“AMUENI MFUNGE AU MFUNGUE NIMEONGEA NA SIMU NA RAIS KANITHIBITISHIA” KIONGOZI KARIAKOO

  Рет қаралды 41,666

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 194
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 3 ай бұрын
Tatizo kubwa kama hili kiongozi wa nchi unashindwa kunyanyua mdomo ukamaliza ujui machafuko yanaazia ivi mdogo mdogo
@Mumewangu
@Mumewangu 3 ай бұрын
Anapeleka viongozi kwanza baadae kauli mwisho atatoa
@petro8010
@petro8010 3 ай бұрын
Yeye aendelee kukaa lkn kwa wenzetu tunaona
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Viongozi wahusika wapo, wacha kazi iendele.
@jerome3143
@jerome3143 3 ай бұрын
kwa ujumla bara la afrika akuna viongozi kuna genge la wauni tu
@sponsor7882
@sponsor7882 3 ай бұрын
Magufuli angeshafika hapa tangia juzi
@Mumewangu
@Mumewangu 3 ай бұрын
Na yupo njiani anakuja msubiri tu
@petro8010
@petro8010 3 ай бұрын
Ni kweli JPM hakuwa mtu wa kudelay namna hii
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
​@@petro8010 sio kudelay, ila hakuwa mtu wa mazungumzo, wote tunajua angesha teka hao viongozi wote
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 3 ай бұрын
Magufuli asingekuja bali angeagiza wote wanyan'ganywe leseni au watiwe ndani,ila watanzania ukienda nao polepole hawakuelewi na mwisho wanaanza kugoma kama hivi
@samsonsimon3138
@samsonsimon3138 3 ай бұрын
​@@birianination7097 ww ni ignorance kweli magufuli alikuwa anasikiliza kero za watu na kuzitatua mda huo usimlibikiziie màovu aliekuwa raisi wetu alikua anawapenda wananchi wake
@witnesskagirigiri3763
@witnesskagirigiri3763 3 ай бұрын
Kenya oyeeeeeee.mkeka umetiki
@EmmanuelMajele-ny2hk
@EmmanuelMajele-ny2hk 3 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 wanakiwasha tu haki lnaweza kutafutwa kwa Damu kunaviongozi Tz Hawata badilika adi kiwaswe ndani ya miaka 2 patanyooka tu
@russia1253
@russia1253 3 ай бұрын
Tuna bambikiwa Kodi 😢 alafu CIG anachukua mnachekelea 😢abali za kilofa
@bryanjonathan6312
@bryanjonathan6312 3 ай бұрын
Ile kamati iliyoundwa na waziri mkuu iliyokuwa na huyu jamaa na Vunja bei ilikuja na ripoti gani? Iliishia wapi mbona hatukuwasikia tena?
@Jean-marieNiyonzima-f3e
@Jean-marieNiyonzima-f3e 3 ай бұрын
Rais awemakini sana kwani haonikenyaa
@ce-08
@ce-08 3 ай бұрын
Sasa ww mwenye kiti wa wafanya biashara alafu unalindwa na polisi wanini wakat hao ni jamaa zako na jana ulikuwa nao kwenye kikao😂
@Mumewangu
@Mumewangu 3 ай бұрын
Lazima manake watakuwepo na hasira
@mtotowamanka
@mtotowamanka 3 ай бұрын
Siasa,znafurahisha kweli ila hapa ndy ubaya wake😊
@Deppe-rv2vg
@Deppe-rv2vg 3 ай бұрын
Good leader
@eliasizubhakwa8212
@eliasizubhakwa8212 3 ай бұрын
Mama samia hatufai kabisa
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Anakufa nani
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 ай бұрын
Hakuna kulipa kodi
@eliasizubhakwa8212
@eliasizubhakwa8212 3 ай бұрын
Mama samia haoni kabisa kweli
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 ай бұрын
Hajui chocolate yule bibi , anaweza ni kusoma alicho andikiwa kwenye karatasi tuu
@othmanali5362
@othmanali5362 3 ай бұрын
Ah.karagosi huyo
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 3 ай бұрын
Atuna rais kwani mlikua amumuoni hayati magu apo mbona nikama siasa ndani yake mungu tusaidie😪😪🎎🙏
@ZaituniNyenzi
@ZaituniNyenzi 3 ай бұрын
No.
@RichWise671
@RichWise671 3 ай бұрын
Kuna siku Tanzania itajaa kwenye mfumo #SAEL_STATE💝💝
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 3 ай бұрын
Mimi nina Imani sana na Serikali ndio Maana Amefanya Mabadiliko TRA Lakini najiuliza kesho wakija na malalamiko tena atapangua safu au ndio maduka hayata funguliwa Pamoja na kila mtu anahaki ya kusema pale anapo ona kunashida
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 3 ай бұрын
TRA Iondolewe serikali iweke mfumo ambao walipa kodi tutalipa na pesa itaingia moja kwa moja hazina na sio kupitia kwenye mikono ya vishoka TRA
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
Bi Samia ati mpak August 8th, wakati bos wake Magufuli lingetatuliwa kwa muda wa masaa mawili..Mama Samia mpaka aagize watu badala kuwaface w/biashara uso kwa uso. Mama Samia mmmh
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 3 ай бұрын
Mzee kisha chimbwa biti kurudishwa kijijini kwao ⚰️ ndio maana kawa mpole😂
@obedkiswaga2790
@obedkiswaga2790 3 ай бұрын
Kabisaa Kwa anavyoongea Tu kashachimbwa mkwara
@thosmaenterprises9968
@thosmaenterprises9968 3 ай бұрын
ameshaingizwa kwenye mfumo pimbi uyoooo
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 ай бұрын
Kwani Waziri wa Biasha yupo wappi?
@dicksonulotu7427
@dicksonulotu7427 3 ай бұрын
Huyu bwana Mbwana mbona kama kuna kitu nyuma ya pazia?
@NjitiMohamedmzee
@NjitiMohamedmzee 3 ай бұрын
Huyo Samia anajua nyinyi wajinga tuu ndio mana aji kuwasikiliza
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 3 ай бұрын
eti Serikali ya mama Samia inazungumzika 😂😂😂
@JninjaH2R
@JninjaH2R 3 ай бұрын
Kiongozi mkubwa yupo bize na mambo yake ila ipo siku
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 ай бұрын
Raisi uvundo uvundo na kunuka
@Kabwela776
@Kabwela776 3 ай бұрын
Si Samia anawachekea enzi za Magufuli wasingethubutu kufanya mgomo JPM hakuwa mtu wa nonsense!
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 3 ай бұрын
Usilinganishe serikali ya JPM na hii ya SSH, ni kweli Jpm hakuwa na nonsense lakini kwenye serikali yake kodi zilikuwa zinakusanywa na kufanyia kazi inayo stahili hata walipa kodi wali rizishwa na serikali ile mana waliona maendleo yakifanyika tena kwa mda mfupi lkn serikali hii ya Samia kodi zinakusanywa na bado sheria zingine za kikodi zinatungwa kuwabana wananchi serikali hii linakopa mikopo mingi kuliko ya Jpm lkn maendeleo hatuyaoni elimu iko chini walimu wachache, vituo vya afya vimejengwa lkn madawa hakuna, reli ya kisasa ndo kama ivo adi leo haijaisha bwawa la umeme halijakamilika muundo mbinu ya, barabara bado haiko sawa huku ripoti za CAG ZINASEMA MATILIONI YANAIBIWA NA viongozi wa serikali na bado hao viongozi hawachukuliwi hatua kwa magufuli haya mambo haya kuwepo kulingana na serikali ile ilikuwa na nidhamu ya Haku kuwa na kusafiri nje mara kwa mara viongozi wakiumwa walitibiwa ndani ya nchi, serikali ili hamia yote dodoma tofauti na sasa viongozi wakiserikali ni kama vile wamerudi daresalam mana tunaona matukio mengi ya kiserikali YANAFANYIKA daresalam zaidi kuliko kufanyikia dodoma in short ni kwamba zile anasa za miaka ya nyuma kabla ya Jpm kuingia madarakani zimerudi tena
@festohaule9716
@festohaule9716 3 ай бұрын
Mtu anaonyesha wazi kuwa ni mwongo!!!Huyo Mchaga bhana!!!!
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 3 ай бұрын
Kashabanwa huyooo
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Usicheze na Serikali ya Tanzania, Jana tu alikua anapayuka Leo kalowa kama paka aliyemwagiwa maji😂😂😂😂
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 3 ай бұрын
Huyo kiongozi mwenyewe amesema kuwa Rais anawapenda wafanya biashara yeye kajitoa 😂😂
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
😂😂😂😂 Jana tu alikua mkali anapayuka tufunge biashara Leo anasema Raisi anawapenda, huyo keshaonyeshwa saizi ya jeneza linalomtosha kapoa kama maji ya mtungi 😂😂😂😂😂
@knight6757
@knight6757 3 ай бұрын
Heshima iwe upande zote !!
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h 3 ай бұрын
Wakenya wafundisheni watanganyika kudai haki wewe mwenye kiti kuongo halafu wewe usalama tu
@callicevallice7383
@callicevallice7383 3 ай бұрын
Huyo jamaa kashalamba asali 😂😂
@RenatusMatungwa
@RenatusMatungwa 3 ай бұрын
Waleteni wakenya wasolve hili tatizo
@IbrahimIdrisa-tl6wm
@IbrahimIdrisa-tl6wm 3 ай бұрын
Wewe ndy umeongea point kiasi chake
@modestalois2535
@modestalois2535 3 ай бұрын
Naona huyu kiongozi 😢😢😢amekuwa mwanasiasa,hastahili kuwa m/kiti wa wafanyabiashara,huyo anafanya kampeni 😢😢😢,yeye anaiponda Serikali ya Hayati Magufuli!!?
@Kabwela776
@Kabwela776 3 ай бұрын
Samia hawa watu sio wa kuwachekea hata kidogo wanaanza kukupanda kwenye kichwa fanya kama Magufuli angewaambia fanyeni biashara au mkatafute nchi ingine mkafanyie biashara, ndio maana enzi ya Magufuli kulikuwa hamna migomo nchi ilikuwa inatawalika watanzania wamezoea kuburutwa kama ng’ombe hawajazoea mazungumzo !
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 3 ай бұрын
Waziri ajiuzulu aheshimu watu
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc 3 ай бұрын
Kwnn Rais asiende hpo kkoo kuongeanao mbna kwenda nje ya nchi anaenda hizo dharau hmna rais hpo
@devissyprian1526
@devissyprian1526 3 ай бұрын
Nakwambia hauna Rais hapa mwkann hasigombee namshauri
@allymaulid9391
@allymaulid9391 3 ай бұрын
huyu afai kuwa kiongozi
@leocadearzengo4606
@leocadearzengo4606 3 ай бұрын
Sijaelewa 😢
@hapaupdates9277
@hapaupdates9277 3 ай бұрын
MNAZINGUA WAFANYABIASHARA
@viralvideostz8250
@viralvideostz8250 3 ай бұрын
Msaliti huyu katuuza
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 ай бұрын
Tatizo la kuwa raisi tundu choo , kutoa gharufu mbovu tuu
@zachariangoyo6495
@zachariangoyo6495 3 ай бұрын
Tz pako vibaya aiseee siku zinakauaja kitanuka tiumechoka aseee
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 3 ай бұрын
Tatizo nchi hii upigaji tu. Mama mnamwonea tu afanyeje? Sahizi Kariakoo vurugu tupu barabara zote zimefungwa watu wamepanga bidhaa barabarani ukiuliza eti ndo wapiga kura, huu ni ujinga ambao haupo duniani isipokuwa Tz. Tunakuwa kama hatuna sheria ni upuuzi tu. Inakera sana hadi mtu huelewi.
@peacedondo8354
@peacedondo8354 3 ай бұрын
Serikali ya nyuma kidogo meaning ya Magu alafu serikali ya mama samia imekubali kukaa kuongea... hahahahahaha jamani anampigia kura mama anamkandia magu... noma huyu amekaa kisiasa ili aendelee kukaa kwenye hicho kiti kuwasemea wafanyabiashara... nomaaa na naona kuna wafanyabiashara wamemuelewa ndo mana wameguna 😅
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 3 ай бұрын
Ila hakuna siku wafanyabiashara watakuwa wakweli,hata ukiwapunguzia kodi bado tu watakwepa,ukijijengea hulka ya kulipa kodi ndio utakuwa na uzalendo na nchi yako
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Wahuni hao kuna wanaharakati wameingia Kati yao na wao kama manyunbu wanafunga biashara mtafilisika na Serikali mtaiacha inaendelea😂😂
@heaventv4668
@heaventv4668 3 ай бұрын
Nyoko​@@darajalakidatukilomgi2362
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 3 ай бұрын
​@@darajalakidatukilomgi2362 halafu wengi walohojiwa wanalalamikia faini ya milioni 15 kama wasipotoa risiti kwa mteja. Kwa kuwa sababu ya faini wanaijua basi watowe risiti ili waepukane na hiyo faini ya 15m. Kutotoa risiti ni kukwepa kulipa kodi, sasa wanataka Rais awaruhusu wasilipe kodi au?🤔😇
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 3 ай бұрын
Siasa hapoooo
@saidramadhan71
@saidramadhan71 3 ай бұрын
Mwenyekiti wewe ni kuma tu
@NipoNipoTV
@NipoNipoTV 3 ай бұрын
Sasa wafungue tu>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
@binseif2216
@binseif2216 3 ай бұрын
Nyie wafanya biashara wajinga sana,vp mnafunga maduka wakat hasara ni yenu mnadhani serikali itatetereka?
@cosein
@cosein 3 ай бұрын
Mama hapa anawakati mgumu sana
@browskymuba6923
@browskymuba6923 3 ай бұрын
Kipindi cha magufuli mlikuwa kama sisimizi
@JosephthobiasMwita
@JosephthobiasMwita 3 ай бұрын
Nchi inakopa mikopo kibao wawekezaji kibao sasa kodi haishuki mbona hivyo sasa maana tunataka na sisis tuanzishe vibiashara ebullient wekeni mambo sawasawa
@saidyfikirini9679
@saidyfikirini9679 3 ай бұрын
Mm sitaki comment kibaya naupenda ugali😢😢😢
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 3 ай бұрын
Kazi iendelee wazee na vijana let's work continue kumbukeni kuwa mjenga nchi ni mwananchi
@ibramayno8447
@ibramayno8447 3 ай бұрын
Tunajenga nnchi ipi wakati mafisadi wanakula nnchi
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 3 ай бұрын
Maisha ni safari na yanahitaji uvumilivu mkubwa, tatizo la TRA ni kubwa kweli
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau 3 ай бұрын
​@@abdulhajiahmed8735halafu nyie wenye itikaidi hizi sana huwa CCM ndo mnajifanyaga KAZI ienderee 😡 hujawahi hata kuuza mandazi huwezi erewa maumivu wanayo PATA
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 3 ай бұрын
@@BenjaminMetanyau mimi ni mkulima wa kiteto Kalale usingizi kijana, nimeanza kuuza mahindi n kulima kupeleka soko la Tandale miaka 35 sasa
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 3 ай бұрын
@@BenjaminMetanyau CCM MUNGU AIBARIKI KUTOKA TANU wakati wa hayati mwalimu Julius Nyerere mpaka CCM sasa chini ya Rais wa kwanza mwanamke katika Afrika ya mashariki Mweshimiwa Samia Suluhu mtaisoma number mpendwa msipende kwa heri kijana nenda shule ujifunze maisha
@antonytheodory2005
@antonytheodory2005 3 ай бұрын
Kwani mpaka raisi apige simu,mbna ni swala la mkuu wa mkoa, yani hii nchi na Mambo ya kiki 😢
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 3 ай бұрын
Ningekua mfanya biashara ningekua nsharuka nae
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 3 ай бұрын
Mwaka jana mligoma mwaka huu hivo hivo
@EmmanuelErnest-xd1rc
@EmmanuelErnest-xd1rc 3 ай бұрын
Akuna unacho zema
@yuzotv458
@yuzotv458 3 ай бұрын
KWA HERUFI KUBWA,MH RAIS SAMIA MTAMWONEA TU YEYE HANA MAKOSA ,SHIDA KUBWA IPO KWA BAADHI YA WATEULE WAKE.SIO KILA SEHEMU RAIS AWEPO NDO SURUHISHO LIPATIKANE MEANS HAKUNA MAANA YAKUCHAGUA WASAIDIZI SASA ILI YOTE AYAMALIZE YEYE.
@EAM4able
@EAM4able 3 ай бұрын
Mteule kateuliwa ili arudishe nyuma juhudi za kuleta haki kwenye utendaji wa Serikali? HASHA! Mtawaonea sana wale wateule walio kwenye Mifumo ya utendaji kazi isiyo wazi. Mifumo ikiendelea kuwa hivyo, hata ukiteua watu waadilifu bado utendaji wao haitazaa matunda mema ya Kodi zetu na itaonekana si watendaji kazi wazuri. Hata hao waadilifu wakifanya maamuzi ya kujiuzuru, Bado haitabadili mifumo. Tuige mifumo mirahisi tu ambayo kampuni binafsi hutumia kuthibiti mapato yao na haileti kero kwa watumiaji au wateja wao na mapato yao yanaongezeka Kila mwaka. Hivyo kwa maoni yangu wateule si shida kuu, ila ni mifumo ya utendaji inayoruhusu mianya ya rushwa , wizi wa mapato ya serikali, matumizi mabaya ya mapato, makusanyo kutofika kunako husika, nk. Mfano ukimtumia mtu hela kwa njia ya kielektroniki una uhakika atapata yote baada ya Kodi kukatwa, lakini ukimpa mtu/wakala aipeleke cash, Kuna uwezekano mkubwa SANA mpelekaji asipokuwa mwadilifu isifike, au iibiwe njiani.. So, huenda Kodi zetu nyingi zinaishia njiani au hufika nusu nusu.. na matokeo yake huathiri walipa Kodi kwa kujaribu kuanzisha vikodi vingi ili kufidia zinazopotea njiani. e-Payment na ukadiriaji Kodi viboreshwe kuakisi uhalisi wa mlipa Kodi.
@halimoabgal5039
@halimoabgal5039 3 ай бұрын
Huyu kiongozi pia wa kubadilisha
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Keshawageuka, acheni ujinga fungueni biashara mtakufa njaa😂😂😂
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 ай бұрын
Bandari imesha uzwa sasa ata rekebisha kipi huyo ana wa danganya ana piga sim kivipi badala atoe tamko
@anicetminde3362
@anicetminde3362 3 ай бұрын
Umemaliza kwa hekima😂
@JamesMisalabaPalu
@JamesMisalabaPalu 3 ай бұрын
Huyo M/Kiti ameanza kuwageuka
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Ndio imepita tena, imebaki aibu kwenu chezeya Serikali 😂😂😂😂 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
@fathermore9772
@fathermore9772 3 ай бұрын
Viongozi wanafiki kama hawa hawafai .kujikombakomba wakati watu wanateseka
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 3 ай бұрын
Yan hpo ingekuwa hivi... hakuna kufunguwa duka!mbak system iwe imekamilika yna hakun kusubr.. mkigunguwa nao wanaemdelea kunyoosha miguu!
@mligogodfrey8882
@mligogodfrey8882 3 ай бұрын
Njaa Haina baunsa kaka.
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
​@@mligogodfrey8882😂😂😂😂 ndio wale anagoma kula mpaka abebelezwe wakati mji umejaa wenye njaa, jaribu tukuone anachekesha sana😂😂😂
@storytownTv
@storytownTv 3 ай бұрын
Mwenzenu yuko bize analipa wasanii wamtungie nyimbo za promo ,mitano mbele..🎉🎉😂 rip uncle John Pombe yote haya uliyaona ndo maama ukasema tutakukumbuka
@husseinkatunka7548
@husseinkatunka7548 3 ай бұрын
Kwani kuja apo kunaumbali gani mpaka apige simu
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 3 ай бұрын
Tanzania niyetu hakuna kutishiana aje
@jameskunogoleka5805
@jameskunogoleka5805 3 ай бұрын
Aje rais nyie do wajir wenu
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 ай бұрын
Chagua kufungua au kutokufungua. Hii nchi bhana nimali ya Rais sisi wananchi ni takataka omba omba
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
wananchi wameshaona nchi sio yao tena. ni mpaka wapige magoti na kujigaragara kuomba haiki zao. nchi inaonenkana wanaofaidi ni wacheche sana ambao hao wamewekwa na wananchi sie..mbona viongozi kama wamefumbia macho matatizo ya watu? kesho wanaingia mtaania kuwaomba kura na kuwa danganya watu wa wtu. ni vibay sana🥲🥲🥲🥲🥲
@cricwambali1352
@cricwambali1352 3 ай бұрын
Mbona mwenyekiti huendi paka mgomo utokee au hua husikilizwi
@sixmundleonard2135
@sixmundleonard2135 3 ай бұрын
Uko nyuma kulkuwa hakuna izo mambo 🎉
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Mambo gani😂😂
@Kidamui
@Kidamui 3 ай бұрын
Ndo wale wale tu kudadeki tutapigana kama kenya
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Hakikisha umeachia Ndugu zako pesa za kusafirisha mwili Kijijini kwenu, chezea Tanzania 😂😂
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 3 ай бұрын
​@@darajalakidatukilomgi2362😂😂😂😂😂🎉😂
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 3 ай бұрын
Hii nchi ina mifumo ya kipekee.
@ANNAKISIGA-pc5qs
@ANNAKISIGA-pc5qs 3 ай бұрын
Tuige mfano wa kemya hivi watanzania tutakuwa wema mpka lin lakin tunachezewa akili zetu oneni wenzetu kemya mswada haujapitishwa baada yakuchukua maamu magumu laki. Sisi kila siku tume tume ila watoto wetu wapo na wanaamka
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 3 ай бұрын
WIZARA ZINAZOTAJWA KWENYE RIPOT Y CAG. WALIO POTEZA PESA.WABANWE WARUDISHWE HAYA YASNGE TOKEA.
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 ай бұрын
Saiv mama YENU amekalia mbali kabisa hataki aonekane kwamba anamakosa .. Wakati Sheria zinasema kwamba maswala yoyote yanayohusu Kodi na Tozo nimaswala yanayomuhusu rais kwasababu anapeleka bungeni bunge lenyewe ni ndio Bunge likipitisha mama YENU anasaini Sasa inakua Sheria rasmi ndiomnaanza kusakamwa na TRA na harmashauri halafu munawaona TRA wabay kumbe mama YENU ndio mbaya Kila mtu mama mama ma.a autafiri wote hapa hamna mama zenu
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 ай бұрын
Government is a systemnmade by group of people to care the country or nation
@witnesskagirigiri3763
@witnesskagirigiri3763 3 ай бұрын
We mwenyekiti akili hazikutoshi .unaposema huko nyuma serikali ilikuwa huna uwezo wa KUFANYA majadiliano unawakosea watanzania . Huko nyuma manyanyaso hayakuwepo na majizi yalishika adabu.Acha woga kuwa imara na kwanini upigiwe simu na wenye nchi wasijitokeze kutoa kauli?
@GoodluckTarimo-u3j
@GoodluckTarimo-u3j 3 ай бұрын
Wewe ushawasalit wafanyabiashara mshamba ww Hadi unalindwa na police tz hovyo
@barakamnazareti5745
@barakamnazareti5745 3 ай бұрын
Kuna ulazima gani wakuongea unaonyesha ishara ya dole gumba😂😂
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 3 ай бұрын
Majibu ya kisiasa hayo mwenyekit
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 3 ай бұрын
Wanatuona mbumbu cc wananchi da kazi kwelkwel
@TangaMashewa-qe8kk
@TangaMashewa-qe8kk 3 ай бұрын
bado haituingii akirini tunamtaka raisi mwwnyewe
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Ndio imeshatoka hiyo kama wewe jeuri funga biashara uone kama utaenda choo wakati unamsubiri Raisi aseme😂😂😂😂😂😂
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 3 ай бұрын
Hapo umekosea au mbona watu wamekupgia kelele hakuna ambalo halizungumziki kaka
@benjagaspar5304
@benjagaspar5304 3 ай бұрын
Mbona sielew viongoz wapo wap mpaka mwenyekt wafanya biashala ndo anaongea umma
@MRASISKA
@MRASISKA 3 ай бұрын
Nimeamini pesa ni sabuni ya roho
@BillyJames-l6x
@BillyJames-l6x 3 ай бұрын
Endeni kazini muache ujinga kwani hii ni mgomo wa aina gani??
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Kuiga iga mwisho wameishia aibu, fanyeni biashara Siasa waachieni wabunge majinga sana haya😂😂😂😂
@Alexismadimo
@Alexismadimo 3 ай бұрын
M nadhan wangetawanyika wasinsikilize tu
@Mumewangu
@Mumewangu 3 ай бұрын
Lazima wasikilize ili na wao wajenge hoja
@afropatriot7769
@afropatriot7769 3 ай бұрын
CHAWA
@knight6757
@knight6757 3 ай бұрын
🤔🤣
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 3 ай бұрын
Rais atoe press conference
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 ай бұрын
Hawezi toa tamko ye anakula maisha
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 3 ай бұрын
watuachie inchi yetu wameshindwa kutuongoza basi.
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 3 ай бұрын
Kwani huo mgomo umeanza leo acheni kuona wananchii ni wasengee sana
@Kabwela776
@Kabwela776 3 ай бұрын
Si Samia anawachekea enzi za Magufuli wasingethubutu kufanya mgomo JPM hakuwa mtu wa nonsense!
@TangaMashewa-qe8kk
@TangaMashewa-qe8kk 3 ай бұрын
bora huyu kaongea kiustaarab sio charamira sijui kasomea wap
@samsonsimon3138
@samsonsimon3138 3 ай бұрын
Ni mpuuzi huyo akaangizwa na akaingiziwa ujinga kichwani mwake , magu alikuwa hapendi kuona maandamano ya vyama pizani tu ambayo hayana faida lakn migomo kma hii do alikua anawahi kuitatuq
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 ай бұрын
Huyu mwenyekiti kachaguliwa na nani?
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН
MSITULETEE SIASA HATUFUNGUI MADUKA/WAFANYABIASHARA KARIAKOO
12:10
Gangana Info Channel
Рет қаралды 39 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 669 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН