Hongera waimbaji mmeutendea haki huu wimbo. Hongera sana Rwelamira kwa utunzi wako mzuri, napenda sana tungo zako. Mungu azidi kukupa afya uendelee kumtumikia vema kwa karama hii aliyokujalia
@renatusmakolo90236 ай бұрын
Wimbo mzuri umetulia, hongereni
@duobledrittedeoritte27876 ай бұрын
Jaman wimbo mzur sana Mungu azidi kutenda
@jassonjoachim-mf5zu Жыл бұрын
"Mimi na nyumba yangu tutamtukia bwana kwa maana ametundea makuu" what a message🙏
@FurahaMajilanga-ny8xj Жыл бұрын
Hongereni Sana wanzetu wana kwaya ya mt DONBOSKO kwa kazi nzuri ya Uinjilishaji pamoja na familia ya mwkt RUOGASIRA KAIJAGE.
@himerymsigwa9665 Жыл бұрын
Wimbo mzuri ..pongezi kwa waimbaji na mtunzi Mwl Rweramila
@francispesambili4902 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana Wana wa Mungu
@EligiaMlaponi-gg8gg Жыл бұрын
Mbarikiwe Sana wimbo mzur sana
@zephrindomicianlufurano6207 Жыл бұрын
Jamani! Wanakwaya ya Mt. Donbosco Parokia ya Mongolandege niseme nini tena juu yenu zaidi ya kusema kongole na hongera kwa uimbaji wa sauti zenye ubora na ulinganifu wa hali ya juu. Sauti na vyombo vimesawazishwa kwa ulinganifu murua! Uchangamfu wenu umezidi kuvutia mtazamaji. Mpigakinanda amekitendea haki, picha zimesanifiwa vizuri kwenye mandhari inayooana na ujumbe wa wimbo huo ‘Amenitendea makuu.’ Nawaachieni ujumbe utokanao na wimbo huo ni kwamba sote tuseme, “Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana” , kwa kutekeleza kwa vitendo utume wetu wa uimbaji wa kusali mara dufu kwa njia ya uimbaji bora kama huo! Utume mwema.