MZOZO MKALI BUNGENI HALIMA MDEE AJIA JUU ISHU EPCF, MWIGULI AMCHANA MAKAVU

  Рет қаралды 5,147

Uhondo TV

Uhondo TV

2 ай бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 16
@user-vm2ii2px9h
@user-vm2ii2px9h 2 ай бұрын
Jaman pale akson kaka na watugan mnijuze
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 2 ай бұрын
Your a women hon ;spika God blessed you too
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 2 ай бұрын
Mungu nisaidie nimegundua kuna wabunge wana akili sanasana kuliko mawaziri,na kumbe wanatudanganya,na hapa ndipo pale wabunge wasioutafuta ukweli wanabaki kupiga makofi tu,nakupongeza sanasana spika,kwakuwaelewesha wale wasiojua.
@Nedjadist
@Nedjadist 2 ай бұрын
Huyu Mwigulu kweli ni Dr. Ila amepata shahada yake kutoka visiwa vya watt watt! Maaana ni watu wa huko tu ndio watakaomfahamu!
@manuchochannel5538
@manuchochannel5538 2 ай бұрын
Kuna mtu hapo mumama atafika mbinguni akiwa amechoka sana😅😅
@user-on6lf6kq4h
@user-on6lf6kq4h 2 ай бұрын
Dada TULIA Mpige nondo maana hajawahi kuelekea katika hoja zake na akiwa hivohivo mpelekeni tene KARIAKOO
@warewolfblue
@warewolfblue Ай бұрын
hello 👋
@ChakomaJames
@ChakomaJames 2 ай бұрын
kimeumana
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 2 ай бұрын
Mwiguli hatoshei kiatu chake kusema kweli
@gililwise
@gililwise 2 ай бұрын
Upewe wizara wifi yangu Halima
@The1979bornagain
@The1979bornagain 2 ай бұрын
Kuna kila dalili kuwa kuna shida serikalini. Na kuna shida ya ufahamu na uelewa kwa mawaziri huko serikalini. Mathalani huyu waziri wa fedha Ng'wigulu Nchemba nafasi hiyo ni wazi kuwa haimtoshi, haimtoshi, haimtoshi kabisa!!!
@hamadsaidy8740
@hamadsaidy8740 2 ай бұрын
Mdee nakumbali san
@gililwise
@gililwise 2 ай бұрын
Mi sijawahi kumuelewa huyo waziri wa fedha
@Nedjadist
@Nedjadist 2 ай бұрын
Duuuuh! Haidhuru huyu Gashigwa anafahamika na binadamu, badala ya yule wa Visiwa vya watt watt, ila ameonesha udhaifu mkubwa hata wa kufikiri. Na kwa kweli anayosema Gashigwa, na yalioandikwa katika taarifa, na anayosema Mwigulu ni mbali mbali kama baina ya mbingu na ardhi! Hapa aidha wanafunika dili la mabilioni, au ni incompetence. Haiwezekani upande mmoja useme mmekwishatiliana saini mkataba ambapo mkandarasi atatafuta fedha na vifaa na kila kitu mje mlipane tu, halafu upande mwingine wasema bado mwatafuta viwango bora vya riba! At least hivyo ndivyo nilivyoelewa mimi na Halima Mdee!
@user-vm2ii2px9h
@user-vm2ii2px9h 2 ай бұрын
Mhhhhj jamn
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 2 ай бұрын
Weakness.
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 100 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Wadau wapendekeza ubunge wa viti maalumu ufutwe, Mdee ajibu
13:44
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,9 М.
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН