PROFESA ISSA G.SHIVJI PROFESA STAHIKI WA CHUO KIKUU DSM 1970-2006 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha DSM 2008-2013 Profesa wa Mwl.Nyerere katika Umajmui wa Afrika 2020 Profesa Stahiki wa Chuo Kikuu cha DSM
Пікірлер: 6
@jeanmusamba84487 ай бұрын
Mzee mzalendo sana huyu,nimempongeza sana alivyo fafanua swala la bandari,tunapuuza wataalamu wetu.Mungu akulinde sana Prof Shivji.
@adamndimbo86397 ай бұрын
Wow jafari mponda........ Ni vema Sana kuwasikiliza watu bobevu wa masuala mbalimbali.... Hapo unafanya kazi kubwa ya kurithisha kizazi elimu suluhisho kwa jamii...... Kongole kwa hilo
@paulommasy74517 ай бұрын
❤
@chidiomari.6510 ай бұрын
👁️👁️🇫🇮🤝
@chumaramadhani.7581 Жыл бұрын
Prof, Issa G, Shivji wewe ni matunda ya kilosa, je fadhila zipi umeresha kilosa ukiwa na wasomi wenzio akiwepo Ledgar Chilla Tenga?.