Mliro you are spinning. Soka Mlai Mbise wako wapi? Ninyi ni wauaji
@saadune3 ай бұрын
My heart is bleeding for my once beautiful country that we should be protected by such BLATANT LIARS in police institution. LORD HAVE MERCY!!!??!!
@emmanuelmziray10733 ай бұрын
Sativa Big Brain. Mungu aendelee kukulinda
@gidongailo71743 ай бұрын
Hakika Kiswahili chetu hiki cha Kitanzania kinatupa shida sana. Mtu anasema alitekwa na washikaji ambao hakuwafahamu, ina maana shida hapa ni maana ya neno "washikaji". Nijuavyo mimi ni kuwa lugha ya washikaji ni neno ambalo linatumiwa na vijana likimaanisha "jamaa fulani" ambao sikuwafahami. Sasa polisi wanaelewa nini maana ya neno washikaji linalotumiwa na vijana? Polisi jamani mnatuharibia nchi jamani😢😢
@AbdulhaamisSoud3 ай бұрын
Washkaji ni watu ambao mnafanana umri wenu au mahusiano yenu
@christosiadanieli65123 ай бұрын
ona huyu jama ni mkono 😅
@adelinelyaruu30363 ай бұрын
Washikaji ni mtu anayeshika in my opinion
@KalicKaguz3 ай бұрын
Du! mwana umetembea, hatari sna.
@seifabdulwahid45793 ай бұрын
Hiyo siyo maana ya washikaji kwamba lzm u mjuwee@@AbdulhaamisSoud
@florianmodest62153 ай бұрын
Kweli nimeamini mungu yupo hajalala na Wala hasinzii eee mungu tunaweka maisha yetu na roho zetu mikononi mwako!..pole sana ndugu yetu sativa!!...
@ulomirabiel69803 ай бұрын
UTU, UMESEMA UTU. Hilo jambo limekuwa hadimu sana sasa. Watu wako tayari kufanya lolote kwa sababu ya vyeo na mali. Hilo ndilo linaloitafuna nchi yetu.
@godlistengodlisten75523 ай бұрын
Kwa Ufupi Tz Sio Swari Tena,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@johnsinyinza74503 ай бұрын
Mungu yupo mungu upo wapi.katika taifa hili.
@salummohamed26893 ай бұрын
Tangu siku ile nilimwangalia sana kamanda Muliro na nikaelewa kuwa lisemwalo lipo na kama halipo linakuja nyuma. "Kazi iendeleeeee".
@WestonMbuba-ff4jk3 ай бұрын
"Tujenge tabia ya kuheshimu mamlaka zetu" Mamlaka zenyewe hazituheshimu pia hazijiheshimu.
@DiwaniMwafongo3 ай бұрын
Hingera sana kwa kuandika ukweli kwa mafumbo bse waogopa! Ukiogopa bora usiandike kitu contradicting!!
@WestonMbuba-ff4jk3 ай бұрын
@@DiwaniMwafongo Hingera maana yake nini?
@DiwaniMwafongo3 ай бұрын
@@WestonMbuba-ff4jk ni hongera ....
@WestonMbuba-ff4jk3 ай бұрын
@@DiwaniMwafongo Ahsante. Ninapokea hongera zako
@daviddsouza7353 ай бұрын
Fisi akitaka kumla mwanae anamsingizia kwamba ana harufu ya mbuzi
@TumainMwanyalu3 ай бұрын
Pole sana ndgu yangu,ila mungu yupo atakulipa mda ukifika Hadi ww utashangaa,wote waliokuteka watafahamika mapema sana,watajitaja wenyewe
@donaldbenedict57613 ай бұрын
Swari langu kwako muliro unasema police mlimuokoa je mlimuokoa kutoka kwa akina nani? Kwanini mlimuokoa yeye alafu waliomteka hamkuwakamata ? Je washikaji wanaruhusiwa kumteka mtu na kumpeleka Oster bay police ?
@AnaniaIsaya-z9g3 ай бұрын
Ila kwa mtu yeyote aliyeenda kyuba na ana D mbili , ukimwangalia kamanda mulilo anavyoonekana wakati anahojiwa utapata majibu maziri sana! 😂😂😂😂😂😂
@Yussuf-b3b3 ай бұрын
Polisi wa Tanzania hamuaminiki tena kwa watanzania,,inaonekana nyie ndie munahusika na utekaji ndio maana watanzania wanataka wachunguzi wakimataifa kuchunguza utekaji
@hhurbert3 ай бұрын
Hako kamziki uwe unakatoa kanaharibu seriousness na concentration ya kusikiliza
@AyubuChacha-u6u3 ай бұрын
Mzee umesema.kweli ila ccm hawaskii wala hawaelewi ila mungu atasimama na wenye haki polisi wote jeham inawasubilia na ccm.
@juliuskitaluka12063 ай бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@MwamvuaHassani-w9t3 ай бұрын
Japo kusoma cjui hata picha sioni dahh!!!!! Pole sana ndg yang sativa
@aairraahseif56483 ай бұрын
Kazi ya polisi wetu nikukwepesha ushahidi, ili wajilinde wao wachache,hawajali ukubwa wa matukio na madhara yake kwa watu wengi,kubadilisha ushahidi kwa polisi nijambo la kawaida bilakujali athari na husababisha watu wamekosa imani!hii itasababisha watu wasipeleke kesi zao huko nakuamua kupambana wenyewe kulipa kisasi kwa alie fanya ubaya,maana kuna haja gani kupeleka kesi polisi?kiundwe kitengo kingine cha kufanya uchunguzi, polisi wao wawe niwakamataji tu
@adelinelyaruu30363 ай бұрын
Trusting these people only God knows 😢😢😢
@AloisMosha-uv2fu3 ай бұрын
Mungu yupo
@daviddsouza7353 ай бұрын
Sitaki kwenda kwa kina. Sataki kurivili. Sitapenda kudiskass. Mhusika hayupo. Alitekwa na washikaji. Kwa kifupi sisi ndio tulimeokoa ndo maana hatutaki kubishana. Mna prejudaisi tunahukumu daaaaaaaaaaahhhhh
@benedictgamuya88553 ай бұрын
Let' us not be fouled... Uchunguzi wa mtu kutekwa tena kupitia mawasiliano ya simu unachukua muda gani??
@Anicet-z3c3 ай бұрын
Tanzania haina amani kwani haki ndiyo inaongoza amani Kama haki ya kuishi inaamuliwa na baadhi ya mtu miongoni mwa Jamii husika Taifa hilo ni mfu kitaasisi na Kimataifa. Kutekana na kuuwana ni uwoga wa aidha nafasi za kiutawala, au kuwaona watawaliwa kwa wewe uliyepewa nafasi kikatiba. Tuheshimiane pasipo kutambua nafasi zetu kimamlaka.
@daviddsouza7353 ай бұрын
Sativa awekwe kwenye maombi yetu.
@PetroJanuarisilwamba3 ай бұрын
Pole sana sativa katavi ninyumbani napafahamu nimetuma sana kwa hayo maelezo
@salama11133 ай бұрын
tuanzie hapa kwanza alienda kama kamanda au kama ccm arafu anatakaaongee yy tuu sijuikwann
@SylvesterMakenzie3 ай бұрын
Mzee macho yameanza kukuvimba kuashilia uzee imekunyemelea kwa kasi ila cheo kimekupa kiburi unaogopa waziwaz kuhusu kuteswa kwa sativa mzee tubu dunia ni mapito
@adenmwakalobo7603 ай бұрын
Hili jibwa Muliro lipuuzeni kabisa! Aliyezungumzia 'karakana iliyopo Oysterbay police station' siyo mtu mmoja, ni watu wengi tu! Ulimuokoa yule kutoka kwa nani, na yuko wapi huyo aliyemteka ambaye anatakiwa atiwe nguvuni??
@AndrewMoses-c7c3 ай бұрын
Anaongea kama mtanga mchekeshaji 🤣🤣🤣 ila mkuu uongeaji wake tu unaonyesha hauna uhakika na maneno yake na sura ni kama vinaficha kitu hivi
@AyubuChacha-u6u3 ай бұрын
Mliro nyie mtajunguza mpaka wapi tundu lissu alipigwa masasi mpaka sasa mnafanya uchunguzi nyie kubali kuhukumiwa na Mungu moja kwa moja nyie na vizazi vyenu vyote mtahukumiwa wote.
@charlescosmas67303 ай бұрын
Mimi nimejifunza NENO MOJA TU; ukiongea UONGO unatumia NGUVU sana-kwa sababu ya DHAMIRI(ni kama WATU 2-wanaojua jambo wanashindana NDANI ya MTU 1; halafu MMOJAWAPO azungumze KUTHIBITISHA mbele ya hadhira(huku YULE mwingine akiwa miongoni mwa WASIKILIZAJI)
Acha uhuni kamanda hizi janja zenu mfanye na familia zenu na sio kwa taifa
@RaphaelMbughi-n1g3 ай бұрын
Kama alitekwa na Mapolisi Wapelelezi utawambia Muliniteka hivi hiyo inakuja!!
@MiriamAziz-z5t3 ай бұрын
WATANZANIA SIO WAJINGA!
@abdallahnkrumah62373 ай бұрын
Hili la kituo cha polisi kuwa na karakana tuliwahi kulisikia kwenye Ile kesi ya mbowe na walinzi wake. Ambayo pia tulisikia vibweka na sarakasi nyingi sana kutoka jeshi la polisi.
@DiwaniMwafongo3 ай бұрын
Polisi ndio watekaji. wamepumzika kuteka baada ya kuwaandama! Tangu ile wiki ya kuwandama, wamepumzika... CCM wamebadili mbinu....
@MonicaTimotheo3 ай бұрын
Mchezo wa paka na panya, mtekaji mkuu anaonekana wazi kabisa lakini eti anadhani amejificha hahahahahaha
@MmbagaMmbaga3 ай бұрын
Askar ni muongo hata anavyo ongea tu inaonyesha
@adeltuszakumuha96183 ай бұрын
Jamaa anajikanyaga sana hana majibu😁😁
@sebastianmwantuge55973 ай бұрын
Jeshi la kupambana na wakosoaji wa Serikali ya CCM?
@Thevineyard98893 ай бұрын
Polisi Tanzania hovyo, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hovyo na serikali yake yote hovyo. Hawa ndiyo maadui wa nchi hii, watekaji, watesaji na wauaji ili kulinda maslahi na madaraka yao!!
@alfanimussa76063 ай бұрын
Vp kuhusu afande aliewatuma wakina nyundo kum p. Diddy bint wa yombo?
@PrinceHendry-hp8vv3 ай бұрын
Polisi wanajua kila kitu bana wanatupiga kakumba
@PhilipoMwita-b2x3 ай бұрын
Hapo muliro alichemka bora angetafuta njia ya kupokea
@barnabasmatonya26353 ай бұрын
Ikimpendeza Sativa atafute ushahidi wa kimahakama afungue kesi, ushahidi alionao unahitaji shahidi mwingine aliyekuwepo eneo la tukio.
@festokemibala58323 ай бұрын
Hard talk
@RoseKimishabhalemiАй бұрын
Tangu lini waisilamu wakaongoza kwa haki( Milio!!!!!!!!! )
@PetroJanuarisilwamba3 ай бұрын
Nauliza swali Kama walimsaidia kumuokowa inamaana huyo anawajuwa mm naona angesema kuwa walimokota siyo kumuokowa kajifunga mwenyewe
@mohamedturanardan88713 ай бұрын
Sasa kama linachunguzwa mbona Mafwele mnampita kama hamumjui? Kama nyinyi ndo mlomuokoa, mulimuokoa dhidi ya nani? Mafwele?
@timurmauga65593 ай бұрын
Sijui kama mnajua tunatakiwa kuondoa ushahidi-ona (eye witness). Kuna watu wengi wamefungwa kwa ushahidi-ona lakini baadaye wakaachwa huru kwa ushahidi mgumu (physical evidence).
@matiredms9173 ай бұрын
Polisi hamna akili kabisa. Wote mmekuwa chawa bila kujali gharama ambayo wananchi wanabeba juu yao.
@sebastianmwantuge55973 ай бұрын
Muuaji utamjua tu
@joelmwaitege21213 ай бұрын
Ndo maana tunataka suala hili lichunguzwe na vyombo huru na si polisi,period
@KennedyLuwela3 ай бұрын
Sio kudaiwa alitekwa nyoosha kiswahili
@johnsinyinza74503 ай бұрын
Wamechanganyikiwa.
@georgebalilemwa33053 ай бұрын
Mungu ni mwema.Anamponya amtakaye. Atakuokoa hata mdomoni mwa simba.
@gowekogoweko58033 ай бұрын
OGOPA MUNGU NA TECHNOLOGIA
@simontamba12853 ай бұрын
Yaani polisi achunguze polisi hata ningekuwa chekechea nisingekubali
@NuruLutembeja-h1r3 ай бұрын
Kaka uko sahihi,lakini ujinga huu unamwisho,kwani inauma sana,uongo unatengenezewa mazingira ya kuwa ukweli.Ni hatari sana,ikumbukwe kuwa nchi inaaibika sana.
@marieconnect63893 ай бұрын
Kimataifa tunaaibik
@taylorkasitu38192 ай бұрын
Kama kamanda wa polisi ndiyo watu dizaini hii hili jeshi ni la kufutwa na kulijenga upya huru kutoka kwa mkoloni ccm
@elishajilungu10553 ай бұрын
Usiwe unaweka mziki
@nelsonnyamle3 ай бұрын
Uchunguzi hautafanyika ngoja tusubiri muda ni hakimu wa kweli
@abijanjames47822 ай бұрын
Hapo hamna kitu hapo kuzuia maandamano ndo kazi ya idala hiyo hakuna mengine wanayoweza
@EzekielJoseph-kx9kn3 ай бұрын
Police wanahusika moja. Kwa moja hainahaja ya uchunguzi
@betitympeleta96972 ай бұрын
Mwenyewe anawajua mwacheni aendelee kutaja wote
@rommelmauma58723 ай бұрын
*Je, "whistoblower" au ni whistleblower?*
@TM-zs3rm3 ай бұрын
Walete tape ya maelezo na mahojiano kati ya Polisi na satimba. Polisi walete ushahidi huo.
@johnsinyinza74503 ай бұрын
Wamesha umbuka .il
@durangobasics61953 ай бұрын
Walimuokoa hapo anamaanisha kumbeba pale alipokuwa ameonekana na kumpeleka kituo cha polisi halafu hospitali.
@psychologist7993 ай бұрын
Unamjibia kwani yeye hana mdomo wa kujibu
@RaphaelMbughi-n1g3 ай бұрын
Usiseme kigari sema Gari ilikuokoa!?
@YahyaMbega3 ай бұрын
UKWELI HAUKAI PAMOJA NA UWONGO
@emmanuelmziray10733 ай бұрын
Mlimuokoa kutoka wapi?
@adiaygo85463 ай бұрын
Acha unafiki pangusa inakusubiri😅
@DanielKapaya-y7m3 ай бұрын
🙏🙏
@djoe82663 ай бұрын
Inshu ya uyu jamaa inanimiza sana sana
@MbokaRechadi3 ай бұрын
Mamlaka it'a heshimiwa ikitenda haki isipo tends haki itaongoza familia zao😂
@nedlly23 ай бұрын
Mheshimiwa Rais aliagiza vyombo vya usalama kuchunguza kwa haraka kuhusu kifo cha Kibao! Hadi leo sijasikia taarifa ya huo uchunguzi imetoka! Au mimi ndio sielewi maana ya haraka/mapema!
@MoEd-k8w3 ай бұрын
Sio wewe tu, wengi tunashindwa kuelewa haraka aliyosema Rais ni ya vip
@robertphilip3853 ай бұрын
Nawewe usidanganyike kwani yeye hajui watekaji? Rais mwenyewe Sanaa tu
@AnaniaIsaya-z9g3 ай бұрын
Mchezo nahisi anaujua Kwa hiyo haoni haja ya kudhibiti uovu huo
@PrinceHendry-hp8vv3 ай бұрын
Ule uchunguzi ilikua fix watanzania mshajulikana kwa kusahau mambo ikija land rover festival mkaambiwa mme vunja rekod kwishaaa mkiambiwa na mwenge umebebwa na jeshi kwenda kilimanjaro basiiiii
@robertphilip3853 ай бұрын
@@PrinceHendry-hp8vvtulinyimwa elimu tukawa mafara
@Kwelihukuwekahuru3 ай бұрын
Washikaji si atakuwa anawafahamu
@AmisiLulacha3 ай бұрын
Chaajabu utawaona watu wazima wanatokwa Jasho kusifia ccm na wanapewa kofia na thisheti la samia aliye tuloga ninani
"Sisi ndio tuliomwokoa.... yule... mhusika yule....!!!
@benedictgamuya88553 ай бұрын
Shame on y'all......
@vincentmpupua58393 ай бұрын
Inawezekana vipi kuwa na washkaji usiowajua? Washkaji ni watu wako wa karibu
@charlesshitobelo68703 ай бұрын
Yawezekana wewe si kijana ndiyo maana huielewi lugha yao. Mshikaji ni mtu yeyote, na mara nyingi ni yule mnayekaribiana umri unaweza ukawa unamfahamu au la. Sikiliza mazungumzo ya vijana na hasa wanapotaja neno washikaji mara nyingi wanamaanisha vijana wenye rika lao.
@TumainMwanyalu3 ай бұрын
Pole sana ndgu yangu,ila mungu yupo atakulipa mda ukifika Hadi ww utashangaa,wote waliokuteka watafahamika mapema sana,watajitaja wenyewe
@betitympeleta96972 ай бұрын
Mungu yupo
@RoseKimishabhalemiАй бұрын
Tangu lini waisilamu wakaongoza kwa haki( Milio!!!!!!!!! )
@RoseKimishabhalemiАй бұрын
Tangu lini waisilamu wakaongoza kwa haki( Milio!!!!!!!!! )
@RoseKimishabhalemiАй бұрын
Tangu lini waisilamu wakaongoza kwa haki( Milio!!!!!!!!! )