Mkuu wa zamani wa JWTZ, Jenerali Musuguri kutimiza miaka 100

  Рет қаралды 72,705

Azam TV

Azam TV

4 жыл бұрын

Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali David Musuguri anatarajia kusherehekea miaka 100 ya kuzaliwa kwake siku ya Jumamosi Januari 4 mwaka huu.
Katika kuelekea kwenye sherehe hiyo Azam News imefanya nae mazungumzo mahsusi.

Пікірлер: 40
@sagreymduda6569
@sagreymduda6569 3 жыл бұрын
Huyu kweli mjeda Maana ni mzee alafu yuko strong ana memory ya kutosha good Grand
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 3 жыл бұрын
Hongera sana, Mhe mstaafu Generali Msuguri kwa zawadi ya kishindo. Wema na moyo wako wa uzalendo hakika umekuzawadi kufikisha na kuiona miaka 100 ya umri wa maisha yako, ugali na nguvu, lakini zaidi ya yote, bado ujasiri wako unaunguruma kama simba alive nyikani. Hata Iddi Amini alikimbia asingehimili kishindo cha uzalendo wako. Nazidi kukuombea maisha marefu MHE GRNERALI MSUGURI. 🙏
@salminasalim5630
@salminasalim5630 3 жыл бұрын
MMungu azidi kukulinda na akupe Afya njema na mwisho mwema shukran sana kutukomboa mikononi wma Iddi Amini Sisi wenyeji wa Kagera asante sana. Pole na kuumwa MMungu akuponye
@mpendwacravery1665
@mpendwacravery1665 2 жыл бұрын
Hongera Sana Azam tv...kutusogezea uyu mzee jamani... Mimi nilikuwa na ham Sana ya kumuona...nimeinjoi...asante Sana!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Mkakamavu sana kwa ajili ya mazoezi ya kijeshi hongera zake sana
@rogermoosh
@rogermoosh 3 жыл бұрын
Wonderful icon. Msuguri live may you leave long. From dr.mugisha rogers
@mwasisobajohan7641
@mwasisobajohan7641 3 жыл бұрын
maisha marefu General Msuguri Mungu akubariki
@gipsonmosha1857
@gipsonmosha1857 3 жыл бұрын
Chuma km chuma hiki.. Mzee anakumbukumbu nzur sana though ana miaka mingi
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 3 жыл бұрын
Yani alimfundisha Idd Amin jeshini 🙌🙌
@andrewmsuguri7671
@andrewmsuguri7671 3 жыл бұрын
Huyu mzee nimtu wa tofauti Sana namwombea Sana awe na miaka zaidi ya hapo
@tulisamwel41
@tulisamwel41 2 жыл бұрын
Hongera mzee wetu, sifa na utukufu kwa Mungu.
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 4 жыл бұрын
Hongera Gen Musuguri
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Huyo ni sawa na baba yangu nae alipigana vita ya pili alizaliwa 1922 mzee polepole
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 4 жыл бұрын
Dooh hongera zake mzee
@mbogomgoma4886
@mbogomgoma4886 4 жыл бұрын
Hongera sana mzee wetu
@lonelypatientor7348
@lonelypatientor7348 4 жыл бұрын
Legend
@kimkarldelon5059
@kimkarldelon5059 2 жыл бұрын
National treasure 🙏🏽💪🏾
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Mungu ampe nguvu huyu ni askari sana mkakamavu sana
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 4 жыл бұрын
Afande salute kwako
@harunncheye1909
@harunncheye1909 2 жыл бұрын
Amazing
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 2 жыл бұрын
Dah aisee ni Noma sana
@wanderaothumani4919
@wanderaothumani4919 4 жыл бұрын
LEGEND🇹🇿
@mercyshabuwe724
@mercyshabuwe724 2 жыл бұрын
Well done Sir
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 жыл бұрын
Kamanda kama Kamanda.... General Daud....
@michaelgwantemi8534
@michaelgwantemi8534 3 жыл бұрын
Hongera kamanda
@stevensinkara2938
@stevensinkara2938 2 жыл бұрын
Hongera msuguli
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 3 жыл бұрын
Duh. Mungu akupe uzima na afya njema.
@victorjames3730
@victorjames3730 3 жыл бұрын
100
@josephatmakuka4860
@josephatmakuka4860 2 жыл бұрын
Hakika
@kasendelukadi2047
@kasendelukadi2047 2 жыл бұрын
Njo gisi na museveni yupo uvamizi wa maichi
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 2 жыл бұрын
Kuishi muda mrefu si utashi wa anaeishi bali ni makadirio ya alietuumba wanakufa si kwasababu ya kukosa matunzo
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Hujui lolote.
@juliusfesto9251
@juliusfesto9251 4 жыл бұрын
Kesho vp tunaweza kuuona muchezo live wa simba na yanga
@abdulmillanzi7355
@abdulmillanzi7355 4 жыл бұрын
Daah halafu chuma bado kipo ngangari
@andrewmsuguri7671
@andrewmsuguri7671 3 жыл бұрын
Mazoez safi
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 2 жыл бұрын
Saf
@patrickKitambo
@patrickKitambo 3 жыл бұрын
Huyu mzee ni jirani yang kule butiama, am proud of him and nyerere and other patriots from Mara and lake zone without forgetting Magufuli, our patriotism is always high unlike other leaders from coast region always taking the nation wrong direction
@donaldpama9370
@donaldpama9370 2 жыл бұрын
Hongera sana kwa kutimiza miaka hiyo 100 Mungu azidi kukulinda ili tuwe tunakuja ufafanuzi wa mambo ambayo yatakuwa tumeyasahau sisi watoto wako na wajukuu zaka udumu
@ejelanta7829
@ejelanta7829 2 жыл бұрын
Umeanza vizuri,mwisho ukaandika nonsense
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 3 жыл бұрын
MANENO.HUUMBA KEMEA KWA JINA LA YESU YOTE YANASHINDWA KUPITIA JINA LA YESU KUU
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 80 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 56 МЛН
"HUYU NDIYE MKUU WA USALAMA TANZANIA, WALA SIMFICHI" - JPM
4:07
Global TV Online
Рет қаралды 406 М.
MALI ZA BILIONEA MSUYA ZAITESA FAMILIA,SERIKALI YAINGILIA KATI
4:34
Shujaa aliyelala chumba cha Idi Amin wa Uganda  aeleza mazito
12:25
Mwananchi Digital
Рет қаралды 124 М.
The Day Lionel Messi and Cristiano Ronaldo Shocked The Whole World
11:16
Ruto: Nimebuni serikali ya kuunganisha wakenya
5:47
TV47 Kenya
Рет қаралды 6 М.