these are not protestors but only thieves and people who hate kenya,may the lord protect this country we pray
@Ilovekenya7805 ай бұрын
Gen Z nitawaambia what my late dad told me one day to never steal somthing that have cost money n sweat from anyone.This will make some of you miserable all the days of your life.Life is tough to all of us but theres always a way out not stealing.Kuna mtu ange iwn a supa ine day but because ushamwibia an innocent kenyan God will make u A beggar either thruout your life or at an old age.You will remember This Day.
@CharityLove-z2b5 ай бұрын
true
@ElizahbethNgele-nd7ml5 ай бұрын
Yes dr
@johnoduor93705 ай бұрын
Good
@ivinesizy16165 ай бұрын
Wewe wacha kucurse watu hapa,you are not your grandfather,watu wamechoka
@ChakitoTolu5 ай бұрын
This a government paid goons not our youths
@decoloniz_afro5 ай бұрын
No this is a mistake....looting shops of innocent Kenyans..now this is curse ..anyone who carry home that loot you are cursed
@JanetRosesB5 ай бұрын
Hope wameji protect
@ErickAila-rt7ww5 ай бұрын
Lazima atafute mali Yake kivyake
@NeemaNeema-dr6qs5 ай бұрын
Sasa wakiwaroka
@joysimventures22425 ай бұрын
Kabisa this is not good at all
@ismailosanoomar33265 ай бұрын
Hii haifai kabisaa. Kitendo cha kuiba mali za watu inafaa kukemewa. Nyeri ndiyo wamefungua njia ikabidi watu wa Nairobi pia wafuate mtindo huo.
@emilykamwali76005 ай бұрын
If only our MPs could think and think right we could have avoided all this.mungu anawaona mlipo
@Mrs-tee975 ай бұрын
sasa hawa ndiyo wanatutetea mwenye naivas ali vote yes let's think twice this are hooligans
@decoloniz_afro5 ай бұрын
I think goons has mixed themselves with gen z..they have taken advantage
@shabankolia82045 ай бұрын
Yes let them take
@pharesodhiambo87165 ай бұрын
Kuna shida kwani
@beavaneomwenga19875 ай бұрын
System ingekua mzuri hakungekua ivo, ruto is the source and criminal of all
@TerryMueni-gg9wx5 ай бұрын
Hio ni kawaida wanatake advantage
@joychepngeno42835 ай бұрын
Yes
@benardakure69345 ай бұрын
Gen z hapo mmetuleta down big up
@sandugurufoldermutwiri32525 ай бұрын
Naivas walipe workers vizuri juu poor payments italead to stealing
@vivianchelangat32625 ай бұрын
Hii si mandamano ni wizi
@AgnesKeah5 ай бұрын
Ruto you have to go away on that chair 😂😂😂😂😂😂😂
@GeorginaKeya-pq9vx5 ай бұрын
Y this surely Naivas c ya government it's not fair let's deal with government no person's business 😭😞
@gulftranspoters17625 ай бұрын
Lazima waende nyumbani na unga .Kenya is done
@SleepyFlamingo-hy7gy5 ай бұрын
True
@soniinyambu5125 ай бұрын
😂😂😂😂ata wamechoka juu ya shida mwenye supermarket Ako na balance Kwa bank
@Rajabkichirchir5 ай бұрын
Hii ni wizi sana
@alifaki19805 ай бұрын
Kuenda
@faithcalos10785 ай бұрын
Hawa wamezidi ssa😢
@Johnrhycs5 ай бұрын
V😂😢😅 I love it❤
@AnnNginya-ui3rj5 ай бұрын
Useless zombies 😞,naivas inawahusu nini
@KevianHomeCare5 ай бұрын
I think kuna goons involved coz genz destroy property only for those u voted yes....i ya naivas it's not right
@lydiahmumbi75275 ай бұрын
Hapo wamefanya makosa😢
@Kasasi03225 ай бұрын
You can't destroy property even if you disagree with anyone. It's like we don't know Kenyans don't understand peaceful protests. Hii sio maamdamano. Hasira na Naivas zimekutana wapi?
@NicoleMakaveli-wr6mm5 ай бұрын
@@AnnNginya-ui3rj wee inakuhusu nini
@soniinyambu5125 ай бұрын
@@NicoleMakaveli-wr6mm😂😂😂😂wachatu nicheke juu niukweli imuhusu
@linahngendo31255 ай бұрын
Oh my God, that is not fair.
@soniinyambu5125 ай бұрын
Na askari wakotu uko juu nakupiga watu risasi awa wako shopping weee 😂😂😂
@PriscillaNyakundi5 ай бұрын
Best ladies is among the ones on the list guys , nakumatt sijui
@abigaelmoraa96985 ай бұрын
waaaah sisi pia tumekujaa sanaa stealing 😮😮😮😮we team gen z Nipitienii
@alexsaidi39405 ай бұрын
Now what's this.. where will the employees get jobs na kila KITU imeibwa
@clare_namwaki4905 ай бұрын
Transferred to the nearest naivas branch
@eliudgathuthi86015 ай бұрын
Very sad that someone business goes down like that
@Alexei-xu3dp5 ай бұрын
Hii sipoa....hapa mliaribu
@LetTheStreetsGuess5 ай бұрын
Tukuwe tu brutally honest for a minute . io protest imesaidia nani leo . watu wamekufa , watu wameumia , uharibifu umetendeka ,kuna watu watakuwa na heavy heavy court cases later na bill imepitishwa , na mwisho wa siku security has been intensified . the govt now has the excuse to say ni criminals gang operating . Hakuna faida ata moja tuambiane tu ukweli . AMETUFIKISHA KWENYE KOO BUT TUMEJIKARANGA WENYEWE BECAUSE AT THE END OF THE DAY DEMOKRASIA WILL WIN SINCE THIS IS NOT A BANANA REPUBLIK.
@gashogumuturi5 ай бұрын
Freedom is not free. Please have speak up n take to the streets that the only language the government understands.
@deekiki19245 ай бұрын
Point of correction kenya became a banana Republic in ruto power 2022
@LetTheStreetsGuess5 ай бұрын
@@deekiki1924 I really wish you were honest with yourself.
@LetTheStreetsGuess5 ай бұрын
@@gashogumuturi govt iliunderstand lini language ya street? tangu enzi za Moi . name one smooth run street protest that the govt actually listened to . none . script imekuwa the same . tokea , goons infiltrate , excessive force which is later ignored and justified with the looting and stone throwing and kalas . issue under the carpet in less than two months . Protests only work when the leaders have empathy and human connection. thats the only way wataelewa what the people are really feeling . but we have animals in power . hayawani . sio binadamu razini . how do you expect them to reason rationally and consider your cries . NAELEWA THE WHOLE ' LETS MAKE THEM LISTEN THROUGH DEMOS BUT THESE PEOPLE WILL USE YOUR OWN TACTICS TO FIGHT YOU. WAKO COVERED NA SHERIA. WE AS THE PEOPLE ARE THE SOVEREIGN POWER OF A NATION BUT ONLY GET TO EXERCISE THIS IN ACCORDANCE TO THE CONSTITUTION. APO NDIO GAME IKO RIGGED. #CHUKUAKURA . GET THEM OUT , GET OUR OWN PEOPLE IN SO WE CAN USE THE CONSTITUTION TO FIGHT FOR THE RIGHTS. without that ni mark timing tu. (sorry for the long response it just gets to me how youth wanaenda before 30s. generation alpha wakilearn how the game works hawataloose even one in the future seeking of rights. its no longer game of might . they are probably laughing at how yall will never win with this right now) ata maybe hao goons ni idea yao. THINK ABOUT IT
@LetTheStreetsGuess5 ай бұрын
ABU IMAGINE AMIDST THE CHAOS THAT HAPPENED JANA , THE BILL WAS PASSED CHINI YA MAPUA YETU TU. THATS HOW BAD IT IS . HAWAJALI HAWATAJALI AND I REGRET SAYING THIS BUT THE DEAD HEROES WILL HAVE DIED FOR NOTHING IF WE LOOSE THIS FIGHT. TIME TO RESTRUCTURE AND FIND A WAY TO WORK AROUND THE CONSTITUTION COZ HAPO NDIO WATATUSHIKIA.
@dlatorevanso94185 ай бұрын
This is the meaning of '"the Government is not employing anyone this year,'
@TerryMueni-gg9wx5 ай бұрын
The demonstration was peaceful na Ruto hakuwaskiza Wacha sasa aone hii
@patrickndichu39055 ай бұрын
Naivas nayo hujasema makosa yake ni nini.
@artisthusnatalal30995 ай бұрын
*Riot's are allowed but Looting and Violence are not 🚫 allowed!* 💔
@jamesnjogu82805 ай бұрын
Just imjn those staff wameenda home ju ya ujinga ya watu wengine why shop na mwenye naivas si yeye amepitisha bill. Those more than hundred staffs they are jobless plus those who depends on them .we have to rethink even if we are rejecting don't worsen someone's life
@TerryMueni-gg9wx5 ай бұрын
@@jamesnjogu8280 wameona hata wakifanya peacefully Ruto hawaskii wakaamua kama mbaya mbaya but sija support kuchukua vitu za wenyewe ati ni vizuri
@patrickndichu39055 ай бұрын
@@jamesnjogu8280 Nií kenya no maitho ndímíheaga.
@rozzygikuhi5 ай бұрын
Why are they stealing surely .....hiyo inainvolve aje rejecting finance bill😢
@hannahmwaura71305 ай бұрын
Huu Ni wizi sii maandanano
@ngenoeva63395 ай бұрын
is this peaceful maandamano
@Montanah254.5 ай бұрын
Sasa ii ndo ujinga sasa mbona muibie watu pia wanataka right kama nyinyi
@agnesmosota34585 ай бұрын
Madness 😢
@GEORGINANGAVA-dt9oz5 ай бұрын
Are these protestors or thieves ....mtu akirun mad juu ya kuiba atablame nani surely...
@bethwachira41175 ай бұрын
Watupatie job kazi mtaani kwa ward levels people are hungry and stressed out here wapatie ma mca pesa watupatie kazi mtaani alaar power of hungry Kenyans
@julesrukeba33745 ай бұрын
Waizi nyinyi
@domin8425 ай бұрын
Hapo mumeharibu mambo,you should have attached anything belonging to this greedy government na mpigs wenye walivote yes,
@strongmermaid46515 ай бұрын
Dumb this has nothing to do wilh the bill. But they are destroying their own.
@pvictory50235 ай бұрын
So, what do you expect with such a high unemployment rate. Hungry people are angry people. Kenya iko nawenyewe....
@jamesnjogu82805 ай бұрын
@@pvictory5023so you mean watu wapole then what will happen to the least more than 100staff there wawe pia jobless again Wacha kufikiria kama mtoto bana
@gregoryharris87065 ай бұрын
This is the ripple effect of *" peaceful demonstrations "* , there're hoodlums always waiting to take advantage of the legit intent. I still blame the Government for allowing the situation to escalate to this point. 😢
@suzanwanjiru18615 ай бұрын
Stealing is evil. Let our youth be notified that thii is a curse. Be diligent in what you are doing . There are those who will have no job tomorrow.
@mwendenaomi335 ай бұрын
huyo mbunge ame enda hasara kubwa sana
@paulkaranja55085 ай бұрын
I blame the government. If the youths wangepewa jobs, tabia kama hizi hatungeona
@franciskiriyu5 ай бұрын
Does it mean you steal, in the name of no job surely.
@gabistan20075 ай бұрын
Exactly. Thats true. Some youth eat 3 days nothing and those big business owners cant do make down the high prices. They think only on them self
@IreneMwangi-r1b5 ай бұрын
@@franciskiriyuhawana akili wezi hao
@michaelmike82165 ай бұрын
@@franciskiriyu..so utaenda kurape watu juu hauna bibi
@franciskiriyu5 ай бұрын
@@michaelmike8216 God forbid, I have 2 kids both in school.and even if I may not be having a family,I can't be that humanizer.shindwe!!!
@lilianchepengat61035 ай бұрын
hii ni wizi
@SimonNyaga-sy5rt5 ай бұрын
I have never see something. Like this. Ruto must go😅😅😅😅😅😅😅😂
@palaceselection77705 ай бұрын
Huko ni Ronald Ngara si OTC 😫,sasa mbona waibe vitu za watu Aky 🙆😢
@healthiswealth38355 ай бұрын
sasa si ange kataa to kusighn hiyo bill from last week all these could not have happened ....
@Agnido_ivy5 ай бұрын
At the end of it all we all reap what we sow, God can never be mocked
@MARIONEBOSS5 ай бұрын
We blame ruto,if he did something the situation would not have reached this levil.
@christianleoh78905 ай бұрын
Naivas kwani ni ya ruto,,the bill will be ascended automatically,,
@officialseline96515 ай бұрын
Izi mabiashara n za ma mp wamevote yes ndio maana zinafanyiwa ivi including quickmart,quiver na zingine
@mariakiky26005 ай бұрын
Let's be on the right track and God will come through..Don't break in and steal peoples properties kindly🙏🙏
@GeorginaKeya-pq9vx5 ай бұрын
Exactly 💯
@Agnido_ivy5 ай бұрын
Mungu hatambui ati haukua na unga ,mara ulikasirikia president, you made someone's business go down, waig for it
@mutukubridget99335 ай бұрын
This is a no cane generation a policy set by the same government God does not allow this even if you are asking for what you are not allowed to abuse your elders
@OmarDudaz5 ай бұрын
Bado tunakumbuka UDA wakiiba kondo 😂😂sasa wanaonyeshwa wapi walikosea....wakavamia Baba
@SammySifuna-pc3zi4 ай бұрын
Ruto ndiye alitaka hivi
@lisawaweru8195 ай бұрын
It's so shameful to witness this .....i pray you get wisdom 😢
@jecintamunyua41615 ай бұрын
The fact remains ameitikia kushuka .... huu ni mwanzo....Big up Gen Zs👊👊✊️
@ramadhanimwinyi-74455 ай бұрын
Haya yote kayataka ruto angetumia akili yakidiplomasia yasingetokea haya watu wakiandamana halafu wasiposikilizwa ndo inatokea haya
@lucykibunja9535 ай бұрын
You think Ruto cares.. His own businesses are still running. His people are still alive. Tunajikaranga cc wenyewe
@steadfastlove6465 ай бұрын
Kwani hi Kenya corona bado inakwanga tu
@miriammwangi11235 ай бұрын
Waah hii ilinpita aki na vile nko na shida mob😅😅 ngeanguka uko na naigeria bag
@trudykitui5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sammyroyalfilmsfilms12955 ай бұрын
We will all regret after our country becomes ungovernable. for now it appear fun...how shall it end? It is shameful.
@RobinsonKamoko5 ай бұрын
Hakika si maandamano hi niwezi dairet
@marymwangi17825 ай бұрын
Lkn sio poa kuhalibu mali ya mtu waede kwa MPs wa ruto na ruto mwenyewe sio innocent people
@teresiawaceera30465 ай бұрын
Surely hii ndio peaceful demonstration.
@AhmedAli-u1v9r5 ай бұрын
Apana sahii nikupigwa risasi it has turned to looting
@blessedone44065 ай бұрын
This is sooo wrong!!!! What does naivas has to do with the bill?? This has nothing to do with bill😡😡😡😡😡😡
@mercywanjiru5405 ай бұрын
Sio poa imagine
@patrickndichu39055 ай бұрын
Labda finance bill ilinunuliwa huko😂😂😂
@mubatsievonne46495 ай бұрын
I hear ni ya ruto
@juliamongina60845 ай бұрын
An hungry man has no manners although he is nobly born😂😂😂🏃♂️🤣🤣
@GeorginaKeya-pq9vx5 ай бұрын
Nashangaa
@BensonOndieki-b7k5 ай бұрын
This are theafs proffesional
@LindaLinda-h2z5 ай бұрын
😂😂 kwani watakula nini after mandamaano let them take food home
@Tess8635 ай бұрын
We better listen to them coz at the end of the day they gt nothing to lose
@noelatsole55525 ай бұрын
Huuu ni wizi sio maamdamano
@teresiawaceera30465 ай бұрын
Very true
@victorymedia-cw8tz5 ай бұрын
Naivas Supermarket should invest in steel doors!!!! the strong one!!!!!! the type of door they use is not strong at all.
@etendesteve45605 ай бұрын
Angry and hungry Gen Zs... their president called them criminals....
@user-wanjalarobert5 ай бұрын
Do not blame them, we blame the source of this act. If si bill then hii kitu hainge happen. Even if I was not there but I know Anyone given a chance to steal will do so. This is Kenya we live, and that is the reality.
@juliwatz205 ай бұрын
Videographer umekuwa dj afro ?
@patrickkariuki9542Ай бұрын
Lini tena
@PETERCHEGE-bx2go5 ай бұрын
😢 hiyo si poa kama ni haki wanataka watafute haki lakini kufanya mkenya mwezako hivo sipoa
@MaryWambui-gx9gt5 ай бұрын
Hapa kwa naivas hamjafanya poa nyenye sio mbunge hajapitisha hio bill wacheni kuaibisha naivasha
@rolinekathure30215 ай бұрын
Even at thika at naivas super market 😢😢they broke in 😢
@huskofoundation2545 ай бұрын
then wakipakina kwa magunia the media starts to yap ati police brutalty and massacre , mwizi hana nafasi kwa hii taifa
@OchenRobson5 ай бұрын
Government must pay for this
@maremm57375 ай бұрын
Direct shopping 😅😅😅😅
@johnmuiruri94625 ай бұрын
Sema looters/ wezi wameingia na kupora . Halafu mnasema ni peaceful protests
@Abuhishami94875 ай бұрын
Walee waako ndani alafu askari wakam si wataachwa hapo😂
@Real_pic5 ай бұрын
Good for government to arrest them
@annkariuki11085 ай бұрын
Sasa mbona Naivas hawakufunga kabla ya demonstrations....ata wao bana..hii si ni comminsense
@elizabethmbugua74925 ай бұрын
Haki wizi ni mbaya huwezi jua biashara ya mtu inamambo gani
@JudyBarasa5 ай бұрын
Venye ina faaa c mbaya ni njaaaa nakusota unathani since last year Mut ajawai nunukitu Kwa nyumba juuu no money alafu upate za Bure 😂😂😂😂😂😂 unacheza nazo.
@davidomongo5095 ай бұрын
Now these are criminals
@beblizzbeb9605 ай бұрын
Iyo masaa yote serikali iko wapi
@paulinemusa88235 ай бұрын
These were goons in the midst of genuine protesters
@AuntieSusan-zj5mk5 ай бұрын
Maandamano ya njaaa
@bernardmburu-d6e5 ай бұрын
Why take long time before police kufika
@Ricks_Pro5 ай бұрын
na kwani mnakuanga wapi nimeshina town looking for any online media nilikua na bullets tulitupiwa zikamiss wanted to show sikuwaona mnakuanga side gani ama mnakaa huku nyuma ya watu
@ROZITHOMAS-y4q5 ай бұрын
Nchi ikiingia kwenye machafuko huwa hakuna usalama wa mali. Wanaharibu kila kitu. Fujo na hasira
@victorymedia-cw8tz5 ай бұрын
Where were the police? it like even police are tired!!! soo terrible!!!
@CatherineMariam-bg2nc5 ай бұрын
Sasa president alituma jeshi wakaweke peace Haiti...na Kenya imekuwa worse
@officialseline96515 ай бұрын
Ata io bestlady n ya mp's wacha ziharibiwe zile 2million walilipwa warudishe biashara zao saizi wasee wanadeal na biashara za mp's
@ceciliahmwangi4975 ай бұрын
The problem is some politician are hired goons to show genz is bad ad thief 😢
@franciskiriyu5 ай бұрын
How yet I can see they were all cheering, who's their leader who can't mobilize his people.they are all thieves.
@JaamilaBahkam5 ай бұрын
County? Which naivas, plz?
@winniemwash80755 ай бұрын
C walisema hakuna kuspoil kitu ni maandamano with peace