CHEKECHE || Mkutano wa Wajumbe wa NATO nchini Lithuania na ndoto ya Ukraine kujiunga NATO 15 07 2023

  Рет қаралды 18,454

Azam TV

Azam TV

Жыл бұрын

Je, mkutano wa Umoja wa Kujihami wa NATO nchini Lithuania na hitimisho la kuikatalia Ukraine kupata uanachama wa umoja huo una maana gani?
Je, ni kuipa kiburi zaidi Urusi au ni kuitesa Ukraine?
Ungana na Raymond Nyamwihula na wageni wake ndani ya #CHEKECHE

Пікірлер: 39
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu Жыл бұрын
Uyo mzee yupo marekan anaweza akawa yupo kwenyejinsia moja😂😂😂
@donizzo9570
@donizzo9570 Жыл бұрын
Tatizo lenu ukishakuwa marekani basi hamuongei ukweli halisi kuhusu hivi vita mnaegemea upande wa Magharibi... Kwaufupi marekani na washirika wake wameahindwa kupambana na Urussi kwa njia zozote iwe kijeshi ama kiuchumi au kivikwazo mbinu zote zimefeli..
@harounkiyungi7288
@harounkiyungi7288 Жыл бұрын
Daaa yaani Hawa jamaa wananuka damu ya kinazi na hawaoni kabisha ukweli yaani wanaomba na Dua eti Ukraine ajiunge NaTo duuu aisee yaani nimeamini kweli ukiajliwa na Shetani huwezi Fanya kazi ya Mungu
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Asanteni kwa uchambuzi.. tatizo lenu ni moja tu .mnachelewa kutuletea vitu kama hivi
@jumamasele5793
@jumamasele5793 Жыл бұрын
Dah hili zee liongo kweli au kwakua yuko malekani bila shaka anaweza kua wa jinsia moja
@mayombomajenga9778
@mayombomajenga9778 Жыл бұрын
Voa ni wapuuzi tu
@mattarmattar3026
@mattarmattar3026 Жыл бұрын
Tukisha zipoteza hizo F16 tu watajuwa umuhimu wa mzungumzo
@salubrown4013
@salubrown4013 Жыл бұрын
ya paswa marekani wabadiri sela yao DuniA yasasa siya zamani Rasinyvo wata sababisha matatizo makubwa sana kirio chawengi kita skirizwa Akika kabisa
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Abdullah shakuli unacho sema sio ukweli Urusi aina mgogori wowote Wagner wapo na wapo kazini wewe upo upande mmoja wa Marekani hoja zako tunafatilia sana
@koudrashabani1912
@koudrashabani1912
Wajiuunge Mrusi Atawanyoosha
@RidhiwanSeifJuma-fk6zj
@RidhiwanSeifJuma-fk6zj Жыл бұрын
Hawana lolote hao NATO wanaiogopa urusi ilesio Libya , urusi ana historia ya kushindwa vita , lazima mseme ulweli
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q Жыл бұрын
Uturuki nae mnafiki,, nawakbali sna wachambuzi ukweli muko sawiya,, cc ni team Russia lkn kw undani urusi imefeli lkn tnaikbali kwsbb wamagharibi c wema iko cku wapigwe lkn urus hana mshirika madhubuti
@mabagaplatnum8307
@mabagaplatnum8307 Жыл бұрын
Bg upp
@mattarmattar3026
@mattarmattar3026 Жыл бұрын
Hata ukrein apewe uwanachama Leo NATO haiwezi kwenda sambamba na spidi ya Urusi kutokana na kuwa hii si kawaida yao wanaloliamuwa wao kuhusu uvamizi Huwa hawataki sibabu na wanaofanya hivyo ni hizo hizo nchi za NATO na washabiki wake Kwa maana hio nikuwa NATO wameonesha dhahiri udhaifu wao wa hofu juu ya suala Zima la kuisaidia ukrein zaidi ni pale zilipofeli jitihada zao za mwanzo zote
@hassansingano1150
@hassansingano1150 Жыл бұрын
Jamani ehhhh, tutambue ya kwamba, NCHI zenye silaha za nyuklia haziwezi kupigana Vita za moja kwa moja. Unazani zikipigana nini kitatokea? Bila shaka ni maangamizi. NATO HANA MPANGO WA KUPIGANA VITA NA URUSI.
@mohammadingai3476
@mohammadingai3476 Жыл бұрын
Hapo uturuki amejichanganya mno hasomi alama za nyakati
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Жыл бұрын
Huyo mchambuzi mzee piga chini hakuna anachokijuwa kuhusu uwanja wa vita.
@mkongwekarim3036
@mkongwekarim3036 Жыл бұрын
Huyu anacho ongea hata hakielewi vizur
@mugabekazimiriam6693
@mugabekazimiriam6693 Жыл бұрын
haja toa vigezo vyovyote poutine kawa shinda hao manyangao sijuii kwanini haoni eti kuna matatizo ndini ya rashia wala mze mkubwa kama yeye hawezi kujua kama kuna mchezo ambao poutine Ana wazubaza aima Ana wacheza hao wamagharibi
@IsmailBagayabakwe-bb1pl
@IsmailBagayabakwe-bb1pl Жыл бұрын
Naipendeleyaka sana uchambuzi wenu muko Sawa kabisa apana ule anaye jiita mwalimu waneno lamungu wakilembe
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 32 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,8 М.
The war in Ukraine and the decline of the West | #1623 with Douglas Macgregor
2:01:30