@ Emil Shayo..... pacha Mungu akuweke, unajua unajua hadi unajua tena.... Mavo's nimewapenda sana mna vibe, mmeimba vizuri yaani 🔥🔥 Mungu awatunze
@Arati3Ай бұрын
Hongera sana 🔥😊
@gladwakuruamos4493Ай бұрын
Musoma to the World 🌎❤😂...
@idefoncenicholaus9834Ай бұрын
Shayo unajua utakuwa mtunzi wa dunia 🎉🎉🎉
@datiusrwejunadeogratias1020Ай бұрын
Hongeraaa kaka kila siku unapiga hatua
@salomemsafiri1087Ай бұрын
Yani sijui niseme nini ila itoshe kusema kazi nzuri mno Mungu awabarki sana kwa kazi nzuri
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
ubarikiwe pia
@PaulinaMachegeАй бұрын
Mbalikiwe sana
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
Nawe pia
@SteveInnocent-h6jАй бұрын
Aya kaz nzuri tunaitaj kuona zaid ya hii ❤❤❤❤
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
Mungu ni mwema zitakuja zaidi na zaidi
@ditramndokole6893Ай бұрын
Hongereni sanaaa
@FlorahKatoyoАй бұрын
Kazi inaridhisha sana kwa kweli
@despinae.mdende22 күн бұрын
Kazi nzuri sana Mungu Awabariki 🎉🎉
@NYUMBANIMEDIAPro.22 күн бұрын
Amina dada yetu 👏🏼
@franciskironjo93693 күн бұрын
The dancing❤❤❤😅enjoyable plus a good song. I love it from +254
@MarthaAstericoАй бұрын
❤❤ mko vizuri ndugu zangu nawapenda sana
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
Tunawapenda pia
@ElizabethNyansambo-gn3iwАй бұрын
Safi sana endelea hivyo hivyo mtavika mbali sana Mungu awainue wengi kama nyie
@georgelangat493218 күн бұрын
heeeeey hii ngoma inheat naipenda saaan esp the beat🥰
@esteradam437Ай бұрын
Hongereni sana Aiseee familia ya Mavos mmetisha🎉🎉🎉🎉 ila Maisa, Luka, Haule sijawaona mmenifanya nikawa mfuatiliaji mzuri wa The Mavos🎉
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
wapo ila hawakushiriki kwasababu ya majukumu mengine ya The Mavos waliokuanayo kama taasisi
@JastinMassaweАй бұрын
Ila Emil Shayo🔥😂
@alexkasege6327Ай бұрын
Emil at his best👌
@deboramwadangalasoundoflov5953Ай бұрын
Great
@eliasmchori4807Ай бұрын
Kijana sasa ananyoosha muziki
@JacobPeter-b2pАй бұрын
Kazi nzuri MUNGU awabariki 🙏🙏🙏
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
amina
@Gracezacharia-q2jАй бұрын
Kazi nzuri 🎉
@alphajustice6539Ай бұрын
Barikiwa
@magrethpanga948Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@rahabmacharia5020Ай бұрын
Good stuff. Congrats 👏👏👏👏
@zachariahaule3885Ай бұрын
Hongereni sana kazi nzuri na ya viwango.
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
tumshukuru MUNGU
@holyspiritychannel1397Ай бұрын
I'm from majita, Musoma,,,,Hakika mmetishaaaa,,Nyimbo nzuri sanaaaa
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
pamoja sana
@csato9415Ай бұрын
Wimbo mzuri sana ( mmoja ), Nyimbo (nyingi) 🙏🙏
@rithamuhongerwa865Ай бұрын
Safi💪💪💪
@marymarcel3824Ай бұрын
Waoooh❤❤❤ Amazing mmetisha wana Mavos🔥🔥🔥🔥🔥
@jamesmageto2146Ай бұрын
Utuzi safi kabisa
@RitaJulius-gu9wzАй бұрын
Hongereni sana the mavos🎉 pamoja na hao watoto wenu🎉🎉
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
ahsante sana
@brightonpeter1034Ай бұрын
Hongeren sana kwa uinjilishaji 🎉
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
Mungu apewe sifa
@kwayayamt.cesiliamusomakmc3852Ай бұрын
Hakika kaz ni nzuri na pia tuzidi kumtumikia Mungu zaidi na zaid ni raha kuimba wana Mavos
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
Amina hasa ukiimba katika roho na kweli
@januarius-js2xlАй бұрын
Hongera sana kaka Emil.... karibu sana kenya tuinjilishe pamoja
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
karibu pia NYUMBANI MEDIA PRO
@basilbaligumya256Ай бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri.
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
tumshukuru Mungu
@HappyMassawe-y9c29 күн бұрын
Waooooo akika ilipendeza Sana MUNGU azidi kukuinua zaidi pastor Jacqueline 🥰🥰💯penda San ww
@BaltazaryAssenga-w3jАй бұрын
Jaman hongeren sana kwanza mmedance poa sana na pia mmeimba vizuri hongera sana sana mtunzi na wote kiujumla🎉🎉🎉
@SMDPcuhasbugandoАй бұрын
Watu wa maana kabisa
@AnethJoseph-l7yАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@JacobNayakundi25 күн бұрын
KAZI nzuri wanakwaya kweli
@HoseaKatunge22 күн бұрын
Jina la bwana libarikiwe sana
@floriantusime3049Ай бұрын
Kazi nzuri sana bro Haymon
@larkspur350222 күн бұрын
Kazi kuntu ❤ Zidi kung'aa kwa uimbaji
@thobiaskatoto859027 күн бұрын
Mungu aendelee kuwalinda, nawakubali sana
@RestutaKayembi-ee2qrАй бұрын
sio tu uimbaji yaan style mavazi mmenifurahisha sana Mungu awabariki mno mnajua ndugu zangu
@magdalenashabani3154Ай бұрын
Hongereni ❤
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
shukrani
@clausmrisho3924Ай бұрын
Kazi nzuri utukufu kwa Mungu
@MosesKimwagaАй бұрын
Moto umewaka toroka ujee mavos ni fire. Hongereni sana hakika mnaipaisha musoma ktk mziki wa dini
@judeeman510619 күн бұрын
kitu baya hapa,, watching from Kenya nice and best christmas song, well composed ,organised then like a bomb🎉🎉🎉🎉 released to bring Joy of birth of christ.❤❤❤❤❤❤
@AsinthaGervase-nd7doАй бұрын
Hongera
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
Ahsante sana
@FlorianMwano22 күн бұрын
Safi sana❤🎉
@mckiboeventsАй бұрын
Safi sana mtunzi na waimbaji🎉🎉
@benedictanzilani8622Ай бұрын
Kazi safi🥰🥰🥰
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
Mungu ni mwema
@SeciliaMichael-f2iАй бұрын
Congrats the mavos mmpendeza sanahhhhh kwa kila kitu uimbaji hadi mavazi🎉🎉🎉
@salomekense52516 күн бұрын
Hongereni Sana kwa hatua hiyo nzuri kabisa Mungu azidi kuwatunza
@SadokiMasigeАй бұрын
Mungu awe pamoja nanyi hakika ninabalikiwa kupitikia nyimbo zenu
@aminiuronu458622 күн бұрын
Parfect guys🎉🎉🎉❤
@kenethblasius925Ай бұрын
Kaz nzur ,hongera mtunz Mr Emil shayo na mr piano mmetisha sanaaaa
@fideawaziry8629Ай бұрын
Hongera kwenu 🔥🔥
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
Shukrani
@elizabethjames257926 күн бұрын
Hongereni sana mavazi ,style sauti nzuri ubunifu wa hali ya juu sana❤❤❤
@LilianKasobiАй бұрын
Mbarikiwe🔥🔥🔥🔥
@EmmanuelGervas-e9eАй бұрын
🔥👌🙏
@ErickHerry-vy9cfАй бұрын
Wimbo mkali🔥🔥 naomba copy na mie niteremke nayo🤗
@agamay4849Ай бұрын
❤❤❤❤
@paulinewacuka52375 күн бұрын
Sweet and nice Xmas song ❤❤❤
@neemabenedictor8211Ай бұрын
🥰
@KagarukiBIJIKOBeatusАй бұрын
Fantastic THE MAVOS💪💪💪 ❤
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
Pamoja san
@kmlbariadiАй бұрын
Safi saana yaan
@MagrethShakuАй бұрын
Congratulations the Mavos
@MarynessMelchioryАй бұрын
Wow... what an early Christmas masterpiece. Mbarikiwe sana The Mavos na mtunzi Emil Shayo kwa wimbo mzuri sana wa kutuinjilisha kuhusu kuzaliwa kwa mwokozi wetu Yesu Kristo
@NYUMBANIMEDIAPro.Ай бұрын
Barikiwa pia mtumishi
@csato9415Ай бұрын
Bila kusahau utunzi wake wimbo "MKATOLIKI" mambo ni 🔥🔥