VITASA | Tony Rashid vs Oscar Richard | Dar Boxing Derby 29/06/2024

  Рет қаралды 40,955

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Tazama raundi kumi za kazi kazi, Tony Rashid akimshinda Oscar Richard kwa pointi…
Lilikuwa ni pambano la nane katika mapambano ya utangulizi Usiku wa Vitasa Dar Boxing Derby uliofanyika Uwanja wa Posta, Kijitonyama Dar es Salaam.
Main Card ilikuwa ni Nassib Ramadhan vs Juma Choki.
#NyieHamuogopi #DarBoxingDerby #Vitasa

Пікірлер: 59
@EddyKatamba
@EddyKatamba 2 ай бұрын
Hata kama ila oska bado anajua ngumi
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 3 ай бұрын
Uoga ni sumu mbaya sana kwenye Sanaa yoyote ya mapigano.Na ndilo jambo lililomugharimu champion osca.Hakucheza ktk kiwango chake.Angeweza kuifanya hii Game iwe nzuri na Bora zaidi ya hapa.Kama hutoi mikono Raundi tatu nzima unajidai kusoma mchezo unatoa fursa ya mpinzani atawale huo mchezo na unamfanya ajiamini zaidi yako.Yote kwa yote bado umri unaruhusu hivyo mbeleni ataweza kujifunza zaidi
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 3 ай бұрын
Kaka, Oscar alizidiwa round ya kwanza kabisa. Aliingia ulingoni akiwa hajui ni kitu gani anaenda kufanya. Na hata hivyo Tony hakutaka kumaliza pambano mapema. Round ya pili lilikuwa limeisha.
@kaizerabilahi5958
@kaizerabilahi5958 3 ай бұрын
Fundi mitambo husiki sounds inachemsha Iyo🥺
@michaelfortune5294
@michaelfortune5294 2 ай бұрын
Tonny yupo kwenye mchezo mgeni, ngoja aumaste ndo utamuelewa
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 2 ай бұрын
Hao wajinga mwenziwao anakula kichapo wanamsherehekea 😂
@AmiryMangwacha
@AmiryMangwacha 2 ай бұрын
Hivi uyo ocka kwao hakuna maeneo ya kulima maana ngumi imemshinda boy
@allymwachipanga2486
@allymwachipanga2486 2 ай бұрын
kila nikiangalia hii naona tony kapata somo zuri sana
@paulmwangoka
@paulmwangoka 3 ай бұрын
tony ameucheza huumchezo Kwa kutumia akili nyingi nasio nguvu nyingi
@DennisFandi
@DennisFandi 3 ай бұрын
Oscar ana kipaji Cha ngumi ila anaongozwa na masela wanaomuaminisha ww noma umezaliwa unajua, wakati Tony anajua ngumi ila anaongozwa na watu wanaompa fursa ya kujifunza vitu tofauti kwenye sanaa ya ngumi. Huo ndio utofauti wao
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 3 ай бұрын
tonny baada ya kucheza na bongani amebuni kitu
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 3 ай бұрын
Oscar kapigwa sana sema ni sugu sana
@hassanshawa8614
@hassanshawa8614 3 ай бұрын
Awajui ngumi wakatafute kazi ya kufanya
@IsmailKamilagwa-pt7cw
@IsmailKamilagwa-pt7cw 3 ай бұрын
Nenda weee unaejua😁😁😁
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 2 ай бұрын
Tony hatar sana
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 2 ай бұрын
Hii copy ya bongani
@NasriSaid-x9t
@NasriSaid-x9t 3 ай бұрын
Wee. Unajua nenda kapigane
@abdulsintoro5797
@abdulsintoro5797 3 ай бұрын
Oscar bado sana kwa Tony
@AmiryMangwacha
@AmiryMangwacha 2 ай бұрын
Hawajui ngumi
@husseinshamte7129
@husseinshamte7129 3 ай бұрын
Kuna wahuni wanapiga kelele zisizo na sababu
@bladymc7922
@bladymc7922 3 ай бұрын
😂😂😂😂commentator...oohh downs goes oscar Richard....bongo na lugha za watuuuu hukuu.....😂😂😂
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 3 ай бұрын
Mtuletee commando madafu
@LilyKoba-wx2pj
@LilyKoba-wx2pj 3 ай бұрын
Ngumi zetu tunajilinda sanaaa adi tunapoteza ladha ya masumbwi
@issamelody5818
@issamelody5818 3 ай бұрын
Wana onekana wavivu ubunifu hamna
@emmanueluronu2386
@emmanueluronu2386 3 ай бұрын
Sasa mtu asijilindee
@GodfreyGodfreymwaka95
@GodfreyGodfreymwaka95 3 ай бұрын
Hakuna anaetaka kupigwa ndio mana kila mtu anajilinda anachukua tahadhari refalii mwenyewe anakwambia kila mtu ajilinde mwenyewe..!!
@abubakariali9848
@abubakariali9848 3 ай бұрын
Unajua maumivu ya ngumi au unaropoka tuu 😢
@michaelfortune5294
@michaelfortune5294 2 ай бұрын
Hizi sio ngumi za zamani
@swahilifashion2206
@swahilifashion2206 3 ай бұрын
Mabondia wa kibongo wanachopambania ni kukimbia kimbia ulingoni ila hawatumii nafasi zao ulingoni. Mpinzani anaenda kwenye kona muda wote lakini mtu hajui kama hapo ndio pakuokotea point na kumaliza pambano
@scopy0428
@scopy0428 3 ай бұрын
Oscar Richard amefanyiwa uhuni uyo ton rashid sio uzito wake kabisaah huo ndio ukwel
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 ай бұрын
Madafu ni promotion tu😊😊😊
@gavethhans5242
@gavethhans5242 3 ай бұрын
Mbona wqcahambuzi wa pamabano kama wanamsifia tony wakata anapokea vitasa
@Fredmbawala-hq3pd
@Fredmbawala-hq3pd 3 ай бұрын
Tonny Nipigie huyu Oscar coz anaongea Sana 😂😂😂😁😂
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 ай бұрын
TONY RASHD ANA FOOTWORK NZURI SANA ANA SPEED ANA JAB ILA TU HANA NGUMI NZITO
@jseventz
@jseventz 3 ай бұрын
oscar anajua huyu tony anapiga makasia
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb 3 ай бұрын
Oscar hii mechi hakucheza Kwa kiwango chake aki
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb 3 ай бұрын
Mm kama shabiki WA Oscar hii mechi irudiwe
@kafirsantana8631
@kafirsantana8631 3 ай бұрын
Toni kampeleka mtu shule
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 3 ай бұрын
Ushindi umepangwa
@gavethhans5242
@gavethhans5242 3 ай бұрын
Oscar ni king of boxer in town
@NasriSaid-x9t
@NasriSaid-x9t 3 ай бұрын
Wee. Unajua nenda kapigane
@MOHAMEDYUSUPH-oq1th
@MOHAMEDYUSUPH-oq1th 3 ай бұрын
Amna ngumi tafuten Cha kufanya
@samirnasri6991
@samirnasri6991 3 ай бұрын
Mbezi stand up
@gavethhans5242
@gavethhans5242 3 ай бұрын
Oscar the king
@VALENSMYOVELA
@VALENSMYOVELA 3 ай бұрын
Hizo ndio zenyewe
@alphoncembassa6401
@alphoncembassa6401 3 ай бұрын
After mundu asigale mundu
@MaendeleoMohammed
@MaendeleoMohammed 3 ай бұрын
😂😂😂😂hapa hamna ngumi
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 3 ай бұрын
CHAMPION
@gavethhans5242
@gavethhans5242 3 ай бұрын
Sio kweli
@TADEUSTEMBA
@TADEUSTEMBA 3 ай бұрын
Wanaruka ruka sana
@SalumkifuLukwe-wk7sp
@SalumkifuLukwe-wk7sp 3 ай бұрын
Wamepigana
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 3 ай бұрын
Tony is back
@RebecabyellaRebecabyella
@RebecabyellaRebecabyella 3 ай бұрын
Mawiii
@ErinestBoniface
@ErinestBoniface 3 ай бұрын
Kabebwa tony
@RahimuAbasi-q6e
@RahimuAbasi-q6e 3 ай бұрын
Aujui wewe michezi ya ngumi
@IsmailKamilagwa-pt7cw
@IsmailKamilagwa-pt7cw 3 ай бұрын
Mmmmhh😇😇😇
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 25 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,8 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 23 МЛН
VITASA | Twaha Kiduku alivyomtwanga Dullah Mbabe - 20/08/2021
23:03
VITASA | Ibrahim Class vs Xiao Tau Su | #UlingoWaMoto 28/10/2023
39:01
KALELE VS SUPER EWING
10:56
LÉOPARD ♌ TV
Рет қаралды 47 М.
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 25 МЛН