QADIRIA KATIKA UBORA WAO MAUTI SIRI QASWIDA OFFICIAL VIDEO ILIYOLIZA WATU WENGI

  Рет қаралды 438,984

Future Media

Future Media

5 жыл бұрын

SUBSCRIBE NOW KWA KUPATA HABARI PAMOJA NA MAKALA BONYEZA LINK HII bit.ly/3waxCzh
KARIBUNI SANA KWA HABARI ZA BURUDANI NJE NA NDANI YA TANZANIA PAMOJA NA KUJUA HISTORIA MBALI MBALI ZA WATU MAARUFU DUNIANI #@FutureMediatz

Пікірлер: 199
@MohamedMadambo
@MohamedMadambo 2 күн бұрын
Mungu awalipe kher kwa ukumbusho huu hakika mwenye iman ya hofu na Allah hayaish kwake machoz kila anaposikiliza qaswaida hii
@nuriatyhamiss7201
@nuriatyhamiss7201 2 ай бұрын
shukran sana kwa ukumbusho wako Allah akulipe kila lenye kher inshallah 🙏
@amingsutarno6977
@amingsutarno6977 2 жыл бұрын
Masyaa Allah tiada pernah bosan" mendengar kan syair" yg di lantun kan berikan lah Negara kami dan Negara ini Rahmat mu yaa Allah engkau lah yg maha segala - Sega nya.
@nambraknambrak612
@nambraknambrak612 5 жыл бұрын
Mashallah ujumbe mzuri mungu atuongozee sote isilama kwani duniani tunapita inshallah tuwe wenye kufata mema mabaya tuyaepuke
@shebychazy3589
@shebychazy3589 4 жыл бұрын
Yallah tujaghalie mwisho mwema tu nawapongeza pia kwa qaswida nzr san umauti siri ajuae Allah ujumbe mzr inshallah
@ffed1876
@ffed1876 Жыл бұрын
MaashaAllah Shukran kwa ukumbusho Mola atujaalie tuyakumbuke kila mara ili tujizuie na maovu kuyasogelea Amin
@maryamhamad5158
@maryamhamad5158 3 жыл бұрын
Vigogo wamekutana. 💘Mashaallah
@habibahamiss707
@habibahamiss707 5 жыл бұрын
maa shaaa Allah qaswida nzuri sana hakika sisi ni wa Allah na kwake tutalejea
@FatumaAthuman-bm2fm
@FatumaAthuman-bm2fm Ай бұрын
Mashaallah mungu awajarie kaswida zuri sana
@naimasaid4073
@naimasaid4073 5 жыл бұрын
Uhakikaaaa ...unanikumbusha marehemu baba angu ..mungu akurehemu baba angu kwa rehma njema na mi nipo nyuma yako
@asiaa5196
@asiaa5196 5 жыл бұрын
Mashaallah ujumbe ni mzito ila mlivyokaa kaa tu hata hamjaweka majonz majonzi ndo kwanza mnacheka mmeikosea sana hio kaswida
@aminaali8836
@aminaali8836 3 жыл бұрын
Mashaallah umauti siri yake allah allah awabariki sana kwa ukumbusho ,,
@guyogalora2736
@guyogalora2736 7 ай бұрын
ya rabbi utujalie mwisho mwema
@didaa7009
@didaa7009 2 жыл бұрын
alihamdhulilah kaka ak nikisikiliza uu wasiya ak naona machozi yanindondoka ak bt nikikumbuka wazi wag alihamdhulilah
@hamisiramadhan3010
@hamisiramadhan3010 2 жыл бұрын
Barallah lakum
@omarsuleiman2208
@omarsuleiman2208 2 жыл бұрын
Mashallah Allah hongereni sana vigogo
@ConfusedCoastalBeach-bk7gc
@ConfusedCoastalBeach-bk7gc 5 ай бұрын
Mashallh kaswida nzur sn ❤
@suhajuma3153
@suhajuma3153 4 жыл бұрын
Best voice ,,, hongereni sana wasomaji kwa nyote zaid na zaidi,,, asanten sana,,,
@TeamKRX
@TeamKRX 4 жыл бұрын
awa vijana ni wadogo noma wanastahili kuenziwa masahalah sauti zao zanisisimua walah mashalah duu sasa mwataka walie au wagaregare ujumbe utafika na umefika hata wakicheza
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 9 ай бұрын
Maashaallah maashaallah maashaallah ❤❤❤❤❤
@wangshuai1408
@wangshuai1408 5 жыл бұрын
Mashaalaha kaswida nzuri sana imenikosha sana tu ila tu mmekosea kucheza juma fakk nakuaminia tutawakaribisha kwetu kondoa asateni
@benimkojani3434
@benimkojani3434 5 жыл бұрын
Juma untembea sana Allah Akuongzee in shaa allah
@bichechehassaniiddisilva3640
@bichechehassaniiddisilva3640 5 жыл бұрын
Mko vizuri kadiria hongereni ujumbe mzuri
@khadijahasani9900
@khadijahasani9900 2 жыл бұрын
Mashaa Alpha kwakutukumbusha
@naimasaid4073
@naimasaid4073 5 жыл бұрын
Mungu akuzishiee fakiyy akupe pumzi utuzidishia kutupa ujumbe wa manufaaa kwetu
@FatmaFatma-jr6li
@FatmaFatma-jr6li Жыл бұрын
Ujumbe mzuri Masha Allah Ya Allah tujalie Mwisho
@aliomari5254
@aliomari5254 4 жыл бұрын
Hii nimeikbali mashalla
@aliarkam1413
@aliarkam1413 5 жыл бұрын
Masha Allah hongeren sana Qaswida mzur yenye ukumbusho .
@latfadaud4444
@latfadaud4444 4 жыл бұрын
mashallillah mashallillah jmn me napenda xn
@aliy3303
@aliy3303 4 жыл бұрын
Wallah tulipokua enzi za zamani hapo tumeshinda koz kaswida imesimama lakini Leo nimekua naona hakki haipaswi kucheza hivo hassa huo ni ujumbe mzito
@kassimaliyy6113
@kassimaliyy6113 5 жыл бұрын
Juma kasida nzurii sana ila mumekharibu Kucheza tu
@rehemaabduli6976
@rehemaabduli6976 3 жыл бұрын
Hongeren Sana kwaukumbusho Allah awajalie Afya njema
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 4 жыл бұрын
Kwakweli juma faki ilikuwa huku kwetu hukubaliki hata kidogo ila ss hiv kila kona unatajwa hongera sna, kiongozi fakk hongera sna naww
@haydarhamad6532
@haydarhamad6532 3 жыл бұрын
Masha'Allah!wakali mmekutana
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 жыл бұрын
Maa sha Allah hii Qasida ingependeza zaidi kama mungeitoa vile vile maigizo yake ya kifo kama munaekti hayo mauti kuliko kucheza lkn ujumbe umefika vzuri maa sha Allah
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 жыл бұрын
In sha Allah
@mahamuduirumba993
@mahamuduirumba993 4 жыл бұрын
mashallah ujumbe mzito kwa tunayojfanya dunian tumefka xo tumche Allah ndugu zangu
@aishahusen161
@aishahusen161 3 жыл бұрын
Kwakweli. Mm naipenda kadiria dam dam😍😍😍😍😍
@ameenaalameena4968
@ameenaalameena4968 3 жыл бұрын
mashaallah nawapenda
@khairunnanji599
@khairunnanji599 4 жыл бұрын
Masha Allah unatishaaa sanaaa
@AhmedAli-jj2dp
@AhmedAli-jj2dp 2 жыл бұрын
Hakika MashaAllah
@ashamrutu7217
@ashamrutu7217 5 жыл бұрын
Mashaallah ujumbe mzuri sana
@hatibuhassani9854
@hatibuhassani9854 3 жыл бұрын
Mashaallah nawakubal sana
@abdallakhamis1644
@abdallakhamis1644 8 ай бұрын
Hapana kiukweli hilo ni dufu kucheza lazima hata kama ujumbe ni mzito, hebu kumbukeni dufu asilimia kubwa sana Qaswida zao ni ujumbe je hawachezi
@aliy3303
@aliy3303 4 жыл бұрын
Vp brothers hapo hakutaki kucheza fujo
@jayratumaulid582
@jayratumaulid582 5 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah #AQAZ
@ghabdulyfatah6201
@ghabdulyfatah6201 5 жыл бұрын
Mashaallah hakika nawapenda maustadh wang
@omarkhamis8848
@omarkhamis8848 5 жыл бұрын
Qaswida mzur ila kitu kimoja mulikuwa mueke huzun
@naimamohammed3243
@naimamohammed3243 5 жыл бұрын
Mashaallah aqaz qaswida nzuri, but mmejaribu kucheza. Walio swafu ya nyuma, huo ndio utaratibu wa qaswida huo.
@brother_asam7323
@brother_asam7323 4 жыл бұрын
ujumbe umefika kw jamii 😢😢
@hameedkilala1299
@hameedkilala1299 5 жыл бұрын
nawapenda mpk bc nzuri sanaa
@shabanihussen7449
@shabanihussen7449 4 жыл бұрын
Mashallah sheikh wng
@user-ed4ct4nq8n
@user-ed4ct4nq8n 3 ай бұрын
@munfatchichi2874
@munfatchichi2874 5 жыл бұрын
Mashaalkah kaka napend kaswida zako ni nzyr san
@aminahalifa827
@aminahalifa827 5 жыл бұрын
Safi sana
@hamadsuleimaan8232
@hamadsuleimaan8232 5 жыл бұрын
NAAMINI HAPO NI MPENDAE KTK MAULID YA AHIMT, PAMOJA SANA AQAZ
@zawijiaomary1057
@zawijiaomary1057 4 жыл бұрын
Mashallwah💞💞
@mamuhamad2959
@mamuhamad2959 4 жыл бұрын
Safi kabisa .huwa nakaa naskiliza hii qasda
@wadmohd7231
@wadmohd7231 5 жыл бұрын
Ujumbe ni sahihi kabisa hongereni sana
@AbdulHakim-fd5ui
@AbdulHakim-fd5ui 5 жыл бұрын
Safi aqaz
@zulekhanassor8063
@zulekhanassor8063 5 жыл бұрын
Mashaaallah baraka allah
@mazinyodeluca1373
@mazinyodeluca1373 5 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii kasda yenu
@tauhidaalikhamis871
@tauhidaalikhamis871 4 жыл бұрын
Mashaallah kheryy
@hajiwakil2138
@hajiwakil2138 5 жыл бұрын
Wapo sawa namaanisha mahodari sana juu ya kazi wanayoifanya ya kufikisha ujumbe
@rizikisuleima2929
@rizikisuleima2929 5 жыл бұрын
ahlu madina
@hamisibahati7840
@hamisibahati7840 2 жыл бұрын
HAMISI. BAHATi
@AbdulHakim-fd5ui
@AbdulHakim-fd5ui 5 жыл бұрын
Masha Allah Aqaz
@fatimakassimkasifa9265
@fatimakassimkasifa9265 4 жыл бұрын
Hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarengea
@bintichausa4744
@bintichausa4744 5 жыл бұрын
InshaaAllah Allah atujalie mwisho mwema.
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 4 жыл бұрын
Good job
@yahayaomar585
@yahayaomar585 5 жыл бұрын
Mlitakiwa kuonesha huzunika na sio kucheza.. hongereni ujumbe umefuka
@shakilaseif3510
@shakilaseif3510 5 жыл бұрын
Masha Allah mmeipangilia vizur kwa saut ya huzun Juma and fak nice
@samiaramadhan7009
@samiaramadhan7009 4 жыл бұрын
Mashaallha
@mrlaiza8082
@mrlaiza8082 3 жыл бұрын
Nice
@jumaking8385
@jumaking8385 3 жыл бұрын
Mashaallah
@Shasha12345-Xu
@Shasha12345-Xu 5 жыл бұрын
asante kwa qaswida nzuri hongereni kwa hilo
@hajiwakil2138
@hajiwakil2138 5 жыл бұрын
Mashallah hongereni kwa ukumbusho tuko pamoja
@omarameir2966
@omarameir2966 2 жыл бұрын
Mashallah
@ismailselemani3239
@ismailselemani3239 4 жыл бұрын
Qaswaida na mwonekano haviendani
@mwanaidabdala748
@mwanaidabdala748 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah taqbiiiiiiirr nimeipend sana hiii qaswida
@mtotowapemba5223
@mtotowapemba5223 3 жыл бұрын
Ahsant kwa ujumbe mzr Mashallah
@muhammedomar3169
@muhammedomar3169 5 жыл бұрын
mnatakiwa.mutofautishe.kaswida.za.kucheza.na.huzuni
@yumnamohamed6652
@yumnamohamed6652 3 жыл бұрын
Mashala
@salhasaid9667
@salhasaid9667 4 жыл бұрын
Ma sha Allah...
@wardakanyinyi4609
@wardakanyinyi4609 4 жыл бұрын
Ujumbe mwema mashaallah
@jumaking8385
@jumaking8385 3 жыл бұрын
Mashaallh.qaswida.nizur
@khamismsham5084
@khamismsham5084 5 жыл бұрын
Hongereni sana wana aqaz
@khamismsham5084
@khamismsham5084 5 жыл бұрын
Hongera Shee fakky na shee juma kwa kughani
@mohammedali1645
@mohammedali1645 5 жыл бұрын
Jamani dini na bongo man haifai.Kaswida imekosa mahali pake.Mbona hi tabia yakuigiza manaswara tuacheni.Vibaya hivyo.
@eiddymhampi8719
@eiddymhampi8719 5 жыл бұрын
maashaallah
@tauhidasheha1118
@tauhidasheha1118 5 жыл бұрын
Kaswida ina ujumbe mzuri lkn mlitakiwa muoneshe huzuni yaani hata kulia mngelia basi ujumbe ndo ungetimia zaidi shukran
@ibrahimkombo7822
@ibrahimkombo7822 5 жыл бұрын
Hamuna baya nyinyi nici
@shakilaseif3510
@shakilaseif3510 5 жыл бұрын
Masha allah
@yahayawajide4475
@yahayawajide4475 5 жыл бұрын
Jaman kaswida nommmma
@mrchakaboycosma7047
@mrchakaboycosma7047 5 жыл бұрын
mashaallaha nawakubali sana
@nailatyahmad7298
@nailatyahmad7298 5 жыл бұрын
Mashaallah
@aliomari5254
@aliomari5254 4 жыл бұрын
Mashairi mazuri mashalla
@mwanaishasuwes348
@mwanaishasuwes348 4 жыл бұрын
MashaAllah,hamjawahi toa kaswida ikachusha hongereni kwa kazi nzuri
@ramadhaniallysalumu1820
@ramadhaniallysalumu1820 5 жыл бұрын
Masha,alah
@mwanahamisjuma3361
@mwanahamisjuma3361 5 жыл бұрын
Kasida nzur
@izmamally900
@izmamally900 5 жыл бұрын
Hakika
@seiffjuma1122
@seiffjuma1122 5 жыл бұрын
Maxhallah
@ashuraali3099
@ashuraali3099 5 жыл бұрын
MashaAllah
@hamisiadamu3094
@hamisiadamu3094 4 жыл бұрын
Allah akbar
@salehkhamis9978
@salehkhamis9978 5 жыл бұрын
kweli hiyo qaswida msinge cheza mnaonekana kama mnafanya mzaha na kifo
@aliy3303
@aliy3303 4 жыл бұрын
Yaani hakika
@rashidyomary8355
@rashidyomary8355 4 жыл бұрын
mtihan mkubwa sana watu mauty yanaelezewa sisi tunacheza baada ya kulia tukaomba maghfira ka ALLAH by sh mpury
@ismailselemani3239
@ismailselemani3239 4 жыл бұрын
Swadsktah
@muniradaudi440
@muniradaudi440 5 жыл бұрын
Laila hailaullah
@nuurhassan8447
@nuurhassan8447 5 жыл бұрын
Mashalla.kaswida.zikosawa.tatizo.punguzeni.kukatavi.uno
@rinaenemo6266
@rinaenemo6266 4 жыл бұрын
Mashlaaa
@aminaasman7778
@aminaasman7778 5 жыл бұрын
Amen
@ahmedqaby3704
@ahmedqaby3704 5 жыл бұрын
Kweli maut siri allah akupe nuru abuu bakar dochi
Aqaz
16:16
Sayd Mohd
Рет қаралды 177 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 293 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 77 МЛН
QASWIDA : KIFO CHA MTUME /KASWIDA NZURI SANA HII
16:23
Qaswida Murua
Рет қаралды 49 М.
Historia ya mtume - Qaswaida
17:23
Bin Nyange Media
Рет қаралды 35 М.
SHEKHE HAFIDH  NEW QASIDA AKIMSOMEA LEPA UTAIPENDA #newzealand
6:33
Future Media
Рет қаралды 1,1 МЛН
Swala. Fakky M'barouk & Juma Fakky
15:42
AQAZ Studio
Рет қаралды 51 М.
Охранник помог выгнать наглую девушку 😱
0:42
Озвучка Рассела
Рет қаралды 2,4 МЛН
He doesn’t like illusions
0:17
V.A. show / Магика
Рет қаралды 10 МЛН
Толстый солдат всем отомстил #shorts
1:00