VITASA | Ibrahim Class vs Xiao Tau Su |

  Рет қаралды 197,594

UTV Tanzania

UTV Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 240
@johnsonmalle1197
@johnsonmalle1197 Жыл бұрын
Mchina yuko vizuri sana, sema anasubiri sana. Huto mtangazaji anasifia tu Ibra
@masikaisaiah9183
@masikaisaiah9183 Жыл бұрын
From +254 🇰🇪, Ibrahim class kashinda kihalali
@WillyMwampashi
@WillyMwampashi 2 ай бұрын
ibra big skills
@CynthiaWillium-cy5eh
@CynthiaWillium-cy5eh Жыл бұрын
Chuma Cha kazi Ibrah Classic ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥👊
@andrew0502
@andrew0502 Жыл бұрын
Xiao Tau ni bondia kweli kweli,
@Rajabuselemani-zz2og
@Rajabuselemani-zz2og Жыл бұрын
Nakubali sana bratha umetishaaa
@AGREYMWANKENJA-ye5sb
@AGREYMWANKENJA-ye5sb Жыл бұрын
Umepambana sana Ibra classic hongera sana
@StephenMundi-hv1lv
@StephenMundi-hv1lv Жыл бұрын
Ibra pambano lake alichoshi kuangalia👏👏👏
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 Жыл бұрын
Ibra ana viwango vya hali ya juu
@olikipolavuna7977
@olikipolavuna7977 Жыл бұрын
Ibrahim class is a promising boxer with very good boxing skills
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Ibrahim ameshinda kihalali juu mchina alikua anarushia gumi moja moja tena siraundi zote Ibrahim randizote alikua ana chapa mtu 🎉🎉❤
@MlongaMawe
@MlongaMawe Жыл бұрын
Anaesema ibra kapigwa ni msenge we mbn unapigwa na maisha na atusem pamban na maisha yak kam kufuatilia ngumi zimekushinda
@victorcephas3618
@victorcephas3618 Жыл бұрын
Clear wining Ibrah kapiga mtu shida ya watu ni sababu kaenda kunolewa na Hamis Mwakinyo
@jamessanga2176
@jamessanga2176 Жыл бұрын
Umetisha home boy
@abdymmanga6338
@abdymmanga6338 Жыл бұрын
Safi sana Ibra Class umepambana mpka dakika ya mwisho 🔥
@aishasilaji2266
@aishasilaji2266 Жыл бұрын
Daaaah classic classic kwel🎉 pongez Kwa ibra ana pgana Kwa hesabu akurupuk unaachaje kuitwa mjeda
@BeckaBaraqat
@BeckaBaraqat Жыл бұрын
Kazi nzuri sana Ibra
@munyagile
@munyagile Жыл бұрын
Mim naona hili pambano ilitakiwe iwe sare, sijaona aliyepigwa😁, mchina kipigwa kwa points ila naye amescore pia, ila sema mcheza kwao hutunzwa
@PaulMchopa
@PaulMchopa Жыл бұрын
😢Ibra umepiga, nyingi sana yaani watu wanadhani ushindi ni knock out,,, we peleka moto ,, kusanya point maisha yaendelee ,Boxing siyo ugomvi ni mchezo bana we vp,,ibu kashinda🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Me sikubali😮😮
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Жыл бұрын
Safi kabisa Paul...👌👌💪..wengi hawaangalii points za jabs wanadhani ushindi huwa ni KO Na kama Ibra asingekuwa anakimbia mtego wa kupunguzwa ulingo na mchina basi angepoteza pambano mapema tena kwa KO
@messaabbas739
@messaabbas739 Жыл бұрын
Imagine kuna comment ety ibrah kabebwa,, guys,,unachekesha sana watanzania wallah,,,,, congratulations ibrah,, your always amazing boy
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we Жыл бұрын
Maboya debasement
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we Жыл бұрын
Hajabebwa
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we Жыл бұрын
Mchinakapigwa halali
@barakayesaya5000
@barakayesaya5000 Жыл бұрын
Ibra hajabebwa. Ila wabongo pia hatujuagi kukubali uwezo wa mpinzani. Kama watangazaji jambo akilifanya mgeni wanasema haijamsumbua sana ibra, ila akifanya ibra hata kama sio ngumi ya point utasikia huyu jamaa atatoa tu gadi mwenyewe. This is boxing, wanaume wanatumia nguvu na uwezo wao. Ndomana kwenye football wanatukanyagakanyaga maana wanajua maneno yetu tukiwashinda.
@karlmarxkisofero1209
@karlmarxkisofero1209 Жыл бұрын
Ili kujenga inatakiwa tuwe wakweli,Ibrah alipigwa huo ndo ukweli
@ErastoEnock-f8u
@ErastoEnock-f8u Жыл бұрын
Ibrah ni bondia mwenye akili ya ngumi,anatumia akili sana....safi sana mnyalukolo,endelea kuwa gonga tu....
@geneus7vingunguti172
@geneus7vingunguti172 Жыл бұрын
kweli Wasenge ni wengi sana wamecomment, sasa mbona mchina wenu kapigwa wazi kabisa tena kwenye raundi nyingi kasoro ya 6 , ila huyu ni mpinzani mgumu...Tuache ujinga ujinga kama hamja angalia pamano embu rudieni tena.....ACHENI UTIMU MWAKINYO....IBRA KASHINDA VIZURI TUU.
@PreygodMariki-pm1ym
@PreygodMariki-pm1ym Жыл бұрын
😮ibra kabebwa msenge tuuu
@muddylikwena128
@muddylikwena128 Жыл бұрын
Dah huyu mtangazaji mpaka anaboa aisee.anasifia sana
@wokovumwazembe3505
@wokovumwazembe3505 Жыл бұрын
🎉ngumi hiyo
@isayajonh7363
@isayajonh7363 Жыл бұрын
Mwanangu nyumbani ilinga.
@FatumaMwaluhanga-ui3kl
@FatumaMwaluhanga-ui3kl 3 ай бұрын
Ibra akili nyingi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@swaifsouq
@swaifsouq Жыл бұрын
ibrah hongera jama nangumi mbaya sanaaaaaa
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Жыл бұрын
Nilianza kwa kusoma comments kwanza nione mnaosema Ibraa kapigwa ikoje. Mnaosema hvo sitaki kuwatukana leo jumapili ila hamjui ngumi. Usifikiri kila punch ina point zingine mazoezi tu ya ku punch of which hua zinawezaga zaa madhara mfano kupiga tumbo na mbavu mtu akikaa chini ni knock down. Pia muangalieni Mayweather match zake km hii Ibraa kabebwa basi Mayweather hajawahi shinda pambano lolote ukitoa Knock out.
@allybakari28
@allybakari28 Жыл бұрын
Nadhani wewe ndio huelewi zaidi. Watu wanazungumzia KO 2 na refakushindwa kumuhesabia 1. Kama aliteleza mwenyewe pasipokuwa na maji wala kitu kilichomtelezesha refa anastop vipi pambano? Mbaya zaidi marudio yanaonyesha dhahiri Ibra amekula ngumi na kudondoka 2. KO ya 2, marudio yanaonyesha Ibra amepigwa ngumi live, hakuna kugongwa kichwa wala nii. Au wewe uliona kama alipigwa kichwa. Bila aibu refa wenu anapeta. To be Honest upendeleo wenu wa kijinga jinga ndio mana mabondia wetu hawafiki mbali> Na huyu Upendo Njau ni TAKA TAKA KABISA
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Жыл бұрын
@@allybakari28 Tufanye hv ili uridhike, mie sielewi ngumi, asante🙏
@AbdusidMohammed-hi5ib
@AbdusidMohammed-hi5ib Жыл бұрын
Ibrah amepigwa mcheza kwao utunzwa
@dahlainismail6837
@dahlainismail6837 Жыл бұрын
Tanzania kuingia mbinguni sijui
@MusaYunusu
@MusaYunusu Жыл бұрын
Ibra kabebwa yeye mwenyewe pia anajua
@SaidAlnaamani-z1o
@SaidAlnaamani-z1o Жыл бұрын
Huyo mtangazaji yeye nikumsifu Ibrahim.
@AyubuJudith
@AyubuJudith Жыл бұрын
Ibrahim anauwezo na akili kubwa sana japo pambano lilikuwa kali sana ,,one❤❤❤❤
@MadolaDallas
@MadolaDallas Жыл бұрын
Babu kubwa classic saluti
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju Жыл бұрын
Mmmmh hii game kwa kweli ilikua ngumu iringa oyeeeee! Tunawakilisha nchi
@godfreynoel7802
@godfreynoel7802 Жыл бұрын
Ibrahimu kapigwa kwa wa amuzi hawa game la ngumi ngumu kufika tunapo hitaji kufika.
@yussufmohammed9299
@yussufmohammed9299 Жыл бұрын
Refa mnamuonea kwn yey cye mweny kupnga Pwenti
@katambihamisi4130
@katambihamisi4130 Жыл бұрын
Ibra yuko vizuri lakini leo kapotea pia alitakiwa kuhesabiwa Ile punch ilifika akiwa out of stance Sema miundo mbinu
@SaidiBwax-em9gz
@SaidiBwax-em9gz Жыл бұрын
Tumepigwa
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Kwel tumepigwa lkn bx tu
@alphoncemakigo7343
@alphoncemakigo7343 Жыл бұрын
Mimi sikuangalia ngumi. LAKINI mbona nimeona hapa ibra kapiga ngumi nyingi tu?
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Upo Kam Mimi bx tujuane
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 Жыл бұрын
IBRA wewe master
@adamabdallah6471
@adamabdallah6471 Жыл бұрын
Pendo anapotea saiz nilimpenda mwanzoni hila saiz amekuwa akiwabeba mabondia wetu sana chezesha game kwa haki
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Umeona eee
@abdallhabinmkasibayyat6657
@abdallhabinmkasibayyat6657 Жыл бұрын
Huyu ndio bondia anaye sifiwa kuwa ndio classic
@abdukhan4718
@abdukhan4718 Жыл бұрын
Huyu mchina kakatwa point bure maana ngumu anazorusha Ibra akiinama ndio zianampata na sio anakusudia kupiga kisogoni....
@GeraldAgustino-fz5mn
@GeraldAgustino-fz5mn Жыл бұрын
Nakubali
@alphoncemakigo7343
@alphoncemakigo7343 Жыл бұрын
Round ya 8 mmeiona?
@Africa822
@Africa822 Жыл бұрын
Hapa naweza kusema ili pambano ibrahim him kapoteza nje ya pazia kwa utawa wa elimu yangu ndani ya box
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Жыл бұрын
Kwa elimu yako tupe vigezo na usitulishe matango pori😂😂😂
@mlokaferdinand
@mlokaferdinand Жыл бұрын
Wote mnaosema ibra kapigwa ni either mna wivu au hamjui ngumu..kwa maoni yangu,ibra ameshinda kihalali kabisa,ila ikipimwa kiwango Cha maumivu yawezekana ibra kaumia zaid
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Saw kaumia ila droo
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Жыл бұрын
Sio droo.. Ibra kashinda na kama unavyosema maumivu ya mwili kwa Ibra yatakuwa makubwa kwa sababu mchina ngumi zake alikuwa anatumia nguvu.. yaaani upiganaji wa mchina unafuata mtindo wa Mike Tyson kukinga uso wote na mwili kisha ana tafuta muda mwafaka wa kupiga na akipiga ni heavy punches
@geoffreynghumba1029
@geoffreynghumba1029 Жыл бұрын
Mara hii Pendo kazidisha mapendo na uzalendo kwa Classic. Ametumia muda mwingi kumtoa mchezoni Xiao kwa maonyo yasiyo na ulazima.
@IzihakaFihirini
@IzihakaFihirini Жыл бұрын
Leo amepigwa ibra
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Kwan haend kule china
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 Жыл бұрын
Champion
@SajidRafiq-v2l
@SajidRafiq-v2l Жыл бұрын
good game
@RichardAmosnkonje-pq9oh
@RichardAmosnkonje-pq9oh Жыл бұрын
Jamani mchhina kaonewa iritakiwa iwe droo wote wamefanya vizuri
@DrvSungura
@DrvSungura Жыл бұрын
Clasc Team
@HamiduKifaru
@HamiduKifaru Жыл бұрын
Ibrahim ni bondia mzuri sana . Than anatumia akili nyingi sana kwenye anapikua ulingon. Big up sana class💪💪
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 Жыл бұрын
Huyo refa matako Sana, ndiyo maana Dula mbabe hamtaki kabisa kwenye mapambano yake,
@daudysanga8492
@daudysanga8492 Жыл бұрын
Mwakinyo ndio baba yao
@MusaYunusu
@MusaYunusu Жыл бұрын
Upigaji wake kama tinampay
@yusuphmtuga4951
@yusuphmtuga4951 Жыл бұрын
mcheza kwao hutunzwa fight ilikua nzur ila refa ulileta upendeleo
@Akili6heri
@Akili6heri Жыл бұрын
Ibrahim Classic umepigwaaaa.. Sema majaji wamekupendelea.
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Umeona eeh❤
@hancysadaty4799
@hancysadaty4799 Жыл бұрын
Ngumi kari mnasema kichwa daahhh Bongo kila kitu bado
@PreygodMariki-pm1ym
@PreygodMariki-pm1ym Жыл бұрын
Kwanza huyo refa wa kichaga akatishe mbege na dadii rombo kilimanjaro,anawabeba mabondia wa kibongo mnooo,ibra kafuliwa vizuri tuuuuu
@allybakari28
@allybakari28 Жыл бұрын
Ndio sababu hatuendi kupigana nje, tumekuwa watu wa ndani tu
@Smartofficial96
@Smartofficial96 Жыл бұрын
Ibra hamna kazi hapo 😂😂😂😂😂😂
@OmarMohamed-bp9ix
@OmarMohamed-bp9ix Жыл бұрын
refa hamna kitu,kuna kubebwa
@MsafiriErnest-gy6zv
@MsafiriErnest-gy6zv Жыл бұрын
Uhakika bro
@SuleymaniBashiru-rq5hb
@SuleymaniBashiru-rq5hb Жыл бұрын
Ibrahim kapigwaaaaaah bongo acheni usenge marefa
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Namba namba yako nikuchangie MB
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Жыл бұрын
Suleee...😂😂😂msenge wa kwanza utakuwa wewe bhanaaa...😅😅😅😅
@KrWasozy
@KrWasozy Жыл бұрын
Ibrahim bondia tena hana maalifa xana
@inno4953
@inno4953 Жыл бұрын
Mchina won that match period.
@nyasijoseph-bt7xw
@nyasijoseph-bt7xw Жыл бұрын
Isitoshe mchina wa watu aelewi don't do that... Ndo maana analudia kupiga ngumi za kisogo😂😂
@LineBusinessCoLTD
@LineBusinessCoLTD Жыл бұрын
Hahahaa
@peterngallya4022
@peterngallya4022 Жыл бұрын
Wamepiga vijana maana hakuna kukumbatiana 10 rounds zote
@mbenambenanga8889
@mbenambenanga8889 Жыл бұрын
Wengi wetu sisi ni mashabiki tyu,,, ndio maana tunaamsema Ibra kabebwa ,, tunakosea mpongezeni class,, ametumia maarifa makubwa mno,, kwa uwo moto wa uyo mchina ,xio pwh ingekua mabondia wenu vilaza tungepigwa , k, o mapema
@mohamediabdirashidi1099
@mohamediabdirashidi1099 Жыл бұрын
Point sana jamaa ni fundi wa kutumia akili sanaaa
@yollah
@yollah Жыл бұрын
Mimi ibra simpendi style yake ya kukimbia kukimbia anazingua sana
@jumajingi8172
@jumajingi8172 Жыл бұрын
ushawah kupigana?
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Жыл бұрын
​@@jumajingi8172😂😂😂😂😂...bora kaka umemuuliza swali la msingi..
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Жыл бұрын
Hovyo kabisaaaa😂😂😂😂 Ulitaka asimame sehemu moja??wala asingemaliza raundi 3 tena kwa jinsi mchina alivyo na ngumi mawe😂😂 Na kuhama kwa kukimbia ni moja ya upiganaji.. unadhani.Mohamed Alli alikuwa akitumia mtindo gani uliompa umaarufu??
@chochastar7781
@chochastar7781 Жыл бұрын
Ndio mbinu
@twahaanyoni9120
@twahaanyoni9120 Жыл бұрын
Ww unajua ngumi kweli huyo mchina mjanja kuna sababu ya kuwa unakimbia sio kukaa sehemu moja
@allyabdallah4641
@allyabdallah4641 11 ай бұрын
Mue unachezesha game kwahalali mtu anapigwa kateleza mtu apingwa vichwa vimefongana chezesheni kwahalali mabondia wetu wapate kujidunza kutoka kwawageni
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Жыл бұрын
Pendo Njau ni refa mzr sn lkn angalia uzalendo usikuharibie
@zahiruhamisi4162
@zahiruhamisi4162 Жыл бұрын
Kapendelea sn🤮
@fatinamsuya1305
@fatinamsuya1305 Жыл бұрын
Ndio Mana dulla mbabe kamkataa
@selengelimbiton
@selengelimbiton 3 ай бұрын
nakubali kak
@PreygodMariki-pm1ym
@PreygodMariki-pm1ym Жыл бұрын
Mchina anajiweza ndio maana hakubabaika,ibra kazoea kubebwa kama nguo za kichina zinazotundikwa madukani kariakoo vunja bei
@chochastar7781
@chochastar7781 Жыл бұрын
Shida wengi mnaongalia ngumi Amjui wengine wanadhani anavyokimbia ndio anaepigwa Ukweli ni kwamba ibra amekusanya point nying sana japo mchina nae alivyoambia score zako umepitwa akawa anatafuta jins ya kuzisawazisha
@allybakari28
@allybakari28 Жыл бұрын
Kuna kitu ambocho hujakielewa, watu wanazungumzia kupigwa KO. Refa kazingua, ni KO za wazi kabisaaa Upendo leo huu wa kijinga ndio mana hatufiki mbali, tunakuwa wa humu humu ndani tu
@meddyplutonium374
@meddyplutonium374 Жыл бұрын
Bila kufumba macho ibra amekalishwa hili pambano
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Pendo njau anapenderea sana
@MorganMwaimu-vw3dn
@MorganMwaimu-vw3dn Жыл бұрын
Kiukweli ngumi zimepigwa hawaja shikana ibea bondia mzuri ila mchini amekatwa point zisizo na sababu ibra amepigwa ngumi anasema amegongwa kichwa sio kweli wote tumeona ila ibra ameshinda kweli kwa point na mchina nibondia mzuri sana lkn pendo njau achezeshe ngumi anapendelea sana mpka aibu naona mmi
@jaybee3429
@jaybee3429 Жыл бұрын
huyu IBRA CLASSIC ni bonge ka bondia always ana2mia jebu kumchakaza bondia lakini pia anamtengenezea angle mpinzan wake kwaiyo anapiga kila pande ..alaf anatembea ulingoni sio bondia kobe...kwa anaeijua ngum classic kashinda....
@AbuuFawzaani-zn6hh
@AbuuFawzaani-zn6hh Жыл бұрын
Ibra kashinda hili pambano tukiacha ushabiki
@abasmwika3432
@abasmwika3432 Жыл бұрын
Kashinda kihalali kabisa kapiga points nyingi sana toka raundi ya kwanza. Watoto hawajui ngumi humu. Mchina aliitaka k.o akawa anapiga ngumi kwa kuvizia ila ana ngumi nzito sana ikiikuingia vizuri lazima itakuathiri
@abelmwandenga3919
@abelmwandenga3919 Жыл бұрын
Lakin wamuzi wa bongo ni wa mchongo sana hii ni drow Kazi kuwabeba
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Tusiwe wajinga...waamuzi hawakuwa WA TZ alone...pia ibra kascore Sana...ni ushindi wawaz kabisa machina kascore round 2 tu 3 na 4
@leskarmeikok8956
@leskarmeikok8956 Жыл бұрын
Mchina ameshambuliwa sana ila ana ngozi ngumu avimbi.
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Jamaa nakupenda bure 😍 Coca-Cola baridi kwako hata wwevumeona
@abdulhalimali9229
@abdulhalimali9229 Жыл бұрын
ibra mzuri ila utanzania umewazidi ndugu zanguu
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 Жыл бұрын
Nimeiangalia hii game leo nimra ya tatu na nacoment kwamba ibra alishinda kahalali ,, na anaesema ibra hajui ngumi yeye ndi hajui kwasababu ibra nikati yamabondia wanaokutana namabondia wagumu kama huyu jamaa
@KatibaalmasiallyKatibaalmasial
@KatibaalmasiallyKatibaalmasial Жыл бұрын
VAR inaitajika kabondwa uyo
@CloudiAdauti
@CloudiAdauti Жыл бұрын
Ety viongozi kwann ibra awekewi mkanda
@ip_header
@ip_header Жыл бұрын
Kumbe mpaka kwenye Ngumi Majaji wanapiga Chabo, yaan wote watoe Alama zinazofanana, mmmh kweli mcheza kwao hutuzwa😂
@DaudHasani
@DaudHasani Жыл бұрын
Upendeleo mwiiiingi
@MuniruBakari97
@MuniruBakari97 Жыл бұрын
Ibra amebebwa stumai kabebwa yaan lkn ngoja ninyamaze
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Yaan naumia sana
@khalifatito6145
@khalifatito6145 Жыл бұрын
Ibrahim class uwezo mkubwa saana hii ni zawadi kwa watanzania
@abdulhalimali9229
@abdulhalimali9229 Жыл бұрын
zime zidii😊
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 Жыл бұрын
Bado naona tatizo letu kubwa boxers za Tanzania ni kule kurusha ngumi nyiing kama man paccio bila mkakati wa kimchezo, h=na hii uwa inatuchosha na kufaya tushindwe mbele ya wenyewetu... tujitahidi kuemishana kutumia sana hakili kulinguvu na kurusha makonde mengi bila mpango
@abdulhalimali9229
@abdulhalimali9229 Жыл бұрын
😢
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Amebebwa kampiga wapi kisogoni
@MusaYunusu
@MusaYunusu Жыл бұрын
Kiukweli ibra kabebwa kapigwa panch mpka kaanguka mwasema katereza macho yenu yana makengeza kakutana na chuma
@zahiruhamisi4162
@zahiruhamisi4162 Жыл бұрын
Kwel kabsa
@MusaYunusu
@MusaYunusu Жыл бұрын
Ukweli ndio huo
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Daah me niliumia san kubebwa
@eneswaggy1835
@eneswaggy1835 Жыл бұрын
Amjui ngumi , nyie mashabiki wa yanga simba,,
@mathewandililemwandenuka4692
@mathewandililemwandenuka4692 Жыл бұрын
Nenda na wewe kapiganeeee nduguuu😅😅😅
@venturejackson6357
@venturejackson6357 Жыл бұрын
Yaan huyu refa anastaili kufungiwa hii ni aibu kwa taifa anambemba mtu adi aibu yaan jamaa anapokuwa kwenye motion anacmamixha pambano,hata dulla ameshawahi kumpinga sana hyu refa hili pambano bora angeamua liwe hata sare, at least
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Me nataka Sana afungwe chap kwa haraka sana
@chochastar7781
@chochastar7781 Жыл бұрын
Nyieeeee waongo
@joelnoel2016
@joelnoel2016 Жыл бұрын
Pambano lilipaswa kuwa sare hili
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Жыл бұрын
😂😂..si kweli hata kidogo..sare kwa mizania ipi??..simama na hoja Namba ya jabs kwa Ibra ni nyingi mno..zilizopenya na zilizopiga moja kwa moja.. tofauti na ngumi nzito na zenye nguvu za mchina zilikuwa chache..hata straight head punch za mchina zilikuwa chache japokuwa zote alipiga kwa uhakika na zilimpata Ibra
@ferdnandkarty4482
@ferdnandkarty4482 Жыл бұрын
Refa ndo shida uyo sio mara ya kwanza kubeba mabondia
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Anazinguw
@abdulhalimali9229
@abdulhalimali9229 Жыл бұрын
mchina apendwe na nani hapo
@hancysadaty4799
@hancysadaty4799 Жыл бұрын
Refa amna kitu
PAMBANO KAMILI: IBRAH CLASS  v  SIMON NGOMA
53:50
Azam TV
Рет қаралды 228 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
(English) Xiao Tao Su vs Junior Raka | WBO GLOBAL PRELUDE
29:45
VSP Promotions
Рет қаралды 17 М.
Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023
12:02
Wilder vs Fury 1 FULL FIGHT: PBC on Showtime - December 1, 2018
58:29
Premier Boxing Champions
Рет қаралды 31 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН