Hata hamujui kuigiza, wegine wanalia wengine wanacheka. Hii nikumjaribu mungu wengine watakufa kweli kabla huyu mwaka kuisha, mtalia kiukweli.
@OtiliaPius-dr1be2 ай бұрын
Haki nimecheka sana leo😅😅😅
@MaryPendo-gy4yr21 күн бұрын
Ata kama ni kuigiza ila hapa aya
@MauridiJosephMasumbuko24 күн бұрын
Aya subiri sikuhifike mchekevizuru
@HasiKhosi-qh4uo2 ай бұрын
🤣🤣KAZI zingine mtihani walah
@OtiliaPius-dr1be2 ай бұрын
Nakwambia minapendaga kuimba ila naonaga aibu 😅😅
@razigirazigi54372 ай бұрын
Ushaba tu move gani hio kama sio ujinga wakili
@Godssoldier-t1c2 ай бұрын
Gori ni mwenye ameakiti kama maiti just pray God to save you coz that dead spirit might follow you... although ni pesa unatafuta but think more about that.