Inshallah Mungu awafikishe salama ,na mtakapofika ibadan ,basi mtuombee na sisi Mungu atujaalie ili siku moja nasi tuje bahatika ,na pia naomba mniombee Mungu aniondolee matatizo yangu Inshallah.
@shukujaibu7143 Жыл бұрын
Mungu awabariki safari njema
@fettyrashid9042 Жыл бұрын
Mashaallah Allah natamani Ila sina Uwezo Allah anijalie siku moja nifanikiwe🤲 🙏 na awajalie pia na Safari yenu 🤲
@matipashankanawaaooo1199 Жыл бұрын
Amini mamii allh akuhifaz
@fettyrashid9042 Жыл бұрын
@@matipashankanawaaooo1199 🤲🙏❣️
@MwamvuaKing Жыл бұрын
Allah akujaalie mwakani inshallah ukafanye hii ibada
@fettyrashid9042 Жыл бұрын
@@MwamvuaKing Inshallah 🤲🙏
@IdrissKheir Жыл бұрын
As alaikum. Naam, ndiye huyo huyo shk. Anayetafsiri aya za Qur ani. Ni shk. Muhammad Suleiman. Alla ampe kila la kheri shk weru huyu. Amiiin.
@guugug9gt829 Жыл бұрын
Ndie mzanzibar uyu
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Alhamdullillah, mashaallah jazakallah kheri.
@masturaabdul1007 Жыл бұрын
Nampenda sauti yake. Allah ampe kheri
@SaadaNassor Жыл бұрын
Mashaallah Allah awafikishe salama biidhinillah inshaaallah naam huyu ndie Alie tafsiri Qur-an kwa njia ya kuswali hujakosea
@mwajumamahita6619 Жыл бұрын
MashaAllah Tabarak Allah tunamuomba ArRahmaan Awajalie mahujaj wote Hajj mabroor na kuwaruzuku jannatul Firdaws bighayr hisab wala adhab ameen yarrabil ameen. Msitusahau kwa dua nasi Allah Atuafikishe kukamilisha nguzo hii muhimu Allahumma ameen yarrabil ameen
@ShukraIntellects Жыл бұрын
Mashallah Sheikh Mohammed Suleiman Hibr
@saidaabdalla2854 Жыл бұрын
Allah Awajaalie mfike salama na kurudi salama, nawatakia Hijja Makbuu.l AMIN
@salimmbwana6926 Жыл бұрын
Allah awakubalie Hija yenu na ss atupe uwezo wa kwenda kuizuru nyumba ya Allah
@muhammadmuhammad5043 Жыл бұрын
Walsam Warahmatullah Wabarakatuh Allah Akujaaliyeni Kilalakheriy Katika Safariyenu Na Kufanya Ibada Yahija Akujaaliyeni Afya Nzuriy Nakilalakheri Zake Awajaaliye Kwenda Na Kurudi Salama Yarabiy Allahumma Ammen Yarabiy Hajan Mabrurah Wadhamban Maghfura
@Aminamuhamed Жыл бұрын
Maashaallah maashaallah maashaallah barakallah fiikiy inshaallah biidhin llah Kareem ALLAH awatakabaliye nyoteni ibada ya ummrah inshaallah naombeni tuombeeni nasi ambao hatukujaali inshaallah nas ALLAH atujaliye 🤲
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Alhamdullillah, mashaallah jazakallah kheri. Allah awafanyie wepes inshaallah
Allah Karim Awahifadhi katika mikono yake mwanzo mpaka mwisho wa Ibada Tukufu. Mrejee salamà na familia zenu ziwe salama na mkutane tena salama.
@hamidahamadi Жыл бұрын
Mashaa Allah Allah awatangulie kwa kila jambo
@sangokipozi4611 Жыл бұрын
Allah kareem. Jazaak Allahul kheir kwako ndugu yetu kwa mchango wako wa ufafanuzi wa Qur’aan tukufu kwetu sote. Allah awafikisheni salama na apokee hija yenu in shaa Allah! Allahumma Aameen
@rahmaarrington9019 Жыл бұрын
Ameen yaraby!! Inshallah mungu awatakabalie Ibada yenu hii ! Awafikishe salama safari yenu hii na kila jambo liende kwa salama na Amani! Allah awabarik nyote mlio itikia wito huu na sisi mungu atupe hatuwa ya raby tuitwapo tuitikie inshallah! Atupe umri mrefu Nasisi atupe uwezo wa kufika huko kwaajili ya Allah!! Mashallah!! Maasalam!! Mungu atawahifadhi!!
@fuadaladawi1255 Жыл бұрын
Masha'Allah
@mudybeka6698 Жыл бұрын
Allah awafanyie wepesi ktk kutekeleza amri ya Yake na atukubalie amali zetu
@nabillkhamis8188 Жыл бұрын
Mashallah ss hiv Dunia umekuwa kila kitu kiko waz ss hiv mashallah
@SharifaOman-bf1bn Жыл бұрын
Mungu awafanyie wepesi insha allah nasi tuwe. Miongoni mwakani insha allah tuhudhirie ibada ya Hijja
@khadijahassan6852 Жыл бұрын
Ee Allah natamani sikumoja namimi niwe nauwezo niende
@piliramadan875 Жыл бұрын
In shaallah mwenyezi mungu awafanyie wepesi mtuombee na sisi in shaallah
@roqayaro9439 Жыл бұрын
Mashallah allah awaongoze vyema na sisi atujalie tuende
@amriyalibent5900 Жыл бұрын
Ameen yarrab
@JohnJohn-fs8ex Жыл бұрын
Masha Allah. Hajj Makbur,
@jumakhamis226 Жыл бұрын
ALLAH AWATANGULIE MAHUJAJI WETUU
@hawamohammed6939 Жыл бұрын
Allah Awajaalie Mlilolendea Allah Ajaalie Inshaallah Iwe Hijja Ya Kheri Allah Allah Azitakabal Hijja Zenu Inshaallah Nasiye Panapo Maajailiwa Tuitimize Nguzo Hy
@athumanipima Жыл бұрын
Mungu awalinde ninyi na ibada zenu nasi mtuombee pia
@jumamussantuiche Жыл бұрын
Maachallah
@wadantz123 Жыл бұрын
Ya Allah nijaalie nami niwe miongon mwao siku moja inshaallah
@mageolomi3735 Жыл бұрын
Maishaaah Allah awafikishe salama, na awakinge na kila baya Inshaala, 🙏
@ashasalmin1625 Жыл бұрын
Allah muweza wa vyote nasi atuite muitiko mwema, kabla ya mauti yetu, aturidhie katika hijja zetu na zenu msiache kutuombea nasi tutamke laabaykallahumma labayk amn
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
MashaAllah ALLAH awatangulie kwakila hatua Inshaallah
@aminahahlubayt7399 Жыл бұрын
Asalam alyikum warahmatullah wabarakatuh. Naombeni kujua ktk hili jmn. Hivi ticket ya kwenda umra ni shingapi kwenda na kurudi. Naamini i believe that insha'allah ❤❤
@rashidikanyama2357 Жыл бұрын
Mashallah
@MulhatOmar-dx7ry Жыл бұрын
Tunawaomba na SS Allah atuwafikishe inshallah
@rahimasaid6721 Жыл бұрын
Allah atakusaidieni
@ABDULFATTAAHNASSIR Жыл бұрын
ALLAH AWAFIKISHE NA AWAJIALIE HIJATULAMKBUUL
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashalla Allah ❤❤❤❤
@farhattharoub3624 Жыл бұрын
Ameen Allahumma ameen
@rajabumbendenga5480 Жыл бұрын
Hii sauti mbona kama ya yule Mzee alosoma tafsiri ya Qur'an ya kiswahili....?
@binseif2216 Жыл бұрын
Ndo yeye sheikh Muhammad bin Suleiman
@MwanahamisiGona Жыл бұрын
Mashalah mwenyezimungu akupeni wepesi katika wakati wote mtakapo Anza umra na kumalizia Hija kwa ujumla na mtuombee na sisi tuweze kuenda huko hija
@MwanahamisiGona Жыл бұрын
Na mwenyezimungu awarudishe salama inshallah taghalah