Hongereni sana munastahili pongezi sana na poleni pia ila zaidi I'm so proud to be born in Africa
@willymosses16126 жыл бұрын
hongereni sana Azam nim epapenda hapo.....siku moja nitafika hapo ziwani maana navutiwa sana na uzuri wa nchi yangu Tanzania (urithi wangu)
@marlonmwakalinga22526 жыл бұрын
wow safi sana nduguzangu kwa kuweza kufika hapo katika ziwa lenye kivutio kikubwa ,wana Mbeya Tunajivunia sana hii ziwa pia niwaombe hata Tukuyu pia kuna vivutio vingi pia muweze kutembelea ikiwemo daraja la Mungu
@jumaazuberi93176 жыл бұрын
MAASHAALLAH ALLAH azidishe neema katika nchi yetu. Ila Kama mgeweza kurusha clip Kama hizi na ikawa inasikika sauti ya mtangazaji tu ingekua poa mkaondoa hizo ala za miziki. Hii nikutokana na baadh ya maeneo huwezi warushia chip Kama hizi zenye ala za miziki hawatatizama
@ayubunangigi8294 жыл бұрын
Salim muhando m/mungu akulaze mahali pema pepon aamin,,ulikuwa mtangazaji mahili wa azam tv media bora tanzania
@musasamwel95786 жыл бұрын
mimi ni msafwa wakijiji cha iwalanje mbeya vijijini kwetu nijilani kabisa kufika kwenye hilo ziwa hakika ukifika hautatamani kuondoka nipazuli sanasana
@Jaffe-y2e2 ай бұрын
Nimependa sana kufika ziwa ngosi
@fawziaabdurrahman22516 жыл бұрын
huo mlima sio mchezo. presenter wakiwa kule chini mimi nasema 'mkumbuke mtarudi juu tena...' wapresenter wazuri kabisa wanapendeza na pia presentation yao nzuri sana hongera. nimetamani nami nifike hapo....inshallah one day
@erickmahujilo46436 жыл бұрын
Nchi yetu ni nzuri sana ila kuna watu wachache sana ambao wanataka kutuharibia,hao wasiojulikana ndio shida sana,ila Mungu katupendelea sana
@waukweelinikkon65556 жыл бұрын
Hilo ziwa ni nouma,watu wanafika wanaishia hapo juu,kushuka chini ni mteremko mkali,na ukifanikisha kushuka kupanda mtihani,ila Hata ukiwa Kwa juu ziwa linaonekana vizuri sana,inapendeza sana
@chancemtitu18526 жыл бұрын
Tunahaki ya kutambua na kuthamini vya kwetu Viva Tz
@hassanhassan10192 жыл бұрын
Noma Sana .. hongereni kwa kufika chini... Najua kasheshe yake
@dennischeyo13025 жыл бұрын
The green City Mbeya Tz home sweet home oyeeee
@benardseme74456 жыл бұрын
Hongereni mnafanya kazi nzuri
@lutulalihim15854 жыл бұрын
Allah Akulaze mahala pema. Brother salum muando
@eyumededu29483 жыл бұрын
Nakupenda Tanzania yangu najivunia kuzaliwa Afrika Ninakupenda kwa moyo wetu nakutakia amani na mshimano
@tonayden54312 жыл бұрын
Nimezaliwa tukuyu lakin cjawai fika hapo tulikuwa tunaambiwa na bb kuwa kuna majini hapo ukifka hapo unavutwa na kuzamishwa ilipelekea kuigopa ht kusogea hapo.......hd leo niko mwanza nataman sku moja nirud nikaone...proud Africa
@kilosaconservation5656 жыл бұрын
Najivunia vivutio vya nchi yangu Tanzania.
@salehemigoko30353 жыл бұрын
Masha Allah , Ziwa Lina Mvuto Mzuri Sasa Tengenezeni Ngazi kwa Washukao Kwa Miguu
@uzuriwabure62043 жыл бұрын
Wenzetu kama china uko wangeteneza ngazi apo ata barabara mpaka apo ziwani na madaraja ya juu ya kamba na mbao ili kivutia vyema watarii
@prophetessepifania83162 жыл бұрын
Oya eeeh Mungu noma iyo K2 n Africa kbs
@salehsuleiman12186 жыл бұрын
Napenda sana utangazaj wako kaka nakukubal sana Allah akupe ubunif zaid
@ezekielcharles92852 жыл бұрын
Safi sana tujue vitu tulivyo navyo tzd
@ezekielcharles92852 жыл бұрын
Safi sana azamu
@mufamozmufash1666 жыл бұрын
Serikali wamelitupa ziwa hili, ilipaswa kuwe na barabara zikuingia mpaka karibu na ziwa Kisha vidaraja vizuri vyakushukia mpaka kugusa maji ya ziwa
@lovenessibrahimu67305 жыл бұрын
Nimemiss jaman Salim Mhando R. I. P my friend
@maryseriah1575 жыл бұрын
we alikufa huyu jaman wewe
@benedictaman9366 жыл бұрын
Nilifanikiwa kufika hapo mwaka 2016 ni sehemu nzuri sana ya kihistoria
@Jaffe-y2e2 ай бұрын
Gharama za kwenda kuona ziwa zipoje
@kilirombo46032 жыл бұрын
Fika Rombo kilimanjaro utakutana na ziwa lingine la volcano. Hakuna mto unaoingia wala kutoa maji kuyagusa maji utateremka mteremko zaid ya dk 20 kutoka juu
@fadhiliakida86094 жыл бұрын
Makala nzuri nimeipenda sana na hongereni sana Azam TV kwa hilo, kitu kimenisikitisha ni kwamba, mlipofika chini ziwani nilitegemea hata mngeyashika maji na kutaste ladha mbali ya kuwa mmetuambia kuwa ni ladha ya chumvi, lakini kwa nini hamjatuthibitishia kwa kuya taste? Lakini pia nilitegemea baada ya kufika ziwani mkatuonyesha vilivyomo ziwani kwa karibu zaidi ili kunishawishi nije kutembelea, otherwise mmefanya kazi nzuri, mapungufu madogo madogo kama hayo next time jitahidini mnayarekebisha
@uzuriwabure62043 жыл бұрын
Nikwel kabisa
@uzuriwabure62043 жыл бұрын
Vyombo tatizo waifadhi wanatakiwa wajenge camp kuwe na boti ya kuwatembeza watarii kama kuna kauwoga kidogo, kukiwa na boti utafiti utafanyika usiku kwakutega mitambo ijulikane kunamaajabu gani mengine usiku mkubwa, je chini ya kina cha maji kupoje? Je ao samaki kweli wapo waishije ula nn maficho yao yakowapi ? Maana ziwa alina ata gugu maji ndio maana tulitaman kuona kamera ishuke majini ipite taratibu tuone vyema, au ata darubin tosa kwenye maji tuone viumbe hai uko chini
@ericndeki95225 жыл бұрын
May your Soul.Rest in eternal.Peace Salim😢
@lusajokafuko3450 Жыл бұрын
Weee Salimu ndio yupi Huyo aliefariki 😳
@bukorimalima6626 жыл бұрын
Fantastic
@frankmare17084 жыл бұрын
Nilifika hapo mwaka 2015 mwezi 3, niliinjoi sana ila miguu iliniuma sana safari ya kufika hapo kileleni sio mchezo tena ukifika kileleni unaanza safari ya kushuka ziwani...lo ooh! Pazuri sana
@csongole57995 жыл бұрын
Nakumbuka mama alikuwa akinipa vistor vya zamani kuhusu ziwa hilo lakini mpaka nilifika jamani aliposikia nimeenda alitamani kufaa bp hahahaha selela buanaaa😍😍😍
Nimeipenda sana hii,endeleni kuleta vitu kama hivi hii,mimea ni viumbe hai na wanyama ni viumbe hai pia.
@srceciliagervas-vp6qf4 ай бұрын
Kwani hapo hamna najua ya kuwa kulifikia ziwa kabisa kugusa maji
@miriamabinery56956 жыл бұрын
Tanzania tumshukuru tuu Mungu kwakweli sababu ametupatia viingi sana ,twapaswa kumshukuru
@waryobamahunyo49906 жыл бұрын
Aisee maajabu kweli,ziwa Lina ramani ya afrika tena na visiwa kama vya unguja na Pemba,jamani tangazeni vivutio hivi tupate pesa.
@chimumaziku31863 жыл бұрын
We are the Rich Tanzania
@fahadalbusaidy71826 жыл бұрын
Beautiful
@syliviussmgenyi3446 жыл бұрын
Nimeipenda
@judithhelman35746 жыл бұрын
Nakumbuka tulienda trip za shule Pandahill chini ya uangalizi wa mwalimu madevu.... Watu tulitelemka kwa matako usiombe mida wa kupanda sasa.... Utatupa hata nguo uliyovaaa😂😂😂😂😂
@vascogomano80896 жыл бұрын
😂😂😂😂😂kumbe na ww umesoma ph kma mm😂😂 ila sijafika
@mwalingosimon8475 жыл бұрын
Hahaaaa
@shedrackmwaipopo94274 жыл бұрын
Noma
@winniepeter2123 жыл бұрын
Muacheni Mungu aitwe Mungu
@musasamwel95786 жыл бұрын
usipende kusimuliwa hiliziwa nikivutio kikubwa cha tanzania kwanza lina lamani ya Afulika hakika nipazuli sana
@frankmwafifi67125 жыл бұрын
Uyole mbeya sweet home
@kamgomoli36506 жыл бұрын
Nimewahi tembelea hilo ziwa mwaka 2010. Kutoka hapo juu linapoonekana hadi chini kabsa kwenye maji ni nomaaa tulitumia kama saa 1 hv. Kuna miteremko ya kutisha.Ni nomaaa ila ni kuzuri sn cha msingi ukienda huko usisahau kubeba maji na chakula hasa biscut.
@julianachengula3515 жыл бұрын
Kweli bwana mpaka ukayakute maji ni mbali sana ukiwa mliman panaonekana pafup anza kushuka utaelewatu ila lazuli sana
@shamsahussen10596 жыл бұрын
I love you Tanzania nchi yangu Tanzania nzuri Sana
@anuaromary42676 жыл бұрын
Thanks
@koylaempire21356 жыл бұрын
Muziki Ni kelele tupu ambao umeharibu ladha ya video nzuri sana....poleni
@GoodPeopleOfBiafra6 жыл бұрын
Nimeipenda sana Mbeya OK ILA PITIA HAPA KUONA UCHAFU UKIGEUZWA KUWA MAPAMBO YA NDANI ili kuni sapoti SUBSCRIBE channel hii Bofya kapicha kushoto
@omarynassor63135 жыл бұрын
Zuri sanamungu mkubwa niuzieni hilo
@salmasaidi28756 жыл бұрын
Shukran sana ila ni hatari barabara mbovu sana
@kinghenry55116 жыл бұрын
Africa tumebarikiwa vitu vizuri ila akili zetu zero
@qaboossaid22596 жыл бұрын
Sifa nyengine ni kua pana dhahabu tena ipo kwene lake shower.
@diamondgeyser79876 жыл бұрын
Miundo mbinu ya Barabara ni muhimu itengenezwe ili kuvutia watalii na wawekezaji na pia in vizuri ziwepo boats za kutembeza watalii na restaurants... Pia kama kuna samaki ni vizuri kuhamasisha utalii wa uvuvi
@teychriss32486 жыл бұрын
Hili ziwa ili kulifaidi ilibidi wawekezaji waweke vile vitreni Vya juu aisee kama nchi zilizoendelea ila kwa shughuli hiyo hapo tutaishia kuliona KZbin tu!
@rizikibruno72244 жыл бұрын
Kweli haya ni maajabu ya mungu ktk uumbaji wake.
@nureyna6296 жыл бұрын
Angalau na visiwa vya unguja na pemba vimo humo kwenye ziwa 😂😂.. Ziwa lenye Ramani ya Africa
@moviesseries99235 жыл бұрын
😂😂😂
@janewilison69825 жыл бұрын
Kweli Mungu wa ajabu
@evelinaibenson82976 жыл бұрын
Dah! kwa bibi paleee
@csongole57995 жыл бұрын
Hahahaaaa umenifurahishaaa
@floridacharles76015 жыл бұрын
Evelinai Benson unvituk ww
@lovenessibrahimu67305 жыл бұрын
Utukufu Mungu aliyejuu nilifika mnamo 31.08.2013
@omaryyusuph32516 жыл бұрын
Wahifadhi tengenezeni miundo mbinu ya njia ili watu wafike kwa urahisi sasa emagine wanawake na watoto watawezaje kufika wakati huyo big kajuta kushuka ziwani?
@womenkilimanjaro2985 жыл бұрын
Wow , i love it, ,
@wazeerkahirafaadhil74552 жыл бұрын
Hahaha ATI ngombe zimeenda bondeni.. amechoka na utumwa anamalengo ya kuwa boss...
@dennischeyo13025 жыл бұрын
Naiona kawetere
@ggmaths96365 жыл бұрын
Dr!!!
@songasn47186 жыл бұрын
Huyo mtatilo ni mwanaume Wa Dar halisi
@rodgersgingila93676 жыл бұрын
apo JKT inahusika... sio kwa vikwazo hvo..
@suleimanmazrui69426 жыл бұрын
Hilo ziwa liko powa Sanaa ila uongo kwenye Ramani ya Bara la Africa Visiwa vya Unguja na Pemba havimo kabisa musitudanganje.
@kebo21555 жыл бұрын
... Sisi tunaviweka kwa vile ni visiwa vyetu... Tanzania oyeee 💯💯
@hassanturky75116 жыл бұрын
Azam TV .sisi waislamu tunakuombeni musieke miziki ktk video zenu. Sio Kila mtu anapenda mziki.
@peterkitura59466 жыл бұрын
Acha nyege kwahiyo awe anaweka mbili za waislamu na wakirstu hizo nibangi msimpangie kazi
@elizamsisizio45026 жыл бұрын
Azam anafanya biashara usimpangie cha kuonyesha,ila Mimi nakushauri uangalie TV Iman
@mariamjuma10686 жыл бұрын
Jamn kwan nyinyi ndo azam. Yy kaomba ilo nikama wazo. Mwenye jukum la kukataa azam. Sasa hayo matus na mabishano yanatokea wapi.?? Kwa baya lip ovyoooo
@rehaniabeta6 жыл бұрын
Duh
@rehaniabeta6 жыл бұрын
@@peterkitura5946matusi tena ndg
@tausilifestyle7956 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂watu wako hoi kabisa kwa kutembea ndo mazoezi lakini
@mapenzisefu59436 жыл бұрын
that good
@twilikashilongo78876 жыл бұрын
Usalama upoje? Mana lipo milimani na lipo msituni pia, unaweza panga kuja kutembea kuangalia maajabu ya Mungu aliyotujalia Tanzania ukaishia kutekwa ama kuishia mikononi mwa watu wabaya.
@felixmdoe66443 жыл бұрын
Ethiopia Wana Ziwa linaitwa Debrezeti na Tana
@edwardandrea97663 жыл бұрын
Hilo Ziwa Ngosi chanzo chake cha maji huwa yanatoka wapi.
@csongole57995 жыл бұрын
Mumewasahauu mashetani wenye mguu mmoja jamani wanatusumbua usiku tukilala kwa Bibi😁😁
@farajamwashimahanmeiptagud64775 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 shetan mwenye mguu mmojq umenikumbusha mbali
@ottoraphael23096 жыл бұрын
Nimeshawahi kufika hapo hadi kugusa maji... Kama afya yako haijakaa poa sikushauri kwenda
@isacknkyah24566 жыл бұрын
Otto Raphael kwa nn coz cjakuelewa
@zamzamhassan41596 жыл бұрын
em nifafanulie
@barakaemmanuel96146 жыл бұрын
iko poa
@manish-fp1fb6 жыл бұрын
Kama hayo maji yanahakisi ramani ya africa how come visiwa viwe ndani ya eneo la bara....
@zamoyonigerimia76476 жыл бұрын
manish haujaelewa ndugu yangu sikiliza tena
@manish-fp1fb6 жыл бұрын
@@zamoyonigerimia7647 huenda na wewe haujanilewa....sikatai muonekano wake kufanana na ramani ya Africa.. ila hiyo ya visiwa ni out of context.
@uwimanaraoul68246 жыл бұрын
Mmmh jamani hamuogopi kunkatwa na nyoka!
@ottoraphael23095 жыл бұрын
Misitu ya milimani sehemu za baridi hainaga nyoka
@musasamwel95786 жыл бұрын
mimi nimefika hakika nipazuli sana jamani
@salimdoctor6916 жыл бұрын
Safi ili jitahidini kutengeneza manidhri itakuwa bora zaidi
@TRAVELANDTASTETANZANIA5 жыл бұрын
Wenzetu huku sehemu kama hizo wanatengeneza na kuhakikisha zinafikika kwa urahisi.....barabara nzuri na Usafiri wa Uhakika.... Ni pazuri Mno....
@alialesry51316 жыл бұрын
Mmmm watu wakishaanza kwenda huko kutembea...... Na watu wasiojulikana watahamia huko kila siku mtakuwa mnatekwa shaurizenu mimi siendi hata kwa Bommmm
@teophilnorbert67496 жыл бұрын
ali alesry hahahaaaa lol
@Salma-xh9un6 жыл бұрын
Sana pazuri lakin tengenezeni njia za kutebelea.
@kebo21555 жыл бұрын
.. Tanzania siyo Kongo...
@salehsuleiman12186 жыл бұрын
Nimefrah kwa utafit wenu
@faizadulla86636 жыл бұрын
Sasa kwa njia mbaya kama hii mutapata wapi watalii
@shedrackmwaipopo72534 жыл бұрын
Mtangazaji ni ziwa ngosi sio ngozi
@hassanturky75116 жыл бұрын
Wekeni usafi,na usalama was jeshi hapo. Bila hivo watakuja wengine kufanya hivyo.
@nkwabitz2336 жыл бұрын
Ridhwaniiiii
@salimbinargan96584 жыл бұрын
Hata hajui kufanya mazingira ya utalii kuwa mazuri mmekuwa kienyeji anyeji sana munaupa wizara ya utalii aibu sana lazima kuwe na njia irekebiswa hata mgeni akija awe na furaha akitembea hamjui hata kubuni kutumia akili
@mussasalm77102 жыл бұрын
Co mchezo jnm kwek Mungu fund
@thomastairo20216 жыл бұрын
next time muende ziwa chala
@begaca6 жыл бұрын
ZIWA ILO NALIKUBALI KWELI ANEEEEEE
@justincharles65315 жыл бұрын
mkoa wa mbeya ni mkoa wenye vivutio vingi ispokua avitangazwi
@johnkimune83485 жыл бұрын
rip bro i miss your voice
@braxedafiroza24445 жыл бұрын
John kimune ni yupi hapo aliyefariki?
@BhaiMwadidu4 жыл бұрын
Salim ndo alikufa,,aliyetangaza mwanzon wakiwa wanaanza safari ya kwenda.
@lilianemily8565 жыл бұрын
Salim mhando 😢😢
@lyilyanmussa54334 жыл бұрын
Wajina Lilia n
@goodluckmgimba9035 жыл бұрын
Anaefaham garam za kuingilia lake ngos
@maryseriah1575 жыл бұрын
burdan sana nmefurah mno chibonge amepata tab mno
@kadogojoseph41996 жыл бұрын
mbona dogo sana hivi ili liitwe ziwa linatakiwa kuwa na ukubwa gani maana kuna mabwawa makubwa kama hilo ziwa.
@kenethmswakala96696 жыл бұрын
ziwa lapili kwa ukubwa linalotokana na vorkano
@e-siryahyer7886 жыл бұрын
Charles hirary..
@aishaomar43186 жыл бұрын
Hali ya usalama ikoje uko .mambo ya snek snek
@emmanuelmdavire64665 жыл бұрын
apo sasa
@ottoraphael23095 жыл бұрын
Misitu ya milimami sehemu za baridi hainaga snake
@kamgomoli36506 жыл бұрын
Kwa hiyo miti siyo viumbe hai? Acheni elimu ya kumeza na kukalili halafu kufauru mtihani. Ona unavyoaibika sasa!Hii ndo product ya elimu ya bongo ukimuuliza elimu yake utasikia ana Master au PHD.
@hhonest95536 жыл бұрын
Abby Adams mshkaji hajui kama mti unahema.Noma✌️
@benardseme74456 жыл бұрын
Nadhani wanahitaji pongezi kuliko kupondwa hivi, ni makosa ya kiubinadamu
@alphaxardmugabo78486 жыл бұрын
basi abby na ww ulivyokalilishwa kutofautisha vyitu ndo basi ukajikuta mwalimu wa kila kitu hicho ni kiswahili tu ila sio utaalamu wake bro
@halfahalfa97286 жыл бұрын
+Benard Seme Tatizo wabongo mnajifanya wajuaji sana wakati alichotuhabarisha huenda hukijui hapo awali 😕😕😕😕😕
@jumasaid60735 жыл бұрын
Wachaga hao,wamechaguana kiukabila kutoka wizara ya mali asili na utalii ,ukifuatilia utakuta juu ya hao viazi kuna kigogo wa kichaga ndio aliowaweka hapo,wachaga ni noma!!
@gemkachar6 жыл бұрын
Watafikaje watali ilhali njia ya kuenda kwa miguu mbovu staili hiyo.Ukipata jeraha huko chini unaachwa kuliwa na chatu au fisi. Msimu wa mvua hapapitiki hata kwa miguu. Tumieni nguvu kazi hapo mbeya muboreshe njia tuje kutembea.
@peterjairours71943 жыл бұрын
Huu ni mlima mkali Sana na unamawe makubwa sana
@goodtimeemmanuel92636 жыл бұрын
Kuonga vipi hapo
@muddjigal40966 жыл бұрын
kwa njia hiyo mtali hatafikia ziwa kweli???
@robin_MMM6 жыл бұрын
inategemea na aina ya watalii. mathalani watalii wanaofanya adventuring wao hupenda kutembelea maeneo kama hayo ambayo yana vikwazo kadhaa katika kuyafikia.