KIKWETE “NILIFOKEWA NA NYERERE SIKU YA KWANZA NAINGIA IKULU DSM”

  Рет қаралды 130,879

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 132
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Mzee Kikwete unatufuraisha sana unavyosimulia na kucheka Upuuzi wa Kawawa,.Safi sana na ongera kwa kujenga Kikwete Hall👍👍👍👍❤❤
@kamishina7853
@kamishina7853 Жыл бұрын
Alikufokea tu kumbe!! Ningekuwa mimi Nyerere na vibao ungepata
@faustinthomas9551
@faustinthomas9551 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-ci3bv3uc8c
@user-ci3bv3uc8c Жыл бұрын
Live from United kingdom 🇬🇧🇬🇧 Asante Sana ndugu mtangazaji
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 9 ай бұрын
Hongera DR KIKWETE mungu akupe umri mrefu Taifa bado tunakutegemea Kwa ushauri wako mzuri Hawa wanao tukana wanasahau umewalea wasamehe mungu anasema salehe 7x 70
@emmanuelmambarera141
@emmanuelmambarera141 Жыл бұрын
Uongozi huanzia mbali jamani , hongera Sana Mzee kikwete
@richard2218188
@richard2218188 2 ай бұрын
Huyo legend aliyeandika "Upuuzi wa Kawawa" ajitokeze tumpe maua yake 🤣🤣🤣🤣
@user-gv4pc9if2u
@user-gv4pc9if2u 4 ай бұрын
Charming
@barakawiseman5073
@barakawiseman5073 Жыл бұрын
tulio soma UDZM tujuane
@kazigembeleke5958
@kazigembeleke5958 4 ай бұрын
UDSM
@rashiditembo1574
@rashiditembo1574 10 ай бұрын
Asante mzee kikwete, Hakika ninyi mliandaliwa na hayo ndio matunda ya chama chetu,huo ndio uzalendo ulio tulea sisi, Asante mkuu.Tunahitaji sana uzalendo huo,(umepotelea wapi) sijui kama kizazi chetu tutakivusha salama(mungu tusaidie)
@zezeshort
@zezeshort 3 ай бұрын
Akusaidie kukivusha kwani yeye Mungu muuwaji aligukuzwa na nyerere alijua mwixi hugo kabaki ana danganya watu
@sharoonrumisha9440
@sharoonrumisha9440 10 ай бұрын
Jakaya. Ulimaliza. Tanzania uliuza maliza watanzania sasa uko na samiya naendelea kuuza bandari zetu utakufa utapatana na mungu
@salehehemedi8267
@salehehemedi8267 6 ай бұрын
Historian nzuri sana mheshimiwa kikwete
@ahmedkagambo4964
@ahmedkagambo4964 Жыл бұрын
Ni kweli Baba wa Taifa alikutayali mapema kuwa Rais nakumbuka miaka ya 70 alikushika mkono na kutamka kuwa hawa ndio watakuwa Marais wetu hapo baadaye
@lodrickmwambene133
@lodrickmwambene133 4 ай бұрын
Mimi nashidwa kuelewa wanaomtukana huyu mzee hakuna aliyekatazwa kugombea na haki ya kila mtanzania aliye na sifa mzee kikwete natamani nikuone
@SaidihusseinAthumani-dy9kw
@SaidihusseinAthumani-dy9kw 11 ай бұрын
raisi mwenye historia alisi ulitabiriwa kuwa rais mapema ww ulikua chaguo la wote
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 11 ай бұрын
Nyerere alikuwa kichwa sana.
@HajiChalazo
@HajiChalazo 9 ай бұрын
Good support of Guys LBQT
@EdwinKaywanga-ww7jr
@EdwinKaywanga-ww7jr 8 ай бұрын
Baba wa Taifa nkiongozi wa mfano wa kuigwa mwenya aono ya mbali❤❤
@heronimomsefya3190
@heronimomsefya3190 Жыл бұрын
Asante .
@mosesgasana4102
@mosesgasana4102 4 ай бұрын
Le Prezidaa Kikwete raha sana kumsikiliza.Na vile ana sense of humour basi burudani tupu.Mtu wa furaha sana. Ana kicheko chenye power ya kumfanya msikilizaji kupona maradhi na kuwa fit
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe Жыл бұрын
Kweli wazee ni hazina, hizi story ziwekwe vitabu. Mzee Kikwete aweke haya kwenye vitabu. Thats we keep these memories alive
@victormtani7170
@victormtani7170 10 ай бұрын
Jambazi mkubwa huyo na muuaji wa jpm. Nyerere kipindi cha mwinyi kumaliza muda wake NEC ilivyopiga kura Kikwete alishinda kura Nyerere Mzee mwenye haiba na Maono akasimama akasema wewe Kikwete haujakomaa na haujawiva kuwa Rais haufai Mkapa ndio anayestahili siyo wewe labda mimi Nyerere nife. Kwa hiyo maneno yanaishi sana leo mnaona
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 10 ай бұрын
​@@victormtani7170Kabisaaaaaaa. Huyu Kikwete ni mshenzi mkubwa.
@shukranikayange2275
@shukranikayange2275 10 ай бұрын
Safi nakukubari kikwete👍
@joventjohansenmushwaimi1988
@joventjohansenmushwaimi1988 9 ай бұрын
Mmeaona hekima za Mwalimu hakuweza kuhangaika na mavazi maana ni vitu vya kupitaaa na si suala la serikali hilo
@malelamalela1362
@malelamalela1362 10 ай бұрын
Okay
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 Жыл бұрын
😊😊❤
@jamillamarealle1574
@jamillamarealle1574 Жыл бұрын
Congratulations mwaka 74 ulikuwa University.
@ruwaichimeela2459
@ruwaichimeela2459 9 ай бұрын
Mhe. Rais Mstaaf Jakaya Kikwete , ni msimuliaji mzuri wa hadhithi! Tunakushuru Bw. Ayo kutuletea Mhe.
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 10 ай бұрын
We ndo unatuharibia Tanzania yetu. Na kwa unafiki unajichekeshachekesha utadhani mtu mwema sana.
@lukehaprimary2574
@lukehaprimary2574 4 ай бұрын
Mzee yakupasa umshukulu mungu sanaaa alikujaalien kukupa kipawa kikubwa sana alikuuandaa mapema ujekua kiongozi mkuu wakitaifa
@abdumpunda4026
@abdumpunda4026 Жыл бұрын
Daudi? Angalalia lugha unayoitumia my brother.
@juliusjohn9453
@juliusjohn9453 Жыл бұрын
Punch
@kherihightechllc113
@kherihightechllc113 4 ай бұрын
Mwambiye usemeukweli ? Alikuwa anataka Rais kabla mwinyi 👈🏾 JK mtu watamaa sana ndiyo nchi imefika pabaya 😮JK mnafiki sana sana ni chawa chawa 👈🏾
@alenaudax8485
@alenaudax8485 4 ай бұрын
Nyerere aliona mbali sana ndo maana alimfokea. R. I. P Nyerere
@juliusdidose100
@juliusdidose100 3 ай бұрын
Mzee Punch
@user-uv1dy7ib5l
@user-uv1dy7ib5l 3 ай бұрын
Rais wetu hazeeki dah❤
@allankiluvia4860
@allankiluvia4860 Жыл бұрын
Eti upuuzi wa Kawawa..ikawa nongwa.
@GeorgeBenard-ue2gh
@GeorgeBenard-ue2gh Жыл бұрын
Baba wa Taifa aliona mengi, inawezekana kuna mambo mlichanganya, ila nimependa adithi yako MUNGU Akubarik
@husseinallysuleiman4657
@husseinallysuleiman4657 Жыл бұрын
Nakukubali sana mzee wa msoga
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 6 ай бұрын
Nyerere was genius
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 10 ай бұрын
Jizi
@user-vm6wi3jh9h
@user-vm6wi3jh9h Жыл бұрын
Naomba kuonana na raise wangu mstaafu na mkuu was chuo changu
@br.samwelmparange4986
@br.samwelmparange4986 Жыл бұрын
Matusi Daud hayajengi ndugu yangu
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 11 ай бұрын
Wajuzee washenzi hao matusi Yann?sijui wamekunywaa banana amaaaaaaa
@abdallahally842
@abdallahally842 10 ай бұрын
Nampenda huyu mzee very social mcheshi mtu wa kutoa ushauri ukikanae unaskia furaha kwa zile story zake nzuri zakufurahisha na kukujenga mungu akupe afya na furaha mzee wetu
@veronikamabula7101
@veronikamabula7101 10 ай бұрын
Alijuwa utakuja tunyanyasa
@HajiChalazo
@HajiChalazo 9 ай бұрын
Ipo siku mtoto wake atamuuua mke wake !!!!! Yaaaani agent wa USA, France, Japan, develic traditions, with cheap corruption and family, fame
@okashhabib6944
@okashhabib6944 9 ай бұрын
😅😅
@sharifuhusseinally542
@sharifuhusseinally542 Жыл бұрын
Muheshimiwa unach
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Жыл бұрын
Hainishtui
@user-ss3fq7vy7v
@user-ss3fq7vy7v 4 ай бұрын
Ngoja niaangalie mlizotumaga
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 ай бұрын
Usituchanganye sasa hiv wewe ndiyo unaemrimoti mama mpaka anauza bandari zetu watanzania wanskuchukia sanaaaa njoo usikie mitaani kila sekta wizi mtupu
@jamesmalegi5682
@jamesmalegi5682 4 ай бұрын
UDSM
@yussufhassan5582
@yussufhassan5582 11 ай бұрын
0
@user-gh7rg7mr7p
@user-gh7rg7mr7p 10 ай бұрын
Vipi kuhusu gas
@kianda973
@kianda973 10 ай бұрын
Mhh
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 4 ай бұрын
Unapotezea
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 4 ай бұрын
Angewalamba bakora
@gatimarwa7525
@gatimarwa7525 7 ай бұрын
Kumbe Muhimbli ilikuwa tawi la UDSM
@lodrickmwambene133
@lodrickmwambene133 4 ай бұрын
Bado ni tawi la udsm
@emanuelelias4695
@emanuelelias4695 10 ай бұрын
Huna jipya ww ndio nanga ya taifa hili fisadi mkuu mpola haki na utu wa watu huo ndio ukweli Yani uwepo wako ww ktk taifa hili ni mkosi mkubwa
@user-ns5bw3dw6e
@user-ns5bw3dw6e 10 ай бұрын
Una mawazo mgando weye kijana
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 10 ай бұрын
​@@user-ns5bw3dw6eWe ndo mpumbavu. Hujui kwamba Kikwete ndo shetani mkubwa wa Tanzania?
@emanuelelias4695
@emanuelelias4695 10 ай бұрын
@@user-ns5bw3dw6e Siku ukiacha umbumbu utagundua kuwa huyu mzee ni tatizo kwa taifa letu
@user-ns5bw3dw6e
@user-ns5bw3dw6e 10 ай бұрын
@@gosbertrwezahura3645 Nashkur kwa matusi yako utajibiwa na alokuumba.
@user-ns5bw3dw6e
@user-ns5bw3dw6e 10 ай бұрын
@@gosbertrwezahura3645 maana matusi yako kwenye media yanadhihirisha ukubwa wa elimu ulonayo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 ай бұрын
Sasa hivi hakuna hata anaekutaka wewe ndiyo unaemrimoti mama kuuza bandari zetu za bara kwa manufaa yako hutakiwi kabisa hata ukifa leo watu watapiga vigelegele
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 9 ай бұрын
Jambazi lililotuminyima maendeleo tz na kujikusanyia pesa zote katika uongoz wake na bado hakupendezewa na maendeleo aliyokuwa anatuletea magufuli na akaona ana aibishwa na kuamua kumuondoa magufuli kwahiyo huyu mzee siyo mtu mzur kbs ana roho ya kipeke yake kbs lkn mwisho wa siku kila mtu ataingia tu kaburini
@HhBbh-tn5uh
@HhBbh-tn5uh Жыл бұрын
Sikweli😂😂
@amosdaniel1327
@amosdaniel1327 10 ай бұрын
Safi' sAna"
@yussuph-lx7cu
@yussuph-lx7cu Жыл бұрын
Alikwamisha mchakato wa katiba na kupoteza pesa nyingi katika mchakato huo na kuukwamisha ,,,,ni chanzo kikubwa cha mauwaji kipindi cha uchaguzi kwa upande wa Zanzibar na alikwamisha ushindi wa maalim seif pale aliposhinda uchaguzi
@user-qo6wb4le9i
@user-qo6wb4le9i Жыл бұрын
inaumaga hii issue kikwete alitupa jpm akatuumizaa sana Wana cdm
@msabahaali758
@msabahaali758 10 ай бұрын
huyu msanii alitupokonya haki yetu Zanzibar kwa kufuta uchaguzi
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
kwanza nyerere alikataa usipewe urais alijua wewe ni kibaraka wa wazungu na hufai kua kiongoz wa inchi ila kwa uchawi wa mtwara ukafanya kila uchawi upate inchi ili uile inchi nakweli mmeila sana inchi ya tanzania wewe na family yako nadhani nyerere angekua hai msingekula inchi hivi na ingekua iko mbali sana tanzania fisad mkubwa wewe unauwa wenzio ili ubaki kulainchi na wazungu wako ipo siku yeni insha allah
@saidindaro5858
@saidindaro5858 Жыл бұрын
Hao wasiokuwa vibaraka mbona wanatupeleka upande upande kama kama ngadu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
@@saidindaro5858 ukiwa na akili timamu utajua ninacho kisema kama umejaza mavi kichwani kwako basi endelea kuenda upande upande huenda we ni mwizi ama fisad ama muuza unga ndio maana unaenda upande upande
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@aishaalbalushaishabalush8291 INGE NA ANGE NA ISINGE HAISAIDII KITU FANYA KAZI MVIVU WEWE.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
@@salimmalaka256 unaumwa ukimwi nifanye kazi marangapi ama unavoniona humu umenipa wewe cm na wi_fi ? mjinga nini fanya kazi wewe usie na kazi unaetumia vi bundle
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@aishaalbalushaishabalush8291 M'BULUSHI WA KWA MPALANGE FANYA KAZI INGE NA NINGE HAISAIDII KITU
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 Жыл бұрын
Anachekaga peke yake ase yaani 😡
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Shida nini
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 10 ай бұрын
​@@birianination7097Anajichekeshachekesha kama mwanamke. Huyu jamaa huwa sina uhakika kama ana akili timamu. Huwa anajifanya mtu mzuri wakati hayuko hivo.
@AdamMtore-rv9jh
@AdamMtore-rv9jh 8 ай бұрын
W²²
@editorfrank7471
@editorfrank7471 Жыл бұрын
hivi kwanini kikwete akiongea lazima ajikune kichwa
@jafarisadiki4960
@jafarisadiki4960 Жыл бұрын
Muulize mwenyewe
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
YANI WASWAHILI HIVI MTU AKIJIKUNA KICHWA MNATAKA KUJUWA KWA NINI KAJIKUNA???? 😂😂😂😂
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 Жыл бұрын
Akili nying
@otmarmkali8883
@otmarmkali8883 Жыл бұрын
Akikosea anajiumbua
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 10 ай бұрын
Ni unafiki
@timboxlee919
@timboxlee919 Жыл бұрын
Huyu jamaa mawaziri wake watufilisi watanzania, RIP JPM
@issaabdi9129
@issaabdi9129 Жыл бұрын
Hauna adabu ww mpe heshima yake. The best president Tanzania aliepita. Nimtulivu na msikilizaji kwa maoni ya watu.
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
JPM alimtoa Prof Asad kisa aligundua uwizi wa 1.5 trillion pia akafukuza wanafunzi wa chuo cha UDSM walio post picha za ufaa katika mabweni yake mapya
@sundaymsuya1433
@sundaymsuya1433 10 ай бұрын
​@@issaabdi9129yan huyu mzee ulikuwa unamuona mzuri sio raisi anakuremba uku anakumaliza sio ndiomaana ulikuwa unamuona mzuri sio
@timboxlee919
@timboxlee919 10 ай бұрын
​@@issaabdi9129heshima Gani kwa fisadi papa Kama huyu,nchi imekuwa ya kifisadi tu,hana point anayoongea huyu jamaa
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Жыл бұрын
Ikuru ulikua msikiti huo na ulijengwa na warabu
@Burner_Acc
@Burner_Acc Жыл бұрын
Ikulu (kutoka neno la Kinyamwezi; kwa Kiingereza: State House) ya nchi ya Tanzania ilijengwa na Wajerumani mwaka 1891 kwa namna ya kipekee na gavana wa Kihuni Chakosi Dikwe na kutumika kama ngome ya gavana. Nyie waislam kila kitu mnahusisha na dini yenu au waarabu. Smh
@barakaayubu6126
@barakaayubu6126 Жыл бұрын
Una uhakika Sana na unachoongea?? Una ushahidi?? Tafadhali Kaa kimya.
@barakaayubu6126
@barakaayubu6126 Жыл бұрын
Una uhakika Sana na unachoongea?? Una ushahidi? Tafadhali Kaa kimya..!!
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Жыл бұрын
@@barakaayubu6126 shida ukafili unao kusumbu hakuna kingine Kwahyo ENDELEA kubisha
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Жыл бұрын
@@Burner_Acc hizi nazalia za uwongo kabisaaa ila ukiangalia moyoni mwako unabaki na ukweli ila kinacho kusumbua ukafili uliyo nao Kwahyo ENDELEA kubisha
@user-lb7jq5li7x
@user-lb7jq5li7x Жыл бұрын
Huyu kikwete ni mkundu wa nyani,msiwe mnamwonesha..kumanina zenu mnae mwonesha.
@daudmwaipasi5672
@daudmwaipasi5672 Жыл бұрын
Amekukosea nn bhna wajina, mbona umetumia lugha ngumu Sana mzee
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Jifunze kustaarabika.
@kabaranamaganga6646
@kabaranamaganga6646 Жыл бұрын
Tafadhali uwe na adabu Mzee Kikwete kiongozi wetu mstaafu jifunze kuheshimu wakubwa na kuweka mihemko mbali.
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 11 ай бұрын
Wewe katka comment nyingi ni matusi na uahasama ukisoma na sio mgeni lughayako Daud chafu sana kila mahali hata mtu akitafuta kilakwenye comment hakosi maneno machafu sana. Utakufa yatabaki yakikuhukumu hayo. Yataishimuda mrefu kuliko wewe
@AwadhiKanyawana-ve2cp
@AwadhiKanyawana-ve2cp 4 ай бұрын
Huna adabu huyo ni Baba WA watanzania wte
@allankiluvia4860
@allankiluvia4860 Жыл бұрын
Eti upuuzi wa Kawawa..ikawa nongwa.
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 15 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
HOTUBA YA J K NYERERE MBEYA MWAKA 1969
49:55
TZ TRENDING
Рет қаралды 242 М.
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 548 М.
Salama Na JK Ep48 | MSOGA UNO PART 2
29:35
YahStoneTown
Рет қаралды 288 М.
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 15 МЛН