Lala salama baba, vita ulivipigana😭😭😭😭😭😭 nikikuona machozi yanatililika. Mwenyezi MUNGU akupe makao salama huko uliko. Raha ya milele umpe e bwana, na mwanga wa milele umwangizie apumzike kwa amani Amina. Roho za waamini wapate rehema kwa MUNGU, wapumzike kwa amani, AMINA.
@onelovetz7935 Жыл бұрын
Uko Kama Mimi kilip mbili tu machozi yananilega
@FatmaabdallahFatmaАй бұрын
L😮ivi@@onelovetz7935😢
@alfredlucas9722 жыл бұрын
Mungu akupe wepesi katika pumziko lako la milele rais wetu wa wanyonge
@frans_dede3 жыл бұрын
Mungu akupe pumziko la milele Raic we2 mpendwa Dr. JPM tutaendelea kulia mpak mwak 20100
@motelalasem67553 жыл бұрын
Upumzike salama namungu akusamehe makosa yako yote nakulilia kwauwazi na uzalendo kwa nchi yetu inaumasana,
@hajiissa92007 жыл бұрын
hongera sana rais wangu mpendwa .ninakupongeza sana kwa kuwanyoosha hao wanaojiita wajanja . namuomba allah akulinde na akupe umri mlefu wenye mafanikio
@omarisalimu3667 жыл бұрын
Amiin
@omarisalimu3667 жыл бұрын
Amiin
@peterkabigi7 жыл бұрын
Kwa hili kila raia mwenye nia njema na nchi atakuunga mkono.Hongera saana Rais.
@pizzaboy36402 жыл бұрын
HUWA cwezi kujizuia kabisa MACHOZI yanavyo nimwagika nikisikiliza hotuba ya huyu mwanajeshi kamanda rais aliye jitolea mhanga kwa ajili ya Taifa letu hakika wewe ni SHUJAA japo umelala RIP J P M
@ismailkipalanga28123 жыл бұрын
Kila nisikilizapo hii hotuba, bado naamini kuna siku utarudi tena kuja kuwa hata mshauri tuu. RIP mzalendo wa kweli
@yusuphwella96513 жыл бұрын
Chuma hicho, najickia faraja sana japo kwa muda wake mfupi impact yake ni kubwa sana, naifananisha na super sub iliyoingia ikapiga hatrick na kuchukua point tatu,
@mathewben68333 жыл бұрын
Kuna wakati hua siamini kama rais niliyemkubali nikamchagua hayupo tena duniani,daaah! YAHWEH is great.Pumzika kwa amani JPM hakika me binafsi kwa jitihada zako nakukumbuka
@yohanamsigwa-r6r3 ай бұрын
baba pumzika kwa amani hakuna ka ww prezident
@mbokaandbahatitv85097 жыл бұрын
Wewe ni rais wangu, siku zote nitakuheshimu, Mungu akutunze daima.
@davidcharles56747 жыл бұрын
this is what I was asking leaving myself with unanswered qns. why were we not talking of natural minerals as OUR MAJOR SOURCES OF INCOME .... WHY WERE WE DEPENDING ON TBL, TCC...? THANX OUR PRESIDENT YOU KEEP ON ,,, WE TZ WER SUPPOSSED TO BE DONORS
@kaundasutikaunda77693 жыл бұрын
Jembedali wetu JPM ulisema tutakukumbuka kweli tumeanza maana uku Prof Muhongo hataki tena Bwawa la umeme la Rufuji ambalo ilikuwa ndoto ya Mwl Nyerere na ndio ukombozi wetu. Nakumbuka Mzee Mengi aliwai sema prof Muhongo ni Muongo...RIP Mengi. Alafu Ndugai anataka kuwaleta wachina na ule mradi wenye masharti ya ajabu ajabu. Ambapo tayari tunajua Sri Lanka wanatesena na mradi wa namna hii.😭😭😭 Ila hata kama haya yatakwama ss vijana tayari umetuonesha njia siku moja tutakuja kuyafufua kama wewe ulivyo fufua iliyokuwa ndoto ya Mwl Nyerere. RIP NYERERE NA JPM 💪🏿🙏🏿
@munaahmed84994 жыл бұрын
Allah akulinde na kila shari rais wetu utuongoze kwa ufanisi kam unavyotuongoza insha Allah🤲
@charlesmugisha65292 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tumepoteza mtu muhimu Sana ktk nchi yetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Lex_review7 жыл бұрын
one day they will value your presidency
@abdallahmngoi85387 жыл бұрын
dulamatelephone
@Zamb903 жыл бұрын
The time is now bro
@felexmaphie86773 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@felexmaphie86773 жыл бұрын
Am just realising your comment sir.
@tatulalia82112 жыл бұрын
That's truth Dad but RIP God bless you for your jobs
@rozinajumbe42372 жыл бұрын
Tunakukumbuka Baba ! Tumebaki wakiwa Baba wanyang'anyi wanatafuna urithi wa nchi yetu
@lgatura3 жыл бұрын
Kila ninapo skiza hotuba ya Rais Magufuli , huwa si amini eti hayupo tena nasi , aisee ina uma sana , Sema mambo ya Mungu hayana Makosa , Pumzika kwa amani Rais wetu kipenzi, Mungu akupe pumziko la amani .. RIP
Mungu akupe uhai zaid rais wa Tz uendelee kufanya mema kwetu wa tz
@Dantaata2 жыл бұрын
hatuna la kufanya baba tangu siku umeondoka hadi leo tunaumia,, m/mungu asikuache baba yetu kipenzi
@ISSAMITWE-iq1bo Жыл бұрын
sintamsahau hayati magufuri ktk maisha yangu yote.mungu mpumzishe kwa aman amin.
@heridadia96343 жыл бұрын
R.i.p JPM 😭😭
@MeshackAminieli5 ай бұрын
Mungu ana makusudi na watanzania maskini ndo maana akafanya hivyo shukrani kwa yesu kristo
@danielimeshack37127 жыл бұрын
nakupenda rais wangu 2020 ukishinda badili katiba uongoze mpaka utakopochukuliwa na mwenyezi mungu inauma sana lisu kachukua rushwa ya wazungu anabwatuka ovyoo piga kazi baba
@offblogmedia Жыл бұрын
Come take your chair father, we miss you already!! ( And, you knew it)
@adelaidaruta29302 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuruhusu kutoka huko uliko uzidi kulipigania Taifa hili kama ulivyo lipigania ukiwa duniani mimi nitakukumbuka daima
@TM-zs3rm3 ай бұрын
Bado inaendelea na inatumaliza, inatugawa, inatudhoofisha kiuchumi watanzania. Inabidi tuwe na hasira,Wanyongwe mara moja.
@manstiko5890 Жыл бұрын
Rest in paradise chuma tutakukumbuka daima
@avitimushi15417 жыл бұрын
The president and his TUME have walked the walk after the talk. Viva President Magufuli. Viva Tanzania
@denismsanzya71452 жыл бұрын
Upumzike kwa amani kaka yetu
@kelvinchadulaga3102 жыл бұрын
RIP mwamba wa african
@georgegeorge96882 жыл бұрын
Akika ulikuwa .nguli wa uongozi, kazi yako ni ilikuwa nzuli sana,
@johnmalembo64642 жыл бұрын
Hii hotuba Ni ya kulikomboa taifa kwa vizazi vyote....tupate wapi Rais Kama JPM Tena.. éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@Martin-w2l9p3 ай бұрын
Wema hawana maisha ........ Wimbo wa marijani rajabu, na ukweli kwa jpm. RlP jemedari wa vita.
@ramadhanndemeye69327 жыл бұрын
lema uko wapi? mbona husemi?
@dct4lif7 жыл бұрын
Tundu Lisu tayari ashaongea ujinga kama kawaida yake
@karimmveyange2802 жыл бұрын
Hakuna atakeye kufikia kwa uadilifu wako na uzalendo na ubingwa wa ufufuaji uchumi bila kuomba omba mikopo.Hata wafanye vipi,tayari uliwaumbua.Tunawaona 0 tu . Haupo kimwili lakini Roho yako ipo na inaona hali ilivyo hii leo.Mungu atalipa hapahapa ktk ardhi na wote watashuhudia
@sethmotto45132 жыл бұрын
Maisha Ndivyo Yalivyo!Kazi iendelee!
@blackmartin2395 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭 kwel tulipoteza
@georgegeorge96882 жыл бұрын
Sawa bac ninaumia sana nikifikiri
@januaryevarist20937 ай бұрын
Hii is miss you Dr jonh
@yohanabiby35812 жыл бұрын
Yohana E Biby
@kamuchidyblez2136 Жыл бұрын
Daaa ulale salama aisee kaz yake mola haina makosa
@mgeni12332 жыл бұрын
Alikuwa mkweli na ukiwa mkweli jua maisha yako mafupi
@abushirikijaji40142 жыл бұрын
Ewe mngu tunakuomba umuweke mahala pema peponi rais wetu mpendwa natunakuomba uturudishiye rais ajae awe mkweli kama mpendwa wetu magufuli
@abdallahmngoi85387 жыл бұрын
mwishimiwa endelea kuchapakazi safi sana
@Martin-w2l9p3 ай бұрын
Ni muda mrefu tangu hotuba hii, lakini ni kama leo.
@georgegeorge96882 жыл бұрын
Mzalendo wetu, leo tunaubiriwa neno uzalendo, najiuliza sipati jibu, Magufuli uko wapi? Kama nchi inaitaji wazaleno!!
@georgegeorge96882 жыл бұрын
Mzee uko sawa Tanzania tuna watu wa ajabu sana, uwatunawafikiria hatupati majibu,
@liverpoolfootballclub99852 жыл бұрын
This guy was a legend
@msandigeorge8355 Жыл бұрын
Was.
@jonasjaphetthomas64342 жыл бұрын
We ndo rais sasa tunayemtaka watanzania walobaki woteni .....Watajua wenyewe wapo kundi gan siwapendi sijui kwanini!
@johnnestory99702 жыл бұрын
JPM utakumbukwa daima,kwa mazuri mengi uloyafanya kwa watanzania wengi!
@kikosikaziupdate Жыл бұрын
Tutakukumbuka daima
@farajastudioandstationery57983 жыл бұрын
Nimemis Hii sauti kiukweli...!
@JacobAlexander-sc1oh8 ай бұрын
sna la kusema kizuri hakidumu
@nuhunyambulapi53203 жыл бұрын
We missed you today Mwamba
@arjunelly5403 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Inauma jamn
@EmmanuelyLyanga-t3v4 ай бұрын
Tutakukumbuka daima pumzika kwa amani mtetezi wa wanyonge
@godfreykwejah2 жыл бұрын
Kwa kweli utaendelea kuishi mioyoni mwetu, na akili zetu bado zinakuenzi!
@konzerasokoni17732 жыл бұрын
Natamani siku zirudi nyuma ufufuke ungetawala milele... Wengi washakuelewa lakin ndo ivo too late
@kakamau03842 жыл бұрын
Hivi huyu jamaa alikuwa na kasoro gani jamani katika Nchi hii lkn!!?? 😭 Tutakukumbuka baba
@FortiMtolela-xl2nb4 ай бұрын
😢❤
@HamisiAbdallah-vu7fzАй бұрын
wazalendo wa kwali wameshatangulia mbele ya haki baba wa taifa juliusi kambarage nyerere edward molinge sokoine na john josefu magufuli
@mrishoselemani75217 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU AKULINDE
@moshykimario76012 жыл бұрын
The life time president
@tgeofrey7 жыл бұрын
Kimenuka Shamba la Bibi
@lameckmulokozi46852 жыл бұрын
Tutakuenzi baba lala kwa hamn
@lindambilinyi62533 жыл бұрын
Mbabe kaenda na ubabe wake haaaaaa
@susannaikuni85952 жыл бұрын
Shujaa hutasahao lika milele lala salama
@paulkapele27972 жыл бұрын
Mahubiri,ya,moses,Maghembe,t,ag
@sadamkuntukumu3672 Жыл бұрын
Kwanin samia suluhu afanyi hivi
@mudhihirugara88458 ай бұрын
Jeembehiro bwana pumzika salama
@Joseph-lu4yj3 жыл бұрын
Ikulu haina hizi video kweli ? including mkataba wa bandarui ya bwagamoyo ?
@paulcosmas80312 жыл бұрын
Pumzika kwa aman baba
@maluhismadila9593 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani bd tunakukumbuka baba
@MeshackAminieli5 ай бұрын
Ata saaulika alikuwa kichwa cha taifa
@RobbyRunnerON32 ай бұрын
MAGU NI MWANAUME KWELI KWELI
@bizzosela61863 жыл бұрын
😭😭😭
@innocentmalingumu15412 жыл бұрын
Pumuzika xalamal rais
@adammrisho1990 Жыл бұрын
Mpl
@halajanyerere35122 жыл бұрын
Jpm rest in peace
@allykingu17523 жыл бұрын
Jembe toka chato?
@elipidiuskweyamba13942 жыл бұрын
RIP
@dmstephano86436 жыл бұрын
Jamen
@ramadhanndemeye69327 жыл бұрын
nchii ina wajinga wengi kazi yao kupiga kelele bungeni