SIMULIZI MPYA - MZIMU WA DAMU YANGU, By Ankojay

  Рет қаралды 26,269

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Naitwa Ester Emanuel au kama nilivyozoeleka kwa jila la nyumbani Nzeta. Nilizaliwa miaka 28 iliyopita katika Mkoa wa Singida, wilayani Iramba kwenye Kitongoji cha Old Kiomboi. Kwa kweli maisha katika familia yangu yalikuwa ya shida sana.

Пікірлер: 129
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 Жыл бұрын
Niombeni like jaman❤❤Léo nime wahi 🎉🎉
@thesethgenerationtv5630
@thesethgenerationtv5630 Жыл бұрын
Likes from kenya
@IreneMwenda-nl2hu
@IreneMwenda-nl2hu Жыл бұрын
Kwenda uko
@wilkisteradhiambo3072
@wilkisteradhiambo3072 Жыл бұрын
Jamani wivu mbaya kweli
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 8 ай бұрын
Machungu hayo wanaume ooovyoooo🤔
@salmaedwin5641
@salmaedwin5641 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉❤
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Wakwanza leo hii simulizi inauzunisha kwa 😢 tunasikiliza ili tujuwe halafu tujifunze😢🥰
@IreneMwenda-nl2hu
@IreneMwenda-nl2hu Жыл бұрын
Wakwanz nn nyok
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Wakwnzaaa nipeni maua ya anko jay❤❤❤
@lindazawadi732
@lindazawadi732 Жыл бұрын
Mimi wa Kwanzaa Ankojay nipe likes zang jameni ❤❤❤🎉🎉🎉
@FatumaSaidi-i5s
@FatumaSaidi-i5s Жыл бұрын
Watu 😂😂😂😂
@MatthewKiwinga
@MatthewKiwinga Жыл бұрын
Kumbe uku unapatikana kwa jina hili aise nilikuwa ckupati kabisa
@MatthewKiwinga
@MatthewKiwinga Жыл бұрын
Wow
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Karibu
@MatthewKiwinga
@MatthewKiwinga Жыл бұрын
@@ankojay_ Okay nimesha kalibia katika kitabu cha simulizi
@popod177
@popod177 Жыл бұрын
At least I'm early this time a round,.hi uncle jay👋🏼
@salmasasha
@salmasasha Жыл бұрын
15bora like zangu jamani😢😢 haya mzimu yena, asante anko jay❤❤❤
@fatmaabdallah2488
@fatmaabdallah2488 Жыл бұрын
Mungu akupeni afya ilikuwa njema dada LISSA na ANKO J tunawapenda sana jaman ❤️❤️❤️🥰
@uwimanaantoinette6417
@uwimanaantoinette6417 Жыл бұрын
Sio lisa bana ni ally mbetu 😅
@IreneMwenda-nl2hu
@IreneMwenda-nl2hu Жыл бұрын
Kabisa kipenzi
@stellahrobert5
@stellahrobert5 Жыл бұрын
Tunashukuru anko j
@christinekanza5394
@christinekanza5394 Жыл бұрын
❤❤ number?
@ndayisabaneema9514
@ndayisabaneema9514 Жыл бұрын
MashaAllah mnawahi kweli kila nikijalibu kutoka wakwanza nashindwa ila haina shida wanao mkubali anko jy tumpe izo like yeye ndo zinamfa ❤
@Jasmeni-ns9dg
@Jasmeni-ns9dg Жыл бұрын
❤❤❤❤
@merrymazuri2713
@merrymazuri2713 Жыл бұрын
Wa 55 please kiss my comment ❤️
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Leo wa 5 wezangu naomba like Zen ata 10 basi Ankojay ahsante kwakwel acha ni 🪑🎧MZIMU WA DAMU YANGU Ally mbetu ahsante Mungu wetu akubaliki sana ❤🌹
@MamuPesa
@MamuPesa Жыл бұрын
Nimekuwa wapili ❤❤
@sophiahassan-kn7ov
@sophiahassan-kn7ov Жыл бұрын
Wa3 leo nipeni like n maua Asante Anko j 🎉🎉🎉
@AyralSirleh
@AyralSirleh Жыл бұрын
Uncle j ❤❤
@stellahrobert5
@stellahrobert5 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@LoiseNyongesa
@LoiseNyongesa Жыл бұрын
❤❤❤
@FatumaSaidi-i5s
@FatumaSaidi-i5s Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ nc
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ Asante sana Ankojay kwa simulizi mpya love from 🇰🇪🇰🇪❤❤❤
@fatumamatano8216
@fatumamatano8216 Жыл бұрын
Bampa tu bampa....
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Jamani anko Jay kwani umebadilisha shift ya jioni sai uko night shift si mbaya waendeleaje na homa, hope your fine ❤❤❤🎉🎉
@AsghjuAljhygf
@AsghjuAljhygf 6 ай бұрын
Asante kwakazi hakika tunajifunza kupitia simulizi mungu akubariki anko
@roselambert6700
@roselambert6700 Жыл бұрын
Watu jamani wanavyoniwahi lol 😆 😊
@elradjabubosingwa5026
@elradjabubosingwa5026 9 ай бұрын
Nzurisana❤❤❤❤❤
@SaraUmalila
@SaraUmalila 7 ай бұрын
jamani huyu dada mchawiiii. Da mwenyezi Mungu tunaomba utuepushe na maadui
@SalhiaSaid-i1h
@SalhiaSaid-i1h Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 Жыл бұрын
Naomba like zenu tafadhali jambo nimechelewa kidogo ❤❤❤
@soniblessed7815
@soniblessed7815 Жыл бұрын
Leo nimekuja mapema
@fatmakikoi129
@fatmakikoi129 Жыл бұрын
❤❤❤
@JaneSanga-b5n
@JaneSanga-b5n Жыл бұрын
Ndo shida ya kutoa mimb mabint jamn tuache kuuwa viumb visivy na hatia
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
MZIMU WA DAMU YANGU..inaonekana hii simulizi ni ya kuhuzunisha😢wacha nisikilize kwanza alafu nitarudi baadae kucomment tena..Ahsante Anko jay pamoja na DR.AMBE tunaenjoy sie
@sadikituji-rd5od
@sadikituji-rd5od Жыл бұрын
Sawa Asante Anko J
@AgnesBaya-f7r
@AgnesBaya-f7r Жыл бұрын
Umeshindaje haki mungu alikupendela na hiyo sauti mungu akupe afya.njema uendelee na kazi Yako.❤❤❤
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f Жыл бұрын
❤❤❤😂😂😢😢😢
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 10 ай бұрын
Jamani roho mbaya ya shatani ndiyo Hapendi hata watoto. Roho mbaya ya nini jamani hata kama si wako ogopa mungu
@GraceRenady
@GraceRenady 9 ай бұрын
Kwahiyo ulikuwa humkumbiki mumeo
@LeilaMoshi
@LeilaMoshi 4 ай бұрын
Inafunzo kubwa sana kwa maisha ya sasa kaka
@WaridiTambi
@WaridiTambi 6 ай бұрын
Mi nais uyo mtt ni mwanae wa kumzaa ila wacha tuone
@LindaRobson-qn1br
@LindaRobson-qn1br Жыл бұрын
Anko umeamua kupamban na mafua hv hv man tulikwambia pumzika ila asant 7bu unatupmbania huku
@FadhilMohamed-d5i
@FadhilMohamed-d5i Жыл бұрын
Twendeni nalo mwanachama wa Ankojay raha tuu na wengine twalia love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AllyJumanassoro
@AllyJumanassoro 6 ай бұрын
Hongera j uko vizuri
@IRENEMENGI
@IRENEMENGI 6 ай бұрын
Daah😢😢😢
@CARVERY653
@CARVERY653 Жыл бұрын
🗣️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🏽
@MitreMenea
@MitreMenea 6 ай бұрын
Dunia inamambo
@JanethShem
@JanethShem 5 ай бұрын
😢😢inafundisha sana
@fatematrtr4995
@fatematrtr4995 Жыл бұрын
Looh nimelia😭😭😭😭
@FatumaHamisi-sr6yj
@FatumaHamisi-sr6yj 7 ай бұрын
Nzuri sana 😍😍
@EpimackChami-g2f
@EpimackChami-g2f 8 ай бұрын
Anauza na vingne
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 11 ай бұрын
Haya ni maajabu!😔
@حمدانالحويطي-م8ك
@حمدانالحويطي-م8ك Жыл бұрын
Hivi mwanamke alie zaa ama bado hajazaa hupata wapi nguvu za kuwatesa ama kumtesa mtoto malaika ama kiumbe kisicho nahatia kukidhulumu na kukitesa eti sababu tuu kisa kupendwa tuu kisa eti upendo unalemea kwa mtoto na wala sio kwako wewe mwanamke cha kutisha zaidi hata mfuko wauzazi huna kweli kukosa ufahamu nikubaya kwani kitakudhuru nini wewe mwanamke ukimtunza mtoto na mwisho awe mtetezi wako kwakila kitu wanawake tujifunze sana maana wakati mwingine utafikiria unamkomoa mtu ujikute ukijikimoa na ninakemea jambo la kwaukali juu mama wakambo alitudhulumu haki yetu ya msingi na kunitesa zaidi juu nilikuwa jeuri kwa mda alio utumia kunitumikisha nakunitukana na zaidi kunipigisha kipigo kitakatifu toka kwa babangu ila hadi leo hajawahi zaa mtoto ingawa babangu alimnunulia mtoto ili amfurahishe wanawake jifunzeni kuwapenda watoto hata usio wajuwa ondoweni tamaa ndani yenu kwani itawaua..
@HaluwaMosi
@HaluwaMosi 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 Жыл бұрын
Mambo ya anko j
@ZinaTanzani
@ZinaTanzani Жыл бұрын
Wanawake mwalimu wetu kipofu
@ElizaJames-kp9of
@ElizaJames-kp9of 13 күн бұрын
❤❤❤
@ruthkavai3453
@ruthkavai3453 Жыл бұрын
🥰🥰🥰❤❤❤🤲🤲🤲🙏🙏
@judikadzo8712
@judikadzo8712 Жыл бұрын
Leo nimekuwa wa 48
@fentafesh9790
@fentafesh9790 9 ай бұрын
Amen 🙏
@AshuraMwachembe-wq2pj
@AshuraMwachembe-wq2pj Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hdhjdh775
@hdhjdh775 7 ай бұрын
🎉🎉❤❤❤❤
@salmaedwin5641
@salmaedwin5641 Жыл бұрын
😢😢😢😢
@Rutufiaabdul
@Rutufiaabdul 10 ай бұрын
❤❤
@marthasonia5005
@marthasonia5005 Жыл бұрын
😭🫢
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
❤❤❤
@kimzymamy6594
@kimzymamy6594 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@dalilaamiri
@dalilaamiri Жыл бұрын
❤❤❤
@aumuelly2909
@aumuelly2909 Жыл бұрын
Sijachelewa
@imanwalid6549
@imanwalid6549 Жыл бұрын
Ndio kufika
@arafatyhussein
@arafatyhussein Жыл бұрын
Haya ndo mambo SASA 😁😁Ohoo as usual active subscribers Tu ruke na kitu chetu kipya cha kutisha tisha🪧🪧🪧
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Жыл бұрын
Mwanaume anaekuambia toa mimba huyo sio mume kabisaa yani Bora nikuache nitalea mimba. Pia roho mbaya tuache jamani yani unalea mtoto wamumewako halafu unamtesa kumbe mwanao aibu jamani uwefunzo kwa wadada wote wahii tabia,mtoto wamiaka Saba kweli anabaka mana huyu dada hatari
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 6 ай бұрын
Daah jmn tuwe makini na watt tuwapende tuwajali hatakama sio mwanao🎉🎉❤❤🇴🇲
@JabuAli
@JabuAli Жыл бұрын
Ijapokua nimekua late listener bt sitoacha kusikiza simulizi zinazo nipa mafunzo thanks 2anko jay n the writters😊
@jambo_safari
@jambo_safari Жыл бұрын
Anko Jay. The cover itself is self explanatory. Superb by all means. Then the last part when mother realize she's bitter na nafsi kwa kutesa mwana.. Then we owe respect to everyone no matter the race, children or adults neither strangers. 🎉🎉🎉
@anjelinandambuki-fi4ip
@anjelinandambuki-fi4ip Жыл бұрын
Wow kwawskati❤❤❤
@SpeniaNicolaus
@SpeniaNicolaus 9 ай бұрын
Wew umbwaaa. Roho mbaya na ukumbuke mwanao nae atafanyiwa Ivo Ivo
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Asante pia Yeah tumeipenda sana na tumejifunza kitu congratulations 👏👏👏👍❤❤❤ ankooooo wetu kipenzi vp homa umepona au ni upendo kwetu umezidi kwa kweli anko watupenda sana mana twajionea nasi twakuaidi tutakupenda zaidi na zaidi mungu akubariki sana moyoni mwakwo daima ❤❤
@fallymetoo191
@fallymetoo191 Жыл бұрын
Story ni nzuri ila kwa upande wangu ni kwamba Kwa kweli binaadamu tusichague wala tusibague atakaetuzika hatumjui ...Allah kareem ❤❤❤
@IreneMwenda-nl2hu
@IreneMwenda-nl2hu Жыл бұрын
Jmn anko jay napend hiy sauti yako ukiongea sauti yakiume yan daaaaaah
@AliSalum-th2cj
@AliSalum-th2cj Жыл бұрын
Thanks anko j nimejifunza kitu hapo big up
@QntalsCole
@QntalsCole Жыл бұрын
Jamani hii story aki i thought aliua damu yake ndo inamfuata😢
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Wanawake tumuogopeni mungu..unamtesa mtoto kwakua ety sio wako😢😢tukumbuke mtoto wa mwenzio ni mtoto wako ..tupendaneni kwani atujui nani atakae tufaa mbeleni😭😭ni huzuni sana
@uwimanaantoinette6417
@uwimanaantoinette6417 Жыл бұрын
Ally mbetu yupo vizuri kwa stori 🥰
@aumuelly2909
@aumuelly2909 Жыл бұрын
Nimejifunza tusiwe rohombaya nautoaji wa mimba wewe ukiona hutakizaa,jiuwiye sio kuuwa kiumbe kisichona hatia ❤❤❤
@samsungoman5626
@samsungoman5626 Жыл бұрын
wanawake wezangu tujifunze kitu hapa
@antoinetteilembo717
@antoinetteilembo717 Жыл бұрын
Uyo dada mjinga kabisa penda mtoto wamwezio kama wako
@FatmahIbrahimu
@FatmahIbrahimu Жыл бұрын
Wanyiramba tujuane 🎉🎉🎉🎉
@NanahBrown
@NanahBrown Жыл бұрын
Leo wanyumban kabisa ngoja niweke sikio🦻
@amadasaloon101
@amadasaloon101 Жыл бұрын
asaaaaaaante baba unatufunza hilini daresay tosha
@ZainHassan-sy5gs
@ZainHassan-sy5gs Жыл бұрын
inauma San jamni😭😭🙏hakika kwa mungu tutajibu nn jamni 🙏🙏
@jacintahsulubu5602
@jacintahsulubu5602 Жыл бұрын
Waah jamn dunia ina mambo hiii ka!😊😊😊😊😅
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Huyu Esta jamani ana roho ya shetani khaaa
@tabiasalum3381
@tabiasalum3381 Жыл бұрын
Amina
@zawadtwahirusuleyman1392
@zawadtwahirusuleyman1392 Жыл бұрын
Dah watu wana mbio 😂😂😂
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 Жыл бұрын
😢😢😢😢shukran sana anko
@jamilarimo5546
@jamilarimo5546 Жыл бұрын
Better late than never, nipeni likes zenu🎉
SIMULIZI MPYA - NITALIA MPAKA LINI.? - SIMULIZI YA KUSISIMUA
1:33:37
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 29 М.
INASIKITISHA, BINTI ALIEFANYA MAPENZI NA MSUKULE, SIMULIZI YA KWELI.
1:44:05
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,3 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
KIJIJI CHA WACHAWI: SIMULIZI YA KUSISIMUA
2:07:02
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 15 М.
SIMULIZI MPYA - SURA YA MTU, ROHO YA SHETANI - SIMULIZI YA KUSISIMUA
3:00:56
SIMULIZI YA KUSISIMUA: JAMAA ALIPATA DEMU MAKABURINI USIKU.
2:30:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 86 М.
SIMULIZI FUPI: NIACHE NILIE, By Anko Jay
3:13:44
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 47 М.
MAIMUNA BINTI KIKONGWE
2:01:27
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 38 М.
DAH INASIKITISHA - SIMULIZI MPYA YA KUSISIMUA - EH MUNGU NISAMEHE
2:10:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 53 М.
PENZI LA MTUHUMIWA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
50:21
Simulizi Mix
Рет қаралды 317 М.
SIMULIZI MPYA: JINI MAHABA, By Ankojay
3:14:42
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 53 М.
USIJARIBU KUMTONGOZA HUYU MWANAMKE - SIMULIZI YA KWELI YENYE KUSISIMUA
2:12:35
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН