Asante Mungu kwa zawadi ya Askofu Kilaini. Baba Kilaini umekuwa zawadi na chachu nzuri kwa Kanisa la Tanzania na ulimwengu mzima. Nimefurahishwa na hotuba yako 🤣
@manyoponganju Жыл бұрын
nakule kusini mwa Tanzania tunataka kujitenga atuoni faida gas yetu kusini kama maasikofu wachukia kuwekezwa bandali kusini tunaibiwa gassi bila yawatu wakusini kunufaika
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Makuzi yao ya upendo. Neno kubwa sana.
@dativafidelis3882 жыл бұрын
Ila BABA ETI DAISALAMU🤭🤭🤭. NIMEFURAHI TUNAKUPENDA SANA
@manyoponganju Жыл бұрын
kama kila kinacho semwa na wengi tunataka selikali tatu ndio tunasema muungano utakua umefika mwisho
@manyoponganju Жыл бұрын
mbona amtoi tamko kuhusu gasi mtwara imeporwa na wananchi wame kufa mbona hamkutoa tamko kwakua kanisa lina hisa yake
@manyoponganju Жыл бұрын
kama tutaongozwa na maasikofu basi muungano ndio mwisho wake umefika
@EutropiaMinja-rx8sv Жыл бұрын
Mijitu mingine haina akili kama hili linalojiita user. Hili user halina akili kabisa sijui ni chizi hili!!!
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Tunae Rais na Mama. Nani Kama Mama?
@manyoponganju Жыл бұрын
tunasubili kuona selikali au maasikofu ndio wataiongoza Tanzania
@verdianabanabi22052 жыл бұрын
bukoba tunakupenda baba askofu wewe uwe askofu wa jimbo letu
@manyoponganju Жыл бұрын
biashara chafu mtakosa kufanya ndio maana mlimchukia magufuri akujali udini halikua muwazi
@manyoponganju Жыл бұрын
kanisa limeiba madini ndanda kue masasi rondo chidia namtumbo mbona selikali imekaa kimya nyie maasikofu ndio wala rushwa sugu hamlipi kodi mnaonaselikali ikiwekeza mtatakiwa mlipie na biashala zenu za pembe za ndovu zitakwama