрын
HUYU ASKARI AU CJUI NANI(KWANINI AMECHANA RISITI ALIZOTOA MLALAMIKAJI?
@samwelimarwa5267
@samwelimarwa5267 10 ай бұрын
Ujue vipngozi wakuu wa nchi wanadhamira ya dhati ya kuleta maendeleo;Waziri mkuu nenda wilaya ya Tarime kuna urasimu mkubwa sana;Bibi kikongwe mjane anyanganywa ardhi na vijana ktk ukoo huku voongozi wapo
@user-sh6ox4xb4f
@user-sh6ox4xb4f 9 ай бұрын
Baba nenda shirati mkoa wa Rorya sokoni une mambo Tax za nyumba za sokoni.
@ziyadanyandwi2908
@ziyadanyandwi2908 10 ай бұрын
Inasikitisha
@alumonkisinda4574
@alumonkisinda4574 10 ай бұрын
watuhumiwa si wapo hapo peleka ndani huku upelelezi ukiendelea
@dorahy1579
@dorahy1579 10 ай бұрын
Maghufuli atatoa wapi tena?
@dn.n4983
@dn.n4983 10 ай бұрын
Mbona alikuwa anachana risti hata mimi nimeona kwa kweli Rais wetu mpendwa angalia hili sio kuvheka la kusikitisha wanachana risti mbele waziri hakuliona au mapolisi hawalioni this bad kwa taifa hata ukiwa polisi unafanya uruhusiwi
@dn.n4983
@dn.n4983 10 ай бұрын
Kweli aibu selikali mnabidi kusikiliza wananchi watawachoka watu wataka maendeleo wenhine warudisha nyuma
@philemoninaftari6359
@philemoninaftari6359 9 ай бұрын
❤🎉
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 10 ай бұрын
Nyarak zenyew hyo mpumbavu kazichn hii nchi maskin tunatesek sana
@mrjeyjamal6288
@mrjeyjamal6288 10 ай бұрын
Mheshimiwa majaliwa ni over the President big up Mr prime minister
@maswamills3161
@maswamills3161 10 ай бұрын
Atamani awe Raisi
@user-uy1qu5oo7y
@user-uy1qu5oo7y 9 ай бұрын
Majaliwa Kasim nakuombea chukua form ya kugombea urais watanzania tumekukubali wewe utamubadili magu kufutamachozi ya watanzania
@BasumegeMbotwa-bo7td
@BasumegeMbotwa-bo7td 9 ай бұрын
Hela ya mkopo tena rushwa utalipeje malejesho?? Ndio maana wengi washindwa 🙏🙏
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 34 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
DONTA TV
Рет қаралды 4,8 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН