Anapoishi Mwijaku Nyumba Kajengewa na mkewe Magar Kapewa Amchana Diamond kapanga Afuga mbwa milion14

  Рет қаралды 138,231

BINGO ONLINE TZ

BINGO ONLINE TZ

Жыл бұрын

Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
#bingoonlinetz
#sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1

Пікірлер: 223
@jeremieidysuhya-ff7iy
@jeremieidysuhya-ff7iy Жыл бұрын
Kkkkk Dc
@lisahhans295
@lisahhans295 Жыл бұрын
Kumbe bado anapanga jamani mmmmm .namaujanja yoote.anapangisha shenzi zake.😊😅
@lisahhans295
@lisahhans295 Жыл бұрын
Hahahhaaaa hakuna kituu ndani huyo ni fala etiii
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Wasaniii Na mambo yao Ni usanii siku ikitokea jambo tusishangae kuskia wamepanga. Mm wasanii siwaami mbwembwe zao.
@kassimhashi49
@kassimhashi49 Жыл бұрын
Kabisa
@wardawarda-fp3qe
@wardawarda-fp3qe Жыл бұрын
Kabisaa yaani
@winnawiliamwinnawiliam8859
@winnawiliamwinnawiliam8859 Жыл бұрын
wakati wamepanga iyo nyumba
@IANA2030
@IANA2030 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
@@IANA2030 au ww unaonaje??? Maana mbwembe nyingi Na tatizo likiwakuta la maradhi. Ss Watanzania ambao hatuna majumba wala magari ndio tunawachangia wakatibiwe. Yaani kila kitu usanii. Hivi kuna ubaya gani msanii akiishi maisha halisi. Badala ya kufec.
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 Жыл бұрын
Sio kwa mke wake wala kwa ndugu yake! Kaona aibu maana hata funguo za ndani hajapewa! Kaachiwa choo tu maskini wa Mungu! Sifa zitawaua wabongo! Hapo kaomba kuchukulia picha ndani ya nyumba kakataliwa!
@loner_wolf
@loner_wolf Жыл бұрын
Nikija kusikia nahuyu yumo sitoshangaa, hawa wanatamani maisha ambayo wanatakiwa wafanye kazi, sio uchawa .... Ok Mazingira ya nje na ndani wala hayafanani kbsa.....
@relaxationforever88
@relaxationforever88 Жыл бұрын
Mboona mwija amekaa kama yy ndio mlinzi😮😅
@masoudabubakar9749
@masoudabubakar9749 Жыл бұрын
Huyu lumbukeni,iko ck maisha ya kuigiza yataisha.
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 Жыл бұрын
Hii nyumba mzee umepanga hiyo ya kupanga na hiyo ya pili anaishi mwenye nyumba kwa hiyo usitulishe matango pori
@nawechi4818
@nawechi4818 Жыл бұрын
Haswaaaaaaaaaaaa
@latiphamfoy4265
@latiphamfoy4265 Жыл бұрын
Mwijaku mjanja kapata mke msomi anakula bata maisha safi
@issarooney5190
@issarooney5190 Жыл бұрын
Hongera Mwijaku...endelelea kuenjoy life
@eppiemodest
@eppiemodest Жыл бұрын
Kiki tu. Ni nyumba ya Jamaa fulani anakaa nchi za nje. Siyo yake. Hiyo nyumba inalindwa na wamasai . Kawahonga wamasai afanye kiki. Huoni hakuna mkewe hapo wala mtoto wake. Soma alama za nyakati.
@graceamuli9899
@graceamuli9899 11 ай бұрын
Uyu anazidi ata wacongo 🇨🇩🇨🇩
@jameskitheka5791
@jameskitheka5791 Жыл бұрын
😂😂😂 mwijaku ni real hustler 💪 shout out kwako kutoka 🇰🇪
@estatekisombola9251
@estatekisombola9251 Жыл бұрын
Kesho tutamuona kwa konde akililia kodi😂 wasani wa bongo shida
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Nampenda sana unavyo mpenda mkeo bc ila bwebwe nyingi sana izo ninyumba za kupangisha kabisa hapo ni familia za watu3
@immanuelKibett
@immanuelKibett 9 ай бұрын
wanawake wote wa kenya wana akilii kumzidii mwijakuu.mtu ovyoo .daaaah😮😮😮
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 Жыл бұрын
Ni vizuri,Mwijaku anaispire vijan
@elbarrey3305
@elbarrey3305 Жыл бұрын
Sasa huyu kujimaliza kote huku anaish kwa mkewe.. Ivi ana japo kiwanja?
@BrysonMayunga-lc6mq
@BrysonMayunga-lc6mq 11 ай бұрын
Na kama jamaa kapanga inamaana hata hivyo atakuwa na pesa kuweza kupanga hapo its not a joke congratulate me hata kama itakuwa kiki au uchawa jamaa atakuwa amejipanga vizuri sana jaribuni na nyie uchawa kama mtamfikia jamaa😂😂😂*djTop breezy
@Japhetitz
@Japhetitz 10 ай бұрын
Vzr
@wiseman7456
@wiseman7456 Жыл бұрын
Kenya cpa ni kitu ya kawaida ila tz it's big deal 😂
@furahamwaisemba6532
@furahamwaisemba6532 Жыл бұрын
Subiri upate pancha 🤣 Mnaanza kutusumbua michango,, Get well soon Mr. ZIMWI
@zakayomasingoti9238
@zakayomasingoti9238 11 ай бұрын
Izo nyumba ni za zamani za wazee wataafu..wanazoanziaga maisha mbwa ww..mmepanga hamuendani na mazingira
@seraphinemuthama5119
@seraphinemuthama5119 11 ай бұрын
Ni mxuri mwanamke kua na kazi jameni respect ndio hio
@estershekika8865
@estershekika8865 Жыл бұрын
Mbona nyumba yenyewe ndani imechakaa sana
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf Жыл бұрын
Af Yako Iko vipi Kwan mkuu?kujenga sio rahisi ukianza kujenga utajua au labda unapesa kumliko lakin sio rahisi
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Kumbe mwijaku ana maisha mazuri sana daah siyo poa
@mussakisope7207
@mussakisope7207 Жыл бұрын
Bongo watu wanapenda sifa sana
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 11 ай бұрын
una laaana ya menina sikupendi mwijaku
@mkambaselemani-ej7np
@mkambaselemani-ej7np 6 ай бұрын
Unahema misifa ndio maana hampati majigambo Sana!
@raphaelenock8676
@raphaelenock8676 Жыл бұрын
Nakukubali sana bloo wangu mwijaku
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 Жыл бұрын
Nyumba za kukodi izo msibabaishwe wa TZ izo mbwembwe tu
@user-cp1jb2cf4l
@user-cp1jb2cf4l 11 ай бұрын
Kwaiyo. Mwijaku. Kumbe. Jumba. La. Mkewe. C. Lake. Kujigamba. Kote. Hana. Say.
@johnrickmwamselele1036
@johnrickmwamselele1036 Жыл бұрын
Bongo mshatufanye wengi vilaza mkiugua mnapitisha bakuri tuwapeleke India .nasema mkome mara ya Kwanza mbaka tatu
@Kobe_254
@Kobe_254 Жыл бұрын
Alivyokua anasifia mbwa na hiyo meza ya seremara wa kigoma.. nilijua tu huyu misifa za peni mbili, ulizia Babalevo utajua kweli kaka amepanga😂😂
@BrysonMayunga-lc6mq
@BrysonMayunga-lc6mq 11 ай бұрын
Mbona hamuamini anachokisema jamaa kumbukeni mwijaku anapiga kazi kama watu wengine tofauti na uchawa do you here mens??😅😅
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu Жыл бұрын
Maneno tuu -uongo chungu nzima
@zakayomasingoti9238
@zakayomasingoti9238 11 ай бұрын
Nyumba ya kupanga jmn dar
@xaverisunday699
@xaverisunday699 Жыл бұрын
Meza ya laki ikeongezwa sifuri nyingi dahaa kwl tuna danganyana
@EdwardKilasi-kp8fp
@EdwardKilasi-kp8fp Жыл бұрын
Maisha yenu halisi tunayajua mkishakufa
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 Жыл бұрын
Congratulations ❤
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Aibu hata funguo zandani hujaachiwa hujielewi mwijaku tunasema ukweli jiongeze tafuta chako
@hameezhami7795
@hameezhami7795 Жыл бұрын
Yani anavyomuelezea unadhani mkewe alipelekwa na wazaziwake kusoma amsomee mwijaku
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Tena kaowa mchaga atakoma hafu ndo tajiri mkewe
@DominiqueDrouin-fh5pw
@DominiqueDrouin-fh5pw Жыл бұрын
nice one
@hasani565
@hasani565 Жыл бұрын
Nice house Mwijaku
@kevinoguna3807
@kevinoguna3807 Жыл бұрын
Mwijaku we muongooooo😂😂😂😂
@ManichManich-yj4sl
@ManichManich-yj4sl Жыл бұрын
Mwijakuu💯💯💯💪💪👑👑
@floraundisa3688
@floraundisa3688 Жыл бұрын
Watching your house tour 🇰🇪🇰🇪
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Acha ujiko mwijaku
@mussajackson783
@mussajackson783 Жыл бұрын
Kapiga rangi ya bucha
@1tripple9
@1tripple9 Жыл бұрын
Mnatuchanga na pesa zenu kubwa kubwa kumbe kwetu Kenya ni kapesa kakununua Royco cubes.
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 Жыл бұрын
Mbona ndani hujampeleka
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc Жыл бұрын
Ww msenge kwli hyo nyumba umekodi sio yako mbwa ww
@elliyawilliam2521
@elliyawilliam2521 Жыл бұрын
Km una hela muingize ndani mtangazaji acha usanii
@cantonaiddy6042
@cantonaiddy6042 Жыл бұрын
Nyumba ina Rangi mbaya sana
@jamespeter2187
@jamespeter2187 Жыл бұрын
Naona wakala mkuu wa mashoga bado anaupiga mwingi
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Umeona eee
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Pachafuu apo kwenye washing machine 😅😅
@awadhally1052
@awadhally1052 Жыл бұрын
😂🤣
@solangekubota9487
@solangekubota9487 Жыл бұрын
Kaka anaonekana ni mario
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hongereni sasa mmyenyekeeni mwenyezi mungu maisha ya akhera ni bora zaidi
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Жыл бұрын
Kaburi tajiri😊
@tembarooney7899
@tembarooney7899 Жыл бұрын
Ukuta ndio nyumba hakuna
@OmariYahaya-bm8no
@OmariYahaya-bm8no Жыл бұрын
Kupatwa kwa maisha😂
@maxcharles5436
@maxcharles5436 Жыл бұрын
Mha wa kwanza mjinga
@zaitunjuma870
@zaitunjuma870 Жыл бұрын
izo sifa zenu endelen nazo ivyo ivyo mkijaumwa hp mwatak mchangishiwe
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 Жыл бұрын
Alphard ,,Crown,Duelis mmmmh haviendani na hiyo nyumba ..gari hizo sawa sio nyumba ,,, wadanganye wamedia sio wananchi
@alexmboya4926
@alexmboya4926 Жыл бұрын
😂😂umetisha mkuuu dada wa kazi no kutoka ndan mbwa hawajamzoe😂😂
@gres1182
@gres1182 Жыл бұрын
Mwijaku Eti meza 10M wacha uongo
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Жыл бұрын
usijisifie ujinga ishi maisha yako halisi
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 Жыл бұрын
Unaona sifa eti nilikuwa namgonga na kwa Mungu akifa kajibu ivo ivo
@mvumoextratv
@mvumoextratv Жыл бұрын
Chance Tza💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥👍
@jayclassicke8163
@jayclassicke8163 Жыл бұрын
Kumbe umeona bro hii.... aminia mwamba insha'Allah waenda mbali
@mugishagerard8241
@mugishagerard8241 Жыл бұрын
Huyo mwijaku anapanga, anaonyesha vitu sio vake
@uniquestories3609
@uniquestories3609 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Kwahy sk unaachwa iitakuwa mbaya
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
Sio kwa mirangi hiyo ukutani khaa!
@aliyussuf8068
@aliyussuf8068 Жыл бұрын
mm nilizani nikituo cha zima moto
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
​@@aliyussuf8068 😂😂😂
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
@@aliyussuf8068 🤣🤣🤣🤣🤣
@media1international279
@media1international279 Жыл бұрын
Mambo yamechemka! Kila kitu ni mbwembwe. Ukweli ni upi?
@Twalibumshalaba-ud9id
@Twalibumshalaba-ud9id Жыл бұрын
Sijaelewa mwinjaku kwaiyo umeolewa au make unasema ya wife nyumba Kwa mm siwez kukaa Kwa mwanamke make siku ukimuhuzi utakubali show yake ni watata hao wakiwa na hela ww una kt
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
Hlf mkiumwa mnaanza kutuchangisha nyumba mzee hiyo ya zamani
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Mwijaku hakili huna wewe mwisilamu kufunga umbwa ni haramu hujielewi
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Жыл бұрын
tatizo lenu nyie mnajifanya mnapesa na mbwembwe nying na usha mwingi sasa hicho cho gani mpaka unaonyesha watu ao kwenye camera umenda Dubai ujaona watu wanavyoishi au cho zao tatizo mda mwingine ushamba sana alafu mkipata shida ndo unaskia watanzania tunaomba msada flani anaumwa hoi Aya Katika izo pesa zako weka na zingine ili ukipata shida usije sumbua wap
@tamimbinaltan1325
@tamimbinaltan1325 Жыл бұрын
Umeongea shit sana
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 10 ай бұрын
Sasa mwijaku umeowa ama umeolewa
@user-mp4lf4ji8k
@user-mp4lf4ji8k Жыл бұрын
Uyo chizi mbona hana hela
@thebenzclassic1905
@thebenzclassic1905 Жыл бұрын
Beat yenu iko juu sana maneno hayaskikiki
@EliabApeli-un4th
@EliabApeli-un4th Жыл бұрын
Bure kabisa
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Hiyo mlangoni umeshidwa kupinga rangi khaa!!!
@frankminja2343
@frankminja2343 Жыл бұрын
Wakuda bana sifa Miiingi
@wakunatahafai1969
@wakunatahafai1969 Жыл бұрын
Uwongo mbaya kasema mke katoka na gari lake ajabu gari ziko tatu tayari 😂😂😂😂🙌
@JumaHaruna-cr8rp
@JumaHaruna-cr8rp Жыл бұрын
Ata home wapo kaka
@aliyussuf8068
@aliyussuf8068 Жыл бұрын
tajiri hajitangazi nawewe muandishi huna kzi yakufanya bwege weye ata kukodi hapo hna uthubutu huwo
@princemulunda5047
@princemulunda5047 Жыл бұрын
Muhogo sio kwake
@greatest_of_africa
@greatest_of_africa Жыл бұрын
😂😂😂😂😂et ndan cku ingine
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
NYUMBA KUUBWA,, WALINZI WAKO UNAWAFUGA KWENYE KINYAMKELA 😄
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Жыл бұрын
Sasa vyakula cha mbwa viko special kiasi gani kila mwenye mbwa ananunua kama kawaida
@sumaliinaleng5430
@sumaliinaleng5430 Жыл бұрын
Sio covenant ni conventry
@ulimwenguswed6394
@ulimwenguswed6394 Жыл бұрын
Mwijaku una pesa yoyote
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 Жыл бұрын
Kuchafu kwa mlizi wakusifia hata Rangi hupiji" Ubalozi wote ulonao Ustuchoshe wajua wenye majumba wanavyo ishii wewee😂😂😂😂😂
@daudiissa9256
@daudiissa9256 Жыл бұрын
Waha wametumwa pesa mjini kama wachuga
@kassimkandulu2573
@kassimkandulu2573 Жыл бұрын
Hizo nguo zaKijani mm nilijua MTI wa mwaalubaini, Kumbe mtu.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hahahaaa ndio ya watu wenye pesa labda
@ghayamjombo6582
@ghayamjombo6582 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@kassimkandulu2573
@kassimkandulu2573 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 ha ha 😂 😆 ata km pesa ss ndo uvaee full green km mti mbichi..
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Жыл бұрын
😀😀😀😀
@arabicfey-ii6dn
@arabicfey-ii6dn 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@john-ke5838
@john-ke5838 Жыл бұрын
Mnamambo makubwa huko Tzi🤗🤗🤗🇰🇪
@jayclassicke8163
@jayclassicke8163 Жыл бұрын
Sio kama huko kenya kwenu hata mtu akifanyiwa interview ha repost 🚮
@alexandermcqueen.7555
@alexandermcqueen.7555 Жыл бұрын
​@@jayclassicke8163kwasababu huku kenya ni mambo madogo sana ila wabongo nani asiewajua hamna jambo dogo nyie😂😂
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Жыл бұрын
We Acha 2 mm nishachoka kuishi
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 Жыл бұрын
Mzee wa kujisifu na uongo juuu daaah tutajuta
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 Жыл бұрын
Wee mwenyewe umefanana na Rashidi 😂😂😂
@brianbabu6984
@brianbabu6984 Жыл бұрын
Mwijaku uko na mambo🇰🇪🇰🇪
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 Жыл бұрын
Huyo ni muongo hiyo nyumba dalali wake ni mimi# nimempangisha mimi"na hiyo nyumba ya pembeni anaishi mwenye nyumba"ndo mana wanafukuzwaga na wenye nyumba kwa sababu kujimilikisha nyumba za watu
@hussenhemed1050
@hussenhemed1050 Жыл бұрын
Usitoe Siri buana utakosa wapangaji
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Aloo safi sana
@user-kv6vc8sd7c
@user-kv6vc8sd7c 6 ай бұрын
Dar Mimi Huwa nacheka vituko vya mwija
@user-kv6vc8sd7c
@user-kv6vc8sd7c 6 ай бұрын
Lakini unawachangamsha vijana wenzio wazidi kupambana kutafuta maisha
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 Жыл бұрын
kodi tena ya nini na amejengewa!!!!
@naslee1010
@naslee1010 Жыл бұрын
Siku mwinjaku ukifa ghafla bc ndugu zako hakuna watacho pata mana hata chako unasema cha mkeo jamani eeh! kesho uyu dada mke wa mwinjaku asije ku raumiwa ni hivyo tu.
@nordinebaraca4635
@nordinebaraca4635 Жыл бұрын
Meza mil10😂😂😂😂
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 14 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
TRAFFIC FEKI KEVOO JOKER NA NANGA & WAKUSMARTA_SHAFII😀
6:51
MJENGONI KWA HARMONIZE NJE MPAKA NDANI ANGALIA PAKISHUA SANA
10:16
Exclusive: Mwijaku Amjibu Baba levo/Kama Anaweza Aachie Video
14:30
Dizzim Online
Рет қаралды 24 М.
It worked for me)
0:19
F&T Team
Рет қаралды 11 МЛН
It worked for me)
0:19
F&T Team
Рет қаралды 11 МЛН
А ЧТО С ЗУБАМИ ТО?😂😂🦷
0:54
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 3,9 МЛН
Крокодил получил по-заслугам! 😱
0:32
КиноСклад
Рет қаралды 15 МЛН
Этот парень написал картину... 😎
0:29
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 7 МЛН
Бабайка #юмор #рекомендации #прикол
0:32
МэдПринц 👑
Рет қаралды 1,5 МЛН