ASKOFU MWANAMAPINDUZI AIBUA MAZITO JUU YA GARI YA LISSU KUWEKWA MAKUMBUSHO "INATURUDISHA NYUMA SANA"

  Рет қаралды 9,321

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 4 ай бұрын
Anapendwa kweli, hata mimi nampenda. Utu wake, uaminifu wake, taaluma yake na misimamo yake. Ni jasiri hapendi rushwa. Mungu ambariki sana .
@essaumapunda5766
@essaumapunda5766 4 ай бұрын
Big up Mtumishi wa Mungu
@VLADDYNDANZI
@VLADDYNDANZI 4 ай бұрын
Upo sawa mtumishi wa Mungu
@jumajukikoti8133
@jumajukikoti8133 4 ай бұрын
Mchungaji unajua sana Mungu akubariki sana
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 4 ай бұрын
Mungu awalinde woooote wanao tetea haki kwa wananchi,,,,,❤
@MasungaNekwa
@MasungaNekwa 4 ай бұрын
Uko sahihi baba Mungu akubariki haki haishindwi
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 4 ай бұрын
UKITAKA KUMHOJI HUYU ASKOFU MWANAMAPINDUZI UJIPANGE 👏🏼👏🏼
@rogersiddy
@rogersiddy 4 ай бұрын
Kbs hayupo kizembe zembe anajiamini anajielewa sana hana hofu kbs
@williammwamalanga1065
@williammwamalanga1065 4 ай бұрын
Hiyo itembezwe kila kijiji cha Tanganyika ili watanzania waione
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 4 ай бұрын
Na tutachangia mara dufu asingekuwa yeye hata swala la bandari,,wamasai kufukuzwa na aridhi ya watanganyika kupewa wageni ametuonesha anavyotenda haki hata ukipigwa sim anapokea tofauti na wale viongozi walivimba vichwa lisu oyeeeeeee
@LuganoMwakalinga-p3k
@LuganoMwakalinga-p3k 4 ай бұрын
Ndio shida Mtumishi wa Mungu, Mungu akubariki kwa maelezo yako mazuri.
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 4 ай бұрын
Huyu lisu anafaa kuwa rais maana anasifa kwanza ni mwanasheria tofauti na wale wanabatizwa doctor huku hamna
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 4 ай бұрын
Mwanamapinduzi kiukwel huwa unajua kufafanua na kujibu maswali ya waandishi wa habar, wewe ni lulu katika nchi.
@drsumatz7539
@drsumatz7539 4 ай бұрын
Nachangia tena
@dillonfoya
@dillonfoya 3 ай бұрын
Tulimwomba Mh. Aweke Hilo gari kwenye makumbusho si kwamba CDM hawawezi kumpa gari ila kwa mahaba makubwa ni haki tuonyeshe kuwa tunaweza nasi kumpatia gari na lile waje Watoto na wajukuu waje waone ulivyokuwa katika kufikisha Tanzania ilipo
@AbhaiyaAbhaiya
@AbhaiyaAbhaiya 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@abdallavictory6723
@abdallavictory6723 4 ай бұрын
Unaposema alikuwa anapigania Uhuru sikuelewi, au Unadhiaki Waliopigania na kudai Uhuru,
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 4 ай бұрын
Mi nimeshachanga na nitachanga Tena na tena
@laupetpet7779
@laupetpet7779 4 ай бұрын
Safi Sana kamanda
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 4 ай бұрын
Mungu wa Mbinguni tu mbele yako na azidi kuibariki kazi ya mikono yako
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 4 ай бұрын
Naombeni namba za mchango wangu 5000 jamani nipeni namba tu
@knight6757
@knight6757 4 ай бұрын
🚘
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 4 ай бұрын
🚗🚗🚗🚗🚗
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 4 ай бұрын
Yani wale jamaa walompiga risasi ni wapumbav sana wamemkosaje huyu lisu wangemmaliza tu tukapumzika
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 4 ай бұрын
Pumzika kama wenzako subiri muda si mrefu maana mungu anatenda..
@JoachimKisoka-d5l
@JoachimKisoka-d5l 4 ай бұрын
Anayetukana Hana hoja na kama unafurahia kumwaga damu ya nduguyo wewe ni mfuasi wa shetani na kama ni hivyo umeshaandaa makao yako na shetani ndiye mwenyeji wako.
@JovinPeter
@JovinPeter 4 ай бұрын
Mchunģaj wa mbuz
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 4 ай бұрын
Weka jina lako hapa ushikishwe adabu
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 ай бұрын
Na ninyi waandishi feki cjui hamna kazi zingine za kufanya? Washenzi kabisa labda nchi ya mkeo ndyo ilipita kwenye hilo bonde kwenda zako mbwa ww
@ULUMBIADAM
@ULUMBIADAM 4 ай бұрын
K Yako ya nyuma
@Nedjadist
@Nedjadist 4 ай бұрын
Watanzania kwa nini si wastaarabu, ni ukosefu wa elimu nini? Haya mambo mmeyavaa tu bilaya kuwa na masomo wala ufahamu. Umeandika matusi hapa, wajua yatadumu zaidi ya miaka 100 ijayo? Mwenyezi Mungu atakuwa anakuandikia madhambi ya matusi kwa muda wote huo! Wamtukana mtu bila sababu, jamani!
@deogratiustweve2611
@deogratiustweve2611 4 ай бұрын
Hivisisi bnadam tumeumbwaje
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 4 ай бұрын
Najaribu kukutafakari sana sababu ya kumtukana huyo mwandishi nimeshindwa kukuelewa! Ila nahisi hauko sawa kichwani! Afya yako ya akili haiko sawa! Pia yawezekana kichwani kuna kinyesi badala ya akili! Hovyoooo!
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 4 ай бұрын
Ndogoro godoro dugu moja😢
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 28 МЛН
Tundu Lissu Alivyoitikisa Babati Kwa Hotuba Nzito
1:16:54
The Chanzo
Рет қаралды 23 М.
#LIVE: TUNDU LISSU ANAKIWASHA MUDA HUU TEMEKE MWEMBE YANGA
2:35:40
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 18 М.
MDUDE AKIELEZA YALIYO MSIBU AKIWA MIKONONI MWA POLISI
52:26
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 41 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН