ZUMARI - AZAM TV | Pius Msekwa, Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania

  Рет қаралды 14,143

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@salimmakeleketa1494
@salimmakeleketa1494 3 жыл бұрын
Mwalim wangu Ustaadh wangu Jaafar Mponda big up Sana
@jmm1840
@jmm1840 3 жыл бұрын
Mr Japhar Mponda duuh ni miaka mingi sana ndugu yangu.
@thomsonmwakyanjala7536
@thomsonmwakyanjala7536 3 жыл бұрын
Mbali na matamushi yake ya awali kupinga Wabunge wasio na Chama kuendelea kuwa Bungeni, je Mheshimiwa Pius Musekwa anafanya nini kuhusu Wabunge 19 wasio na Chama kuendelea kuwa Bungeni kinyume na matakwa ya Katiba yetu?
@harsoshelezi4658
@harsoshelezi4658 3 жыл бұрын
Baada ya Uasili wa Tanganyika kushiba Historia ya waislam (sio uislam), ndipo maandalizi ya kuandaliwa watakao chukua nafasi ya wakoloni (waingereza) yalipo shika hatamu wakaandaliwa kupitia elimu. Alinyimwa nafasi ya kusoma makerere Abdulwahid Syles (Kiongozi wa TAA na kisha TANU), kwa kisingizio cha umri lakini kanuni hiyo ya umri ilifumbiwa macho alipo ingizwa Jeshini, vitani. Kuibainia Zanzibar ilikuwa tangu zamani hata haya anayo yaongea mzee LUKUVI ni muendelezo.
@alijuma7204
@alijuma7204 3 жыл бұрын
Kwanini referendum iwe kwawanachama na sio kwa wa Tanzania
@arngemer
@arngemer 3 жыл бұрын
System sawa na nchi nyingine nyingi. (grade 1-12)
@jubilatemanase9050
@jubilatemanase9050 3 жыл бұрын
Kun kitu mzee anachenga kidogo hapo kwny hilo kundi la G55 kuna wabunge hawakukubaliana na maamuzi ya chama na matokeo yake walipotea moja kwa moja kwny system e.g kina Tuntemeke Sanga
@Ambagaye
@Ambagaye 2 жыл бұрын
Kabla ya kuwa VC wa UDSM, nadhani Msekwa aliwahi kuwa mkuu wa chuo TANU cha Kivukoni !!
@fettynibuka675
@fettynibuka675 3 жыл бұрын
Mashaa Allah
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 2 жыл бұрын
😂🤣🤣
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 58 МЛН
ZUMARI:  WAZIRI WA ULINZI MSTAAFU - EDGAR MAJOGO MAOKOLA
53:53
ZUMARI - AZAM TV | Walter Bgoya, Muasisi wa Mkuki na Nyota
55:39