Simba SC 1-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 24/12/2024

  Рет қаралды 179,186

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 407
@BernardLuanga
@BernardLuanga 14 сағат бұрын
Mutaumwa sana ma aduwi ushindi ndo lazima💪💪from USA 🇺🇸 naburudika Ubaya Ubwela❤❤❤
@STARBORNHB
@STARBORNHB 14 сағат бұрын
KAMA UNAIPENDA SIMBA GONGA LIKE HAPA ❤❤
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 13 сағат бұрын
To be honest nawapongeza sana simba sc yaani kucheza mfululizo mechi 4 siyo mchezo..... Tarehe 15, 18, 21, 24, na bado inakuja nyingine tarehe 28.... Ila siyo fear watu wa bodi ya ligi.
@RugoBike
@RugoBike 12 сағат бұрын
Kwa hyo yanga hachez mfululizo au umedata
@LovenessSimon-r9j
@LovenessSimon-r9j 11 сағат бұрын
Yanga ndio nn maan sijawah kuiskia ​@@RugoBike
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga Сағат бұрын
@@RugoBike kwani wakati gamond alipokuwa akilalamikia ratiba Simba alikuwa hachezi au kwasababu timu zinapata matokeo? Ratiba ni ngumu kwa timu zote ndio maana tunailalamikia bodi ya ligi.
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 14 сағат бұрын
Ilikuwa penalty ya wazi hata mchezaji mwenyewe aliyesababisha hata hajabishana kakubali tu na pia kama simba sc inabebwa wew pakatwa
@Aman-lr7xx
@Aman-lr7xx 14 сағат бұрын
Umetisha wapakatwe😂😂😂
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 14 сағат бұрын
@Aman-lr7xx sindio maana kufungwa jkt anaumia mnywa togwa
@ErickKonki
@ErickKonki 14 сағат бұрын
​@@gabrielnybala2165Kaka wanaokasirika ni wale waliofunga goli la mkono juzi
@godfreymagoso5334
@godfreymagoso5334 14 сағат бұрын
Acha inyeshe,,,,,,, siku hazigandi ni siku zinahesabika ,,timu ndogo zinaumizwa sana so ili kujua uimara wa hizi timu ni pale wanapokutana wenyewe wawili
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 14 сағат бұрын
@@godfreymagoso5334 mechi zote 2 alizo poteza simba sc dhidi ya malofa ni marefa ndio wamewatafutia malofa ushindi ndio maana hadi Leo hii humwoni ramadhani kayoko uwanjani mwaka huu ni ubaya ubwela hata malofa watapigwa kidude na simba sc hamtaamini 🤣🤣🤣🤣
@mikatejunior1362
@mikatejunior1362 13 сағат бұрын
Goalkeeper is man of the match
@IsackVedasta
@IsackVedasta 10 сағат бұрын
UBAYA UBWELA ❤🦁🇹🇿🔥
@JanethDeus-z5i
@JanethDeus-z5i 8 сағат бұрын
Asante sana refa mungu akubariki
@isackmbade3181
@isackmbade3181 15 сағат бұрын
Wakwanza ubaya ubwela like zangu
@ScholasticaMakrita
@ScholasticaMakrita 12 сағат бұрын
Tubebwe tupakatwe lkn point 3 tumechukua
@Janethmateru
@Janethmateru 15 сағат бұрын
🎉🎉🎉simba nguvu moja
@JacksonMbites
@JacksonMbites 13 сағат бұрын
Yanga waliloga uwanja wa kmc kuzuia magoli ila Mungu ni nani hatimaye tumepata point tatu pamoja kuzuia kwingi...HONGERA chama langu chama la wana Hakika simba ni kiboko....❤❤❤❤
@BeatriceZakaria
@BeatriceZakaria 12 сағат бұрын
Ongeren wapambanaji wetu mmepambana mpaka tone la damu,Asante Mungu kwakupata point 3 muhimu
@barackmoses7003
@barackmoses7003 13 сағат бұрын
penalty ya halali kabisa
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 12 сағат бұрын
Me nachek t maan yanga wanapend sie tufungwe alaf mung anatsimamia😂❤❤
@roggerasili3089
@roggerasili3089 11 сағат бұрын
Malefa ndio wanatusimamia.
@rukaiyakondo5265
@rukaiyakondo5265 2 сағат бұрын
Yan yanga wameumia Sanaa had wanatia huruma, wanaloloma Tanzania nzim😂😂
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 2 сағат бұрын
@@roggerasili3089 kumbk t anything that happens according to god plan mzeee uy ref Kawa nan mech kibao dk zinamliz n hatushind n mung pekee
@ahmedsalehe9489
@ahmedsalehe9489 12 сағат бұрын
Nyuma mwiko pekee ndo wanasema sio penalty wakati JKT wamekubali kabisa
@SammySammy-h8g
@SammySammy-h8g 12 сағат бұрын
I love you simba
@AsiaBakari-b8d
@AsiaBakari-b8d 13 сағат бұрын
Yan tanzania ndio nchi pekee ambayo kwanzia kocha wa timu pinzani aliyecheza rafu refa na wachambuzi wote wanakubali ilikuwa penalty halali kabisa ila kuna mbuzi inasema sio penalty
@FelisterMbanno-lq6ku
@FelisterMbanno-lq6ku 13 сағат бұрын
@@AsiaBakari-b8d ndo hapo Sasa
@lydiaangeloeric6282
@lydiaangeloeric6282 13 сағат бұрын
Achana na hiyo mbuzi isikusmbue ililotaka halikuwa ss yamebaki makasiriko 😂😂
@FelisterMbanno-lq6ku
@FelisterMbanno-lq6ku 10 сағат бұрын
tutapambana tushinde bhn
@elizabethmanyama1343
@elizabethmanyama1343 10 сағат бұрын
Haombuz achana nao ss hatushuki pale wanapo patamani wanataka tu drop wakae wao tmekaza labda tuwapakate
@FelisterMbanno-lq6ku
@FelisterMbanno-lq6ku 10 сағат бұрын
@elizabethmanyama1343 hahahaahaha lazimaa tuwapakateee hawa wajingaa
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 14 сағат бұрын
Goli la mkono na la penalty ni tofauti kidogo
@jumaissa1209
@jumaissa1209 13 сағат бұрын
Futa iyo pernant
@electronicstechnician939
@electronicstechnician939 8 сағат бұрын
Huyu kipa wa jkt apewe maua yake
@JosephJackson-f1s
@JosephJackson-f1s 13 сағат бұрын
UBAYA UBWELA ila golkipa wa JKT kacheza vizuri leo
@ShairaniAdam-s3o
@ShairaniAdam-s3o 14 сағат бұрын
Ubaya ubaaaaya
@MaabadiJuma-c7p
@MaabadiJuma-c7p 12 сағат бұрын
Kwaiyoo hii penart imebebwa pia na iko wazi ila yanga munamambo
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 10 сағат бұрын
Penalty FC
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 10 сағат бұрын
@@ahmedalfan8075 hao ni bahasha fc
@mwajumaabdallah3254
@mwajumaabdallah3254 Сағат бұрын
Imewauma sana aisee mapovu yanawatoka km nini!!ubaya ubwela ❤️❤️.
@SalamaBakari-p2o
@SalamaBakari-p2o 12 сағат бұрын
Nyie fungeni ya mkono
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 12 сағат бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@ZulfaHalfan
@ZulfaHalfan 10 сағат бұрын
Nyie wafungeni hao hao,ila tambueni siku ikifika mtalaumiana tena!
@ThesonofgodOfficialBoss
@ThesonofgodOfficialBoss 11 сағат бұрын
Mwenye anasema simba tunabebwa naye abebe mimba vyura fc nyie 😂😂😂😂
@nollahmahame785
@nollahmahame785 9 сағат бұрын
😂
@Muhairy
@Muhairy 12 сағат бұрын
Sasa hawa makolo wao walicheza goli la mkono na tumenyamaza
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 12 сағат бұрын
Utopolo voo😂😂
@TeddyAugustino-g7r
@TeddyAugustino-g7r 10 сағат бұрын
Tena wanajizima data Gori la 3 la mkono😊😊😊
@Kingmasai149
@Kingmasai149 15 сағат бұрын
Nakupa sana bro kutoka Uganda 🇺🇬
@YussuphAbdallah
@YussuphAbdallah 14 сағат бұрын
Hiyo ndo simba ninayo I jua mm haishi mpaka isheeee😅😅😅😅😅😅😅
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 14 сағат бұрын
Bahasha fc
@barakamartine2452
@barakamartine2452 11 сағат бұрын
Man of the Match is "Joshua mutale"
@LeonardPetermakwela
@LeonardPetermakwela 12 сағат бұрын
Ajabu! Anafungwa JKT analalamika uto! Ohh, Nilikuwa nimesahau, Wanaitwaga MALALAMIKO FC😅
@mjasiriamalikwanzanjombe6708
@mjasiriamalikwanzanjombe6708 4 сағат бұрын
Simba kuanzia leo mnaitwa nibebe fc
@FatumaMawona
@FatumaMawona 3 сағат бұрын
Fala kweli ww nibebe fc niutoporo
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga Сағат бұрын
@@mjasiriamalikwanzanjombe6708 kayoko Yuko wapi?
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 14 сағат бұрын
👏👏👏👏👏👏👏 simba bingwa 🏆🦁💪💪🙏🙏
@DaudiMade
@DaudiMade 14 сағат бұрын
Nimeipenda hii comedy kama simba anabebwe wewe pakatwa
@AminaMkasi-w7l
@AminaMkasi-w7l 35 минут бұрын
😂😂😂😂
@StanslausZakaria
@StanslausZakaria 13 сағат бұрын
Mbeleko fc
@LinahSnggg
@LinahSnggg 9 сағат бұрын
inauma Sana kuzibeza tim ndogo refa mungu anakuona kadi zanjano nazo umezigawa kamanjugu kwa jkt
@RhodaMihayo
@RhodaMihayo 13 сағат бұрын
Kwan mwendo huu Simba bado hatuna timu tuwaache yanga waendelee kuwa juu
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 13 сағат бұрын
Labda juu ya kiuno cha mamaako sio juu ya Simba
@ChristianSiwale-iw7ex
@ChristianSiwale-iw7ex 12 сағат бұрын
​@@saidymbagalla6622😂😂😂😂 umejuwa kunichekesha wamezidi kima hao 😅😅
@mariamshibanda3358
@mariamshibanda3358 11 сағат бұрын
Ilikua ngum sana ongera sana wachezaji wetu 💪🦁
@hajially4527
@hajially4527 11 сағат бұрын
Hahahaa nimecheka walahi bora goli la baca kuliko penalty yauongo😂😂😂
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga 2 сағат бұрын
Makocha wa timu hizi wanakuwa na mbinu za kucheza na simba tu,wakikutana wenyewe kwa wenyewe wanakuwa kopo na mfuniko
@AlfaMwasofu
@AlfaMwasofu 14 сағат бұрын
Yanabebwa shirikisho na NBC
@gikadotv2148
@gikadotv2148 13 сағат бұрын
Mikono fc😂
@AleniWalesi
@AleniWalesi 13 сағат бұрын
Acheni maneno jaman huo ni ushindi wa halai kabisa nyie mmeosomea wapi hizo sheria refa Yuko sahihi
@jumaissa1209
@jumaissa1209 13 сағат бұрын
Sijawai ona
@DianaMrema-mu7lw
@DianaMrema-mu7lw 14 сағат бұрын
Simba inatisha, nyie viongozi wa simba msilale usingizi, mkilala tu mkajisahau, Adui kazi yake kupanda magugu usiku, nyie viongozi nawaambia ivi mnasoma uku izi coment ni kwa ajili yenu ili muone jinsi gani ya kuwalinda wachezaji wetu, ni kwa maombi, maana leo si kwa kukosa magoli ivi hapana. This is too much
@Mr.P382
@Mr.P382 13 сағат бұрын
Simba mbovu
@jacksonchilongani4478
@jacksonchilongani4478 12 сағат бұрын
Yanga je mbovu mara mbili ​@@Mr.P382
@isaackayayoo5410
@isaackayayoo5410 13 сағат бұрын
Mmm, au mie ndio sioni , sijaona kama kulikuwa na namba yoyote ya mpira ule kuwafiki kapombe na huyo beki sijui imetumika sheria namba ngapi
@DicksonWanzagi
@DicksonWanzagi 13 сағат бұрын
Kasome sheria namba 12 ya mpira wa miguu
@JacobGeorge-eg2ww
@JacobGeorge-eg2ww 13 сағат бұрын
Uelekeo wa mchezaji ulikokuwa unaelekea mpira
@FelisterMbanno-lq6ku
@FelisterMbanno-lq6ku 13 сағат бұрын
@@isaackayayoo5410 shida umezoea magoli ya mkono ndo tatizo linapoanzia
@careemdulla1629
@careemdulla1629 13 сағат бұрын
Ni maajabu haya penati gani hiyo
@AndrewAristaricko
@AndrewAristaricko 13 сағат бұрын
Ubayaaa ubwelaaa ❤❤
@FettyAbuu-k3d
@FettyAbuu-k3d 11 сағат бұрын
Yanga washaweka uchawi wao hapo kmc lazimaaaa😢😢😢😢
@KaungaDory
@KaungaDory 9 сағат бұрын
😂
@OmarMwalimu-h7j
@OmarMwalimu-h7j 14 сағат бұрын
Ubaya ubwela, na Kila mechi ni fainali
@ZawadiShabani-s2m
@ZawadiShabani-s2m 3 сағат бұрын
Hayo ni maneno yenu tena mtasema sana bado hamjasema kazi yenu midomo ila kazi inaendelea kwani likishapitishwa midomo ya bure tu hamna uamuzi wowote mtaisia midomo tu
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 12 сағат бұрын
Kwann kocha anamtoa mpanzu anamwingiza mutale
@miladayu
@miladayu 8 сағат бұрын
Inakuwaje refa hana hesabu ya kadi ngapi za njano ametoa Hadi anamoa mtu kadi ya pili na hajui inabidi aambiwe na linesman. Huyu refa sijamkubali kiukweli. Na hio penalty sijaona angle ya camera haiko vizuri kutathmini uhalali wa penalty. All in all Goal Keeper wa JKT apewe mauwa yake hakikat amefanya save nyingi za muhimu. Bila yeye ubai ungesoma zaidi ya bao 5
@linuslusian-d5w
@linuslusian-d5w 10 сағат бұрын
ligi hii watakufa marefa kwa kupigwa
@NasrahswaleheNasrah
@NasrahswaleheNasrah 3 сағат бұрын
Mmh gooooooolii. Baada ya kupigwa kwata zakutosha dk zote cona ooofisaidi mkaona hata penalt hatukosi niliisubuir maana ndozenu sikuiz hamfungi mpaka sababu aya hongeera penalt fc bora maladona😅😅😅 malefa wa Tz 🇹🇿 warudi darasani🙏😢😂😂😂
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga 2 сағат бұрын
Bado haujathema tehetehe
@mr_rai-zw2qi
@mr_rai-zw2qi Сағат бұрын
ujuyi mpira wewe
@tanzanite_info_dragon.9769
@tanzanite_info_dragon.9769 10 сағат бұрын
😂😂😂 Bora goli la bacca
@AnnoyedBreakfast-zn2bo
@AnnoyedBreakfast-zn2bo 10 сағат бұрын
Kolo penalty gani hapo Sema mpira wa bongo daaaah 😅😅😅
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm 10 сағат бұрын
Mchuchuu umeumiaaa 😂😂
@Suleimansellejr
@Suleimansellejr 10 сағат бұрын
Penalty Safi
@KhalfaniFarisy-c3w
@KhalfaniFarisy-c3w 10 сағат бұрын
Mnachoumia nn?
@AthumaniMohamed-t4g
@AthumaniMohamed-t4g Сағат бұрын
Mchezo ulikua mzuli sana lipa jk t apewe hongera
@mzeke-r9h
@mzeke-r9h 5 сағат бұрын
Huu mchezo na ule wa shirikisho na waarabu unanafana bosi wetu asipate tabu kusajili wachezaji asajili marefa ...
@kizamankaro
@kizamankaro 3 сағат бұрын
boss aku sajili wewe utakuja upigwe
@ashraph-ye6fd
@ashraph-ye6fd 15 сағат бұрын
Funga kitambaa usoni kama unaona aibu
@safari20091
@safari20091 43 минут бұрын
Magoli yote 12 ni ya Penalt. Waamuzi waache kutuharibia Mpira . Hii ya JKT haikustahili kuwa penalt.
@Bongovillagex
@Bongovillagex 31 минут бұрын
Toka yanga waloge uwanja Wetu matokeo yamebadirika
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n 10 сағат бұрын
Youkub naamin mapinduz cup utadakia zanzibr herous
@RajabJr-r6y
@RajabJr-r6y 10 сағат бұрын
Aliyekua na mpira mwengne na aliyejirusha mwengne na referee wao wenyewe na penalt ya mchongo yakwao wenyewe 😂😂😂😂😂😂😂😂
@ashabaruani7945
@ashabaruani7945 8 сағат бұрын
Ww
@NasrahswaleheNasrah
@NasrahswaleheNasrah 3 сағат бұрын
Nahao ndio penalty fc😂😂😂😂
@shabanramadhani1500
@shabanramadhani1500 13 сағат бұрын
Uo Ndio UbaYa ubwela ,,,Yaan mwaka Huu Mtapunguza Kamdomo
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 8 сағат бұрын
Simba siwaoni kwenye mbio za Ubingwa wa ndani msimu wa 2024 2025
@DavidJosia
@DavidJosia 8 минут бұрын
ILA KUMBE WASHABIKI WA YANGA WANA UPUMBAVU WA KUTOSHA HII PENARTI YA SIMBA JKT WAMEONEWA ACHENI UJINGA WANAYANGA
@masatusimion1204
@masatusimion1204 40 минут бұрын
Usiogope simba ndie anakuja kukukata kisimi chako kilichobakia kinachokupa kiburi mwanzo mlibebwa tutaonana mwakani,
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 9 сағат бұрын
👏👏👏👏👏
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 12 сағат бұрын
Kw kweli kipa yakuob alikuw bora ila simba imechez vzr sana mana mipira ilipigwa n kip alikuw anazuia sana 😂kw iy timu yetu ik vzr juz tumetok kumlamba mt mkono😂 we proud 🥲 simba nguv mojaa
@adenmwakyonde5968
@adenmwakyonde5968 14 сағат бұрын
Hamisheni uwanja wa nyumbani twendeni Chamazi Azam hapo KMC pameingia yule mdudu
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 13 сағат бұрын
Hakuna tatizo lolote na uwanja... Mind games tu hizo. Then timu imecheza mfululizo sana mechi ya nne leo, tena tatu kati yake au zote kabisa ni mechi tough..... Ilibidi bodi ya ligi ifute mchezo dhidi ya singida, timu zipumzike kisha zijiandae na michezo ya kimataifa.
@FelisterMbanno-lq6ku
@FelisterMbanno-lq6ku 13 сағат бұрын
@@adenmwakyonde5968 hatujawa yang sisi
@michaelnsingija
@michaelnsingija 2 сағат бұрын
pole kwa maumivu ya ushind wetu sie raha tu
@richardndivo978
@richardndivo978 14 сағат бұрын
Not a penalty, that was an off the ball incident but the yellow card is deserved
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc 14 сағат бұрын
Kivipi Sio penat alafu kadi Ni Sawa au ndo kutojua Sheria mchezaji kafanya makosa ya wazi ndo maana alkuwa anajuatia hakukuwa Na sababu ya kumvuta shomari
@FabianJoseph-v5o
@FabianJoseph-v5o 13 сағат бұрын
Bado hujasema utaandika mpaka kichina
@MwajumaMhidini
@MwajumaMhidini 14 сағат бұрын
Umenifurahisha sana yakupakatwa
@StarloneWamipangomusic
@StarloneWamipangomusic 11 сағат бұрын
Hata manyani matoto hua yanabebwa sana 😅😅😅 ila ikifika wakati hua yanachwa 😂😂 sasa hapo haitaisha mpaka iishe😢😢
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m 14 сағат бұрын
Alhmdhulillah
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 14 сағат бұрын
Kila mechi mapenati ndo litimu linaongoza kwa kupewa mapenati na marefa bahasha fc
@Almas-tf3eb
@Almas-tf3eb 14 сағат бұрын
Na wewe kapewe mimba
@Almas-tf3eb
@Almas-tf3eb 14 сағат бұрын
Uzae
@mwamakaassely2260
@mwamakaassely2260 14 сағат бұрын
Tulia dozi iingie vzr utopolo
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m 14 сағат бұрын
Na bado mpaka uchungu utakuuma mpaka uzae hewa
@FelisterMbanno-lq6ku
@FelisterMbanno-lq6ku 13 сағат бұрын
@@EliaMkumbo-wn7bm pewa na wewe sasa
@mzeke-r9h
@mzeke-r9h 5 сағат бұрын
Refa alikua upande mmoja kwenye hii mechi ila simba wajiandae huko shirikisho wamwambie tajiri wao acheze tena refa ili waione robo.
@HernenadezSatu
@HernenadezSatu 5 сағат бұрын
Kwan kuna mtu kabebwaaa nimeangalia refa alikuwa vizury sema sis hatujuiii mpira hata ningekuwa refa ningeweka penatiii
@kizamankaro
@kizamankaro 3 сағат бұрын
nawewe pia ujia ndaye kupigwa
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga Сағат бұрын
Kayoko Yuko wapi?
@DavidBoniphace-u2p
@DavidBoniphace-u2p 14 сағат бұрын
Penalt fc
@MuslihiShafii
@MuslihiShafii 13 сағат бұрын
Penati fc
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 14 сағат бұрын
Huyo golikipa wao jkt namwitaji sana aje simba
@JosephJackson-f1s
@JosephJackson-f1s 13 сағат бұрын
Hawa makengeza wa utopolo mnasemaje pumbavu nyiye na lile la mkono ya kwenu shenzi nyiye
@SalamaBakari-p2o
@SalamaBakari-p2o 12 сағат бұрын
Penalt ya halali kabisa wengine wanaumiya hawajui kupiga ht wakipewa
@petrolulu-f9h
@petrolulu-f9h 12 сағат бұрын
. .
@dalalfundikila507
@dalalfundikila507 10 сағат бұрын
Utopolo wanatumia nguvu kubwa kouoyesha siba ibebwa wanaihuju tim
@ashabaruani7945
@ashabaruani7945 8 сағат бұрын
We kolo umebebwa
@SaidyKunicha
@SaidyKunicha 8 сағат бұрын
Ubaya. Ubwela😂😂😂
@MihayoMageta-k4n
@MihayoMageta-k4n 13 сағат бұрын
Ubaya ubolo leo maji ya shingo kudadadake 😂😂😂😂Endeleeni kuwabeba hivyohivyo.
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 7 сағат бұрын
Sisi hatuna MAREFA bali tuna MALOFA
@VictorBugobola
@VictorBugobola 10 сағат бұрын
😂😂Toka ligi imeanza wachezaj wa smba wameambiwa hakikishen mnafika 18 au Goli la ofside Niachien mimi😂tu
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm 10 сағат бұрын
Ona ata aibu Jana tu Bacca Kapiga ngumi mpira Refa kasema Gori halalii mbona mnaroho za kichawiii
@fgffhjjnchgf
@fgffhjjnchgf 10 сағат бұрын
Na la mkono pia
@emmaniko1106
@emmaniko1106 12 сағат бұрын
Mhhhh simba anapiga boli
@clementiddi5708
@clementiddi5708 14 сағат бұрын
Penalty SC
@gikadotv2148
@gikadotv2148 13 сағат бұрын
Mkono fc
@NsaliMayunga
@NsaliMayunga 12 сағат бұрын
Wanaosema ni penalty wote ni wasenge
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 11 сағат бұрын
Hii mechi ya leo ni aibu kubwa tangu gemu inaanza leo refa alikuwa anawatafutia gori simba yani waziwazi bila kuficha, faulo za ajabu ajabu lkn hii timu ni ya kawaida sana
@HAJJZAYUMBA
@HAJJZAYUMBA 11 сағат бұрын
Bdo hujasema 😂😂
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 11 сағат бұрын
@@HAJJZAYUMBA kwa kweli😆🙌
@markmbise2431
@markmbise2431 10 сағат бұрын
Ndo tunapenda ili muendelee kuumia
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 10 сағат бұрын
@@markmbise2431 oho basi sawa😃
@nemesselestine3965
@nemesselestine3965 10 сағат бұрын
K,ey wewe nawewe beba mimba basi
@mirajiameir8684
@mirajiameir8684 8 сағат бұрын
Ivi man of the match amepewa nan jamn
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 5 сағат бұрын
Yakoub kipa w jkt
@masatusimion1204
@masatusimion1204 45 минут бұрын
Ingeisha bila kufungwa akuba lakini kafungwa angepewa mpanzu, au Ateba
@SallieBaddie
@SallieBaddie 14 сағат бұрын
Yanga imewaumaaa kubabake na bad yakiwaban nenden mkanye
@SarazieliHezekia
@SarazieliHezekia 14 сағат бұрын
Unable bwana tu
@SarazieliHezekia
@SarazieliHezekia 14 сағат бұрын
Kubebwa tu
@Muna-en4yq
@Muna-en4yq 14 сағат бұрын
Penat fc
@MauBonde
@MauBonde 14 сағат бұрын
Mpakato FC penati FC oyeeeeeee
@gikadotv2148
@gikadotv2148 13 сағат бұрын
Oyeee mkono fc
@SalimOmar-r4g
@SalimOmar-r4g 13 сағат бұрын
Achen ushabiki mbaya hyo ni p
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 14 сағат бұрын
Kimewarambaaaà watu leo maana uchawi umewazidi
@makondarajabu
@makondarajabu 14 сағат бұрын
1:45
@rehemawamwarami3854
@rehemawamwarami3854 11 сағат бұрын
Rozi muhando mwaka huu kombe mtalisikia tu kwa hizi zulma simbilis nyie.
@camillangowi
@camillangowi 13 сағат бұрын
ubaya mbelekoooo
GB 64 AWAKA WANAOKATAA PENATI YA SIMBA, SIMBA HATUBEBWI, TUPO KILELENI
17:37
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
15 IMPOSSIBLE GOALS IN FOOTBALL
9:13
Gustavo Marques
Рет қаралды 10 МЛН
MBWADUKE: Ni penalti? Simba yashinda kwa goli la  jiooooni...!!
9:28
Mbwaduke Stats
Рет қаралды 67 М.