Asimulia alivyoiba pete ya ndoa ya mama yake kununua dawa za kulevya

  Рет қаралды 198

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

“Nikiwa nasoma shule ya msingi, nilipata rafiki kumbe alikuwa msafirishaji wa dawa za kulevya, kwa sababu nilikuwa na tamaa ya fedha, alinipa chaneli kwamba na mimi nikijiunga naye kusafirisha, nitakuwa napata fedha. Ilifika mahali nikatakiwa niwe nameza dawa hizo na kuzisafirisha.”
Hiyo ni kauli ya Abdallah Naseeb (28), mkazi wa Nyegezi jijini Mwanza, shujaa wa kupinga matumizi ya dawa za kulevya anayefanya kazi ya utoaji wa elimu kwa waraibu wa hizo jijini humo.
Akizungumza na Mwananchi katika mahojiano, Abdallah anasema baada ya kuanza kutumika kuzisafirisha dawa hizo mwaka 2007, alijikuta akishawishika kuanza kutumia dawa aina ya Heroine, jambo lililomfanya asitishe masomo akiwa kidato cha tatu mwaka 2013.

Пікірлер
FULL VIDEO: Makonda akiwataja wanaotuhumiwa kwa dawa za kulevya DSM
10:49
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 2,2 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
Sativa kupatiwa matibabu Dar, ndege yapata dharura
5:00
Mwananchi Digital
Рет қаралды 7 М.
HURUMA YA POLISI IMENIFIKISHA HAPA LEO..
18:50
SOBER HOUSE TV
Рет қаралды 8 М.
"Hack ANY Cell Phone" - Hacker Shows How Easy It Is To Hack Your Cell Phone
15:56
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
"I Dispute EVERYTHING Israel Says" Piers Morgan vs Mehdi Hasan
53:24
Piers Morgan Uncensored
Рет қаралды 1,8 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН