Asante doctor kwa maelekezo yako unaweza kunitajia dawa ambazo naweza kuzitumia katika matibabu ya sikio linalotoa usaha
@ShabaniPhilidaus7 ай бұрын
😢😢 doctor mm sikio rangu halisiki vizur alafu linanuka kama panya aliye ova msaaad
@felisterelias38344 жыл бұрын
Iyseee mwanangu anatoa usaha unaotoa harufu kali mno hadi asie juwa atahis kitu kimekufa ndani
@ShabaniPhilidaus7 ай бұрын
Ulitumia daw gani Jaman mm dada angu anatatizo hilo
@AnnahKamene-zm5lf5 ай бұрын
Mmi saa hii nasubuliwa na sikio linatoa ushaa
@NasimiyuJosephine3 ай бұрын
Dkta mimi nina hilo tatizo tangu nikiwa mdogo
@mozetanasio75542 жыл бұрын
Mungu aturehemu
@sahilsuleiman35915 жыл бұрын
Dokta mm cna ngoma ya sikio unanisaidiajee
@abduljuma21473 жыл бұрын
Lakini unaskia pengine
@islamjamal72713 жыл бұрын
Duuh
@RoseKamate-s5c6 ай бұрын
Mimi mwanangu mwaka wa3nimeangaika sindano bado linatoa usaha
@bitefuransis37563 жыл бұрын
Habari dokta mimi limeuma siku mbili yatatu nikaanza kutoa maji ya mchuzi wa kunde lakini naumiv yapo yanatulia hadi nimeze dawa ya kutuliza maumivu
@agnethachongolo Жыл бұрын
DWa shingapi? Nipo iringa napataje?
@flavianamulamula39492 жыл бұрын
Ninahitaji kujua kwa Dodoma huduma hizi zinapatikana Hosp gani na MTU ambaye ameacha kusikia anauwezekano was kusikia tens?
@johnchimwaga26 Жыл бұрын
Mmhh sikio langu linaniwa na kutoa majimaji, na ninahisi limetoboka. Nazipataje dawa?
@markolikinjiyemollel Жыл бұрын
Sasa mm naitaji dawa nita pataje
@arafaabubakari1914 жыл бұрын
Namba zasimu je
@MulokoziWillison-xi6jh Жыл бұрын
Jamani Sasa Mimi Nina Hilo tatizo tangu nikiwa mdogo msaada jamani dah 😭😭😭
@GetrudeCosta6 ай бұрын
Tupo wengi mm toka nikiwa mdogo mpaka leo hii
@gwedembe16846 жыл бұрын
naombeni mzungumzie pia bawasiri(hemorrhoids)
@fardahally85113 жыл бұрын
Ni vifaa gani vinavyo tumika katika kusafisha skio?
@abduljuma21473 жыл бұрын
Swali lako raisi tembelea ENT hospital utashafishwa vizuri tu kazi ipo uko ndani Kama mm niligongwa ngumi sijui nianze wapi
@islamjamal72713 жыл бұрын
Pamba
@edinachami43183 жыл бұрын
Dkta unapatikana wapi mwanangu anatatizo
@abduljuma21473 жыл бұрын
Facial paralysis huo ugonjwa unaitwa hivo mungu walai atunusuru
@sharifahamis16363 жыл бұрын
Msaada jamani nilitoboa sikio kwaajil ya kuvaa heleni lakin nipotoboa pametokakuvimbe naomben msaad bib nifanye ili kuondoa huu uvimbe
@maryamfumu47103 жыл бұрын
Mm sikiyo linanium ata sijuw nifanye nn
@abduljuma21473 жыл бұрын
Fanya exercise physical therapy sikio infection ua halina kazi ngumu sikio lenye kazi Ni la inner ear
@stellachimagai2048 Жыл бұрын
Mnapatikana wapi
@daudipaulomatanga64795 жыл бұрын
shingapi kutibiwa na mnapatikana wapi
@abduljuma21473 жыл бұрын
Pesa ndio changamoto tunabidi tusubiri miujiza ya muumbaji
@ellahjonas48814 жыл бұрын
Sikio langu naskia sauti kama kitu kinapumua ndani napata shida sana ila haliumi kabisaaaaa
@saudarashid38953 жыл бұрын
Shida uliyo nayo nikama yangu
@abduljuma21473 жыл бұрын
Msijali hizo ni infection tu mkipata dawa nzuri mwapona ss wengine tuligongwa mingumi ua sikio twaishi tu mungu atasaidia
@abduljuma21473 жыл бұрын
CT scan iko ghali ila itabidi uchange polepole afya muhimu
@pascalmwesera67673 жыл бұрын
Tunataka mtaje dawa
@bashirumohamed37043 жыл бұрын
Me naumwa sikio linatoka usaa toka kiwa mtoto
@marthabruno53803 жыл бұрын
Mi pia nna tatiz ilo ad nimekat tamaa
@MulokoziWillison-xi6jh Жыл бұрын
Me mwenyewe Nina Hilo tatizo yaan
@daudipaulomatanga64795 жыл бұрын
du yani umenipatia sana jinsi ulivoeleza yote mm najisikia wakati mwengine linauma sana huezi hata kutia mkono na ninatoka uchafu wiki nzima harafu ndoo unakata unakaa siku tena unaanza kutoka mpka mwezi
@geofreybundara21365 жыл бұрын
sikio langu limeingia mdudu namsikia anavyotembea kwa ndani nifanyeje?
@divafetty7134 жыл бұрын
Mimi tangu mdogo hadi leo masikio yanatoa usaha naninaumri mkubwa mno je nitapina kweli
@saudarashid38953 жыл бұрын
Doctor mm nilishikwa na homa kali mpaka masikio yakaziba yakawa yanatoka maji nlitibiwa homa likapoa na maskio yakaacha kutoa maji.lkini kwa sasa sikio langu moja naliskia ni kama kuna kitu chapumua .
@joycelambwe90163 жыл бұрын
Dr.kila nikipiga simu ambayo wameionyesha hapo wanasema walikosea kuweka hapo naomba nisaidie namba sahihi ili niweze kuongea nawe