RAIS SAMIA ATAPUUZA KILIO HIKI CHA WATOTO WA MAREHEMU?

  Рет қаралды 14,057

SK Media Online TV

SK Media Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@HamisiSamweli
@HamisiSamweli 2 күн бұрын
Mwamba mwenye kuipenda nchi yake SK Media❤
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 3 күн бұрын
Eti kifo cha mzee kibao nikama vifo vingine hakuna cha kushangaza, duuuuh nchi hii tunakoelekea wapi? mwenyezi Mungu atubariki watanzania
@knight6757
@knight6757 2 күн бұрын
@@donaldbenedict5761 jinsi ilivyotokea kifo hicho ni kama vifo vingine ?🤔🐸
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 2 күн бұрын
Duh Nchi Yetu Tz 😭😭😭😭😭Tunakulilia Tunakulilia Tunakulilia,😭😭😭😭😭😭
@knight6757
@knight6757 2 күн бұрын
@godlistengodlisten7552 haisaidie kulia tuu !!
@NgendandumweAlouise
@NgendandumweAlouise 2 күн бұрын
Angekuwa abdul angelifanyia kazi
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 сағат бұрын
Umeona eeh!
@HelenikoBusagara
@HelenikoBusagara 3 күн бұрын
kwa sasa hakuna amani tena
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 күн бұрын
Chadema i love you🎉🎉
@eunho9529
@eunho9529 2 күн бұрын
alisema hadharani kuwa ...kifo ni kifo tu... maana yake alihalalisha kifo kwa wapinzani wake. kwa hiyo kuendelea kumwamini ni kupoteza muda.
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 күн бұрын
Wapigeni na hiyo swala yenu wote waloshiriki kuanzia kupanga hadi huondo roho wapukutike kama majani!!
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo Күн бұрын
Una maanisha Swala ya Kiislaam au?
@Ambwene
@Ambwene 2 күн бұрын
Huyo Mwanamke alaaniwe tuu hana mpango hata kidogo
@Mosmwampa
@Mosmwampa 2 күн бұрын
Alietishia bastola wamemdaka ndan ya mda mfupi, ila huku wanapiga siasa
@matiredms917
@matiredms917 3 күн бұрын
Tanzania tuko njia panda. Viongozi ambao wanapaswa kulinda maisha na mali za raia wanatoa kauli za kejeli watu ambao jamaa zao wameuliwa na vyombo vya dola. Hatuna tena matumaini ya utawala wa sheria.
@MichaelMaro-hj7yo
@MichaelMaro-hj7yo 2 күн бұрын
TANZANIA INATISHA UTEKAJI MAUAJI MCHANA KWEUPE KWENYE BUS LAANA KOSA SIASA KOSA LAKE NN
@rastheunique
@rastheunique 2 күн бұрын
HAWEZI KUWA SALAMA!! 😭😭😭😭 AMEN 🙏🙏
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 2 күн бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 3 күн бұрын
SAMIA SULUHU ANAZIKDI KULAANIWA NA HATA WANYAMA KWA UNYAMA ANAWAFANYIA RAIA ANAOWANGOZA, SAMIA SULUHU ULAANIWEEEE
@thaddeojude7511
@thaddeojude7511 2 күн бұрын
Hakuna laana ya ivo ...laabda unajilaani wew mwenyew.....Hakuna laana hata mara moja...shida mnachanganya siasa na mambo ya maisha....
@Tumosafarini
@Tumosafarini 2 күн бұрын
​@@thaddeojude7511kwani laana hujitokezaje iwapo hii si namna mojawapo?
@SALUMKHALFAN-z4f
@SALUMKHALFAN-z4f Күн бұрын
WEWE UMEONA WAPI MNYAMA AKAMLANI MWANADAMU LAANA YA MNYAMA HAIMPATI MWANADAMU ILA LAANA YA MTU INAMPATA MWANADAMU LAANA YA ALOKUUMBA IWE NAWE DUNIANI NA AKHERA NGURUWE MKUBWA MBWA MKUBWA NA MITANO ANAMALIZA
@SALUMKHALFAN-z4f
@SALUMKHALFAN-z4f Күн бұрын
HALAFU UMEWASIKIA WAPI WANYAMA WAKAMLANI MWANADAMU MIE NNA WASI WASI WEWE MWENDAWAZIMU
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 3 күн бұрын
Mambo yanayohusu Chadema,serkali mara nyingi huwa haiyashughulikii.Kwa mfano:Tundu Lissu, Mbeya mkutano wa vijana,n.k.
@chidampiri1012
@chidampiri1012 3 күн бұрын
Undefined
@OptionsLimited-l4s
@OptionsLimited-l4s 2 күн бұрын
Record zako Hazina Sauti vizuri , Tafuta microphone nzuri kutoa Sound nzuri .
@salummohamed2689
@salummohamed2689 3 күн бұрын
Watapuuzia tu
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 2 күн бұрын
Sometimes wanaharakati mnakosea sanaa,, Kilio cha watoto wa marehemu wapo wengi sana na matukio yanafanana na hayo, Je Endapo atalichukulia nguvuu ya kutosha peke yake hilo hamuoni huo ni Ubaguzi baina ya masikini na matajiri? Kesi zote ziendeshwe ki haki na uhalali kwa usawa😢
@evansmtalo9406
@evansmtalo9406 2 күн бұрын
❤Kwa hiyo alilundika kesi sasa anashindwa kuzitolea maamuzi.? ❤Kwa hiyo wanaharakati wanyamaze kwa kuwa alishashindwa kushughulikia matatizo ya nyuma? ❤Huoni ukimya utawapa nguvu hao "wasiojulikana? " ❤Mbona mchambuzi ametoa mifano ya wengine hajabezi tu kwa mzee kibao? ❤Nini kifanyike ndugu yangu maana maswali ni mengi watz tuna hofu.
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Күн бұрын
@@evansmtalo9406 Sijasema wanyamaze bali wasiwe milengo ya Kisiasa sana wakaacha shida, mateso na manyanyaso kwa wenye hali duni, na kujionesha kwa watu ambao wana uwezo wa kutatua changamoto zao, hivyo sivyo wanaharakati wanavyotakiwa
@MargarethMtokambali
@MargarethMtokambali Сағат бұрын
HAKI HUINUA TAIFA MUNGU WA MBINGUNI TUSAIDIE WANAO 2 Nyakati 7:14. Tumwombe Mungu.
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 10 сағат бұрын
Mnaacha kushtaki kwa mungu aliyefanya mambo aliyetoa order hapa unajiangaisha tu yarni chini msome dua albadiri kumshraki mungu hamna majibu yoyote mnapoteza mda tu pigeni kafara kubwa tu mtupieni chooni ama muwaombee accidents kubwa aliye panga aliyempiga mtoa order muuwaji qote accident tu kubwa na wenyewe waende
@Flaviosafari
@Flaviosafari 3 күн бұрын
😢
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 3 күн бұрын
Hatabaki hata mmoja hii temporary pleasure
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Күн бұрын
Mwamba wangu wa kale kwako nitajificha
@EmmanuelSabibi
@EmmanuelSabibi Күн бұрын
Swala la kusema kifo ni kifo tu, yaan hio kauli alioizungmza sio nzur hakika ,yaan Kwa m2 mwenye akil timamu akifikilia alichozungmza atakil kua hakuzungmza kwa kuleta aman Bali kwakuchochea ubaya na kukil kwa vitisho vya mafumbo ya kuogopesha watu kua kalifnya ,na kalifnya kweli kutokana na mazungumzo yke. Yaan nasema hvyo kutokana na alivyosema yy
@thaddeojude7511
@thaddeojude7511 2 күн бұрын
Rais huyo huyo hamna imani naye ..bado hapo hapo mnaomba msaada kwake...how comes
@elieneapalangyo6938
@elieneapalangyo6938 2 күн бұрын
Yeye ndiye raihisi hakuna jinsi
@OptionsLimited-l4s
@OptionsLimited-l4s 2 күн бұрын
Hawana Imani Naye , Lakini Kwa kuwa Bado amekalia kiti awajibike kwa mambo yaliyopo na yanayokuja , sawa Bwana mdogo , baba Yako unaweza kuwa huna Imani Naye Haina maana kama hujalipa ada Utaacha KUMUOMBA ADA ni lazima alipe kwa Sababu yeye ni Baba . Utaacha shule kwa Sababu baba alikukosea hapo nyuma. Tumia akili Dogo
@thaddeojude7511
@thaddeojude7511 2 күн бұрын
@@OptionsLimited-l4s Kutokuwa na Imani na mtu ambaye bado unamhitaji au bado ana kitu cha kufanya juu yako,kidogo kichwani hapako sawa.....unless otherwise unajitoa ufahamu..,tu..
@thaddeojude7511
@thaddeojude7511 2 күн бұрын
Shida achaneni na siasa hizo jamn.
@ahmedsaidbachuba2398
@ahmedsaidbachuba2398 3 күн бұрын
Innalilah wainnaillah rajuana
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 күн бұрын
Acheni uchochezi usiseme watanzania wanaishi bila amani nchi ina amani sana mnavyo kuawakaidi mkipigwa mnalalamika chadema wachochezi sana
@estambuya3901
@estambuya3901 2 күн бұрын
Pumbavu.
@aediaygo8546
@aediaygo8546 Күн бұрын
9:25 Acha uzembe kama unajua aliyeua si uje utoe ushahidi💣Kweli we suala la laana alikimbia kwao ndiye mwenye laana😅😅
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 2 күн бұрын
Tanzania ni nchi Ya Amani, Upendo, Mshikamano, Umoja na Kuvumiliana?
@paull8659
@paull8659 3 күн бұрын
Samia ni jambazi tu kama Magufuli...bahati mbaya sana. Amekuwa mama Shetani, siyo mama Samia😢
@OptionsLimited-l4s
@OptionsLimited-l4s 2 күн бұрын
Usimfananishe magufuli na vitu vya ajabu , whenever magufuli was doing something. Alikuwa against na watu wanaotumwa kuvhelewesha ujenzi wa maendeleo , magufuli didn't Kill innocent civilians and anyone😢😢😢 please please magufuli alifanya makubwa Hakuwenda kwa waarabu kuuza mbuga zetu
@MathayoSaid-d4t
@MathayoSaid-d4t Күн бұрын
Aliyempiga lisu lisasi ulikuwa utawapa was nani mnajizima data.@OptionsLimited-l4s
@MmbagaMmbaga
@MmbagaMmbaga Күн бұрын
Damu ya mtu haiyendi bure
@hamissomary6869
@hamissomary6869 2 күн бұрын
Alaniweeee tuuuuui
@estambuya3901
@estambuya3901 2 күн бұрын
Polisi waachieni wakina soka.
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 2 күн бұрын
unajipanua kuwa ww ni cdm na kwa njama zenu zimefeli
@stevendominic1844
@stevendominic1844 3 күн бұрын
Rest in Peace JPM
@CharlesAndrea-z4u
@CharlesAndrea-z4u 2 күн бұрын
Wako mabogazii watasema katumwa na chadema sasa weee jitume useme baba ako kauawa mchana kweupe hakika hasira ya bwana itapiga watawwla
@MohammedHaji-m8p
@MohammedHaji-m8p 2 күн бұрын
Samia hili nalo atapuuza
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus 3 күн бұрын
Uwa nasikia fulani alilogwa na sasa anaokota makopo, hao wauaji wakiokota makopo itakuwaje? Wachawi wa sasa wamekuwaje?
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 3 күн бұрын
Bado watanzania tunaikimbatiya ccm
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 3 күн бұрын
NDUGU hebu Acha upuuzi,
@knight6757
@knight6757 3 күн бұрын
Unge uliwa babako..je ?? Unge mezea ?
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 3 күн бұрын
Je wewe ungekufa usingetamani kuhoji
@songombingo108
@songombingo108 3 күн бұрын
Wewe ndo acha usenge.
@knight6757
@knight6757 3 күн бұрын
@@MsabahAli-d6u waliokufa hawahoji !
@EmanuelApollo-th1tp
@EmanuelApollo-th1tp 2 күн бұрын
Mpumbavu ww
@StephenLetta
@StephenLetta 3 күн бұрын
Mfariji mkuu wa nchi anapokeaje maombi kama haya?
@geraldmihimbo1542
@geraldmihimbo1542 3 күн бұрын
Hawawezi kuwa salama ni kweli.Damu inayomwagwa bila hatia inaendelea kulia hadi itakapolipwa.kivipi? Waliofanya mauaji LAZIMA WAFE.(MWANZO 9:6)
@thaddeojude7511
@thaddeojude7511 2 күн бұрын
Mungu wetu hayupo hayupo ivo..hata siku moja
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 күн бұрын
Damu yenye haki ya huyu mzee itaendelea kumlilia Mungu kama ilivyokuwa damu ya Habili!! Dhambi inawaotea mlangoni mwao inabidi waishinde
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 3 күн бұрын
Kweli tanzania hakuna sheria ccm mtalaaniwa mpaka wapi mbingu na nchi wamewalaan sana kwa matendo yenu na manyanyazo yenu.
@StephenLetta
@StephenLetta 3 күн бұрын
Raisi inamgharimu nini kutoa kauli kali dhidi ya waliosababisha kifo hiki cha mzee Kibao?
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 3 күн бұрын
Mtoto kama wewe ufe tu
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 күн бұрын
Utakufa wewe.
@willison-g7z
@willison-g7z 2 күн бұрын
hoyo ndugu yasikie Kwa jilan piakumbuka Kila nafs itaonja maut
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 130 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,4 МЛН
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 4,7 МЛН
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 112 М.