ASKOFU AJIITA MUNGU NA KUTOKWA NA JASHO NYEMBAMBA. (PART 1)

  Рет қаралды 18,930

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Пікірлер: 182
@selemannachombanga4096
@selemannachombanga4096 3 ай бұрын
I proudly to be Muslim Straight dawa ni mwanga kuwandoka katika Giza
@kennodhiambo
@kennodhiambo 3 ай бұрын
Kutoka katika giza ama kuingia gizani! Majini yanaleta mwanga gani... je kuna nuru katika shetani (majini)?? Hebu njoo katika Kristo ili uone mwanga na upate mwelekeo wa uzima wa milele
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 3 ай бұрын
MR ASKOFU. MUNGU AKI KU ONGOZA. KUWA MUISLAMU. JINA LAKO. ITA KUWA ( OMAR) INSHALAH I WISH MEET U ONE DAY IN MOSQUE .
@kennodhiambo
@kennodhiambo 3 ай бұрын
Anayemjua Mungu hawezi kudhubutu kuingia katika uislamu. How can I leave the freedom I have in Christ to follow slavery in the name of Islam.
@Maajidabdillah
@Maajidabdillah 3 ай бұрын
Wakristo mnafata kitabu gani kwani naona hamjielewi maana biblia hamuifati na mgeifata basi mngeshakua waislamu ​@@kennodhiambo
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 3 ай бұрын
@@kennodhiambo Sija fahamu hapo Una sema slave. Kuhusu nini ama wapi??
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 3 ай бұрын
@@kennodhiambo Niki fahamu indo maweza ku Sema. To understand is a have of answer
@FearlessAfrican
@FearlessAfrican 3 ай бұрын
​@@kennodhiambo Even Mohammad was fearful at death because he didn't know where he was going.
@ginazngo4317
@ginazngo4317 2 ай бұрын
Hu baba mweusi lakini roho yake nyeupe mashaalla alla amuongozi katika njia iliyo nyookaa nampenda sana shekhe wetu piga kazi tupo tunakuskilizeni tunakomnti ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@ahmadadan9395
@ahmadadan9395 3 ай бұрын
Kazi nzuri mashaallah.....Takbiir!
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 3 ай бұрын
Askofu anazidi kupotea kwa Kiburi chake ALLAH amuongoze njia ilio nyooka ya kiislam Amiin
@kennodhiambo
@kennodhiambo 3 ай бұрын
Allah ni nani!!! Hatumtambui katika ukristo jameni
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 3 ай бұрын
Muulize yesu sababu yeye ajuwa mwenye ezzi mungu ni Allah
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 3 ай бұрын
​@@kennodhiambo KWANI WEWE WATAMBULIKA NA NANI?
@kennodhiambo
@kennodhiambo 3 ай бұрын
@@chiefmkalikibz1503 Mimi natambulika na Yesu Kristo - Mungu wa pekee
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 3 ай бұрын
@@kennodhiambo LETE ANDIKO , wacha kujipaka supu.
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 3 ай бұрын
yaani askof nampenda kwa ajili ya Allah na namuombea aipate nuru ya Uislamu na hatimaye akuwe muislamu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 ай бұрын
InshaAllah
@kennodhiambo
@kennodhiambo 3 ай бұрын
Nuru gani iko katika uislamu, hebu nieleweshe ndugu yangu
@noorkhalil1306
@noorkhalil1306 3 ай бұрын
Nuru inaotokana ​ na kuabudu mungu moja muumba wa kila kitu na kutoshirikisha na yye mtu yeyote @@kennodhiambo
@AssdfAssd-g3y
@AssdfAssd-g3y 3 ай бұрын
​@@kennodhiambokungekuwa na Nuru kwa ukiristo angetapatapa kweli uyo bishop wenu na bdo mnapotea pamoja nae endeleeni ila mungu awaongoze katika Nuru ya uislam
@kennodhiambo
@kennodhiambo 3 ай бұрын
@@AssdfAssd-g3y Hebu nielezee kinagaubaga nuru iliyoko katika uislamu
@LaithNasser-o4w
@LaithNasser-o4w 3 ай бұрын
May Allah subhanallah wata'ala guide him yarab,subhanallah
@HassanJabir-g2e
@HassanJabir-g2e 3 ай бұрын
Allah akupe Kila la kher
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 3 ай бұрын
Mwenye Enzi Mungu amhidi yaarab amu onyeshe njia ya haqi
@salmaminja7714
@salmaminja7714 3 ай бұрын
Subhanallah uctdh pole na unayokutana nayo. Subra ni muhimu snaa. Allah Akbar
@hassanalfan6941
@hassanalfan6941 3 ай бұрын
ALLAH amuongoze huyo askofu.. InshaALLAH
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 ай бұрын
AaminaYaarabiSote.LeoTenaKajanaMpya
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 3 ай бұрын
amiin
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 3 ай бұрын
Ameen yaarab amuongeze kwenye ilionyoka in sha Allah
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 3 ай бұрын
Amin
@bacteria5184
@bacteria5184 3 ай бұрын
ASKOFU UKISILIMU NTAKUFANYIA SHEREHE KAMA NDUGU YANGU MUISLAMU.ALLAH AKUONGOZE KTK DINI YA HAKI.
@josemu870
@josemu870 3 ай бұрын
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora
@everlynechepkoech5649
@everlynechepkoech5649 3 ай бұрын
Mashallah tabarkala kazi mzuri maustadh
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 3 ай бұрын
Allah akbar Allah akbar.Allah akuogoze umjue na umuabudu kwaukweli
@MuhashamKhalil
@MuhashamKhalil 3 ай бұрын
Assalam aleikum,kama kusoma ni huku Bora Mzee angemaliza pesa kwa kula mandazi😂😂😂😂😂
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@MimahMimah-b7k
@MimahMimah-b7k 10 күн бұрын
Yan apo katoka kusoma ndio kazidisha ujinga maandiko anayasoma kwa nguvu ni kama anagombana😂😂😂😂 lol sheikh wetu ukitaka apo kameze painkillers mana na makelele hayo kichwa kitauma
@fahimabeid6953
@fahimabeid6953 3 ай бұрын
Masha Allah kazi mzuri Allah awalipe kula la kheir❤ support dawaah Inn shaa Allah
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 3 ай бұрын
innaa lillahi waina ileyhi rajiuun. subhanna Allah. huyu ameanza kujiita mungu tena!!!Glory to Allah and exalted above all the evil they attribute to Him.
@NshimiyimanaShafy
@NshimiyimanaShafy 3 ай бұрын
Allah akbar huyo askofu mungu amuzamehe aelewe awongoke
@BashirHussein-d5c
@BashirHussein-d5c 3 ай бұрын
Sheikh Ramadan Mungu akubariki ❤❤❤
@adanabdi5249
@adanabdi5249 3 ай бұрын
Subhana Allah
@allymkumba70
@allymkumba70 3 ай бұрын
inshallah mungu atamuongoza tu yeye umuongoa amtakaye Allah
@hadijaebrahim9926
@hadijaebrahim9926 3 ай бұрын
Allah akbar
@abdallahjuma2608
@abdallahjuma2608 3 ай бұрын
Mashaallah ❤
@khadijaabdulaziz8297
@khadijaabdulaziz8297 3 ай бұрын
Askofu Allah akuongoe uijuwe haki usilimu
@SalehM200
@SalehM200 3 ай бұрын
Sheikh Ramadhan naona Askofu MaashaAllah ana ku follow video zako zote one by one, Hata Oman ka ku notice very clear ume tumia cari gani ya kifakhari, mkaribishe siku moja Oman..
@SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im
@SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im 3 ай бұрын
Inafaa kina ndacha wajifunze majadiliano kwa askofu
@ginazngo4317
@ginazngo4317 2 ай бұрын
Hatari sana daa kamungu kadogo 😂😂😂😂
@UMMYYFATMA
@UMMYYFATMA 3 ай бұрын
ALLAHU AKBAR ♥️
@mamasiham9287
@mamasiham9287 3 ай бұрын
Mashaalah
@aminarama1633
@aminarama1633 3 ай бұрын
Innah Lilah waina ilah rajiun
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 3 ай бұрын
Allah àwaogoze waona haki nakufuata
@MudiDadi-b2h
@MudiDadi-b2h 3 ай бұрын
Shekhe ramadhan Mungu atakulipa ishallah
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 3 ай бұрын
MASHA ALLAH 💚💚
@abduljaffer
@abduljaffer 3 ай бұрын
Hapa iko sawa sasa sio waseme mitaani kwa wasiojua Bible. Wasome waone udhaifu kwa viongozi wao. In-sha-Allah mtaona nuru
@ginazngo4317
@ginazngo4317 3 ай бұрын
Hatari sana mashaalla tacbiru allahu acbaru 😂😂😂
@SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im
@SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im 3 ай бұрын
Askofu nampenda hana jazba kama viongozi wengine wangekua wasabato hapo pasingekalika❤
@jamalkishangu
@jamalkishangu 3 ай бұрын
Duuu dunia ina miungu wa ajabu ajabu😊
@FarhiaAbdilahi-r5z
@FarhiaAbdilahi-r5z 3 ай бұрын
Subhnalah bado Iko bale bale 😢
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt Ай бұрын
kwanzah haoni joto huyo askofu wa mchongo hahaha maana hayo maguo sio mchezo wallah 😄😅🤣
@ibruzah001
@ibruzah001 3 ай бұрын
Innaa Lillahi wa innaa Ileihi rajiu'n Ati yeye ni mungu mdogo 😢😢😢
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 3 ай бұрын
Askofu ni mungu إنا لله وإنا إليه راجعون
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂Nakumbuka alisema "Mimi Ikisilimu Itakua Kasheshe" 😂😂😂
@adanabdi5249
@adanabdi5249 3 ай бұрын
May Allah guide him to the straight path.
@AbdulrahmanHussein-tr4dn
@AbdulrahmanHussein-tr4dn 3 ай бұрын
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 3 ай бұрын
Askofu wetu mstaarabu sana lkn kaka Askofu kumbuka bible imeandika km kalamu za waandishi imeifanya kua uongo kwahio chunguza ujue hicho kilichosemwa cha uongo sisi ni watu wazima tukisikiliza tunajua kuchanganua la uongo na ukweli.
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Unaeza tofautisha kati ya kufanywa na kukuwa,
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Kama hujui kiswahili nyamaza
@saumbliz8983
@saumbliz8983 3 ай бұрын
Takbiir
@aishasalim9546
@aishasalim9546 3 ай бұрын
Loo askofu unakufuru waziwazi .hii mimba ya nabi Isa Allah ameijaaliya kufanya vile kwa sababu watu wasione kupata mimba ni mpaka uwe na mume laa ni uwezo wake Allah
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 3 ай бұрын
Haswa jko sshihj kabisa ila was wanajizima data
@ismailmbarak3862
@ismailmbarak3862 3 ай бұрын
SHEIKH RAMADHAN ALLAH AKUBARIKI SANA INSHAALLAH
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt Ай бұрын
uyu mzeeh hajasoma hata kidogo hahah atafute pahali akalale tu 😁😆
@RossaMengo
@RossaMengo 3 ай бұрын
Askofu ALLAH akuongoze
@SaidMgeni
@SaidMgeni 3 ай бұрын
سبحان الله العظيم 😮
@ChadCommaz-bx6xf
@ChadCommaz-bx6xf 3 ай бұрын
Not insulting pastor doesn't make sense may Allah guide him to the right path
@njurno
@njurno 3 ай бұрын
Assalam Aleykum Shaikh Ramadhan naona Ile setting ya studio ya juzi ni Bora kuliko ya Leo kwa sababu Leo chumba kina onekana finyo yaani kidogo lakini Jana studio ili kuwa ime enea vizuri na ya kupendeza. Naomba Samahani lakini huu ni Muono wangu Tu ina wezekana ni kawa nime kosea
@mifunga3414
@mifunga3414 3 ай бұрын
Asl alkm rtw wbt. Sasa Askof anaelekea wapitena!! Any way Atujachoka badotuna zidi kukuombea in shallah. Mwz Mungu akuongoze in shallah. Sheikh Ramadan ongera kwa kazi kubwa unawalingania nasi pia tuna jikumbusha in shallah 😂🎉🎉
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 3 ай бұрын
Bwana askofu hujatowa hoja yoyote ya kumfanya mtu awe makristo una ruka ruka tu
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 3 ай бұрын
Daa kweli ana hitaji maombi sana huyu mzee
@warsameabdi9366
@warsameabdi9366 3 ай бұрын
Ustadhi ningependa u ulize maswali Tatu kwa Mara Moja..1)Yesu Ni Mungu? 2)Yesu Ni mwana wa Mungu? 3)Yesu na Mungu Nani amekufa kwa msalabani??? Uliza kwa wakati Moja plz
@OmarAli-m2p
@OmarAli-m2p 3 ай бұрын
Huyo askofu 😅😂 amepotea Sana Allah amuongoze
@SafariJamal
@SafariJamal 3 ай бұрын
Bishop katoka chuo na bado anasaidiwa kuuliza swali lake mwenye 😅😅😅
@hamisiramadhani10
@hamisiramadhani10 3 ай бұрын
😂
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂yan kasoma lakin ndio kaharibu kabsaa ata afadhal asingesoma
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 3 ай бұрын
Hao wakristo wanaokukataza wanaona jinsi unavoshindwa hoja
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 3 ай бұрын
Astaghfirullah! Kamungu kadogo?
@salmaminja7714
@salmaminja7714 3 ай бұрын
Inña lilah waina ilah rajooon.
@madiqlahotvibeshunter4116
@madiqlahotvibeshunter4116 3 ай бұрын
Askofu najua unaona ukweli mwenyezi Mungu hakuongoze InshaAllah
@aishasalim9546
@aishasalim9546 3 ай бұрын
Ndipo nae Paulo akaja kuwa angamiza poleni
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 3 ай бұрын
Ila wakristo nyie,eti kamungu kadogo😅
@ibrahimadab9151
@ibrahimadab9151 3 ай бұрын
Allahu Akbar
@aminarama1633
@aminarama1633 3 ай бұрын
Allah akuongoze bishop
@ahmadadan9395
@ahmadadan9395 3 ай бұрын
Inshaalah akiislimu tutabadilisha hayo makanisa yake yote Kwa miskiti
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 3 ай бұрын
In sha Allah
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 3 ай бұрын
Huyu askofu anachekesha 😂😂 na usikosi kua unamtembelea mwisho ataionana haki na atasilim
@abdinassirhussein190
@abdinassirhussein190 3 ай бұрын
Sahi ndyo nimejua Kwa nn yesu WA tongareni anajuta mungu
@faridbashuu
@faridbashuu 3 ай бұрын
Wasipo laani Shetani kabla ya kusoma, matokeo ni kama haya. Shetani atawapoteza. Alhamdullilah Kwa Neema ya Quran. Alhamdullilah Kwa Neema ya Uislamu.
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Bibilia si kama qurani yakukemea,bibili ni mwangaza wa mungu,usiku na muchana haipatani ndivyo bibilia na kurani kurani inamajini na bibili inamwangaza tofautisha hiyo
@user1873anon5
@user1873anon5 3 ай бұрын
Angalia huyu,smh
@user1873anon5
@user1873anon5 3 ай бұрын
Hata shetani haumkemei?
@faridbashuu
@faridbashuu 3 ай бұрын
@@JohnOuya-w7j Mwangaza wa mungu yupi ( mungu wewe ama yupi ) ? Tuweke Sawaa... Naweza kuwa na chart na Ka mungu kidogo 🤔
@CalebMaina-lf5po
@CalebMaina-lf5po 2 ай бұрын
Yeah, prophet David said we are gods,and Jesus also said
@collinstogoch761
@collinstogoch761 3 ай бұрын
Alhamdullilah for Islam
@ginazngo4317
@ginazngo4317 2 ай бұрын
Heee kamungu kadogo hata mimi nimecheka kwa sauti
@mahdiyusuf3431
@mahdiyusuf3431 3 ай бұрын
Askofu anakufuru zaidi calling himself little god
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 ай бұрын
Very sad
@hassanfarid2499
@hassanfarid2499 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 ай бұрын
Me nacheka tu 😅😅
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 3 ай бұрын
Mbona amevaa nguo za kidevoo😂😂😂
@martinchambala9399
@martinchambala9399 3 ай бұрын
Ww devo uliona wapi amevaa za hivyo
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 3 ай бұрын
Izzo n nguo zakuhitimu graduation anatuonyesha kweli alitoka kusoma.Allah amuogoze
@Inagole4233
@Inagole4233 3 ай бұрын
He is GENIUS,,according to the Bible god turned himself to become man,,Askofu has gone one step more,,,,hahaha
@NshimiyimanaShafy
@NshimiyimanaShafy 3 ай бұрын
Mwisho atasilimu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 ай бұрын
InshaAlllah
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 ай бұрын
Walykmmsalam.warahmatullah.wabarakatu.Shekh.wetu .AllahAkuifadh
@pastorwairiukokomu1234
@pastorwairiukokomu1234 3 ай бұрын
At that time Jesus declared, “I thank you, Father, Lord of heaven and earth, that you have hidden these things from the wise and understanding and revealed them to little children; yes, Father, for such was your gracious will.” Matthew 11:25-26
@irenengina4350
@irenengina4350 3 ай бұрын
Gicúhí thaa icio cia gúcindana na ithíram úraruta kú? Na níúí andú aya mehokete majini
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 3 ай бұрын
Huyu askofu namkumbuka kipindi kile na kina shekhe yahaya ,yusuph wambungu, mazinge naona miaka imeenda sasa huyu kazeeka
@FarhiaAbdilahi-r5z
@FarhiaAbdilahi-r5z 3 ай бұрын
Kitu gani amebaki subhanalah askofu rudi mgu
@saudahassan3804
@saudahassan3804 3 ай бұрын
Innalillah wainnalillah rajoon,
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 ай бұрын
Wanaisoma bibiliayao Ila hawaijuisijui shida ni nini!!!
@KashthuriKashthuri-n7u
@KashthuriKashthuri-n7u 3 ай бұрын
Hawa wakristo nashindwa kuwaelewa ivi akili zao zimepelekwa wapi naona wanajizonga. Maswali rahisi tu wanashindwa kujibu, kisha wanashingizia maadishi. Hivi hawayatakari hayo maandishi kwa undani. Kitu ni cheusi wanakiona kuwa ni cheusi lakini maandishi yanasema ni cheupe basi na wa wao wanakubali kuwa ni cheupe !!! Eh, Allah waongoze kwenye njia iliyo nyooka
@Alithoya-qr7di
@Alithoya-qr7di 3 ай бұрын
Akili zilioshwa na Clorox
@AbuurabiuJuma-wn5il
@AbuurabiuJuma-wn5il 3 ай бұрын
Mbona Kuna msalaba hapo
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 ай бұрын
AnapewaUhuruWake.LazimAheshimiwe.Askofu.msom🤣🤣🤣🤣
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 3 ай бұрын
​@@SalmanMughal-lq5lt😂😂😂😂 na nguo za chuo kavaa yan ananichekesha uyu bishop duh askofu katoka chui😂😂😂
@kennodhiambo
@kennodhiambo 3 ай бұрын
I just wonder how Muslims believe in scripts from someone who wasn't inspired by God, someone who just lived around the Jews and Christian, learnt from their belief and their way of life then put up a religion to counter the Jews and Christians. The writings of the Quran prove me right in the following verses:- The Quran is written in the 3rd person meaning it is a narration. If it is God as you claim it would have been written in the first person. Aal-e-Imran 3:19 Indeed, the religion in the sight of Allāh is Islām. And those who were given the Scripture did not differ except after knowledge had come to them - out of jealous animosity between themselves. And whoever disbelieves in the verses of Allāh, then indeed, Allāh is swift in [taking] account. Aal-e-Imran 3:85 And whoever desires other than Islām as religion - never will it be accepted from him, and he, in the Hereafter, will be among the losers. An-Nisa' 4:171 O People of the Scripture do not commit excess in your religion or say about Allāh except the truth. The Messiah, Jesus the son of Mary, was but a messenger of Allāh and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So, believe in Allāh and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allāh is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allāh as Disposer of affairs. Al-Ahzab 33:56 Indeed, Allāh confers blessing upon the Prophet, and His angels [ask Him to do so]. O you who have believed, ask [Allāh to confer] blessing upon him and ask [Allāh to grant him] peace. NB: Allah is saying the religion in the sight of Allah!!! God is vouching for a religion??? God is saying "do not say three" when it implies that Christians believe in "three" gods? God cannot be speaking in the Quran.
@softymoha5484
@softymoha5484 3 ай бұрын
ungeliandika kwa kiarabu....maana lugha ya mtume ni kiarabu... tafsiri ya lugha...huwa inatafutiana na lugha kamili.. ndio maana...yesu hakuwa mzungu wala muswahili,,, injili iliyo sahihi... ambayo iliandikwa kwa lugha ya yesu hakuna....maana kila nabii alikuwa anapewa kitabu kwa lugha yake...so ninyi mnaamni yesu alikuwa mzungu?...leteni injili sahii ambayo iliandikwa kwa lugha ya aramaic...maana ndio lugha ilikuwa yake....wacheni kuamini vitabu mmeletewa na lugha za wazungu...na kama mnadanyantwa... mnaamini tu?
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 ай бұрын
🥺
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 3 ай бұрын
Huyu askofu Anamikwara sana,,
@lebaijeremiah4540
@lebaijeremiah4540 3 ай бұрын
Askofu hajakosea jana MUNGU linaandikwa na herufi kubwa na jina mungu kwa herufi ndogo ni miungu sio Mungu mkuu.
@salumkagame509
@salumkagame509 3 ай бұрын
wa hio na yesu sio mungu
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 3 ай бұрын
SKOFU. KAKA KIRISTO. NI DİNİ SISEMI SIO SABABU. QURAN. INA SENA DİNİ ISBAKUWA ISLAMU SIO DİNİ KUWAKE. TAFAUTI YA UKIRISTO. NA ISLAM TAFAUTI YINYI. YENU HAINA USHAHIDI LAKUTOSHA LAKINI MUSLIM IS ONLY. FAIT WITH PROOF. BUT CHRISTIAN FAITH NO PEOOF . BIBLE IS HISTORY
@saidam.k213
@saidam.k213 3 ай бұрын
Astaghfirullah 😅😢
@SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im
@SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im 3 ай бұрын
Yani askofu huyo amesoma hapigi kelele tu Mungu amuongoze
@kamole3
@kamole3 3 ай бұрын
3:33 having degrees doesn’t mean having a knowledge.
@gechtv580
@gechtv580 3 ай бұрын
Elimu imefanya ukachanganyikiwa zaidi
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 3 ай бұрын
We are an ummah of 3 million people, but we are being disrupted by the tiniest entity, made up of the weakest army, which has failed to defeat a group of resistance for nearly a year. This is happening because we lack a ruler. We lack a force that's meant to unite us. #Khilafah
@mody-guyngido2792
@mody-guyngido2792 2 ай бұрын
Yaani hapa wakristo bado Tu watasema Wana viongozi wadini kweli?
@MohamedMeja
@MohamedMeja 3 ай бұрын
Ndugu waisilamu tuweni na subra huyu tasilimu muachieani ramadhani tu tusichukanea
@jumahili8121
@jumahili8121 3 ай бұрын
Biblia inatuita miungu. Sisi wanadamu ambao tumekubali neno lake.
@JihaadIsmail
@JihaadIsmail 3 ай бұрын
Wewe kichaa kabisa
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 60 М.
WACHUNGAJI WAPASUA MBARIKA "WAKRISTO HAWAENDI MBINGUNI WALA PEPONI !!!!"
1:21:33
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 6 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 18 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 3 МЛН
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 17 М.
From Dance to Da'wah part 2. Wakristo wasikiliza mafundisho kwa utulivu.
1:01:53
Polygamy Debate Between Brother Dahud & A Bishop Part 2
1:01:04
The Early Church of the Lord Yeshua Nairobi
Рет қаралды 1,1 М.
ASKOFU ATOKWA NA JASHO NYEMBAMBA NA KUONEKANA KULEMEWA NA HOJA.
39:58
Straight Path Dawah
Рет қаралды 9 М.
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Straight Path Dawah
Рет қаралды 26 М.
MCHUGAJI AKUTANA NA KIVUMBI  KATIKA MASWALI NA MAJIBU KATIKA DA-WAA BUSIA BORDER DAY 3 PART 1
56:28
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 7 М.
MAMBO YAMECHEMKA SANA ASKOFU AMIMINIWA MAANDIKO NA PASTOR
1:01:04
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
DADA ASHANGAA NA MAANDIKO HUKU WENGINE WAKISILIMU.
50:01
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 6 МЛН