Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo February 2 2017 amewaita Waandishi wa habari na kuwaambia kuhusu uchunguzi aliofanya kwa wanaotumia na kufanya biashara ya dawa za kulevya kwenye jii la Dar es salaam.
Пікірлер: 167
@celitomclassic50857 жыл бұрын
kazi njema our RC..... wiki ijayo fyatua mashoga ukianza na Kaoge... wanachafua mji... please i beg for this....
@sifacycy_bby88277 жыл бұрын
Hapo sawa kabisa ziwieni haswaaaa maana wazazi wengi watoto wao wanaume wakiume wanaharibika sn kwaju yahizo dawa zakulevya! Asant san #Ayo tv Mungu azidi kubariki office yenu nabaraka tele and baraka kwa #Makonda anapeleka vzr
@victorsimba91527 жыл бұрын
mkubwa zambi huna
@hassankayla40767 жыл бұрын
Mungu akusimamie sana mkuu #PAULMAKONDA ahsante sana #MILARD kwa habar moto moto
@datiusnjungani27847 жыл бұрын
Mungu akulinde ni kazi Ngumu sana kwa maana umo wapo wabunge madiwani mawazili viongozi wa kijeshi yahani ni kazi ya Mungu hii kwa kweli Mungu wetu akuepushe na mabaya yote But dah hii vita Ngumu sana
@nicksonimbuya33877 жыл бұрын
I appreciate you mkuu Paul makonda pambana tutafika na mungu atakulinda god be with you
@NormanEric7 жыл бұрын
kazi nzuri mheshimiwa Makonda. kwenye vita hii nakuunga mkono kwa asilimia Mia moja.. Big Up sana
@ahmadsjuma70127 жыл бұрын
viongozi kama nyinyi ndio tunaowataka, hao watu wakubwa wanawaumiza hawa wanyonge ni bora sheria ichukue mkondo wake. kazi njema mkuu.
@innocentchristian47747 жыл бұрын
Kwa Hili Nakupa 100% Bt Bado ya Mashoga
@aishahussein87417 жыл бұрын
innocent christian kwel mashoga alisemaga lkn wap bado wanajitangaza ila awafatilii
@petermwantole94337 жыл бұрын
Una kazi ngumu na ya hatari , lakini Mungu atakusimamia...
@mamatuishi-mamatuondoke88227 жыл бұрын
Kazi hiyo makonda zuri tena sna -utakomboa wengi lakin-----------
@faridmobji7 жыл бұрын
safi kabisa Hizi ndo kazi na tusihurumiane katika hili yaani waaadhibiwe vikali
@ahmed-shakirmwamba49927 жыл бұрын
Tatizo hili litaisha kama mtafuata au mtamuiga Rais Duterte wa Philippines.
@EsterPaul-uc7nyАй бұрын
Mungu akusimamiee mheshimiwaa makee kazi hyooo sioo rahis mpaka uweee namoyoo , mheshimiwaa nashidaa sana naombaa unisaidiee hataaa helaa yamtaji nipooo chuoni ninamaishaa mangumu Sanaa
@kadijahkadijah27997 жыл бұрын
shukran.miladiayoo
@mwanahella96507 жыл бұрын
Allah atakusimamia japokua vita uloingia ndani yake baba uwiii😷😷mkondo wake ni mrefu sana, InShaAllah Mungu atakusimamia ktk hili taifa linateketea
@tracyjustice16007 жыл бұрын
safi sana Mh. Makonda mungu akulinde
@xaverythozo69617 жыл бұрын
nice, kazi nzuri mungu akupe nguvu usichoke uzidi kupambana iwe mfano mzuri kwa mikoa mingine
@frankkahimba12487 жыл бұрын
Nampa big up sana huyu mkali (Mheshimiwa P Makonda). Natamani aje kuwa rais wa nchi hii tena ni baada tu mheshimiwa Magufuli kumaliza muda wake.
@ignassilili81627 жыл бұрын
sjawahi kukupa pongezi kwa hiliiiiii mungu akusimamieee mkuuu makondaaaa
@afandehassan17 жыл бұрын
Mheshimiwa Paul Makonda la kwanza nakupongeza sana kwa kazi nzuri na hatari unayofanya la pili kuwa makini sana unapowataja hasa polisi wazembe wanaoshirikiana na hawa wafanya biashara za dawa za kulevya kwani akiwa bado mamlakani na umemtaja kwa mkutano na wandishi wa habari huoni wanaweza kuharibu uchunguzi ambayo bado hujakamilisha?
@halimaaminiamini19657 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wetu!! kwan madawa yametuharibia kizazi chetu Mungu akusimamie kwahili kwan ni vita kali mnooo!!!
@BinoAmos7 күн бұрын
Ddah bora kuuza mandazi na so siasa angalia Kenya chanzo siasa kumbuka Libya mzee Gaddafi kapotea chanzo siasa yani ndomaana saa zinginne mzee wawatu dah yote aty aonekane anafanya kazi ati Mungu akakuulize madawa yakulevya kakosa maswali Dah siasa bora kula nakujisaidia oumzika kwa aman Mzee Yusuf
@shaibuhamisi87157 жыл бұрын
shukrani sana millard Ayo
@delphinacharles13047 жыл бұрын
Mungu akutangulie katika kutimiza wajibu wako
@emanuelmbondo45982 жыл бұрын
Kitambo sana.
@mohamedintumbitumbimbamba61057 жыл бұрын
Kila la kheri Paul Makonda kiongozi kijana mchapakazi. Tupo pamoja katika kupambana na dawa za kulevya. Wito wangu kwako kuwa, hiyo ni vita kubwa jipange kwa umakini na kusanya ushahidi na vielelezo vya kutosha kutokomeza tatizo hilo.
@anodnjenje90847 жыл бұрын
Good job kamata wote...
@ibramagige77507 жыл бұрын
safi sana mkuu mungu akulinde
@richardpaul67097 жыл бұрын
Nahic 2tafika 2 mungu amlinde 2 mh poul makonda
@markakhereokhale87887 жыл бұрын
kaka unajituma sana kufanya kazi mungu atakusaidia damu ya yesu inenayo mema ikufunike Kila unapo kwenda amen
@salimmalaatu36637 жыл бұрын
saf sanaaa mweshimiwa Muumba akuongezee nguvu akupe ujasiri Paul Makonda
@raphaelluhemeja68367 жыл бұрын
Mungu akulinde na akuongezee
@planetmediatv75907 жыл бұрын
safi sana makonda wetu
@josephmasome4947 жыл бұрын
Mungu kufanyie wepesi katika majukumu yako mh Makonda
@mercymtweve557 жыл бұрын
Hongera Sana Kwa kazi nzuri,Mungu Akutangulie na akufanyie wepesi.
@christinamushi48107 жыл бұрын
mungu akusimamie kwa kazi nzur
@selemanimasatu24217 жыл бұрын
Tatizo maadui ni wengi sana ila wanaopambana nao ni wachache tu. Simetime hata wengine wenye dhamana ya kupambana na maadui nao wamegeuka kuwa wasaliti tena, but jeshi la Mungu ni zaidi ya majeshi yaliyopo dunia na wala halina mshindani, go ahead Bwana mkubwa hakika sifa zako zitajulikana Mbinguni na wala si dunia pekee. Usichoke kutenda mema nasi tutazidi kukuombea dua ili Mungu azidi kuwa upande wako na kukulinda na mabaya yote.
@stevenmamba24647 жыл бұрын
Huyu hana lolote anawadhalilisha wasanii nakuwachafulia majina yao kujitafutia umaarufu. Kama mnaushahidi Polisi na upelelezi wameshindwaje kwenda kuwahoji bila camera na TV ? Wasanii wetu leo wanawika Afrika nzima badala ya kuwalinda na kuwasappoti ndo kwanza tunawachafulia majina.
@saddammiheso62707 жыл бұрын
nice work
@ankotemba73697 жыл бұрын
I love you broo...uko vizuriiii
@nyash25427 жыл бұрын
254 huwezi kuwataja watuhumiwa kabla hujawapata na ushahidi kazi nzuri ila umeivujisha mapema rahisi kwao kupata mbinu yakujitetea..
@sphrb10637 жыл бұрын
mwenyezi mungu akupiganie ktk kazi yako
@kitengeambari26467 жыл бұрын
mungu amlinde makonda na ulinzi aongezewe
@topesafi97427 жыл бұрын
na hawa walio unlike wafanyiwe uchunguziii,mpk kielewekee.
@bettylozie90387 жыл бұрын
adili eliakimu 😂😂😂😂😂😂 itabidi tena kwa haraka saana
@sitibora49427 жыл бұрын
adili eliakimu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@frankanjelo18257 жыл бұрын
mungu akuongoze Paul makonda
@anaquinones73837 жыл бұрын
kama kweli utafanyaivyo basi mungu akupenguvu maana nchi imealibika ususani dar rekebisa nikweli usiwe msemaji 2 tuone Na vitendo ukifanya tupo tunaekuweka ktk swala zetu tunakuombeya kwa mungu makonde Fanya kz usitizame MTU mualibifu ukamu acha 2 mungu awenawe. akulinde
@neemahassan87867 жыл бұрын
mungu akusaidie
@godsonchacha94457 жыл бұрын
Kazi nzuri
@mbwanamkenda85607 жыл бұрын
mungu akupiganie katika hili
@manstego29837 жыл бұрын
wanyongwe hao jamani! ndio dawa yao pekee.
@bnxbxn10857 жыл бұрын
MUNGU akutie nguvu katika kazi uzofanya
@manasemwakagali93587 жыл бұрын
kazi ngumu hii, Mungu amsimamie kwakweli
@sphrb10637 жыл бұрын
barikiwa bro Millard asante sn
@ritchiexanti95877 жыл бұрын
Hii vita so ya mtu mmoja.. Maana hizi business huwa zina network.. So kama unatupamba tu Paul Makonda halaf hufatilii hili swala kwanza yatakutokea puani and then DSM itabak bandar na shamba la madawa hayo.... Na vijana wataangamia
@sizaanselim16427 жыл бұрын
Mh. paul makonda haupo peke yako ila Mungu aliyejuu yupo pamoja na ww kwani ulichofanya ni jambo la busara la kuokoa vijana wetu. unahitaji to be motivated. what you do today it will bring change tomorrow.
@perfectbarschapter70517 жыл бұрын
mungu akutangulie big bro
@joycemichaellovelove22217 жыл бұрын
kaz njema Mh.kila la kher Munch akutunze akuepushie na kukusimamia
@shd12m557 жыл бұрын
Brother uko juu salut sana broo
@elymollel7 жыл бұрын
good job.
@sylvestermsafiri43727 жыл бұрын
mhm! Kazi kweli kweli.
@imagepower36417 жыл бұрын
safi sana uko sawa
@lizaali39637 жыл бұрын
mungu akutangulie
@emanuelmnkai76057 жыл бұрын
that's good, vijana wanaharibika kwa ajili ya drug, uchunguzi makini ufanyike ili wahusika halisi biashara hiyo wapatikane na wachukuliwe hatua
@esterelisante32947 жыл бұрын
mungu akusimamie katika utendajiwako wakanzi akuwekee ulinzi wa kutosha
@ramlak_dramafans88077 жыл бұрын
nikikusikiliza unanipa matumaini mheshimiwa adi wema sepetu na petiman 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭wanatumia ivovitu
@dianaahdarlingkenya76167 жыл бұрын
great Job
@dastonamichaels18547 жыл бұрын
Dianaah Darling بةAyako yh
@adamkanyamala93587 жыл бұрын
safi sana mh p makonda
@mamarama63607 жыл бұрын
mungu atakusaidia na kukulinda fanya kaz mkuu
@musitemusite43163 жыл бұрын
M ungu akulinde sana
@janemwesh21407 жыл бұрын
Hakuna mtu atasema mtu hivyo tu..lazima amefanya uchunguzi kamili..Tanzanian people must be proud of him..huku kwetu kenya ukisema mtu hivyo kesho unauliwa..noma
@andrewasagwile71627 жыл бұрын
mfano wa kuigwa inatakiwa kiongozi kuwa jasiri namna hiyo hongera Mh RC
@charlesmagere90207 жыл бұрын
watu wajinga kweli yaan mtu anasema hamna kitu na huku mtu anapambana na wauza unga hii siyo kazi ndgo.....acheni ujinga
@otarueventsplanner13537 жыл бұрын
#Makonda Juu #ZABURI 45 ndio msaada wako
@marimalasmi18057 жыл бұрын
hahaha na sepenga ww mkaka sio bure una bifu na miss tz
@mariammarco15547 жыл бұрын
kazi nzuri ila unatakiwa uwe makini naamini hat Mungu atakufanyia wepesi. .
@wilbertseme54557 жыл бұрын
mungu husimama na watu wenye ujasiri na ushujaavkam ulio nao makonda
@josephcharles67037 жыл бұрын
Kazi kweli kweli
@maidaphdmaidaclassicphd86907 жыл бұрын
yap
@mtalikodymediamix35727 жыл бұрын
Safii sana! Komaa nao.
@andreagrado95907 жыл бұрын
mungu akusimamie bro
@ombenithomas21807 жыл бұрын
mungu awe na wewe mkuu
@johnsamo90287 жыл бұрын
pambana kamanda, Mungu yu pamoja nawe
@gloryhulwe52107 жыл бұрын
yesu akufunike sana.watakao kusagia meno wasifanikiwe kwa jina la yesu
@gulwetv88017 жыл бұрын
wajina ukimaliza hilo deal na mashoga
@mokhimji2 жыл бұрын
Leo ni Tarehe 17/04/2022 na nacheka sana hahahahaha
@richardtagara76237 жыл бұрын
#**big up mkuu nikweri unakazi nzili*
@richardmzena46977 жыл бұрын
Ni balaaaaahhhh!!!!!
@merryjosephat7137 жыл бұрын
anyone watching this in March 2017?
@agnesrobert48837 жыл бұрын
pambana kijana mh makonda maana kazi iliyoko mbele yako ni kubwa sana lkn naamn Mungu atakusimamia ipasavyo.
@monicamabula74207 жыл бұрын
mwaka huu tuta eshimiana
@rashidt.sindano33517 жыл бұрын
big up
@mohamedkatunka69437 жыл бұрын
Watanzania wenzangu wooote,mnaopenda na kupigania haki.Tafadhali ombeni Dua nyingi kwa muumba ziwa kings na baraka kwa mh.RC Makonda. Ni kazi ya hatari sana.
@samirageorge5287 жыл бұрын
mmmmh
@yunajailosy35047 жыл бұрын
mmmmmmh
@abubakarikisuju802 жыл бұрын
Ulikuwa unafanya kazi kwa sifa na kujipendekeza kwa maguful"akini magufuli alikuwa hakupendi.
@rosemarybenjamin58667 жыл бұрын
kiukwel kaz IPO apo mbk policy !! Ila mm naomba kila stag tuzione zisi yeyuke yeyuke kam za skopion
@johngambos7 жыл бұрын
safi nakupa 100%
@Eng24607 жыл бұрын
good
@stanslauslekule98707 жыл бұрын
nikazi pouwa but why usinge washika kwanza na kuthibitisha nikweli no wahusika ndio use me jwa pablic je ukikuta hawausiki utawasafishiaje jina napita tu
@zahramunir85967 жыл бұрын
Mhh..hawa ni wauwaji wasiachiwe..
@khalidally90127 жыл бұрын
Ndo walewale hao unaunlike jambo kama hil
@halimanyauba60047 жыл бұрын
Mungu akusimamie mkuu
@issamohamedissa88947 жыл бұрын
dah hatareee sanaaaa...swala la NGADA NI HATAREEE ....KILA LA KHERI BUT ALLAH ATAKUPIGANIA NA KUKULINDA....WANAFANYA KUFURU ZA PESA KUMBE BEHIND THE SCENE WANAUZA NGADA
@ramlak_dramafans88077 жыл бұрын
nita kulindaje? mheshimiwa wangu
@damydee52787 жыл бұрын
Tumepata kiongozi mwenye ujasiri sana mpaka nafurahi