AZIZ KI AUKATAA MSHAHARA WA MILIONI 97 KWA MWEZI?

  Рет қаралды 45,302

Millard Ayo

Millard Ayo

18 күн бұрын

Пікірлер: 51
@CantonaKunona
@CantonaKunona 17 күн бұрын
Aondoke ila asiende simba ❤
@africakaka7217
@africakaka7217 16 күн бұрын
Kama kweli Aziz k ataripwa pesa hiyo basi league yetu imepanda , na sio kupanda tu basi kombe la CAF litakuja hapa TANZANIA . Kati ya SIMBA SC ama YANGA SC . MW/MUNGU IBARIKI LEAGUE YETU TUFIKE MBALI ZAIDI YA HAPA🙏
@martinlema4192
@martinlema4192 16 күн бұрын
Wanipemimi hiyo nafasi jamani,daah, hela zote hizi. Mi hata50 tu.
@PendoPetro-jl1zx
@PendoPetro-jl1zx 16 күн бұрын
Aende asitutishe hee
@andrewkamese8492
@andrewkamese8492 16 күн бұрын
Master k you hv to go to another club b'cause the bigger offerings that given to him.after the next session he'going to regret myftiend.
@julianagowele9163
@julianagowele9163 16 күн бұрын
Mhhhhhh! Mpira unalipa hivyo. Heko kwa wapambanaji
@user-yd9ds1zs1i
@user-yd9ds1zs1i 16 күн бұрын
Ndugu mwandish wa Habari tupe live tu mpaka hapo Aziz yanga hawapo nae tena waseme tu ukweli iyo pesa ni kubwa sana mara nyumba ya kuish 😂😂😂😂😂❤
@bethmahela2182
@bethmahela2182 16 күн бұрын
Jamani aende tu,hiyo pesa ni nyingi mno
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 16 күн бұрын
Mkuki ni kwa nguruwe kwa binadamu mchungu😂😂😂😂😂😂😂
@rogatemsangi6418
@rogatemsangi6418 16 күн бұрын
Bwege huyo jamaa!
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 16 күн бұрын
Safiii aziz K❤❤❤❤kenge hao
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 16 күн бұрын
Asiondoke bwana ukipendwa na Wananchi kuna raha😂😂😂 ukipewa hata mshahara ukiwa mdogo no problem
@OscarthomasMwakanyamale
@OscarthomasMwakanyamale 16 күн бұрын
Yangna imeiva ninyi aimtegemei azizi tu
@consomatogaudence136
@consomatogaudence136 16 күн бұрын
💚💛😊
@Tg.7_7
@Tg.7_7 16 күн бұрын
Jemedari mdomo mrefu sana, anaumia nini kwani!?
@wahidabakar
@wahidabakar 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 16 күн бұрын
Makolo kwinyo tabu Iko pale pale Chama tunae na Wala hatuling ki akitik hatutikisiki Ki akiwepo tabu Iko pale pale
@emmadora7848
@emmadora7848 16 күн бұрын
Chama Mpira ameshaumalizia Simba
@ericamkoba9101
@ericamkoba9101 16 күн бұрын
Hana pakuenda uyo Kiki tu izo atabaki
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 16 күн бұрын
Yanga wanapenda kiki xana wameona hawaongelew usajili wa cmba umezima wanatafuta kiki
@user-yr1dv2oq7r
@user-yr1dv2oq7r 16 күн бұрын
Sasa simba wamefanya usajili gani
@saimonntani6831
@saimonntani6831 16 күн бұрын
Millon 97 mchezaji gani wa africa atakataa?huyo atakuwa chizi.huo ni uuongo mtupu.
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 16 күн бұрын
Wanasemaga tu baadae unaskia anawadai😂😂
@geofreykayombo401
@geofreykayombo401 16 күн бұрын
Kawaida sana kwa football,ukiona hivyo ujue ana offer zaidi ya hiyo sehemu nyingine ndio Mana anakataa kama ni kweli.
@cngeze
@cngeze 16 күн бұрын
Huyu atakuwa ameogopa kuondoka na majini😅
@happinesspitalis4448
@happinesspitalis4448 16 күн бұрын
Bwana kama ye anaondoka asepe mbona mayele aliondoka tukajua yanga itayumba ila ndo iko juu mawinguni
@user-sn2wz8zs8y
@user-sn2wz8zs8y 16 күн бұрын
Huyu kijana kalogwa na yanga sio bule kukataa pesa nyingi kiasicho
@deusmichael2290
@deusmichael2290 16 күн бұрын
Soccer la bongo Bongo hilo...kiasi kinachosemwa kwenye media siyo anachopokea mchezaji......
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 16 күн бұрын
Mpira ni maisha mafupi aende tu
@petercostakisoka
@petercostakisoka 16 күн бұрын
Anakuaje kama siyo mchaga pesa zote izo bado anawaza
@UmmyZakiah
@UmmyZakiah 16 күн бұрын
ameanza kua na tabia kama za chama kuwasumbua viongozi
@leonidaleonard9382
@leonidaleonard9382 16 күн бұрын
Aondoke tu
@malietamaliet
@malietamaliet 16 күн бұрын
Nimchezaji mzuri ila akitaka kwenda aende na viongozi wasimpe msharaha zaid ya 40m make atakua anatia asala timu mwishowe diarra atasem anataka 50m pacome 60m max aucho 60m tutazitoa wapi?
@Mumewangu
@Mumewangu 16 күн бұрын
Kabisa Huyu chizi
@asifreds8787
@asifreds8787 16 күн бұрын
😈 👿🏃🏼
@Maofamedia
@Maofamedia 16 күн бұрын
Hizo kiki
@user-qe2kl7iz3s
@user-qe2kl7iz3s 16 күн бұрын
Kitu kitakachoonyesha mafanikio ya timu ni ubingwa na kuuza wachezaji waliovuma kwhyo hata akiondoka bado ni sifa kwa kilabu ya yanga jukumu letu ni kumtengeneza mwingine bora zaidi yake afwate maclahi yake utamu wa soka ikulipe
@livematchcentre21
@livematchcentre21 16 күн бұрын
rais wa yanga ni jemedari said?
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 16 күн бұрын
VIONGOZI NI WAONGO SANA
@rahmamukhtar521
@rahmamukhtar521 16 күн бұрын
Nyie nao mmeingia kwenye Habari za Umbea😂😂😂😂 Mnapotea Sasa Mbona hamjasema Tangu Jana,halafu ume copy kwa Kazumari wewe umeshindwahe kufuatilia vyanzo na upo humu humu TANZANIA
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 16 күн бұрын
Aende kokote, Yanga ipo hata bila yeye.
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 16 күн бұрын
Shukurani ya punda ni mateke
@thompsonkiputa6842
@thompsonkiputa6842 16 күн бұрын
Kbsa 💯
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 16 күн бұрын
Bado hamjasema 😂😂😂😂😂
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 16 күн бұрын
Tulieni sindaano iwaingie c mlicheka kwa chama leo mnalia kwa aziz k🐸🐸🐸🐸🐸🐸
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 16 күн бұрын
Koroboi povu la nn na mchezaji wa yanga tuliza mshono we Debora
@user-cv4jb1bm6i
@user-cv4jb1bm6i 16 күн бұрын
😂😂😂aliondoka mayere mzeee na tukabamba makolo tulieni
@TalentMapenzi-ie1dr
@TalentMapenzi-ie1dr 16 күн бұрын
Tuliza tako Ilo dawa ingie azz haend kokote kolo wew
@vickhongole6611
@vickhongole6611 16 күн бұрын
Sawa debora
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 16 күн бұрын
@@HalimaMaulidi-sv7le haya sema sasa wew Debora si ulikuwa unaropoka ovyo vp Aziz kaenda wapi ww koroboi
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 61 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Magoli yote 21 ya Aziz Ki NBC Premier League 2023/24
13:07
Azam TV
Рет қаралды 136 М.