Tunawaombea wawakilishi wa taifa letu simba na yanga mfanye vizuri
@VictorMapotijr5 күн бұрын
Amina
@ArabianDivaAyesha5 күн бұрын
Amin
@KautharKhatib-e7e5 күн бұрын
Wewe uko vizuri unajielewa vizuri ni Kweli Simba na yanga wote ni wawakilishi wa taifa letu wakifanya vizuri taifa linapata sifa Ila baadhi ya mashabiki ni matusi tu
@LucyVictor-c9c5 күн бұрын
Kama Mungu Aishivyo,...watalipa kwa matendo yao. Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki 🇹🇿
@MuslihiShafii5 күн бұрын
Duwa kwa yanga kisha na simba timuzetu zi rudi na ushindi kwapamoja kuheshimisha taifa letu
@EstharJohndaud5 күн бұрын
Mungu ibariki Tanzania,mungu ibariki yanga africa.
@SaidAkili5 күн бұрын
Inshallah KHER Allah yuko pamoja nanyi Inshaallah
@frida-oi6kw5 күн бұрын
Dah ..eeeh Mungu naomba isiwe kweli 😢😢😢😢😢 nilichokiota
@salmamlokela19875 күн бұрын
Kama uliota tumefungwa huo ni ushindi kwetu😊
@OPGMGAYA-pg2ko4 күн бұрын
Opg makanjaula village nawaombea yanga ushindi pia mtani nae apate ushindi heshima
@MamaRoja-g2b4 күн бұрын
Aamia mwenyezi mungu ibariki timu yetu ya yanga wapate ushindi waprent 3 muhimu sana
@HapyHaule-m1j5 күн бұрын
Asante mungu mmefika salama
@twaibutwabibu88095 күн бұрын
Endurance and resilience are vital for Yanga Africans to win no matter what
@fihirishemaadihussein61245 күн бұрын
We wish you all the best
@dagraskaragane47305 күн бұрын
Naona wenzetu tayari wameanza kujiandaa na chrimas tree
@josephmisaba1045 күн бұрын
Acha watusinichi kwa hizo figisu maana wakijaga kwetu tunajifanya watakatifu sana kwa kuwakarimu kama tunazaliwa tumbo moja mbwa sisi
@Jamesndaki-j6r5 күн бұрын
Hapo ttzo nn serikal yetu au viongoz wetu hawajui firgisu
@FitinaJackson-y7e4 күн бұрын
Hongela wananch 2naitaj ushind
@Iconifcmusic5 күн бұрын
🇹🇿🔥🔥🔥 🇰🇪shabiki
@allenmkwavi83605 күн бұрын
Safari njema wanangu ❤
@esteralinanuswe3255 күн бұрын
Mungu Awasimamie Yanga Mfanye Vizuri
@Kuminamoja19955 күн бұрын
Tukifungwa tena wachezaji wajiuzulu maramoja😡
@cleverkesani2165 күн бұрын
Yanga sc aka Kasongo 😉😁
@JosephChrisant5 күн бұрын
@@cleverkesani216 Makolo acheni wivu!
@cleverkesani2165 күн бұрын
Kuwa na wivu y’a nini ?? Kuzungumza sana ?? Yanga aka Kasongo 💉🛌 Alger 1-0 Mazembe 1-0 imekwisha 😁
@DoryGeorge5 күн бұрын
Kila la kher
@PAAKWAMEPAA5 күн бұрын
Asante
@SaumuSaidi-z2v5 күн бұрын
Jezi nyeupe hee
@errydeo88655 күн бұрын
Wachambuzi wangapi wamepanda Hili dude ? Nauliza tu😂😂! Make KAZI Yao kubeza Tu!
@errydeo88655 күн бұрын
Mwarabu kwa sabotages NI masters!
@yasrikomba78745 күн бұрын
Kila la kheri kwenyewe mchezo wetu
@AgiripinaNisiphory5 күн бұрын
Mmeanza kulalamika kama kipindi kile Nigeria ndio mzoee
@JumaKibou5 күн бұрын
Hiyo mechi yanga anashinda gori 1 bila tu mpaka mechi hinaisha
@faridaaldo75475 күн бұрын
Kila la kheri tunawaombea
@AgiripinaNisiphory5 күн бұрын
Waarabu wameweka baridi kali kweli kweli
@ELIACHOMOLA5 күн бұрын
Sisi ndio hua tunajipendekeza kwa wageni wenzetu hawana mpango na sisi
@peteremmanuel11885 күн бұрын
Vipi wametrain ?? Ukimya umetawala
@IssaMatandi5 күн бұрын
Waarabu ni washamba sana.Kila safari wanaleta matatizo.Sasa inakuaje watu wamefika saa saba na nusu,hadi maasaa manne mbele hawajatoka uwanja wa ndege,na mizogo yao imepotea.Safari hii wakija dsm inatakiwa wakae masaa 12 uwanja wa ndege.Na mizigo yao ipotee kabisa.Tumechoka kunyanyswa na waarabu.
@JosephChrisant5 күн бұрын
Yani Waarabu wana matatizo sana. Sasa mizigo inapoteaje 😂😂😂
@errydeo88655 күн бұрын
Inakua haijapotea🤣NI mind games,just to frustrate team!
@FitinaJackson-y7e4 күн бұрын
Simba ifungwe
@stevensosipita5 күн бұрын
MUNGU WAPE USHIRIKIANO WACHEZAJI WETU NA BENCHI LA UFUNDI TUWEZE KUPATA USHINDI MNONO
@AbdulMgude-iv1ql3 күн бұрын
ndo maana mnafungwa an mungu awape ushirikiano kweli hata namna ya kuomba kwa mungu hamjui msemeje