BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa

  Рет қаралды 666,345

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Kutoka Bungeni DODOMA, leo April 10, 2017 Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe alisimama kuomba kutoa taarifa kwa Naibu Spika wa Bunge akitaka Bunge lisimamishe shughuli za kawaida na kuanza kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea nchini.
Bashe amesema yeye pia ameshatumiwa ujumbe wa vitisho wakimwambia kuna watu 11 akiwemo yeye watafanyiwa vitendo vibaya popote watakapokuwa, hivyo analiomba Bunge lijadili suala hilo kwa dharula kwasababu sio sawa kukaa kimya.

Пікірлер: 265
@kefawales8187
@kefawales8187 7 жыл бұрын
Bashe ni akili kubwa sana
@gracemarine6753
@gracemarine6753 7 жыл бұрын
Shikamoo Bashee MUNGU awaongezee ulinzi awatume malaika wake walinzi ili hawa mashetani weusi waanze kuteketea kuanzia hapa dunia mpaka jehanamu
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 6 жыл бұрын
saruti bashe penda Sana wewe.
@yesayamwanjemba4726
@yesayamwanjemba4726 7 жыл бұрын
Hii imekuwa serious issue. Mungu ibariki Tanzania
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Mwendazake alaaniwe huko aliko alikua farao mkubwa
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 5 жыл бұрын
Yani mtu anaongelea issue ya uhai wetu unamwambia akae chini?????????? Yaani acha ninyamaze tu maana hasira nayo ni dhambi
@jeremiajohaziel4927
@jeremiajohaziel4927 7 жыл бұрын
BASHE NI JEMBE LA KUIGWA NA WATANZANIA
@dicksonmrema7584
@dicksonmrema7584 5 жыл бұрын
Ukweli bashe unachosema wasipo fuata maneno yako inamaana wanajuwa watekaji na wanawabeba
@dicksonmrema7584
@dicksonmrema7584 5 жыл бұрын
Bashe sugu mpaka kieleweke yani watu tuwweke kichwani mwaka,,2020watuambia
@shakilaabubakar8517
@shakilaabubakar8517 5 жыл бұрын
m.mungu amlindeee
@mosesolodi242
@mosesolodi242 5 жыл бұрын
Jeremia Johaziel hatar hii
@lichilasalumu7983
@lichilasalumu7983 4 жыл бұрын
Sasaiv ni utopolo tu
@yohanabandoma9337
@yohanabandoma9337 7 жыл бұрын
Speaker is toothless now,nothing can't do.
@memoratasalon1128
@memoratasalon1128 7 жыл бұрын
Bashe marry me
@MarcoNM100
@MarcoNM100 7 жыл бұрын
hahahaaa
@mzamilmik7387
@mzamilmik7387 7 жыл бұрын
hahaha
@babawahindi7368
@babawahindi7368 7 жыл бұрын
Yes he deserve to marry you.
@nassorozawiya5778
@nassorozawiya5778 7 жыл бұрын
i wll
@nzegelamalimi1195
@nzegelamalimi1195 7 жыл бұрын
nakupongeza
@geofbeka1669
@geofbeka1669 7 жыл бұрын
sina imani na naibu spika Tulia, yaani kazi yake imekuwa kutuliza tu hoja, huwa simwelewi kabisaa
@arnoldamel8164
@arnoldamel8164 7 жыл бұрын
geof beka kumbuka kuwa ni mteule wa rais kama mbunge na alimpa huo ubunge ili akawe naibu spika nadhani picha unayo
@davidlauliankitinya3035
@davidlauliankitinya3035 7 жыл бұрын
kaka Bashe me nimekbali I like your chain na ntaifuata kaka I have future
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 7 жыл бұрын
Hatar sanaa
@stephanomwakyobe4675
@stephanomwakyobe4675 5 жыл бұрын
geof beka sio naibu tu ata spika mwenyew ndo ivy ivy
@rahmarahmajuma8646
@rahmarahmajuma8646 5 жыл бұрын
Hilo swara linatuumiza wananchi ila huyo special pamaja navigogo wakuu wanalijua kuwa wakimchukia tu mtu ndio wanamuazibu hichonikikulacho kinguoani mwako
@bahatidan4751
@bahatidan4751 7 жыл бұрын
duuh ...I hope speak Ndugai...will do something.. naibu speaker is useless..God bless u Sir Mh Bashe n Sir Mh Sugu
@castrolk.ezekiel7426
@castrolk.ezekiel7426 7 жыл бұрын
Bashe na wew utaambiwa umechochea unatangaza kua nchi hakuna aman!?
@palesyosilingo6386
@palesyosilingo6386 7 жыл бұрын
Bashe rafiki yangu mungu atakulinda kwasababu unaongea ukweli na huyo rais wenu anasema msema ukweli ni mpenzi wa mungu
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Hata mm ningekuwa ktk list ningeshindwa kkuvumilia .... Asante bashe kw kuogopa kututangulia
@thedeo472
@thedeo472 7 жыл бұрын
Waziri wa mambo ya ndani hajui au hana alifanyalo. Ningemshauri ajiuzulu kulinda heshima yake(kama anayo).
@datchdatch3836
@datchdatch3836 7 жыл бұрын
KAMA CHOMBO TUNACHOKITEGEMEA NI HIKI, KISHA MAAMUZI YA WASIMAMIZI WAKUU NDIO HAYA MAJIBU TUMEYASIKIA , TUSUBIRI NEEMA YA M/MUNGU. siku akifanyiwa anayewagusa LABDA UMUHIMU UTAJULIKANA , MAANA MALIPO HUWA NI HAPAHAPA.
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Hapo spika hamna kitu...ngoja atekww mumeo na kundi usilolijuaa.. ndio utakaa kwa pattern. Saiz sio dharula kwasababu watekaji unawajua
@jasminasha9551
@jasminasha9551 7 жыл бұрын
Bashe & Sugu pamoja sana.
@ChristerKoku
@ChristerKoku 4 ай бұрын
Wanaoshangilia kwa kubeza,sheria tunajua zipo labda tuambiwe zinamsaidia nani?
@BLESSblessing1
@BLESSblessing1 4 ай бұрын
Jamani naomba , lissu, sugu, zitto nawengine warudi bungeni siku hizi bunge limekala sana.
@lupetamhagama2145
@lupetamhagama2145 7 жыл бұрын
Kwel bashee you are smart in ur heard big up nzega they are luck
@sakinandoile4758
@sakinandoile4758 7 жыл бұрын
wah. Bashe na Sugu bora mmekuwapo mjengoni...coz watu twaishi kwa mashaka sasa
@alinanusyemwatukambo7908
@alinanusyemwatukambo7908 6 жыл бұрын
Wewe acha uwongo sugu sio mwana siasa mwenyewe ni vta tuu
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 6 жыл бұрын
Unakua na mashaka we naye una nn wakuteke sasa. kuna anayekujua huko zombi kweli
@olivaanosisye3184
@olivaanosisye3184 7 жыл бұрын
bashe, Sijui upewe kitengo gani? tupiganie baba
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 4 жыл бұрын
huyu ni mbunge wa watanzania na sio mbunge wa chama cha mapinduzi nakukubari sana bashe
@johnsonkuziwa171
@johnsonkuziwa171 7 жыл бұрын
Memariamu Wewe Unapigwa...... Nazani Nyiendio Vibaraka.......Situlianza Sawavita Kuitetea Ikulu Leo Mnaisaliti Ukawa KwakikiZa Uhulu Wewe Wawap 😁😁😁
@Mkemia..Kirigiti
@Mkemia..Kirigiti 7 жыл бұрын
Bashe, nakukubal xna kaka. inapobid kuzungumza ukweli, we have to say xo.
@jacgululinemoshii3101
@jacgululinemoshii3101 6 жыл бұрын
Bashe aliyebak ccm ambae ana nia ya dhati ya kutetea watanzania ni wewe tunaomba usirudi nyuma
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 4 жыл бұрын
HIYU NAIBU SPIKA NA SPIKA WAKE DAAAH SIWAELEWAGI MIMI
@elishaalex6695
@elishaalex6695 7 жыл бұрын
Yan nchi kama somalia banaa
@deviskaliare5420
@deviskaliare5420 7 жыл бұрын
Bashe you are da best.. hujaenda bungeni kulala mkuuu.. Mungu na akulinde...
@nehemiajohn3918
@nehemiajohn3918 7 жыл бұрын
hawa wote kina jenista wanahemewa kisogoni
@dulasaidi9544
@dulasaidi9544 7 жыл бұрын
hahahahahahhahaahahahahahahah#sugu bn umetisha
@shadrackmnjelu5285
@shadrackmnjelu5285 7 жыл бұрын
Yan wew mwanamkeeee kwelii unfnya kazi yako ilokufnya uletwe hapooo xaxa naomba Mungu naww familia yako itekwe
@babucheenyahega2778
@babucheenyahega2778 5 жыл бұрын
Tutafute katiba yenye usawa maana naibu spika mjinga mjinga kama tulia niwakuponda mawe
@danielmatya373
@danielmatya373 Жыл бұрын
Utawala wa hovyo sijawahi kuuona...
@noellikwet6113
@noellikwet6113 7 жыл бұрын
huyu tulia huyuuuuu ooooooh
@johnsonkuziwa171
@johnsonkuziwa171 7 жыл бұрын
Bashite Aende Jeratu Wananchi TunaumiaTunakuea Nahofu Nanchi Yetu Hatunaamani Jamani Tunaenda Wapi Sasa Jamani Hatupo Sudani TupoTanzania Nchiyenye Amani"
@aishahussein68
@aishahussein68 7 жыл бұрын
Johnson Kuziwa wee kilaza kweli umeelewa alichokisema sasa aende jela kwa kipi we pumba kweli
@mobileshop818
@mobileshop818 7 жыл бұрын
Aisha Hussein tena pumba asie jielewa kabisa
@mariammarco1554
@mariammarco1554 7 жыл бұрын
Johnson Kuziwa Wew chizi kweli aende jera kwa kosa gani alilolifanya?? kwani yeye ndo anayewateka? unapotaka kukoment uwe unafikilia kwanza muone na kichwa km vile zombi..
@mobileshop818
@mobileshop818 7 жыл бұрын
Mariam Marco ha ha hahahaa kwani kichwa cha zombi kiko vpi? umenifurahisha sana ndugu yngu; ila c mbya umempa maneno ya kweli mana kitu kikitokea majibu yanakuja c mwingine bali makonda
@bilalkitiku9096
@bilalkitiku9096 6 жыл бұрын
mbwa wewe ,,,,,,kusoma mwenyewe hujui ,,,uelewa nako zero
@briggsanji9176
@briggsanji9176 7 жыл бұрын
Safiii
@jumahassan273
@jumahassan273 3 жыл бұрын
Uyo mwanamke sura mbaya ata mwanaume hana
@piusjaphet2760
@piusjaphet2760 7 жыл бұрын
Hivi serikali yetu kama ingekua sio makini na kutegemea wa bunge kupanga maendeleo yetu tungekua hali mbaya sana
@ghayoghayosd1581
@ghayoghayosd1581 7 жыл бұрын
Duu hatari sana sasa kama mnaogopa kiasi hiki je na kwa walio hali ya chini wanao potea wanasaidiwaje
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 жыл бұрын
angesikia uo ushauri yasingemkuta
@charlzlyimo1982
@charlzlyimo1982 7 жыл бұрын
duuuuh!!! hata na nyie wamewageukia
@jumajasjas2925
@jumajasjas2925 7 жыл бұрын
Dah huyu Bashe hawakumuelewa kipnd hik lkn baada ya Lissu kupigwa hii video ya Bashe alitabiri kwel sasa huyu dada alojifanya kukwema hoja leo spika wake ameikubal hoja ile ile ya Bashe... poor kabisa huyu dada anachoona yy n kupinga tu na kubishana... inabid akumbushwe kua uongoz n busara asee
@johnbenjamin397
@johnbenjamin397 6 жыл бұрын
Bashe ua my role modi
@fridgeismybestfriendwhenit7149
@fridgeismybestfriendwhenit7149 7 жыл бұрын
"there's no hope kutoka serikalini" so true ...naombeni mkopo nihame nchi 😢😢😢
@katungenyanda6177
@katungenyanda6177 5 жыл бұрын
Wewe mjinga wataje hapo mawaziri usilete ngonjera hapa utekwe wewe ni nani
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 5 жыл бұрын
duh
@willsonsaidi7468
@willsonsaidi7468 7 жыл бұрын
sipika end bashitte end rais wote wasukuma hamna usarama watanzania tukae kwa kumuomba mungu mana hii nchi inako elekea hata nashindwa kuelewa kabisa
@shabanimtua8486
@shabanimtua8486 7 жыл бұрын
huyo mwakasola anatakiwa kupimwa akili,bashir anaongea vitu vya msingi yeye anakurupuka na mambo hayahusiani.
@abelmachunda9494
@abelmachunda9494 7 жыл бұрын
ndiye naibu spika... dk tulia ... tutegemee mabadiliko baada ya miaka 10000
@hajamijohana6979
@hajamijohana6979 5 жыл бұрын
2020 bubu ataongea
@rachelissacmahenge1348
@rachelissacmahenge1348 4 жыл бұрын
Kwanini habari za utekaji ziko awamu wa tano tu🤷‍♀️
@nathanmao159
@nathanmao159 7 жыл бұрын
Aise ww ni jembe
@mebolinsnjowoka8628
@mebolinsnjowoka8628 7 жыл бұрын
safi saana
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 жыл бұрын
mwiguru umekaatu aseee
@yusufukazamba2391
@yusufukazamba2391 5 жыл бұрын
Kimaandiko damu ya MTU INA uwezo wa kunena na kudai haki; IPO Siku tu damu hizi zitanena
@anthonmunishi4463
@anthonmunishi4463 6 жыл бұрын
naibu spka kawekwa jamani kwahyo Hana nguvu yeyote
@charleskanwani5765
@charleskanwani5765 6 жыл бұрын
MALAIKA wakulinde bashe
@abisaiamos1245
@abisaiamos1245 6 жыл бұрын
kumbe wasiojulikana wapo humu! wamejukikana tiyari
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 жыл бұрын
BASHITE
@furahamwajeka3708
@furahamwajeka3708 6 жыл бұрын
safi sana Dada tulia unajua sana hongera sana,kweli sheria inaweza kuyafanyia kazi baana,hatuna haja kamati za bunge kwani nazo zikiundwa si zitaenda kukusanya taarifa polisi,kwa wahussika na familia za wahanga ambacho naamin na polisi ndo wanakifanya...then au bashe anahisi polisi wamekaa tu noo...wanafanya kazi pamoja na matatizo yote hasa ya rushwa walio nayo
@ms123ru
@ms123ru Жыл бұрын
Mwiguru amekaa kama mtu
@jofymwaijofymwai2163
@jofymwaijofymwai2163 6 жыл бұрын
eti kanuni uyu naibu uyu aaaaaaaaaaaa yeye anapinga nini ilitakiwa amuache aongetu
@saidwilson6529
@saidwilson6529 7 жыл бұрын
bashe kweli ni mwanaharakati.....
@kingcobra9238
@kingcobra9238 7 жыл бұрын
bashe umenena vizuri
@mosesjferuzi3413
@mosesjferuzi3413 5 жыл бұрын
H
@irinekatumwakatumwa6606
@irinekatumwakatumwa6606 6 жыл бұрын
Dhu jaman!!!! Sisi wote niwakupita tuache visasi ili cku moja tuuone ufalme wa mungu
@santodelove4351
@santodelove4351 7 жыл бұрын
big up basheeeeeee
@ebenezerymbwambo6248
@ebenezerymbwambo6248 7 жыл бұрын
2naitaji wabung kama bash
@kakabaraka1058
@kakabaraka1058 3 жыл бұрын
kwanini sugu kamwita makonda, bashite na kaachiwa tuu, bila kuonywa, au kuelekeza huyo bashite ndo nani?
@omanoman1576
@omanoman1576 3 жыл бұрын
Kwakuwa umesema hivyo duh bas utapewa uwaziri mana ucje wazingua kmb ccm ndio inawatek wtu kwa maelezo ya bshe
@sonojoel2117
@sonojoel2117 7 жыл бұрын
Tanzania I naelekea kwa Mugabe. Amini u siamini. Eti Mwakyemb hajasikia sauti ya Mkuu wa Mkoa . mfyuuu. na wewe spike wa Bunge mfyuuuu
@yassinmuhajir4391
@yassinmuhajir4391 7 жыл бұрын
kwani si ipo youtube isikilize kama mh.Makonda kasema anajua kina roma wako wapi? mbona hamjitambui nyie, kuwapa matumaini watanzania kwamba anaimani watapatikana ndio kawaambia anajua waliko amaa baadhi watu hamjielewi nchi hii
@abdallahalmasi7462
@abdallahalmasi7462 7 жыл бұрын
Bashe na Nape ndani ya ccm nyie ndo viongozi wenye uzalendo kwa wananchi na nchi kiujumla
@novatiemmanuel2175
@novatiemmanuel2175 7 жыл бұрын
kweli kabisa Mungu awarinde na awazidixhie nguvu
@pauljuma6069
@pauljuma6069 5 жыл бұрын
unacho sema kinaweza kuwa ni kweli
@IsackManjoba
@IsackManjoba 11 күн бұрын
Enzi unaakili
@mujwahuzikyabwishukuru2917
@mujwahuzikyabwishukuru2917 Жыл бұрын
MWIJAGE JOHN
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
@hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 жыл бұрын
nyie mnao comment acheni kutukana watu jmn tujarubu kuweka heshi kwa wabunge wetu ndio ss tulio wachagua leo kashfa za nn acheni ujinga nyinyi
@shijamandwa1054
@shijamandwa1054 4 жыл бұрын
Inauma kibongo bongo au unaposho nao
@riscaoscar521
@riscaoscar521 7 жыл бұрын
jembe la kulimia kwa mkono au trecta haya jaman sisi wengine mmmmmmm macho tu
@annethdominic3403
@annethdominic3403 7 жыл бұрын
MUNGU awe pamoja nawe Bashe umeongea vizuri
@rehemaelliottsuleiman6465
@rehemaelliottsuleiman6465 7 жыл бұрын
mataperi hao hawana lolote wao ndio wana plan haya yote sorry I'm not buying this nonsense ,mmbenwa hakuna deal mnarukwa na akili
@babawahindi7368
@babawahindi7368 7 жыл бұрын
Shikamoo bashe laiti kama wabunge qwanakielewa unacho kisema basi hawatosita kukuunga mkono kuhusu hoja yako,ila yatakapo wakuta wao au watu wa karibu kwao ndipo wataelewa.
@yassinmuhajir4391
@yassinmuhajir4391 7 жыл бұрын
zimwi linawatafuna wao sasa wanaanza kupiga kelele, walitekwa mashekhe zetu zanzibar wakapewa kesi mpaka leo wako ndani hawajahukumiwa miaka takriban saba sasa hatukusikia watu kuja mitandaoni au bungeni kuongea leo wametekwa kina roma watu mapov yanawatoka, nataka ile dhambi ya kuwateka mashekhe iwatafune mpaka na wao waachiwe, muone uchungu wake tena nyie hamjafanyiwa walichofanyiwa mashekhe mnalalamika je mngefanyiwa ingekuaje, Allah iweke balance hii nchi kila raia awe na haki sio wasanii tu ndio wana haki au wabunge, viongozi wa juu
@elishaalex6695
@elishaalex6695 7 жыл бұрын
huyu naibu spika daaa ...sijui na yy ana ubashite.....
@jozeymkonge4905
@jozeymkonge4905 5 жыл бұрын
Bashe mwamba wao
@saidshalya1987
@saidshalya1987 6 жыл бұрын
ycc
@stephanomwakyobe4675
@stephanomwakyobe4675 5 жыл бұрын
njoo ukawa kuna mdee lemma nassari, kama wew
@husseinrajabu2735
@husseinrajabu2735 6 жыл бұрын
Waambie bna nchi yetu yaa Amani hatutaki kuipoteza hii Amani
@bushmendatoga4754
@bushmendatoga4754 7 жыл бұрын
Bashe is a gentleman indeed. ... Tanzania tunakoelekea siko na huu utamaduni haukuepo
@DeusNchembah
@DeusNchembah 7 жыл бұрын
Tulia anajua kutuliza,Majina mengine banaa!
@mohammedally8569
@mohammedally8569 7 жыл бұрын
Dah nimasikitiko makubwa kwa nchi hii jamani
@magigejoseph255
@magigejoseph255 5 жыл бұрын
Upon vizuli
@ريهامالسريري-ل1ص
@ريهامالسريري-ل1ص 7 жыл бұрын
jmn huy sugu hatar
@jamesmwakyusa7715
@jamesmwakyusa7715 4 жыл бұрын
h
@khatrarage4445
@khatrarage4445 7 жыл бұрын
it's trueeeee😢😢😢😭😭 there is no hope in serikali basheeeee oyèeeeeeeeee tutetee jmn😢😢😢😢
@mustaphakisanga8381
@mustaphakisanga8381 3 жыл бұрын
Dr. Tulia anasitahikuwa spika wa mbuge na sio naibu
@antonymsemwa7148
@antonymsemwa7148 7 жыл бұрын
mbilinyi jembe
@ndulukimola7542
@ndulukimola7542 7 жыл бұрын
waseme waliokwambie you're wanted
@jumahassan273
@jumahassan273 3 жыл бұрын
Bunge bado halipo na haki ya kutetea raia na ndio hao wanaotumia kukamata watu kimykimy shenzi kabisa sugu na bashe nawakubali sana
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 5 жыл бұрын
This is to march naibu spika unawezaje kumukatisha mtu anatoa hoja ya msingi jamani
@hezronsanga5197
@hezronsanga5197 2 жыл бұрын
Bashe nakukubali sana ndio uongoz huo shida chama chako hakitaki ukweli sio kila kitu siasa
@hermanmwailanga7523
@hermanmwailanga7523 5 жыл бұрын
Bashe Vs sugu nikitazama hoja zenu kiukweli mnanipa laha sana ukweli ndio asili yenu kujiamini kwenu ndio dawa yawananchi tunayo itaka kilasiku
@justinchriss3778
@justinchriss3778 7 жыл бұрын
bashe the great
@castrolk.ezekiel7426
@castrolk.ezekiel7426 7 жыл бұрын
Jaman msiilaumu xaana xrkl kiongoz alshaxema yye alikua anabip tu,xo hta yanayofnyika yye anaona sawa tu!
@novatiemmanuel2175
@novatiemmanuel2175 7 жыл бұрын
Bashe Mungu akuzidixhie uwezo na nguvu na uwe imara kusema ukweli na kutetea wtz na siyo kutetea ugali kama wenzako was ccm hakika Bashe ww ni mfano tosha kwa wanaccm wenye akili kukuunga mkono
@swaburyrwamlaza1479
@swaburyrwamlaza1479 7 жыл бұрын
shukurani mheshimiwe bashe
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 135 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 23 МЛН
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 23 МЛН
SHAMBULIO LA LISSU LAMWIBUA BASHE, SPIKA ATOA MSIMAMO
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 129 М.
“Kiongozi ni kusikiliza watu, Serikali mnaficha nini?” - Bashe
16:39
Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo
9:52
Millard Ayo
Рет қаралды 1,3 МЛН
JOSEPH MBILINYI (MB)  NUSURA KUSHIKANA NA JENISTA MUHAGAMA BUNGENI
16:04
Chadema Media TV
Рет қаралды 48 М.
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 311 М.
Mh. Joseph Mbilinyi: CCM hawashauriki
8:47
Chadema Diaspora
Рет қаралды 163 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 135 МЛН