EXCLUSIVE: Mahojiano na Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi

  Рет қаралды 11,863

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi ni mmoja wa viongozi waliozungumza kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na baada ya hapo tulimtafuta na kuzungumza nae kwa kina baadhi ya mambo yanayohusu siasa, uongozi na usalama.
Tazama mahojiano haya maalum.

Пікірлер: 14
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 5 жыл бұрын
Huyu sasa anaongea kiswahili vizuri kuliko baadhi ya watanzania anafuata misingi yote ya kiswahili, lakini pia anajibu kwa upendo dah! Be blessed mr President
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 6 жыл бұрын
Yuko vizuri kabisa Kwa kuongea Kiswahili
@komboomar8275
@komboomar8275 6 жыл бұрын
Filipe Jacinto Nyusi raisi wangu huyo
@epainetholima9490
@epainetholima9490 6 жыл бұрын
Dah umeongea kiswahili kwa ufasaha hongera mh rais
@peterm9404
@peterm9404 6 жыл бұрын
Jamaa anaongea kiswahili kizuri sana
@davierobert5563
@davierobert5563 6 жыл бұрын
Yuko vizuri aisee
@nangayamohamed9087
@nangayamohamed9087 6 жыл бұрын
Kasoma primary tunduru huyo kaishi sana tunduru
@ramadhanabas4455
@ramadhanabas4455 6 жыл бұрын
Ni lazima aongee kiswahili kwa sababu ameishi Tanzania. Shule ya msingi amesoma wilayani Tunduru.
@nelsonsimtowe4268
@nelsonsimtowe4268 5 жыл бұрын
Waaandishi wahabari nchini makanjanjaa sana loooh ulizaswali lakufulumushwaa watanzania msumbiji unachekacheka kisa kiswahili dada umechemkaa sana maswali ya kitoto poleni azam mko ovyoo wenzenu wanazalilika maswa ya mepesi loooh
@nelsonsimtowe4268
@nelsonsimtowe4268 5 жыл бұрын
Ni azam tv ama bora ata online tv za vijana angekua millard ayo kikeke salum asingekosea mkooo ovyooo
@mrkasebelekasebele2129
@mrkasebelekasebele2129 6 жыл бұрын
Huyu jamaa anatoka mpakani kabisaa mwa Tanzania na Msubiji ndio maana anaongea kiswahili fasaha, yaani jirani mnooo.
@ramadhanabas4455
@ramadhanabas4455 6 жыл бұрын
shule ya msingi kasoma Tanzania
@semanasitv8303
@semanasitv8303 5 жыл бұрын
jamaa anabusara
@jumamwita2317
@jumamwita2317 5 жыл бұрын
kuhusu watanzania kupigwa nchini kwake anasemaje kuhusu hilo sio kuongea kiswahili hapa.... anaonekana ana busara sanaa naomba atumie hiyo busara kwa watanzania wanaoteseka nchini kwake... na ww mwandishi unahoji mambo gani hayo wakati juzi tu watanzania wameuwa huko siungegusia? hivi mnasomaga wapi nyie ...
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 46 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 5 МЛН
Maandalizi ya Uchaguzi
2:36
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,7 М.
The Day Ronaldo Showed Messi, Neymar & Mbappé Who Is The Boss
19:19
MTOTO WA MIAKA KUMI NA MOJA AFANYA TUKIO LA AJABU ZANZIBAR
5:39
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 31 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 509 М.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН