Chifu wa Wahehe Adam Abdu Sapi Mkwawa amemkaribisha Rais Magufuli mkoani Iringa kwenye sherehe za Mei Mosi. Je, unajua ni kwanini yeye amechaguliwa ingawa ni mdogo kuliko ndugu zake wengine? Sababu hizi hapa.
Пікірлер: 48
@halimamasai22346 жыл бұрын
Nimefurahi sana kumuona chifu wa kihehe damu imenisismuka maashaallah
@kelvinkihongoso90946 жыл бұрын
kweli ana asili ya kiarabu
@shanynyalusi15076 жыл бұрын
Kumbe uchief unalisiwa ha ha ha chief ni handsome
@lilianluhasi3115 жыл бұрын
Wahehe wazuri pia wasomi
@stevenkapugi42092 жыл бұрын
Jamaa mrembo.kinoma
@binurusm88865 жыл бұрын
Degeliinge !! Hili jina Limenikumbusha mbali sana, asante.
@edwardedward25206 жыл бұрын
Niko jina Mkuu nimeshindwa kulokariri! Hongera kwa chief mdogo naipenda Tanzania!
@oyay28215 жыл бұрын
Chief afaa asome awe mzuri kwa kutoa hotuba
@charlesabere Жыл бұрын
I'd love to tour Iringa kwa heshima za Chief Mkwawa aliyewanyonga wajerumani 300 kule Lugalo ambapo hayo hauwezi yapata ndani ya vitabu vya history maana myahudi hataki ukweli huo ujulikane
@user-xk7vy4gb6g4 ай бұрын
Hayo majina aliyoyataja hata moja sijakalili
@ashaali71546 жыл бұрын
Vipi jamani huu uchifu na u mangi si ulishafutwa au ndio kuna sehemu na sehemu unakubalika.
@ftmat28056 жыл бұрын
Mashallah
@givasmwananzumi59416 жыл бұрын
vzr xn kijan n jamb l heshim kutunz tamaduni mungu awe awe
@gerradtarimo30776 жыл бұрын
Upuuzi tu huo, et chifu hakuna chifu anaefanania ivo chifu hajui hata lugha ya nyumbani! Upuuuziiiii.....!
@husseinhkitambi17016 жыл бұрын
Gerrad Tarimo nenda iringa ukaomgee upuuzi huo ndio utajua ni chifu au laa
@gerradtarimo30776 жыл бұрын
Hussein H Kitambi Mpuuzi tu huyo hamna chifu apo! Anaonekana hata kihehe hajui! Chifu wa Wahehe alafu yeye anaishi Dar au nje ya nchi pelekeni upumbavu huko na usanii wenu huo kuhadaa watu, chifu gani soft ivo ww!
@hildascorner23274 жыл бұрын
@@husseinhkitambi1701 hasira za nn wewe sasa? Punguza wivu basi..ni wivu tuu