Uhakika hii imekaa poa kuna siku lipanda basi yaani jamaa amekaa mbele mwingine siti ya nyuma nawanapiga stor za mapenz.
@eaglesunny21872 ай бұрын
sio hao tu wapo pia wavuta sigara, wengi wao hawana ustaarabu kabisa, cjajua huwa wanaamini kuwa Kila mtu anapenda huo Moshi wao, utakuta mtu anavuta sigara mbele za wajawazito, wengine wagonjwa wa vifua lkn yeye hajui na ustaarabu hawana ukijaribu kumweleza na walivyowajinga wanang'aka as if unawaonea wao ndo wanahaki hiyo, jaman ustaarabu jambo la mtu kujitambua tu! inakera sn
@PompiDouh2 ай бұрын
Daah ukweli kabisa wazee kuna vitu vinakata sana mostly alichosema Frida "movie tunaangalia wote for the first time and mtu anakuuliza hapo inakuaje" that's 🚮
@pmpaga1063Ай бұрын
Me ukiongozana na mie malizana na simu yako kwanza ndo ujiunge na mie!
@davyndonga2 ай бұрын
Hilo komwe la Frida Amani ni kama wind screen ya Bombardier