Wimbo mzuri sana. Bwagidi katika ubora wake kama siku zote. Hongereni waimbaji na mpiga kinanda kwa kuutendea haki utunzi huu
@michaelrimisho Жыл бұрын
Kaka naomba mawasiliano ya mtunzi au copy ya huu wimbo please🙏
@norbertsungu10 ай бұрын
Hakika mmeitendea haki hii nyimbo ,Nyimbo imejaa tafakari nzito mno kila nikisikiliza narudia tena nyimbo Nzuri mno 🎉🎉UTUREHEMU EE BWANA KWA KUWA TUMETENDA DHAMBI 🧎🧎🙏
@mariangaida6584 Жыл бұрын
Mbarikiwe
@annapaterine9281 Жыл бұрын
Altooooo 🔥🔥🔥
@Blessedhopefamily Жыл бұрын
Wangeachiwa kwenye kuingiza sauti wangepasua kuta. But kawafinya kuiruhusu soprano kuvunja pis
@kalistimalkiadi3724 Жыл бұрын
Mungu ni mwema hongeren San kwa Kaz nzur
@reginamutua933 Жыл бұрын
Hongereni sana
@getrudawillison6929 Жыл бұрын
Mbarikiwe na Bwana
@poncegk5263 Жыл бұрын
Very cool songs 🎵
@marymalikamalkiathepsalmis5321 Жыл бұрын
Mmeimba vizuri sana👏👏👏👏
@amambiastephen178 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri!
@theophiluskogo Жыл бұрын
Don't stop there, especially with the emotion in your voices, you're really touching❤
@DicksonShirima-k2m2 ай бұрын
Hakika Mwalimu Hillary bwagid unatubariki sana na nyimbo hizi lakini Mwalimu tunaomba nota za WEWE WAJUA KUKETI KWANGU kwenye Swahili music haupo wimbo huo unanibariki sana mwalim
@TalentedMusiciansTMO Жыл бұрын
Kazi nzuri sana 😍😍😍 Mungu awabariki 🙏🙏🙏
@theophiluskogo Жыл бұрын
So nice indeed👌🏻
@Blessedhopefamily Жыл бұрын
The first class Music Melody, choir sang, in this kwaresma 2023. Be blessed all
@officialollyney5368 Жыл бұрын
Good voice 🥰 nice
@williamcosmas1986 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana wapendwa katika kristo 🙏🙏🎧
@magrethdeogratius6145 Жыл бұрын
Nice🙏
@Masoy_Pianist Жыл бұрын
super🔥
@ezekielmatinya8314 Жыл бұрын
Ahsante kwa baraka hii ya uimbaji 🙏🙏
@suzannakipapy5951 Жыл бұрын
Thanks a lot, Ujumbe wenye himizo la Toba. The Galaxy Pro, nawaelewa Sana, Kazi zenu zina utulivu na Usiku murua. Thumb up!