VITASA NJE YA ULINGO - 26/09/2023: Mtango asimulia visa kwenye mchezo wa ngumi, asimulia maisha yake

  Рет қаралды 6,567

Azam TV

Azam TV

10 ай бұрын

Bondia Salum Mtango afunguka mengi kuhusu maisha yake ya mchezo wa ngumi na ametaja asili na maisha yake kwenye mchezo huo kwa ujumla.
Vitasa Nje ya Ulingo ni kila Jumanne saa 4:00 usiku #AzamSports1HD

Пікірлер: 23
@mustafaosman1838
@mustafaosman1838 10 ай бұрын
Home boy nakukubali sana from Qatar❤
@abdallahally842
@abdallahally842 9 ай бұрын
Dogo anajua apewe mapambano anajiamini na ni boxer haswa atafikisha taifa mbali 🔥 dogo ni moto wakuotea mbali alibaniwa sasa show alionyesha ni 🔥🔥
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 10 ай бұрын
Ohme boy tanga mess wetyu unajuwa sana ngumi adii balaa ❤❤❤
@waduni2326
@waduni2326 10 ай бұрын
Nakukubali Sana salim
@abdallahally842
@abdallahally842 9 ай бұрын
One of the best intervewie hakika nimesikiliza nimeinjoy sijapoteza bando
@habibahussein22
@habibahussein22 10 ай бұрын
Safi sana home boy tanga moja
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 9 ай бұрын
Huyu salim tumeishi mtaa mmoja hayo yote anayoyasema Yuko Sahihi alikuwa Hivyo khaswaa.
@RamadhaniShembillu
@RamadhaniShembillu 9 ай бұрын
Nakubali Sana jembe, Sema nakushauri usiwe mvivu wa mazoezi broo
@komboruga4271
@komboruga4271 10 ай бұрын
Mwenetu
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 9 ай бұрын
Good interview
@user-bl7vw1tc9m
@user-bl7vw1tc9m 10 ай бұрын
Mchizi ni bondia kweli na watu wa tanga tunajua kuwa anajua ngumi na ni MESSI hasaaaaa
@giftprosper2355
@giftprosper2355 9 ай бұрын
You're the best
@msizirovideoproduction3049
@msizirovideoproduction3049 10 ай бұрын
Messi wangumi
@user-oq7dz5xi4d
@user-oq7dz5xi4d 10 ай бұрын
Salimu jengo piga jitu
@barakamgongolwa5137
@barakamgongolwa5137 9 ай бұрын
haha huyu jamaa hata ukimuona anawengee la ugomvi ugomviii la kupigana haha ni nomaa
@abduryjumbe7447
@abduryjumbe7447 9 ай бұрын
Next fight be prepared for BWANGA inshaallah 💪
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 9 ай бұрын
Mtangazaji mbona unakomalia kuuliza jina.
@RamadhaniShembillu
@RamadhaniShembillu 9 ай бұрын
Ngumi nikaziyako ipende utafika mbali Sema ukiwa maaruf usiwe kama broo .... mwenye majeras hadi kazini
@abdallahally842
@abdallahally842 9 ай бұрын
Dogo salim mtango baada pambano lake lajuzi nimenza kumkubali ni boxer hasaa akipewa nafasi atakua mkubwa sana kuzidi mwakinyo na blabla zake
@martinbugeraa5329
@martinbugeraa5329 9 ай бұрын
Wechizi hizo story zako zinanikumbusha mbali Sana Yani Kama nakuonahivii nahiyo siku umewagichatuu ulikua na Hasani mlipigwa marambili brow akamaind ndio akasema hatakikusikia mnapigwa Tena ndio akanza kuwafua inasisimua Sana ilikua kamabutani hiv
@greenpoint5887
@greenpoint5887 9 ай бұрын
Tatizo mvivu wa mazoezi, bila hivyo utoboi
@user-mr7qk4fi2c
@user-mr7qk4fi2c 9 ай бұрын
Mwanangu wape makorora
@erickdioniz8277
@erickdioniz8277 9 ай бұрын
Home boy tanga boy hahahaha kivumbii kinakuja kwenye ndondi sasa wazee mjipange
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 353 М.
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 59 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 1,7 МЛН
Valentino Mashaka - 2005 | Striker / Tanzania
4:35
FE Company
Рет қаралды 15 М.
Neymar Skills 🤩🇧🇷
0:52
RptimaoTV
Рет қаралды 2,9 МЛН
When GOATs Get Injured in Finals 😢
0:23
TIKI-TAKA
Рет қаралды 3,2 МЛН
Испания - Англия - 2:1 | UEFA EURO 2024 | Финал | Шолу | Обзор
10:44
QAZSPORT TV / ҚАЗСПОРТ TV
Рет қаралды 3,5 МЛН